MSOMI WA PhD AFUNGUKA KILICHOMKUTA MPAKA KUAMUA KUOKOKA-''HATA MLEVI ANAMUHITAJI YESU'' | Hard Talk

  Рет қаралды 30,884

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

MSOMI WA PhD AFUNGUKA KILICHOMKUTA MPAKA KUAMUA KUOKOKA-''HATA MLEVI ANAMUHITAJI YESU'' | Hard Talk
#HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK ##HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK #HARDTALK
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 155
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
Wafia dini leo mapovu yatawatoka lakini hamuwezi badilisha ukwel ,mtatukana lakin mjue Yesu kristo ndio njia ya kweli na uzima
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Hakuna njia utakayoipata labda ya shaitwani. Na ndio mana unavishwa uchi nankubandikishwa manywele na makuche ukawakatie mauno kanisani/kwenye jumba lao mashaitwani. Mana Yesu halijui kanisa.
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 11 ай бұрын
@@Fear_Allah394 Mavazi yenu hayo mnayojivuna nayo hatawapeleka mbinguni,,,,Njia Ni Moja tu MKIRI YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO ,OKOKA NA UMCHE MUNGU KATIKA ROHO NA KWELi,,,Najua huwezi kukubali sanasana utatukana lakini hata hivo haitakusaidia ,,
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
@@womanofsteel1402. Na km na kwenda uchi/vimini kutakupeleka mbinguni Bi Maryam mngemuona Anachongewa masanamu na kubandikwa mapicha yake na kimini. Huezi kua msafi halafu nje ukawa mchafu wa mavazi. Ndio mana mnajikuta ni kawaida kwenu kuziniwa mpaka mkazeeka ndio mkaolewa.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
@@womanofsteel1402 . Nyie makafiri kila kitu mnajifichia kwenye Chaka la ati mnatukanwa. Kwani uongo hamuingii makanisani uchi, na manywele ya kubandika na mikuche??? Si kila siku mnapigiwa kelele na baadhi ya wachungaji wenu??? Akisema muisilam mnatukanwa??? Yesu hajawa muokozi wako wala yyte soma usilimu usijipumbaze akili.
@benyavan5774
@benyavan5774 Жыл бұрын
Huyu jamaa bonge la Muongo Mungu akikutoa huko huwezi kuwa mlokole hizi ni story za kutunga
@shammhagama2527
@shammhagama2527 Жыл бұрын
Semeni mnavyosema, tukaneni tuuuu, bado Yesu ni MWAMBA anaweza kuwabadilisha hata nyie mnao mnenea mabaya huyu baba, Global TV Mungu azidi kuwainua
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Yesu gani??? Labda shaitwani kamtoa kwenye ushirikina wa kuabudu mashaitwani/majini na mizimu kamleta kwenye kuabudu mtu. Awavalisheni vimini, makuche ya kubandika na manywele akakuchezesheni mauno kanisani.
@shammhagama2527
@shammhagama2527 11 ай бұрын
@@Fear_Allah394 Tukanaa mpaka utoke majipu ya mdomo Mwamba ni mmoja tu. JESUS IS THE KING OF KINGS.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
@@shammhagama2527 Nyie akili zenu zishazama kwenye kufru na ndio mana mkifumbuliwa macho mnaona mnatukanwa. Mwamba gani na imani yako unaamini alitundikwa akagongomelewa misumari na aliowaumba???😂
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Jesus is Lord. Kila got litapigwa na kila ulimi lazima ukiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana kwa utukufu wa Mungu. Bila Yesu hakuna paradise.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Tupe Andiko tusibitishe kauli yako
@rebeccamafita3395
@rebeccamafita3395 Жыл бұрын
Aminaaa kubwaa ni kwel kabisa kuongezea YESU NI MUNGU ni mwanzo na mwishooo
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@rebeccamafita3395 nipe andiko wapi yesu kasema yeye mungu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@rebeccamafita3395 Yohana 8 40 Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. lbrahimu hakufanya hivyo. Yesu mwenyewe kasema yeye mtu aw yesu anasema uwongo wewe ndio unasema kweli
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@rebeccamafita3395 Luka 2 21 Hata zilipotumia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu; kama alivyoitwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba. Hivi mungu gani anatahiriwa jamani
@romanarosemedard2551
@romanarosemedard2551 Жыл бұрын
Njaa imemleta ktk ukristo Upo wa baada ya kutoka mbezi mwisho kwenye kanisa la mabatiii Mmh! Dunia hadaa ....
@likeleshungu9159
@likeleshungu9159 Жыл бұрын
Yaani nilishafika mbezi kanisa la mabati ukijua kudanganya weka kumbukumbu
@abuuazhar3738
@abuuazhar3738 Жыл бұрын
Wakristo wa makanisa haya ya kupiga kelele huwa wana maigizo sana. Anyway Allah atawaongoza siku moja.
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Kupiga kelele kwa Mola wao ni better kuliko kupiga kelele club na mashetani.
@IntelligentCreatures
@IntelligentCreatures Жыл бұрын
Who is Allah?
@Naw89
@Naw89 Жыл бұрын
​ Allah ni mmoja aliyeumba mbingu na ardhi na vilivyomo Halali wala hasinzii Yesu ni mtume wake nae alilala kwenye boti
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Mara wanamleta kilema na alokufa wanamfufua😂😂😂
@shammhagama2527
@shammhagama2527 Жыл бұрын
Global TV Mungu awabariki
@KilindonikilindoniPwani-gq9ll
@KilindonikilindoniPwani-gq9ll Жыл бұрын
Watu waongo sana
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
GLOBAL TUITIENI MAZINGE AU MWAIPOPO TUTAJUA NANI ANA PHD 😭😭😭😭😭WAGALATIA HOYEEEEE
@evachuwa3809
@evachuwa3809 Жыл бұрын
Duh hii Dunia hatari na nusu
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
aleluyaaaaaaaaa
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 Жыл бұрын
Unafiki tu😢
@mpendaamannyeho3818
@mpendaamannyeho3818 Жыл бұрын
Mungu akiamua jambo hashindwi huyo bwana hela anauwezo wa kuziita lakini leo kaamua kumquat mungu tumwombe sana mungu wrtu yesu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Usitudanganye hapa! Kaona uganga hauna pesa km uchungaji. Na ndio mna anakuanzieni na maoza Oza anajua makafiri mnapenda sna ushirikina mtajaa tu kanisani na vimini vyenu na manywele yenu ya kubandika na mikuche akuchezesheni viuno??? Muendeleze ushaitwani
@charlesmsengi332
@charlesmsengi332 Жыл бұрын
Pole na hongera mkt wangu wa umoja wa wasukuma duniani ni Mimi mkt wako kutoka tanga
@hildachipalo208
@hildachipalo208 Жыл бұрын
Si auanzishe TV yako tuu mama,, marafiki zako wana rafiki wa faida
@aliemdogo
@aliemdogo Жыл бұрын
Wanafunguka sanatu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Inalillahi wsinailahi rajuun kwwri Dunia ya mwisho inavioja ,, nani eti mtume. Naiyadhubill
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Жыл бұрын
Subhanna allah
@joshmsojo3069
@joshmsojo3069 Жыл бұрын
Leo nimegundua kuna baadhi ya watu wanataka kuonekana wasafi kwa imani yao wanaoiamini, mtu akiongea uongo acha pita hivi Mungu atamuhukumu maana kuna watu wengi wamepona pale wewe unapoona uongo. Mungu awabariki sisi tumejifunza
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Ukiona hivyo ujue ndio wana uthibitisho na ww onyesha yako wapi Yesu anaposema ni Mungu???
@user-kk1nf1wc1f
@user-kk1nf1wc1f Жыл бұрын
Part 2 plzzzz
@ireneswai9156
@ireneswai9156 Жыл бұрын
Grory to Almighty Greaty GOD
@imma_billy
@imma_billy Жыл бұрын
This man 😳😳😳😳 I don’t want peace 🙆🏽‍♂️
@IAM_GAUCHO
@IAM_GAUCHO 11 ай бұрын
Duh! Watanzania mmezidi yani mnampa mtu kama huyu platform kubwa kama hii??? Mtu muongo kupitiliza hata maneno anayozungumza hajui
@omaryabduli7328
@omaryabduli7328 Жыл бұрын
"kwani mkiambiwa uchawi mnaelewaje"
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Жыл бұрын
Yani bible na huyu Bwana YESU nivitu vitashuhudiwa kwa uzuri na uwaninifu mkubwa, oh Shalom 🙏
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Kwani biblia ni kitabu cha nani aw kaja nacho nabi gani mbona yesu kaja na injili biblia imetoka wapi
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 Жыл бұрын
​@@alzawahirabdallah2299 Ukiwa na Roho mtakatifu ndio utajua vitu hivyo vyote.Ila utapata taaabu saana .Abudu unachokiabudu ipo siku utafunguliwa macho ya Rohoni upate kufahamu, tena kabla siku zakozijaahisha.Amina
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@andrewmhagama9816 Ufunuo Wa Yohana 2 12 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili, 13 Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@andrewmhagama9816 unalo andiko lolote linalo sema biblia kitabu cha nani na kaja nacho nabi gani
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@andrewmhagama9816 Hosea 9 7 Siku za kupatilizwa zimekuja, siku za kulipa zimefika; Israeli atayajua hayo; huyo nabii ni mpumbavu, huyo mtu mwenye roho ana wazimu; kwa sababu ya wingi wa uovu wako, na kwa sababu uadui umekuwa mkubwa Mimi siwezi kuwa mpumbavu biblia imesema mwenye roho ni mpumbavu hapo ndipo mnapo jifichia mkibanwa mnasema mpo kiroho
@abdirazak1503
@abdirazak1503 Жыл бұрын
Hahahah hii ni mpuuzi 😂😂😂
@wsws998
@wsws998 Жыл бұрын
Mkubali mkatae shahuri yenu!!!... YESU ni BWANA wa MABWANA
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Жыл бұрын
Yesu ni Mungu mwenye nguvu
@wsws998
@wsws998 Жыл бұрын
@@odhiaodhia9898 Amen Amen Amen
@Naw89
@Naw89 Жыл бұрын
Mwenyew Yesu hawatambui ni muislamu safi kabisa na alikua akiingia katika masinagogi na tafsir ya sinagogi ni msikiti wa Wayahudi Someni Biblia yenu msingoje kusomewa
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Жыл бұрын
@@Naw89 Yesu ni Mungu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
@@odhiaodhia9898. Asingetundikwa na aliowaumba.
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Mbona mzungu 😂😂😂😂sio kweli mmmh 😂😂😂😂😂. Hhhh baba weee umenichekeshaa😂😂😂nasikia aibu
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf Жыл бұрын
Genuine believer couldn't change his faith
@henrysizya239
@henrysizya239 Жыл бұрын
If that the case why Muslims celebrate when people from other religion covert to Islam?
@Harrison-zh9sb
@Harrison-zh9sb Жыл бұрын
Kuamini majini
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
@@Harrison-zh9sbNdio majini wapo na wameumbwa tunaamini hayo lkn hatuwaabudu km nyie wanaokuvalisheni uchi na kukubandikisheni makuche na manywele mkenda kuwakatia mauno kanisani😂😂😂
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
😂😂 Alijisomea akawamzungu. Ongela. Sasa mbona imejirudisha kuwakama Rami😂
@hopesengo6972
@hopesengo6972 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Kũna siku nilikuwa pwani ilikuwa kama saa tano usiku ,nikashika fimbo kutaka kumpika paka jamaa,mmoja akaniambia hũkũ pwani paka hawapigwi
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Жыл бұрын
😢
@rajabodhuman1300
@rajabodhuman1300 Жыл бұрын
Nnataka nifaate nyayo zako ili namimi niweze kuokoka shekh wangu mpendwa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hahahaaa
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Hakuna kuokoga duniani kuokoga siku ya mwisho duniani hakuna kuokoga
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 Жыл бұрын
😂😂😂 unataka ukawapige hela nn sheykh wangu maana hawa hawahoji bali wao ni kufurahi tu mtu kuwa mkristo mwenzao
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@hamisimkoma7380 ukitaka uwachune wakiristo upige pesa mapema na magari na majumba uwambiye wakiristo nilikuwa shekhe hapo ohoo sasa imekuwa mchezo wao
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
​@@sabihaibrahim143😂😂😂 yani wakiristo watu wa ajabuajabu wanapendakudanganywasana
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Uyu mnafiki akuna muislam wa kweli anae badili dini kua mkristo, yaani story zake za uongo, njaa inamsumbua
@petermwaibofu7580
@petermwaibofu7580 Жыл бұрын
Kweli, wapo wakristo wa kwfli wanaobadili dini kuwa waislamu, muhamadi oyeee! He was violency military leader
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
@@petermwaibofu7580 una sera, angalia ulaya kila ck wanaingia uislam, uyo c unamuona anatafuta kiki eti aligeuka paka
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
⁠@@petermwaibofu7580 Violence??? Km unaitumia akili yako utabaini kua hakua na violence yyte Bali alikua anajihami. Tabia zenu mpaka Leo hii hamujaacha ya kuua, kuvuruga miji ya watu na kupora! Mlikutana na m’me alokua akitoeni mafua na in shaa Allah mtapapatq na wengine ili muache ufisadi ktk dunia.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
DUH HUYU JAMAA AKIENDA CHADEMA ANGEKUWA BONGE LA STAR KUSHINDA LEMA NA LISU 🇨🇦🇨🇦🇨🇦CANADA HOYEEEEEE😢😢😢😢😢😢
@johntendwa7856
@johntendwa7856 Жыл бұрын
Inawezekana nawe ni mchawi au agent wa shetani, kinachokuumiza ni Nini?
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@johntendwa7856 NIKO NA HOLY GHOST 😜😜😜😜
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Жыл бұрын
​@@OmmyJames-xn7jikwani unateseka?
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@begukulemosobe9685 NOOOOOOOO IAM KOOL 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿AND HAPPY 😃
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@begukulemosobe9685 NAJARIBU KUELIMISHA WAGALATIA WACHACHE AMBAO SIO OPEN MINDED 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿WAACHE UDINI NA UKABILA NA CHUKI NA WIVU 🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵❤️❤️ITS CALLED VOLUNTARY JOB
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
THANKS GOD FOR ISLAM❤️❤️SEVEN YEARS PLS JAMANI WAGALATIA KUWENI OPEN MINDED HII SASA NI ZAIDI YA CHADEMA 😢😢😢😢
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Waache wapotezewe mda wao na matapeli tu baada ya kuutafuta ukweli wenyewe.
@rajabodhuman1300
@rajabodhuman1300 Жыл бұрын
Shekh abuubakar wee umesoma wapi kwa shekh nani
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Mpuuzi njaa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Umeonaee atuambie juyu kafili jaruo hilo
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 Жыл бұрын
😂😂😂😂sikilizen ktk utapeli wenye hela na unaoweza kuwatepeli wanaopinga utapeli ni kuwwkeza ktk kujenga makanisa na kuajiri wasanii....ili kupiga hela ....kwann huko ni rahisi kupiga hela....kwasababu asilimia 99% ya wakristo hawajahifadhi biblia na wanasikiliza maneno ya viongozi wao 100% kuliko ya kwenye biblia😂😂😂 ..Wajinga hawaamshwi
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Na hata wakitaka kuihifadhi hawawezi mana Allah tayari ameshavifuta vitabu walivyovifanyiq ufisadi na kuleta chenye haq na ubainisho wa uongo wao.
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Жыл бұрын
Jesus is Lord 🙏🙏🙏
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hahahaaa wakiristo munatapeliwa si haba
@johngerald4677
@johngerald4677 Жыл бұрын
Ata sisi tunataka kutapeliwa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@johngerald4677 ndio hivo na mimi nakuja kuchuma huko karibuni
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
@@sabihaibrahim143😂😂😂 Makafiri wanapenda ushirikina sana na matapeli washawasoma. Hapo Ana target ya kua mchungaji. Kwahio anajifanya kutoa ushuhuda wa maajabu ili akianza kazi yake ya uchungaji wamiminike😂😂😂
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 ай бұрын
@@Fear_Allah394 hahahaaa
@kyalagwamaka1550
@kyalagwamaka1550 Жыл бұрын
Asnte Mungu nimezaliwa mkristo natambua Agano jipya la ukomboz wa Yesu kristo kila nnachotaka natamka damu ya Yesu tofaut na wenzetu kumbe ni hadi wawe paka wakamate watu misukule waloge ndio wafanikiwe asnte sana mwenzao umetupa siri zenu 😂😂😂😂
@khalimahema6931
@khalimahema6931 Жыл бұрын
Acha hzoo wewe ata hao wenye dini nyingine pia wanafanikiwa
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Anakudanganyeni na nyie kwa kua ni wavivu wa kutafuta elimu mnamuamini. Acheni uvivu mtachomwq moto kwa uvivu.
@fatumamonero6088
@fatumamonero6088 Жыл бұрын
Hovyoo
@Naw89
@Naw89 Жыл бұрын
Dada Lilian hayo maneno unayo ongea tuambie maana yake
@titomathiastitomathias593
@titomathiastitomathias593 Жыл бұрын
Maneno yake hayana ukweli wowote mfano anasema akawa mzungu na kingereza alikuwa hakijui na huku ana PhD
@subiraukindo954
@subiraukindo954 Жыл бұрын
Duh muongo huyuu😂😂😂
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Tapeli huyo
@aliemdogo
@aliemdogo Жыл бұрын
Haya kwakuamin huo uongo
@chamaibra5966
@chamaibra5966 Жыл бұрын
Msomi wa PhD anaongea upuuzi mtupu mtu anageuka paka lana ya mungu iwe juu yake
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂jamanii
@elizabethwanjiku7831
@elizabethwanjiku7831 8 ай бұрын
Hiyo Pete yake hainifurahishi.
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
PhD yako imesaidiaje jamii
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Kageuka mzungu😂😂😂
@priscasaid4600
@priscasaid4600 Жыл бұрын
Huyu muongoo
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Жыл бұрын
Ana ongea via ku ogopesha sindio ? 😅
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 Жыл бұрын
Mwongo huyo,kaamua kubadilisha gia angani ili apige pesa
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Huyo Ana target ya uchungaji apige pesa.
@abdirazak1503
@abdirazak1503 Жыл бұрын
Ilaa lilyan unakotafuta uislama utapata
@namangabruno-xh3kp
@namangabruno-xh3kp 4 ай бұрын
Anabadilika huyoooo
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
NYIE GLOBAL MMEANZA UTAPELI!!KWENYE UISILAM HATUNA MASHEIKH WAJINGA HIVYO!! KAMA NI SHEIKH ALISOMA KWA SHEIKH GANI? WAISLAM HAWATAPELEWI KIRAHISI HIVYO!!
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Mfatilie historia yake mbn ipo mtandaoni mm nimemsikia tokea kitambo sana
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
ANGEPIGWA BAKORA MPAKA AKOJOE MUSLIM hawana mchezo kwenye imani yao
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 Жыл бұрын
Acheni kelele, huyu kafanya maamuzi ya maana sana. Kubalini kataeni Yesu ni BWANA na kila goti litapigwa kwake
@designdesign4426
@designdesign4426 9 ай бұрын
Eeee hii sasa kubwa kuliko ebu mnapoongopa muwe mnajua kua watu sio wajinga, kajigeuza kua mzungu?Acha ujinga na unene wako mwisho wasiku unajiita prophet na waumini unapata dah
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Ww fillmasson wanaotumia no 666. Uruminat wwe laanatullah
@benyavan5774
@benyavan5774 Жыл бұрын
Muongo muongo muongo muongo muongo anataufa waumini tu
@nguvuyamungutv984
@nguvuyamungutv984 Жыл бұрын
Wasiojua hayo ya ulimwengu wa Roho , kaeni kwa kutulia siku yakikukuta utaelewa tu
@azzanalkhatry4625
@azzanalkhatry4625 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji hajui nn anafanya
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Watakuja watakaotukana... ni hiari yake, hakutenda kosa lolote..katiba inamlinda
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Fungu la kumi nalitaka
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 Hahaha amekwenda kuchuma fungu la kumi. Hapo anafanya matangazo
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@josephlorri431 ndioo tunawajua etii lakini wakiristo wepesi kwani lazima anayefata dini ajipigishe kelele mitandaoni oo nilikuwa shekh yanini baki na imani yako fanya ibada lakini hee kuomba omba tu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
@@sabihaibrahim143Wanafanya hvo kwa sabbu wanawajua kua makafiri wamekaririshwq makanisani na wachungaji wao kua waisilam wanafuga majini. Na wao makafiri wanapenda sana ushirikina. Kwahio wakisikiq muisilam na wanaamini kua mfugq majini wanajazana makanisani. Na huyo mzee target yake ni kua na kanisa kujifanya mchungaji awatapeli.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 ай бұрын
@@Fear_Allah394 hahahaaa kesho atafungua kanisa
@hamisimahenge5807
@hamisimahenge5807 Жыл бұрын
Hopeless kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!, Guys!!!!, Eti ajisomee Dua then abadilike kuwa mzungu!!!!!. This man is big Liar!!!!!
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Ninyi subirini mito ya ulevi na wanawake mabikra 70 wongo mtupu na mwisho siku kama huna Yesu ni jehanum moja kwa Moja.
@tihobestltd8582
@tihobestltd8582 Жыл бұрын
PhD kweli. Okoka sasa uwe mwongofu munyofu wa moyo. Uijue kweli nayo kweli itakuweka kuwa huru. Kwa maneno haya bado unamtumikia yule mwovu na malaika zake.
@hamimumlindwa3244
@hamimumlindwa3244 Жыл бұрын
Matapeli watupu
@mudydimoso6559
@mudydimoso6559 Жыл бұрын
😂mwamba akawa mdhungu 😂😂
@faridamohamed3561
@faridamohamed3561 11 ай бұрын
😂😂😂
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Just wasted my time for this. Shindwe kabisa. Nonsense
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 9 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
#LIVE: UBAYA UBWELA | SIMBA WEEK BONANZA
Simba SC Tanzania
Рет қаралды 50
28 JULY 2024 PRAISE & WORSHIP SERVICE
Dar es Salaam Pentecostal church
Рет қаралды 30
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН