Рет қаралды 8,480
Familia Bora hujengwa kwa ndoa Bora. Ndoa ili iwe Bora, wanandoa wanahitaji wakati wa kukaa pamoja na kujadiliana mambo kuhusu ndoa yao.
Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi ilishiriki hafla ya chakula cha Jioni pamoja na wanandoa, iliyofanyika katika Hotel ya Blue pearl Jijini Dar es salaam.
Karibu uwatazame wakiimba Mubashara Jukwaani