Asante sana mtumishi,somo limenibariki sanaaa.uwe unatupia jpo hata namba ya kutoa shukrani zetu maana kuna watu tunafaidi sana huduma hii lakin hatujui gharama zinazotumika maana hata shillingi sijawahi changia
@zakariajoel39944 жыл бұрын
Somo zuri pastor, ila utuletee na hill la addiction mana wengine tushaathiriwa na vitu ambavyo tulizania vinaondoa stress,na kuacha inakuwa tatizo
@jansogads84864 жыл бұрын
Tangu nianze kutazama pst. Mbaaga kwa ukweli nimebarikiwa. Asante sana. Mie natazama kutoka kisumu kenya
@joycemugaka30392 жыл бұрын
Asante sana mungu awabariki Kwa hili somo limenisaidia juu mm ni mmoja wao ni na hiyo shida na imeletwa ma mdozi wa ngu uarabuni ,leo nimepata dawa kutokana somo hili
@benjaminmasurura74294 жыл бұрын
Asante sana pastor mepata somo hili kwa muda muafaka ambapo nipo katikati ya msongo Barikiwa Mungu aendelee kukutumia kama apendavyo
@elizabethgodfreytondo30522 жыл бұрын
Pastor ili somo limenifungua haswa kwenye jicho kucheza tena la chini kibongo tunasema utalia utapata jambo baya.Mungu akubariki Pastor kwa somo hili yani nakuelewa sana
@neemamarwa17833 жыл бұрын
Barikiwa Sana mchungaji,nimejifunza mengi katika hili somo
@Vel424 жыл бұрын
Niombee pastor hata mm niliishi kwa ndoa yenye ilinipa chronic stress lakini MUNGU alinisaidia nkatoka kwa hiyo ndoa na imagine nimerudi normal,lakini uniombee juu nataka kupata the right person.Hii ndoa nilisumbuka miaka yote niliishi nayo.Niombee pls pastor.Asante kwa fundisho nzuri.
@mariammulinga9782 Жыл бұрын
Asante sana pastor kwa mafundisho
@ndayishimiyeriziki86964 жыл бұрын
Mungu atusahidie kwa kweli ,tunashukuru kwa mafundisho ubarikiwe mushungaji
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Amen asante sana naamini Mwenyezi Mungu atanisaidia kudhibithi msongo maana mimi Ni mhadhiriwa kabisa Mungu awabariki
@jacquelinebyaombe97293 жыл бұрын
Amen sana mchungaji namm ninge homba nihongeye naww angalau
@BethLameck-sc9py Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@otiliahaule51804 жыл бұрын
A meeni nimebarikiwa sana nasomo lahili lakuhusu msongo mimi huwanapenda kuimba nza tenzi zarohoni nakupenda sana wimbo Ewe roho wambinguni
@floraabiero88764 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji kwa Somo zuri nimebarikiwa na pia nimepata namna ya kuanza kuondoa Msongo.
@estaelinazi31454 жыл бұрын
Pr Barikiwa kwa kujali Asante Sana masomo mazur
@floraharchie60382 жыл бұрын
Nimepanda sana Somo hili
@niyonizigiyekarithas47104 жыл бұрын
Sister Nema feza pole😍😍😀 ila wewe usiwe unawaza sana.so sad 😪😢😂 uwe unaimba sana song of GOD or music 🎶 hasa tafuta watumishi wa MUNGU wa kuombee dada. Niliyapitia huku AMERICA. Pia tafuta friends wa zuri ao Family muongee muchekeee. Kidogo kidogo utapona in JESUS name Amen. 💝💙💖🏠🏡🌄💜
@sahmtabuk94634 жыл бұрын
Asatii pastor kua funzo mm aki nilipata uclers nilikua high school form two ndo nilijua now nko na ten years saa cjui ilisabisha nn kua tumbo ju tumbo uniuma Sanaa ikianza nikipendah hospital wanasema hkn ugonjwa but tumbo iko shida Sana inaniuma ayo ni mazongo ama nn ju Ata Sai inauma naelekea kumaliza week
@janetfrancis71804 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri Mchungaji Mmbaga
@rhinakiza4 жыл бұрын
Amen 🙏 Asante pastor kwa mafundisho mazuri 👏👏👏
@janesimonrupia27414 жыл бұрын
Asante sana kwa kweli nimebarikiwa sana .Bwana awabariki.
@TarusOdroeid4 жыл бұрын
Great lesson.ubarikiwe
@snapkingtv67934 жыл бұрын
Nahitaji msaada zaidi naomba no za Dr mbaga
@esthermrambamramba15704 жыл бұрын
Pastor Mungu akubariki sana
@raziastanley34294 жыл бұрын
Yaan Mungu atusaidieje sana
@esternaftari45534 жыл бұрын
Mim niliish pitia msongo mkubw sana zaid ya miak 5 hapo silali chakul hakipiti nikazeek gafra nilikataa kwenda hospital kwa sabab nilijua nijarib nilimlilia Mungu hadi ninavyoongea Niko hur Mungu ni mwem san
@dianamhanila51874 жыл бұрын
Amen
@nacksuma2263 Жыл бұрын
Nisaidie
@bettymosha884 жыл бұрын
Mchungaji nashkuru Sana Mimi ninatatizo Hilo nitafwatilia hiyo tiba
@happinessahia5434 жыл бұрын
Pastor nakukunali.Mungu azidi kukuinua
@joycekerenge3605 Жыл бұрын
🙌🙌
@florashirima12243 жыл бұрын
Anima.nimejifuza asant
@judithmakoye65924 жыл бұрын
Amina pastor nakuelewa nazidi kupona
@nacksuma2263 Жыл бұрын
Nipe mbinu
@edinaclemence89774 жыл бұрын
Amina.
@magynzioka11223 жыл бұрын
Somo zuri🙏🙏🙏🙏
@eutropiangido96844 жыл бұрын
Asanteni sana.
@mn94844 жыл бұрын
Tumwambie Yesu shida zetu.
@lilianissa9114 жыл бұрын
Amen
@daudinyaruhucha62004 жыл бұрын
Nimebarikiwa sasa mchungaji
@rosemutinda30764 жыл бұрын
Pastor nikitumia simu naskia kuumwa na kichwa na macho😔😔inaweza kuwa shinda ni nini. Umembarikiwa kuwa kama daktari
@joycenahimana60794 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@esthermrambamramba15704 жыл бұрын
Umekua doctor wangu kwa hili somo haki mawazo yamenisonga sana lkn leo nashukuru sanaa
@nacksuma2263 Жыл бұрын
Estar niambie basi
@claudinebatamuriza78044 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@pendomsulwa58064 жыл бұрын
mungu akubaliki sana maana hii naipitia sana nitajitaid nifate tiba yako balikiwa pastor
@themsemajiwafamilia99204 жыл бұрын
Ai see mimi mmenisaidia sana mchungaji duuuh tumbo huwa linalia chaaaaaaaaaaaaa kama kisu kimepita kwa utumbo
@alexmhema65664 жыл бұрын
Ni yoeli 3:10
@upendoeliudi51964 жыл бұрын
Niathari gani anazo pata mtu ambae anatumia sana sim mpaka anapitiliza mda wa kulala
@everlyneiminza57224 жыл бұрын
Mimi kumbe ninyingi tu basi, kama nikukula makucha nimezikula adi nyama, kama nikutingika kwa misuli huwa zinatingika usingizi hauji kukumba vitu nilipitia yani Mungu anisaidie tu sana,
@nacksuma2263 Жыл бұрын
Na mm pia hivyohivyo
@preachertvonline35514 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@jescajames18363 жыл бұрын
Napenda xana kuxikiriza sana nabarikiwa sana MUNGU akupe maisha marefu
@mn94844 жыл бұрын
Ilibidi ni google mdalasini kwa Kiingereza
@maryamsaid83333 жыл бұрын
kwani stress zasababisha deep breath
@sahmtabuk94634 жыл бұрын
Nimetumiwa kila Aina ya dawa za kienyeji hospital but hkn result ya kupona
@ahabuzacharia4894 жыл бұрын
Hiyo video naiona kama vile kaka tuchat ya rostama.