MT. ALOYCE GONZAGA YOMBO KIWALANI - UKRISTO NI ZAWADI na Mtunzi Boniface Mlula (Official Video)

  Рет қаралды 3,389

Kwaya Ya Mt.Aloyce Gonzaga-Kiwalani

Kwaya Ya Mt.Aloyce Gonzaga-Kiwalani

15 күн бұрын

Huu Ni Wimbo Maalumu Kwa Wakristo Wote, Wimbo Ambao Unatukumbusha Sisi Wakristo Wote Kwanza Kujivunia Ukristo Wetu Kwani Ni Zawadi Ambayo Mungu Mwenyewe Ametupa, Lakini Pia Tuache Kutangatanga Kutafuta Miujiza.
KWAYA: MT. ALOYCE GONZAGA YOMBO KIWALANI
WIMBO: UKRISTO NI ZAWADI
MTUNZI: BONIFACE MLULA
MWAKA: 2024
AUDIO AND VIDEO: NEW HOPE PRODUCTION

Пікірлер: 46
@justinekwavava5138
@justinekwavava5138 11 күн бұрын
Hongereni aisee mnajua
@samwelmyovela2906
@samwelmyovela2906 12 күн бұрын
Tudumu kusali na kuomba❤❤❤
@martinahElias
@martinahElias 11 күн бұрын
Hongereni sanaa wapendwa katika kristo,mmeimbaaaa 🎉
@margrethmrema2442
@margrethmrema2442 13 күн бұрын
Waooo, wimbo mtamu umeimbwa kwa vituo. Asante kwa kutukumbusha thamani ya tulichonacho na wajibu wetu katika imani hususani kuwatunza watawa ambao mara nyingi tunawasahau.
@franciskigodi9566
@franciskigodi9566 10 күн бұрын
Hakika ukristo nizawadi kuujua huo ni mpaka uwe na utulivu
@CostantineMaungo
@CostantineMaungo 11 күн бұрын
Kazi nzur
@JudithShijamnyamwezi
@JudithShijamnyamwezi 12 күн бұрын
HONGERENI SANA WIMBO NI MZURI SAN🎉🎉🎉
@PaulinaMapunda
@PaulinaMapunda 13 күн бұрын
Nimeipenda hiyo
@PaulinaMapunda
@PaulinaMapunda 13 күн бұрын
Nimeipenda hiyoo
@pancrasndunguru1282
@pancrasndunguru1282 13 күн бұрын
Kazi nzuri mno.
@ROSALIAVENANT-nu4en
@ROSALIAVENANT-nu4en 13 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥 Hapo kwenye kuwatunza watawa na mapadri wetu nakazia. Hongereni sana wapendwa
@JudithShijamnyamwezi
@JudithShijamnyamwezi 12 күн бұрын
HONGERENI SANA
@ferdinandikubila3669
@ferdinandikubila3669 12 күн бұрын
Hongereni sana kwa nyimbo nzuri
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani 9 күн бұрын
Asante Sana
@innocenthawanga8032
@innocenthawanga8032 11 күн бұрын
Congratulations on your beautiful singing from kenya🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani 9 күн бұрын
Thank you so much!!
@CastoryMlula
@CastoryMlula 13 күн бұрын
MUNGU mwema
@JosephinaChikawe
@JosephinaChikawe 10 күн бұрын
Hongera mwalimu kazi nzur
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani 9 күн бұрын
Asante
@ERICKMBUGI-z1b
@ERICKMBUGI-z1b 12 күн бұрын
Mbarikiwe sana kwa zawadi ya wimbo mzuri namna hii. Hongereni pia kwa majitoleo yenu ya utume huu wa uimbaji. Nimebarikiwa sana, ama hakika Ukristo ni Zawadi 🔥🔥
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani 11 күн бұрын
Asante Sana, Endelea Kubarikiwa..
@BahatiBahatichisi-ee7zy
@BahatiBahatichisi-ee7zy 11 күн бұрын
Hongereni kazi nzur sana
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani 9 күн бұрын
Asante Sana
@scholasticamagesa-yh8cz
@scholasticamagesa-yh8cz 11 күн бұрын
Ongeren sana
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani 11 күн бұрын
Asante Sana
@maggiemsunga-rn3ry
@maggiemsunga-rn3ry 9 күн бұрын
Hongereni wana Gonzaga hakika wimbo umefana,
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani 7 күн бұрын
Asante
@Alson-m2g
@Alson-m2g 6 күн бұрын
Hongeren
@hildakweka4382
@hildakweka4382 13 күн бұрын
Hongereni. Wangu utume wenu uendelee hata Kwa mataofa yote
@pauljosephmalongo4793
@pauljosephmalongo4793 13 күн бұрын
Ahsante sana
@eliachale
@eliachale 13 күн бұрын
Ongereni sana ndugu zangu kazi umesimama, utume mwema
@pauljosephmalongo4793
@pauljosephmalongo4793 13 күн бұрын
Shukran sana
@DjTijay254
@DjTijay254 10 сағат бұрын
❤❤❤ kazi njema
@judithnzisa-ii7kg
@judithnzisa-ii7kg 6 күн бұрын
Hakika ukristo ni zawadi bila Roho Mtakatifu huwezi
@sostenesadriano1807
@sostenesadriano1807 13 күн бұрын
Kazi Nzuri Wana Gonzaga, Hakika Ukristu Ni Zawadi..
@andalusianandy
@andalusianandy 9 күн бұрын
Hongereni sana
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani 9 күн бұрын
Asante Sana
@HappyNkwabi-nj9ey
@HappyNkwabi-nj9ey 7 күн бұрын
❤❤❤ Mungu awe nanyi katika utume mko vzri sana
@tadeijustine2000
@tadeijustine2000 9 күн бұрын
hongereni kwa kazi nzuri wapendwa
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani 7 күн бұрын
Asante
@mkohoexperience7322
@mkohoexperience7322 13 күн бұрын
Amina
@pauljosephmalongo4793
@pauljosephmalongo4793 13 күн бұрын
Ukristo ni Zawadi nasi tulio ndani tuutunze na tuudumishe milele Amina.
@julyvictorvictor
@julyvictorvictor 7 күн бұрын
hongereni sana❤
@user-bh7nb2kn5o
@user-bh7nb2kn5o 7 күн бұрын
Hivi ukitaka maombii si saw
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani
@st_aloyce_gonzaga_kiwalani 7 күн бұрын
Maombi Yapi...
@laurentlugema593
@laurentlugema593 8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MT. ALOYCE GONZAGA YOMBO KIWALANI - ASANTE MUNGU na Mtunzi Dalmatias P F G (Official Video)
6:58
Kwaya Ya Mt.Aloyce Gonzaga-Kiwalani
Рет қаралды 3,4 М.
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 24 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 40 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,8 МЛН
WANIJUA -| KWAYA YA MT MARTIN DE PORRES | SAUT - MWANZA
4:10
St. Martin De porres Choir - SAUT MWANZA
Рет қаралды 16 М.
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 255 М.
MUNGU UINULIWE - St Joseph Choir Sakina - Aurusha
6:23
St. Joseph Choir
Рет қаралды 3,2 М.
OBONGI NA NKEMBO
6:16
JOSIANE NSIMBA - Topic
Рет қаралды 19 М.
Vaileth Mwaisumo - Piga picha (Official Music Video)
4:57
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 24 М.
Bahati Bukuku - Sitaki Tulaumiane (Official Music Video)
8:48
Bahati Bukuku
Рет қаралды 1,1 МЛН
NI SHANGWE~(OFFICIAL VIDEO)  KWAYA YA MT MARIA DE MATTIAS MIVUMONI-BY A.CHIDUO
8:17
Mt Maria De Mattias Kwaya Mivumoni
Рет қаралды 3,2 М.
MKAZAE MATUNDA MEMA | Ray Ufunguo | (Official Video)
9:11
St. Paul's Students Choir University of Nairobi
Рет қаралды 524 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 2,5 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 24 МЛН