Serikali na wadau mmepambana sana kuokoa uhai wa wahanga wa ajali hii. Mbarikiwe,tusaidieni kuokoa ndg zetu. Wameteseka mno jamani tunawaomba tena. Pia mtangulizeni Mungu awaelekeze kule walipofukiwa.😢😢😢😢 Wanaumia,wamekosa tumaini jamani hawajala chakula. Wasaidieni. Tunamshukuru MUNGU na Government yetu kwa jitihada za hali ya juu.
@NeemaDotto-d1b9 күн бұрын
Kwaili na ipenda sana serikali yangu mungu awabaliki na watu ote mnao pambana mungu aenderee kuwapa nguvu
@HamisiMama8 күн бұрын
Mungu you pamoja nasi
@WeremaMakuli10 күн бұрын
Poleni sana Kwa wote tulio guswa na hili tukio waokoaji endeleeni na majukum ya kuokoa mungu awe pamoja nanyi
@AishaHamnza10 күн бұрын
Allah awafanyie wepesi waokoaji pamoja na watanzania wote katika kipindi hichi kigumu
@BaruaniBakari10 күн бұрын
Mwenyezimungu awa Sadie ndugu zetu wapone na mungu aijalie selekali.yetu ya Tanzania 🇹🇿 kwa juhudi.iliyo jitolea
@latwibujuma10 күн бұрын
Eeeh Mungu watoe viumbe vyako katika hili janga wakiwa hai na salama 😭😭😭😭
@Suzanapaskoqnkn10 күн бұрын
chini wapo wengi jamani mungu wasaidie wakutwe hai❤❤❤❤❤
@N0RBETHMPOLOSI10 күн бұрын
Mungu wasaidie ndg zang waliomo ndan watoke salama wote wakiwa hai
@FranciscaNzoka-c3t10 күн бұрын
Poleni sana mungu awape ngufu na awashindanie🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BetinambeLewis1210 күн бұрын
Atleast inatia moyo jaman wanajitahid kufanya kaz yao mengine tumuachie Mungu
@AndulHida-hs5py10 күн бұрын
Mola awasaidie, ndugu wote waliokutwa na janga hili, waliokufa yarabi waridhie, na waliopata majeraha mola awaponye haraka inshaallah
@mandajamaly484310 күн бұрын
Poleni nakazi ila mtazamo wangu wapambanie chini kule ndio wengi wapo bado naiman wako hai huko juuu ilikuwa kazi ya siku wakisha okolewa 🙏🙏🙏
@AishaAisha-q4t10 күн бұрын
Kweli kabisa ishu chini
@florencemeza654010 күн бұрын
Mungu wetu wape nguvu waokoaji na wanaokolewa baba hujawahi kushindwa tumekuomba
@MohamediKalanje10 күн бұрын
Ni kweli chini kuna wengi sana kuliko juu
@SofiaMsulwa10 күн бұрын
Mungu wajalie vimbe vyako
@AishaJuma-wd8xd10 күн бұрын
Naipenda nchi yangu tunaumoja
@ZulphaMsangi-s9g10 күн бұрын
Asante Mungu
@aliciamwalimu58210 күн бұрын
Duuuuuuuh mungu awabariki sana waokoaji👏👏
@maryamabdallah314010 күн бұрын
Mungu afanye njia pasipo na njia In Shaa Allah😢
@EdithaMichael-j9r10 күн бұрын
Ee Mungu sisi binadamu hatuwezi bila ww tuongoze pia watie nguvu ndungu zetu wape pumzi watoke hai
@ZenaZena-vx2ee10 күн бұрын
Mungu awarinde nakuwarinda waokoaji
@Carolina-sm5zt10 күн бұрын
Asante Mungu kwa akili na maarifa uliyo wajalia waokoaji hawa
@Suzanapaskoqnkn10 күн бұрын
china jamani chini huko wapo wenzety 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭🌹🌹🌹
@TheodoraAnatory8 күн бұрын
Hiki ni kipimo cha serikali namna inavyoweza kuwaokoa wananchi wake wanapopatwa majanga, YETU MACHO ngoja tuwapime.
@YasserSuleiman-s5y8 күн бұрын
Nikwel kaz ningumu ila mpo slow sana inakuwa kama tunafanya shooting jaman watanzania
@MwanaidiTwaha-my6mz10 күн бұрын
Mungu awabariki jamani
@WeremaMakuli10 күн бұрын
Poleni sana Kwa wote tukio guswa na hili tukio
@WeremaMakuli10 күн бұрын
Poleni sana Kwa wote tukio guswa na hili tukio waokoaji pambaneni mungu awalinde
@patriciacarlo723610 күн бұрын
Utasema ni muvi,jamani😭😭😭💔🙏
@swabialli85428 күн бұрын
Mbona wametumia midaa mwingi kujifungua
@ZahorSalum-h9q10 күн бұрын
Sasa tunaenda kufeli watu wapo chini wao wanapita juu Yamabatii jmn😢😢😢
@BonnyMwajombe-iu7hb10 күн бұрын
Duuh yaan hata mimi nimeshangaa sana
@EmanuelRyoba10 күн бұрын
Kumbukeni hilo ni ghorofa huwez Anza kutoka chini maana litaporomoka zaidi
@SurprisedFullMoon-gg9vu10 күн бұрын
Hii akili au matope"kwa Hy wanaanzia juu ndo Kuna watuu?@@EmanuelRyoba
@fadhiliakida860910 күн бұрын
Kupitia chini ni kuzua majanga mengine, hao wana vyeti vya masuala ya uokoaji, au na wewe una cheri?
@gadafimasoud31010 күн бұрын
Kinachofanyika hapo.. nikutafuta namna ya kuwafikia wahanga ambao wamekwama kwenye floor za kati ,au kitaalam tunaita high and low angle rescue
@raphaelrwakimwaga799510 күн бұрын
Dah watu wamefukiwa chini wao wako juu hv n vtuko vya mwaka
@DorothMlaponi10 күн бұрын
Hao ni wataalam tusiwakatishe tamaa hujui wana lengo gani kuanzia huko juu
@ezekielmubofu23410 күн бұрын
Nakiri kabisa bila hiyo sauti ya uyo mtangazaji nisingeelewa kabisa waokoaji walikua wanataka kufanya nini
@CharlesElias-zh5hz10 күн бұрын
Selikal iwekeze kwenye mafunzo ya uokoaji. Kuchana bat tu nusu saa. Hata chensoo hauji kuishika. Hayo ni madhara ya ajira mtoto wa ba mdogo.
@newzon530010 күн бұрын
MBONA TUNATUMIA MITAMBO SEHEM YA KUTUMIA NGUVUUU
@grationkato765810 күн бұрын
Unajua maana ya mtambo
@joshuanassary507210 күн бұрын
Mbona umekuja jion sana wajameni
@anithawidambe754310 күн бұрын
MUNGU TUNAOMBA WASAIDIE HAO WAJERUHI WAPONE NA WALIOBAKI WATOKE SALAMA AMINA
@abubakarjuma44310 күн бұрын
Walikua ju wanaanguka na gorofa Niko juu vp ten wazima wapo chini ila Wacha tuone mungu ni mwema
@setiseti528110 күн бұрын
Inauma sana
@EliasGaramathoya10 күн бұрын
Mtambo mukubwa lakini umechelewa
@NtamamiloGibson10 күн бұрын
Halafu unasikia mking na mpumbavu mmoja anasema kuna uzembe wakati watu wako wanaoa mbana kila sekunde.
@NaziruIddy10 күн бұрын
Juu ya bati kuna nn jaman
@MohammedMaulana-m2t10 күн бұрын
Kwanini msichimbe chini mkatoboa mkawatowa watu
@OswardMadege-gd7yo10 күн бұрын
Serikali ibarikiwe kwa mmefanya ubinadamu mno kuokoa watu
@SurprisedFullMoon-gg9vu10 күн бұрын
Hamna kitu hapooo"watu wamefunikwa wenyw wanapnda juu
@Saida-b9v10 күн бұрын
Sasa juu wanatafuta nn jamn mbona wanapoteza mda tu watu wapo chin wanazidi kuumia
@songombingo10810 күн бұрын
Watu wamefukiwa chini. Wao wanavunja mabati angani.😢😢
@aishajuma1810 күн бұрын
Wakitumia nguvu kubomoa hapo watawafukia wote waliobaki
@EmanuelRyoba10 күн бұрын
Hayo mambo yanahitaji akili zaidi na siyo papara
@SurprisedFullMoon-gg9vu10 күн бұрын
@@EmanuelRyobahamna kitu hapoo
@Olsabo10 күн бұрын
@@SurprisedFullMoon-gg9vu Elimika usiwe msomi ilo jengo wakifukua chini linashuka zaidi na ao ndugu wote waliobakia watafukiwa wote ko njia pekee ni kutokea juu na kutoboa taratibu kwenda chini ili kutozisumbua nguzo za chini zilizoshikilia icho kifusi chote
@AnneyAnold10 күн бұрын
𝖲𝖺𝗌𝖺 𝗎𝗅𝗂𝗍𝖺𝗄𝖺 𝗐𝖺𝗏𝗎𝗇𝗃𝖾 𝖼𝗁𝗂𝗇𝗂 𝗂𝗅𝗂 𝗐𝖺𝗐𝖺𝖿𝗎𝗄𝗂𝖾
@samuelimshiu643010 күн бұрын
Sasa naomba mamlaka husika waweke utaratibu wa kukagua Majengo yaliyopo katikati ya Miji, hasa yale ya muda mrefu na wachukue hatua, siyo kusubiri madhara na mnajua kuokoa hamuwezi, mfano mzuri ile ya pricision air mpaka Watu wanakufa, japo waokoaji wanajitahidi lakini vifaa vya maana hakuna kama hapo ilifaa kuwe na vifaa heavy duty na Creda zipo kibao hapa mjini tatizo ni nini?????
@BonnyMwajombe-iu7hb10 күн бұрын
Yaani ukisikia upumbavu ndo huu tunaoshuhudia watu wapo chini kule sasa ju ya paa wanatafuta kunguru au?
@SurprisedFullMoon-gg9vu10 күн бұрын
😂😂😂😂 hapa hamna waokoajii"ety zoez la uokoaji linaendelea vizur'
@francisdeomassawe630710 күн бұрын
Ivi mtu2 anapatje md wakurekodi??
@niwaelmburuja205610 күн бұрын
Wengi hatujaelewa kuwa tuna jeshi la zimamoto na uokoaji. Ni mahiri katika kuzima moto na kuokoa, sio kuzima moto peke yake.
@ZainabuHassani-fe8ur10 күн бұрын
😢Watu wapo chini juu wanatafta nn
@NemaAli-zh6hr10 күн бұрын
Tulia ujui kitu
@AishaAisha-q4t10 күн бұрын
@@NemaAli-zh6hrkweli watu wapo chini
@babuloliondo7410 күн бұрын
Wanachekeshatu watu wapo chini yakifusi waowapojuu paa
@SihabaAbdallah-li6dx10 күн бұрын
Mhhh nenda we bab hemm siku moja shusha kifusi kwenye nyumba Yako halafu ukiangalia kilivo kikoje
@SihabaAbdallah-li6dx10 күн бұрын
Halafu tia pauro ulizamishe mpaka choni
@zepinashatibu514910 күн бұрын
Watoe hizo bati
@NgoshaZedonny10 күн бұрын
Aiseee watu wapo juu au chini mbona sielewiii huko juu wanafanya nn? Tafuteni mtambo wa kuingilia chini sio juu watu wanakufa kwa uzembee iv kwa namna hyo mtafika chin lini?
@NemessSkawa10 күн бұрын
Sasa uko juu mnafata nn
@samirmohhamed10 күн бұрын
😢😢😢
@SurprisedFullMoon-gg9vu10 күн бұрын
Tanzania tunapotezaga watu kwa ajili ya uzembe"na hata hii shule haitusaidii chochote"watu wamefunikwa af mnapanda juu ya mabati ili tuone mna pambana au
@Mahene-w1l10 күн бұрын
We jamaa hii kazi ikienda harak unajua wote ealiobaki
@JackisonJonasi10 күн бұрын
Vip
@Hakuzwe10 күн бұрын
Sasa ingelikywa DRC awawatu hawangelitoka Asante Tanzania ,inchi nzuri najuta kuzaliwa Congo.
@LatifaCharles10 күн бұрын
Omba uraia tz ndugu
@MshoboziNdaula-f3l10 күн бұрын
Mshukuru Mungu kwa kila jambo, hakika Mungu kukuweka hapo kunakitu unatakiwa wew ukifanye kwa ajiri ya Congo ili kubadilisha io Hali unayoichukia na Mpe Mungu utukufu.
@5googleuuu72710 күн бұрын
@@MshoboziNdaula-f3lamiiina
@user-cd1pi9mw4m10 күн бұрын
Jana walikuwa wap kufanya ivyo
@AllyHamran10 күн бұрын
Hatuna jambo sie siku inaenda ya 3 ukimaiza usiku huu bado mnazunguka apoao ilo jengo 1 je 7 sisi tupo nyuma sanna sanna sanna.