Acheni ubishi sianaongea anayoyajua yeye sio mnayoyajua nyinyi sasa mnambishia mlikuaga nae akiwa anayafanya hayo, Mungu awabariki sana watu wa Mungu hakika Yesu ni mkuu sana
@Ayyub_Semtawa Жыл бұрын
Mathayo 24:24 Maana watatokea Kina Kristo wa uongo na Manabii wa uongo na watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa Mungu Ndugu zangu wakristo msiamini kila ushuhuda mnaousikia Quran 24:21 Enyi mlio amini! Msizifuate nyayo za Shet'ani. Na atakaye fuata nyayo za Shet'ani basi yeye huamrisha machafu na maovu. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu na rehema yake juu yenu, asingeli takasika miongoni mwenu kabisa hata mmoja. Lakini Mwenyezi Mungu humtakasa amtakaye, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. ...................... Hakika dhambi kubwa kuliko zote katika Uislamu ni dhambi ya ushirikina
@godwingwalugano22716 ай бұрын
Elimu zilizofanana ukipata shuhuda ya mwingine hazitofauti kwenye kumeza picha hapo... Hata Sheikh Omary alizungumzia kwa kilefu mno
@rebeccamafita3395 Жыл бұрын
Hapo MWANAMUME WA WANAUME YESUUUUU jina lipitalo majina yoteee Ukiltamko kila kitu kinafyata mkia
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Come ooooooooooooooon my sister.....lazima wachawi waganga na mapepo yakae
@salemmwakibinga8107 Жыл бұрын
Ameen
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Ndiomana tunaambiwa tusitamani vitu vya watu, huwezi jua wamevipateje?
@MartinyMaryogo-nt6xg Жыл бұрын
una akili sana km mm, hapo ndo hata mm niligundua ndo maan MUNGU alkataa tusitaman, mali, mke, mjakaz, mwanapunda, na vngine vyote, kumbe lengo ni hilo ucje taman kumbe wataman visivyo, unataman hata majin
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Huyu usimlete tena kwetu Lilian.,hana jipya tapeli kama matapeli wengine tu.
@dottomccraney5485 Жыл бұрын
Gamboshi ni mwanza sio shinyanga na uchawii wa Gamboshi ni wa matunguli sio wa kitabu . Huyu ana kaa uongo ,
@leonardjackson269 Жыл бұрын
Ni shinyanga mbon ipo
@TwaibaKifigisa-w9c Жыл бұрын
Eti kuna sula flani,hhhhhh huyu ni muongo
@subiraukindo954 Жыл бұрын
Mhhh sijawah sikia kuna ubani mascati kweri mhhh
@d15355 Жыл бұрын
Huyu muongo hapo ndipo utakapojua kua hana lolote kazi kutafuta wajinga wawe wafuasi wake awaibie tu ndio dili zao hizo Wagalatia kesho mtasikia kaanzisha kanisa
@ziddyziddy2524 Жыл бұрын
Ubani Mashtaka upo sio mascat
@d15355 Жыл бұрын
Tatizo ni lafdhi na tone huna kaka ya kiislam, yako ya huko Mbeya sio ya kwetu huku,tafta wengine huwadanganye sio mie, hii inaonesha kuwa wewe ni mkristo wa kuzaliwa hujawahi kuishi kama muislam
@TwaibaKifigisa-w9c Жыл бұрын
Yaani wanalazimisha kua uchawi ni wa waislam 😂😂😂anashikilia sula,aliyesoma hawezi sema sula ni sura yaani anajaribu kuongopa fala huyu
@d15355 Жыл бұрын
@@TwaibaKifigisa-w9c hawana jipya sasa hili ni libaba lizima yaani huwezi amini linakuja kuongea uongo tu halafu nyumbani lina familia na watu wanamwita baba
@hassanhancha1413 Жыл бұрын
Dada Lilian napenda kipindi chako lkn now a days naona kama kinabadilika na kuwa kipindi cha kidini zaidi
@marrypius576 Жыл бұрын
Umeshaanza majungu maan ninyi hamchelewag😂😂😂😂
@d15355 Жыл бұрын
KAFIRI NI KAFIRI TU LAZMA ATAMSAPOTI KAFIRI MWENZAKE
@marrypius576 Жыл бұрын
@@d15355 niwe kafiri niwe kitu gani ila ninachojua wew huwez hat kuumba kidole na hun mamlaka yeyote yakumwongelea mtu na imani yake na kuhukumu na ukion mtu anakukera tupishe basiiii
@d15355 Жыл бұрын
@@marrypius576 nenda zako kule
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
@@d15355 haleluyaaaaaaaaaa
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343 Жыл бұрын
Hv mdomo wa huyu dada umepinda au pozi?
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
Wakwako upoje?
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343 Жыл бұрын
@@zawadichalale4047 wala si kwa ubaya kama ameumbwa hivo its ok, ila kama ni pozi aaache
@pricemlay Жыл бұрын
Mpendwa huyu dada ana vitu vingi Sana vizuri vya kuona na kumsikia kutoka kwake jaribu kuona hivyo . Ana ngozi nzuri sauti nzuri urefu mzuri umbo zuri NK.Mwombe Mungu Neema ya kuona Mazuri Kwa wengine itakusaidia Sana
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343 Жыл бұрын
@@pricemlay nimekuwa muwazi , nimeuliza sijawa mnafiki na sio mnafiki. Sina maana sijaona mazuri, nimeyaona ila hilo nikaona linatia dosari
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Weweee dear no mshukuru Mu gu na kuombea wengine
@maspro6294 Жыл бұрын
Wewe muongo sana na taperi kama matapri mengine majambazi
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Amen.
@mariamsalim9311 Жыл бұрын
Muongo wahed
@rosehaule6765 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@rayisadesigns2646 Жыл бұрын
KAKA PITA ACHA UONGO UGALI HAUTAFUTWI HIVYO, UTAUMBUKA!!