We jamaa unajua sana m nishabikii yako tangu kitambo kile
@mutatashanny18 жыл бұрын
Hapa kwenye comment unaona tofauti kubwa ya kutafakari kati ya watoto wa leo na watoto wa majuzi!....tusisahau jamaaa aliwachana sana mawingu kabla hawajaanza mbeba mzee wa marudio yq chorus.....hakuna mtu bora katika maisha anae stay the same kwa kila challenge anayo kutana nayo.....
@bennyalloy40258 жыл бұрын
Hahah, ukinijibu we demu angu, ukikaa kimya umeniogopa... That's why Jo akaona nomma kujibu, we ni Nyoko nkoi
@kaniyahiouise14745 жыл бұрын
*Kama unamkubali young killer msodoki gonga like*
@youngkillermsodoki76646 жыл бұрын
young killer msodoki ni mdogo sana ila kwa sasa ukiwataja ma rapper 3 ambao wana chana vizuli top 3 huwezi kumuacha yeye ila yeye anadai hapatikani kwenye top 10 au top zero ...kazi nzuli kaza ufanikiwe zaidi
@allybyally24526 жыл бұрын
Young killer Msodoki
@imaboyclassicseven47356 жыл бұрын
Young killer Msodoki hahhhh
@nyererelazaro4116 жыл бұрын
weninoma wenimukali
@mkaljoh7514 жыл бұрын
𝖓𝖆𝖐𝖚𝖛𝖆𝖗 𝖙𝖍𝖊 𝕤𝖚𝖓
@amosnasiali72066 жыл бұрын
hujawaikosea YoungKiller..representing +254
@dizzonofficial26007 ай бұрын
npo leoo killer apewe maua yake may 23 mwak 2024
@babelstiles60058 жыл бұрын
fire hii ngoma hatari nimependa naona umerud now santeee kwa kazi nzur ya mikono na ubongo wake god bles yah young mwenye killer zako
@prosperamos25498 жыл бұрын
ee bwana moja la ngoma kuanzia video gud script mpk audio and nice mashairi i don like hip hop but this track is made me my day keep it up my bro youngkiller msodoki
@omariomollo98536 жыл бұрын
Young killer upo juu kaka,chat na 2 janjaroo wengine siwafahamu kabixa ambao wanajiita madogo...,hope Kali tuzidi kukaza buti...,kama umependa mwaga like mingi !
@hassannuru95814 жыл бұрын
young nkiliir namkubali kinom
@saibmusa78113 жыл бұрын
nomaaaa sana unahongwa sim unatka na vocha nimekuelewa young killer
@fahaddasilva90248 жыл бұрын
SINAGA SWAGA meseji sent kabisaa ngoja tuwasubiri watajibu nn akina JANJARO na YOUNG DEE ila wakumbuke ulipo sema ATAYE JIBU DEMU na MSIPO NIJIBU MNANIOGOPA HAHAHAHAH YOUNG KILLER UNAWEZAAAA KAKA
@samirfarid89598 жыл бұрын
Fahad Da Silva hahha
@abdallahjumanne17728 жыл бұрын
Young killer mxodooooooki.....tixha xana madogi wote watasubiri.......#unajuaga mi cnaga swagga kabisa....matunzo zero unity kubali sana
@oscartvonline23828 жыл бұрын
Kuhusu Janjaro na Young DEE mi ndo mkubwa wao wa kazi...Hatariiii #younggenius #youngkillermsodoki
@jamesm.darnes6406 жыл бұрын
10. Stereo 9. Godzilla 8. Joh Makini 7. Professor Jay 6. Ay 5. Fid Q 4. Afande Sele 3. Mwana Fa 2. Ngwea 1. Msodoki the sun ☀️ My fav tz rappers of all time
@yafangunda45245 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Stamina Yuko wap man
@ntawurusigajaphet8135 жыл бұрын
Roma yupo wapi?
@octaviotheeog39645 жыл бұрын
Roma shetta chinbees country boy Mr blue wako wappi
@rocyncathbert45275 жыл бұрын
Safiiiiiiii
@Basagamp44 жыл бұрын
Respect
@jaravamwaprince34137 жыл бұрын
Kwa ngoma kweli hata mi nakubali kuwa we ndo mkubwa wao wa kazi!, killer eeeeh, wauweeeeee!
@kefawales81878 жыл бұрын
huku ndani umesound kama Bonta maarifa, ila ni pin kali sana inaonesha namna gani unaeza kua best EMCEEE
@ngayongajr44594 жыл бұрын
Mziki mzuri unaishi 2020 apaa💯💯
@auntiemylee31575 ай бұрын
2024 🎉🎉🎉
@zuheirhamis44135 жыл бұрын
Sinaga Swagga series iendelee aisee, tupe episode nyingine killer.
@winnerkondejunior18906 жыл бұрын
Ushamba wa mikowani msilete puany ... unasema unijui we nani anaekuja ... Killer Balaaaa
@santosscasetzsantoss19414 жыл бұрын
Mazaaaaa zenuuuu young killar msodokii akunaa wakumzuiaaáaaa sala wakumpambanishaaaa naeeée uyoo ndo young kilarrrr
@emmanuelmashauri75258 жыл бұрын
Kuhusu kufunikwa sijari na kuhusu #janjaro na #youngd mm ndo mkubwa wao wa Kazi saruti sanaaaaaaaaa mwanza mwanza #youngkillermsodoki kweri ww hunaga swaga kabisa
Alwzyzzz napendaa unachofanyaa broooo ilikee it ujueee mm sinagaa swagaa kbcaaaa aiseeeeeeeeee @youngkiller
@barakashamte60788 жыл бұрын
he he he "mkinijibu mademu zangu na mkiniacha mnaniogopa". hatariii, nice brah
@RICHARDCHALAMILA8 жыл бұрын
Wakuache YOUNG KILLER MSODOKI...Umemaliza kabisa... wewe sio Young mwenye ALOSTO na Dona zake.
@inosentigeradi21746 жыл бұрын
MNYARU TV vp
@goodluckymartin3348 жыл бұрын
Kwa uwezooo.nilisawashindaaakwaa uwezooo nimewazidiiiii
@Kisalaurenceramson8 ай бұрын
7 years tuko hapa bado na hit hii 2024 msodokii🙌✊
@UndersqoMuzik8 жыл бұрын
Moja safi jembe langu...ujue pia me sinaga swagga kabisa
@isackmwanjala82488 жыл бұрын
Gabbuh Underscore nakubaliii
@jeremiahmajoh45126 жыл бұрын
Nkbl sanat
@saulmwakyusa10018 жыл бұрын
Umetisha sana mkali nakuelewa eti _kuhusu kufunikwa cwazi / kuhusu janjaro na young d mm ndo mkubwa wao wa kazi nasema mwenye killer zake / cyo young thug wala young mwenye alost na Dona zake / noma sana
@besternmasatu94808 жыл бұрын
asee iko kazi kwelikweli...kijana this is fire..umeonyesha real hip hop ability
@andrewnyambega55908 жыл бұрын
we msenge...hapa umeimba....hip hop nikujigamba
@rdcongoproduction87967 жыл бұрын
Kuhusu kufunika siwazi kuhusu young d na janjaroo mi ndo mkubwa wao wa kazi. Ma dogo tumewasifia kukimbia mpaka wame pita kwao
@hassanmurhabazi3666 жыл бұрын
ww ni mkongomani
@enosymsigwa12826 жыл бұрын
RDCONGO Production S
@theafricanprincevivecongo86325 жыл бұрын
Mtazamo Hmurhabazi yeah🤣
@majaliwasengo14925 жыл бұрын
Waache waone manakwetu visu ndokaziyetu
@bigmasasiisack44188 жыл бұрын
tumekuerewa Sana watoto WA joji from Rock city wambie wajipange ushamba wao wasiulete pwani ozaa kalibu igoma aiseee
@tifuwastani97398 жыл бұрын
Safi sana sasa hapa ndo umesimama kama young killer msodoki
@doctorxaleh51638 жыл бұрын
dah ngoma kali sana media should give more airtime maana ni bonge la hits 2017..hongera sana young mwenye killer zake..t's me kutoka nguruka kigoma saleh
@abrarashid9758 жыл бұрын
nakubali sana kazi njema hewa chafu unakimbia km huna mapafu msodokiiii
@shabanaman46608 жыл бұрын
umenikera kumdis jo mdogo wangu but poa ndoo Mziki
@titusmbzo68888 жыл бұрын
Umetishaaaaa sanaaaaa ninjaaaaa.kazi nzuri......... HALAFU ...UJUE MI SINAGA SWAGA KABISA 😀😁😁😁😀
@nasrimohamed75568 жыл бұрын
atakae kujibu demu wako na wasipokujibu wanakuogopa.tisha sna babu
@worldstartz8 жыл бұрын
Fresh ila kuhusu #johmakini sija kuelewa kabisa Labda Kama ni kiki za msimu huu wa #muzik
@pictureplugart Жыл бұрын
2023 na bado inafeel very FRESH... APA KUTOKA KENYA..
@mungajoe61297 жыл бұрын
mamae..killer.!!!Noma sana wamepaniki ujue
@jumajasjas29258 жыл бұрын
sio young mwenye alosto na dona zake....
@paulsantana92178 жыл бұрын
young killer unatisha we chaliii
@benjaminijohn49638 жыл бұрын
Dah Bonge la ngoma big up Umetisha sana Kaza Kamba
@eliudedwin34248 жыл бұрын
ahhhh umewasifu kukimbia wamepatita kwao
@timothmwakakusyu45638 жыл бұрын
dogo unatisha sana nitafute nikupatie zawadi yako aisee. simba mtambue yanga ndo mabingwa ukinijibu tu we demu wangu wa mbagala
@allymlimbo96067 жыл бұрын
Nakubar sana mwanang killer"
@shaphyvuai68058 жыл бұрын
daaaah yani cpati picha kabisa big up big up xana xana keep it goin on salute Ndimian
@mnyiraboyyahaya15558 жыл бұрын
yeye mwenyewe anajua kuwa fans wanasema ana bebwana ndomana kuna mistar aliwahi kusema hiv naandikiwa na niki sijui hiyo kalamu jo naandikiaga biki jaman yy mwenyewe anajua watu wana sema anabebwa kilarrrrr wape zaooooooo
@MatelakaMk6 ай бұрын
Oyaaae killer hii ngoma moto
@willsonsaid69768 жыл бұрын
brother Young very nice song..( mtuakifanikiwa akipigiwa simu hapokei simu)
@DAVIDTIMOTHEE-b3r16 күн бұрын
Young killer msodoki
@josphatmwania5800 Жыл бұрын
Baada ya Rostam na Fid Q namkubali Msodoki kama rapper mkali East Africa.
@HassanMkwachuhassaguy8 жыл бұрын
safiiii saaana msodokiiii umeumiza saana hii ngoma
@agustintibeita64298 жыл бұрын
tisha sana brother msodoki
@niceliving89378 жыл бұрын
doooh baba kazin kaamua kutema sumu
@kelvin_papaa_ya_warembo83138 жыл бұрын
mziki mzuri,,alf ile mizigo jangwan imelala kwny magazet ni baraaaa
@fredhezron6016 жыл бұрын
Kelvin_Papaa_Ya_Warembo poa
@charlesbrown93298 жыл бұрын
Aise kaka umetisha sanaaa big up njoo fanya shoo arusha babaaaaa
@mustaphmakunganya98216 жыл бұрын
Hujawahi kukosea ww kwenye tasnia ya music yaan ww👉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@songombingo56898 жыл бұрын
booonge langoma hatari sana toka mwanza mm dude bway toka mwanza ndio nyamanoro
@martin_mjb39178 жыл бұрын
naona mnahongwa simu mnataka na Vocha hahaaha...kazi nzuri siku zote
@kizajr92646 жыл бұрын
dawa hiki hingiya vizuri basi na hongeza doz
@justinbenard22628 жыл бұрын
kazi nzuri brother big up ' MUNGU abariki kazi ya mikono yako
@annkassa40008 жыл бұрын
Wakweli wachache kweli we killer
@sadammkalipa75947 жыл бұрын
wanamuita yong mwny killer zke..... nakubali kaka
@ernestmethord33328 жыл бұрын
Ni noma sana mshkaji wangu @youngkillamsodoki
@reubenkissinga38388 жыл бұрын
wanyooshee broo hamna namna gud job asee
@peterndirangu58076 жыл бұрын
kipaji ulipewa na mungu. kali sanaaaaaaaaa!!
@JacksonMsodoki-vo1wq Жыл бұрын
Mayoung wote mnabidi mrespect kwa killer anawanyoosha sana
@loloamondi18694 жыл бұрын
Napenda Hii song
@hassansimon14294 жыл бұрын
Same
@omidopatrick90294 ай бұрын
yangu hio 100k bro hongera 254
@misholisamwel84888 жыл бұрын
Hii ndio kiboko yaoooo ni vumbi tuuu...brother salut
@belindajoshua26008 жыл бұрын
asante Young killer ngoma Kali sana mno
@tuntugoogle66418 жыл бұрын
Safii....wachane wachumba hao kwenye game bado wadogo
@cheradkourydiawa79312 жыл бұрын
This is good music Big up from Pointe-Noire, Congo Brazzaville !!
@milestz41406 жыл бұрын
Kipaji nilichopewa na mungu
@1stladyafrica4027 жыл бұрын
Dogo uko vizuri me napenda sana mashairi yako
@vincentmasalu89228 жыл бұрын
dawa ya moto ni moto dawa ya pesa kazi kazi. Boom🔥🔥🔥🔥
@stevetoocool28808 жыл бұрын
killer umeamua umetishaaaaa
@KUMSENGA2 жыл бұрын
Namkubali sana msodoki
@ezekieledson5027 жыл бұрын
,,,,aminiaaa,,,,,young,,,,,, wa kuwaua,,,,,!!!
@moudyramacare72568 жыл бұрын
ujue mm sinaga swagga kabsa
@geofreylucas94694 жыл бұрын
Product kali sana toka lunduno
@youngdesignertz69598 жыл бұрын
nakukubali sana bro ila matusi na majungu ayajengi fanya kazi bro thats all by young designer from rockcity mwanza nakuja bro kukupa changmoto soon
@daudikenethaidani77807 жыл бұрын
Young Designer Tz killah unatisha,, nakukubali,,kwa hip pop,, uko juu, na wasikulinganishe na hao madogo,,wewe unachana kiukwel,unatufanya mashabik wa hip pop,tuendelee kuinjoy muzik wako,, nikikusikiliza unavyochana yani kama vile namsikiliza Nas,Escobar,,big up young killer
@Ramadhankimbe44883 жыл бұрын
Sema jamaa anajua Sana bac tu
@kambonamajaliwa46777 жыл бұрын
killer noma mjomba wanachukia mpaka utani
@alfredalmhejr55517 жыл бұрын
Chuki ni umaskini inapotosha ila kwenye group la fake rapers hadmin hawezi kuwa ngosha du young we ni noma sana