#PART1

  Рет қаралды 399,389

Global TV  Online

Global TV Online

11 ай бұрын

#PART1: SIMULIZI ya KIJANA YASSIN ALIYESINGIZIWA KUMBAKA BOSS WAKE na KUFUNGWA JELA MIAKA 30....
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 138
@globaltv_online
@globaltv_online 11 ай бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@Sesy717
@Sesy717 8 ай бұрын
O
@Sesy717
@Sesy717 8 ай бұрын
😅
@SecretariatMihake
@SecretariatMihake 3 ай бұрын
@YohanaKitundu-dg5hs
@YohanaKitundu-dg5hs 2 ай бұрын
Mal
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 9 ай бұрын
Watu Wana roho mbaya sana.. Wote walio shughurika kuwakandamiza watu kuanzia leo.. Naomba mungu andaa adhabu juu yao
@user-cr7xy6tw5j
@user-cr7xy6tw5j 9 ай бұрын
Duuuuuh pole sana mwanangu mombe mungu usikate tamaa kumuomba mungu kila siku muombe mungu
@maimunahemedi6491
@maimunahemedi6491 11 ай бұрын
Assalam aleikum, dua aliyoomba itamlipua siku moja, kwa sababu kamfanya mwenyezi mungu kuwa shahidi wa uongo wake
@farajasallah2338
@farajasallah2338 11 ай бұрын
Watoto wetu wa kiume wanapitia sana, Mungu awasaidie, nimeumia sana
@user-uk7or9bd9x
@user-uk7or9bd9x 6 ай бұрын
Pole sana na izi kazi selikali muwe nazo makini sana mana wengi wapo jela kwa kesi zakusingiziwa
@WigiberthiMutahaba
@WigiberthiMutahaba 3 ай бұрын
Pol xan kaka ang hao walio kufanyia hv watapew adhab na mwenyenz mung pole xan dady❤,,
@JumanneRashid-kr2nv
@JumanneRashid-kr2nv 10 ай бұрын
Sio haki ata mungu apendi mtu mzima Ivo unabakwa vp mungu akulaani sana
@AishaOmary-fl8qo
@AishaOmary-fl8qo 3 ай бұрын
Mwenye kusubiri yupo na mungu Allah akufungulie rizki zako kaka
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 11 ай бұрын
Huyo mama ana dhambi kubwa sana,na wote wanaoshiriki dhambi hz mmelaaniw nyie na vizazi vyenu,maana mwenye pesa ananunua haki ila Mungu yupo hakimu wa haki.
@tumainimalulu7708
@tumainimalulu7708 3 ай бұрын
Hii ni tabia ya wanawake sis hangi kwa hili. Ila natamani kuja kumfundisha adabu mwanamke mmoja.
@RashidThabite
@RashidThabite 3 ай бұрын
Umetoa radhi nzito sana mama
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 3 ай бұрын
@@RashidThabite inaumiza sana ndugu yangu vaa kiatu cha huyu ndugu ndo utajua aliumia kiasi gani,alikuwa kesha potea tayari
@Anoldi-yj7mf
@Anoldi-yj7mf 2 ай бұрын
Muombe mungu sana maana hakuna kisicho na mwisho amini Mungu yupo majaribu nimtaji
@user-ip7rq4ro9w
@user-ip7rq4ro9w 5 ай бұрын
Pole sana kk 'ngumu ile natokeya congo gm
@priscamagambo5320
@priscamagambo5320 3 ай бұрын
Yani mpaka nashindwa niandike Nini,Ila Mungu ni hakimu wa haki,pole sana
@MohamedAly-zp3zh
@MohamedAly-zp3zh 5 ай бұрын
Duniani watu wana mazonge Allah atufanyie wepesi, nimeshaona interview moja ya huyu jamaa kafanya Mbengo TV imeruka Julai, 2021 anajitambulisha kwa mtangazaji kuwa ni mzaliwa wa Bagamoyo Mapinga na alikua akiishi na huyo mama kinondoni... kwenye hii amezaliwa Kilwa na anaishi Chamazi inatia ukakasi kidogo kama mtu anataka kusadia lakini maelezo yako tofauti inatia shaka.
@VeronicaMarsel
@VeronicaMarsel 7 ай бұрын
Pole Sana chaliingu mungu atalipa
@zawadimapumba7557
@zawadimapumba7557 5 ай бұрын
Enyi matajili msiwatese wafanyakazi wenu maliulizonazo ni uwezo mungu😂inaumiza sana
@user-dm5hq4jf1s
@user-dm5hq4jf1s 11 ай бұрын
Pole sana
@user-gu6wg6jp5n
@user-gu6wg6jp5n 9 ай бұрын
Najuta mimi kusikiliza huu mkasa😭😭😭😭roho inaniuma jaman me watoto wangu wakiume tupu daah😭😭😭pole sanaa home boy Mungu ni mwema
@KiZoMidundo
@KiZoMidundo 8 ай бұрын
Inasiktsha
@sayeedbinazan
@sayeedbinazan 3 ай бұрын
Ila yote tisa, Vitimbi vya wanawake ni vikubwa sana. Anaweza Akakusingizia kitu na dunia nzima ikaamini.Mungu Awaongoze Ndugu zetu hawa.
@user-fl3tj2tp3e
@user-fl3tj2tp3e 10 ай бұрын
Duuuh hyo mama mungu anamuona ipo cku2 mungu atakulipa
@AwzaMstafa
@AwzaMstafa 2 ай бұрын
Pole sana mdogo wangu
@Ibrahim21784
@Ibrahim21784 10 ай бұрын
eh 🇰🇪 Kenya watu wana soma bakaaa from 4 na hakuna kazi
@PAUlWEKESA-de6tb
@PAUlWEKESA-de6tb 9 ай бұрын
Pole sana brother yangu
@user-bg2rp2gd3t
@user-bg2rp2gd3t 3 ай бұрын
Pole sana mwenyenzim atamlahani huyo mama
@user-ux2xo5sl3c
@user-ux2xo5sl3c 10 ай бұрын
Mungu amlaani huyo. Afanyae dhambi bia kumuogopa mungu
@AdrianNtarambe
@AdrianNtarambe 2 ай бұрын
Aisee
@rubenimajura
@rubenimajura 11 ай бұрын
Pole kaka
@allandavid870
@allandavid870 11 ай бұрын
Global mnahitaji kuji evaluate story zenu, most of the time mnaleta story zenye kutia shaka sana kama hii. Maelezo anayotoa anajichanganya sana
@globaltv_online
@globaltv_online 11 ай бұрын
Inatia shaka kwa maelezo yapi? Isitoshe hujasikiliza part two, unafikia conclusion story inatia shaka kwa kigezo kipi?
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 11 ай бұрын
Siku hizi kuna story za kutungwa ili kupata watazamaji au wafatiliaji wa vipindi vyao so chakuambiwa changanya na zako
@user-qs1ii7vq7w
@user-qs1ii7vq7w 5 ай бұрын
Pole Sana kijana!
@user-zd5gd5qd2i
@user-zd5gd5qd2i 7 ай бұрын
Pole sana kijana
@herberthatibu8439
@herberthatibu8439 11 ай бұрын
Hii story inatia mashaka sana, kwanza polisi siyo rahisi kukuweka ndani wakati mlalamikaji hayupo, eti unapelekwa kituoni na watu wengine mlalamikaji atakuja kesho.
@likimaro6
@likimaro6 11 ай бұрын
Polisi ya nchi gani unazungumzia? Ulisikiliza ripoti ya Tume ya Haki Jinai majuzi?
@abdallahmwanga5792
@abdallahmwanga5792 11 ай бұрын
Hayaja kukuta ndugu yangu,ipo siku utajionea mwenyewe... Huyo dogo namjuwa na amepata shida sana kutokana na kifungo hicho,nimemshuhudia huyo dogo akiwa jela...
@ondb.tv593
@ondb.tv593 9 ай бұрын
Mungu atakulipia hapa hapa duniani.
@user-vf8rq5ux6m
@user-vf8rq5ux6m 7 ай бұрын
Pole
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 10 ай бұрын
Dhuluma Kubwaaaaa hii mshitakie Mungu atakulipa. Police wamekula pesa sheria wamchukuwe yule Mama akapimwe nawe upimwe. Wamsoka yote hayo
@user-hc2hb8yi6s
@user-hc2hb8yi6s 9 ай бұрын
Polle kaka lla mungu hajaribiw jibu atapata
@BARIKIELMICHAEL-fc7oh
@BARIKIELMICHAEL-fc7oh 2 ай бұрын
Pole sana kaka
@user-in9cg4pw4o
@user-in9cg4pw4o 4 ай бұрын
Daaah pore sana dogo uyo mama ata azibiwa tu na mungu apa apa duniani
@user-lq9cy3il4o
@user-lq9cy3il4o 8 ай бұрын
Da! Pole
@BenardRamadhan
@BenardRamadhan 8 ай бұрын
Pole san
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 11 ай бұрын
Yaani hapa ndio unapojua kabisa hizi dini zililetwa kwa ajili ya watu kupiga hela tu mtu anahapia hadi na msahafu kwa mambo ya uongo tena bila kuogopa
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 11 ай бұрын
Swala la mtu kuogopa ni jambo jengine na ukweli wa dini ni kitu kingine Kushika msahafu na kuapia kwa jambo la uongo uo ni uamuzi wa mtu Lkn mungu ameahidi kumlipa yule atayeapia uongo "Kwahiyo uyo mama asubiri kitachomkuta "Lkn pia jiulize kama unashangaa uyu mama kushika msahafu ndomana unahisi dini zimeletwa Jiulize kwani vituo vya polisi vimewekwa kwaajili gani ? Jee wahalifu awajui kama vituo vya polisi na mahakama Vipo kwaajili ya wahalifu? Kwanini watu wanafanya uhalifu bila woga wakati wanajua ukifanya uhalifu unakamatwa ? Kwahiyo uyo mama anajua kama mungu yupo lkn ni mhalifu wa kiimani anamcheza shere mungu Inshaallwah kama kweli amefanya hivo atalipwa tu
@user-yp2wk1ic5o
@user-yp2wk1ic5o 6 ай бұрын
pole sàn
@user-cm9uc4fv2n
@user-cm9uc4fv2n 10 ай бұрын
Pole sana uyo mam ana matitz
@user-wb2by4pw9f
@user-wb2by4pw9f 4 ай бұрын
Pole san kaka
@sinyoritamoha1629
@sinyoritamoha1629 11 ай бұрын
😢
@sinyoritamoha1629
@sinyoritamoha1629 11 ай бұрын
Wamatumbi Wapole sana, hawawezi kufanya ujinga, huyo mama yatamkuta makubwa. Nimejiskia vibaya mno, Ila hao wanaoita mchumba nimecheka😂
@Nyaburyaofficial217
@Nyaburyaofficial217 11 ай бұрын
Polle sana Kijana
@hashimmziray7416
@hashimmziray7416 9 ай бұрын
pole saaana dogo .
@safnosmosha
@safnosmosha 11 ай бұрын
So sad
@frankndiga6122
@frankndiga6122 10 ай бұрын
Hiyocm nitaipataje nijulishe
@user-ji6vg2vq4p
@user-ji6vg2vq4p 8 ай бұрын
Pore sana
@JeanIradukunda-qw6eb
@JeanIradukunda-qw6eb 2 ай бұрын
Pore sana kaka yangu
@ESTERMKALI
@ESTERMKALI 2 ай бұрын
3:11
@frankjulius12
@frankjulius12 11 ай бұрын
Part 2 ikowap
@VeronicaMilinga
@VeronicaMilinga Ай бұрын
Yanga usajil 19:02
@OscarOuma-ho6hl
@OscarOuma-ho6hl 6 ай бұрын
Wangepima na kuwa na uhakika kutoka kwa daktari
@user-kg2mw1jl2h
@user-kg2mw1jl2h 8 ай бұрын
Pel❤
@user-rg9ny6ll8o
@user-rg9ny6ll8o 7 ай бұрын
Bv
@user-ol9qh9ro7o
@user-ol9qh9ro7o 7 ай бұрын
Like
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 11 ай бұрын
Kumbukeni WANAWAKE LEO WZNATAKA KEDI NAPESA
@juliuskibaso1976
@juliuskibaso1976 5 ай бұрын
pole sn
@ramadhanmzagira7831
@ramadhanmzagira7831 11 ай бұрын
kamakweli basi makosa yalianza kituo chapolis inatakiwa alie bakwa awepo ili akapimwe kama kafanikisha jambo ilo nasio aende peke yake anaenda na polic wakike
@aboually2472
@aboually2472 3 ай бұрын
Maturubai hyo
@user-ol9qh9ro7o
@user-ol9qh9ro7o 7 ай бұрын
Iike
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 9 ай бұрын
Wewe dada au mama uliye mkandamiza huyu jamaa.. Rana yako hitakuwa mbaya sana kwasababu, huyu jamaa imesha kuwa doha kwake
@AbdiSekarani
@AbdiSekarani 2 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊❤😅😊
@hamisibaharia-bl9og
@hamisibaharia-bl9og 11 ай бұрын
Malipo dunian apa apa mwanang kaza loo2
@user-nv6rz3kd5p
@user-nv6rz3kd5p 4 ай бұрын
Walioko jela wengi wao hawana makosa?
@JamesKisabo
@JamesKisabo 4 ай бұрын
Hata mm lazima nibake kwahali hyo
@MOHAMMEDABDI-lb7yp
@MOHAMMEDABDI-lb7yp 11 ай бұрын
Siku kumi na9 ya nini jamani wakati sheria ni kuka police ni maa saa 24 tu
@user-rg9ny6ll8o
@user-rg9ny6ll8o 7 ай бұрын
.
@user-mp5uq2mb8u
@user-mp5uq2mb8u 9 ай бұрын
Mambo vp pole
@josephatpius5594
@josephatpius5594 10 ай бұрын
Uyo mama in Katie sana kamwalibia maisha kijana
@user-us3sv3pp1t
@user-us3sv3pp1t 9 ай бұрын
Mh inauma
@user-qg8wl2gi2o
@user-qg8wl2gi2o 5 ай бұрын
Mabos wengi wakion hawan Hela ya kumlipa mfanyakaz Wana msingizia mabay
@JumaLichombo-ev9zi
@JumaLichombo-ev9zi 7 ай бұрын
Duuh hyo mam ni hatar pole mwamba
@SalehSalum-ri1jn
@SalehSalum-ri1jn 3 ай бұрын
Loho inauma
@B-horbir
@B-horbir 10 ай бұрын
B-horbir from DRC Congo but muzaliwa wa dar , Tanzania,mimi naona yule mwanamuke hakutakakumulipa kijana pesa aliona afanye mpango iliashie
@user-tb3hb6cm2s
@user-tb3hb6cm2s 9 ай бұрын
Hello, uko Drc sehemu gani please
@utaani1
@utaani1 6 ай бұрын
Ndio hata mimi nadhani ni hivyo hakutaka amlipe akaona apange uwongo huo
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 6 ай бұрын
Yes
@user-yl3be9ix4y
@user-yl3be9ix4y 2 ай бұрын
Mbona uhujasema kama hajakulipa miezi yotehiyo
@AredFered
@AredFered 7 ай бұрын
Dah wafanyakaz kaz tunayo
@SellahMohamed-it7dg
@SellahMohamed-it7dg 6 ай бұрын
Pore Mwanang San
@ferguslyagoda4049
@ferguslyagoda4049 11 ай бұрын
Hii ni kiki?
@cosmasibundala
@cosmasibundala 3 ай бұрын
Mambo vp
@WarwinuKaremeri
@WarwinuKaremeri 2 ай бұрын
Huyo mama ni shetani
@tumainimalulu7708
@tumainimalulu7708 3 ай бұрын
Hivi MUNGU yupo? Kwanini wanyonge na wasio na fedha hudhulumiwa haki zao bila kumwaibisha adhulumuye haki. Mtu anaswali na anasali na anashika kitabu cha Mungu anaapa uongo na Mungu yupo kimya. Hapana kuna kitu natafuta nifanye utafiti kuhusu dini hizi tulizoletewa na wageni.
@BraysonKileo
@BraysonKileo 3 ай бұрын
Daah MUNGU atamwonekanaye
@abdiazizmohamed444
@abdiazizmohamed444 3 ай бұрын
Kwenye interview ingine anasema hapakua na godoto
@abdiazizmohamed444
@abdiazizmohamed444 3 ай бұрын
Yamini ni muongo Kwenye interview ingine amesema vingine hapa anasema vingine
@UswegeRichard
@UswegeRichard 9 ай бұрын
Dah huyu jamaa nilimsikiliza kwenye radio free afrika kipindii cha sintosahau😢😢 dah huyu jamaa kapitia maisha magumu saana❤❤sema mwanangu usikate TAMAAA MUNGU ANAENDELEA KUKU PIGANIA
@LadslausKyandoh-ru1il
@LadslausKyandoh-ru1il 10 ай бұрын
Ooe
@user-tq7xj5tr3k
@user-tq7xj5tr3k 9 ай бұрын
Sipowa
@hashimmziray7416
@hashimmziray7416 9 ай бұрын
ha ha ha eti Mama yako umemuacha kijijini
@JohnKapwaga
@JohnKapwaga 8 ай бұрын
Hahaha jaman hugo mama balaa pole sana mwanaume mwenzangu MUNGU ni mwema hata akina YUSUF walitiwa gerezn na ikawa Waziristan,
@user-lq9cy3il4o
@user-lq9cy3il4o 8 ай бұрын
Da; hatar
@Teddygeorge-ub7su
@Teddygeorge-ub7su 6 ай бұрын
Pesa inawafikisha watu pababaya huyu mama mungu amlaani ingewezekana hii Kes ingeanza upya afu imgeukie Yani mungu amlaani Saba mara sabini!!!!!!!
@user-fi7zr2xy3m
@user-fi7zr2xy3m 5 ай бұрын
Adi ufanyi ivo shida nini, kwa mtoto wa watu
@JamesAndrew-xs5bt
@JamesAndrew-xs5bt 6 ай бұрын
Sema tatizo mabos wengine wanashoboka.
@JumaCharura
@JumaCharura 9 ай бұрын
Dah pol San wem s wot
@user-ss9nr1ol1d
@user-ss9nr1ol1d 9 ай бұрын
Mama uyo ni muchawi kabisaha.uyo.kijana.mtoto.alimubakaje.serkali.yenu.aichunguzi.kitu.mimi.ni.mu.congo.mani.uyomama.wanipe.yeye.nimubake.kabisahaaa.onamakalio.yake.kubwa.kama.makalio.ya.tembo.mungu.ahatakuwaja.katika.dunia.iyi
@user-no2ug6td1c
@user-no2ug6td1c 9 ай бұрын
mama huyo hatauona ufleme wambingu kabisa
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 9 ай бұрын
Ufanye uchunguzi ulipwe fidia
@user-su9lf4lb2v
@user-su9lf4lb2v 8 ай бұрын
Mungu.atasimama.nao Inshalla.watoto.wote
@josphatokongi3361
@josphatokongi3361 5 ай бұрын
God have plan to him
@frankndiga6122
@frankndiga6122 10 ай бұрын
Kweli huyo mama siobinadamu walahanahofuya MUNGU
@MulugaKajana
@MulugaKajana 27 күн бұрын
nataka nyimbo za din
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 11 ай бұрын
Same Yasin kule Mbengo tv kasema mzaliwa wa Bagamoyo, huku mzaliwa wa Kilwa same story same person?
@fatumajumanne198
@fatumajumanne198 11 ай бұрын
🤣🤣🤣
@alasigoodluck9608
@alasigoodluck9608 9 ай бұрын
😂😂😂😂 hii ni Tanzania broh
@ramadhanimaganga8068
@ramadhanimaganga8068 11 ай бұрын
Sio kweli muongo huo mi namjua vizuri
@evensiachitanda5299
@evensiachitanda5299 11 ай бұрын
Pole sana
@NassirMagosso
@NassirMagosso 11 ай бұрын
Ss mkwel nan
@fatumajumanne198
@fatumajumanne198 11 ай бұрын
Ukweli n upi Sasa?
@ayoubjaphet709
@ayoubjaphet709 11 ай бұрын
😂😂du
@idrissamohamed1100
@idrissamohamed1100 11 ай бұрын
Unamjuaje?
@WitnessMmlamba-zx7lc
@WitnessMmlamba-zx7lc 4 ай бұрын
Pole sana
@Shimboy-hl4eg
@Shimboy-hl4eg 9 ай бұрын
Pole bhana hizo changamoto za maisha tu.
@KsmTv-yl5fy
@KsmTv-yl5fy 8 ай бұрын
Pole sana Kaa ,
@JohnsonMpweza
@JohnsonMpweza Ай бұрын
😢
Mpaka Home MAISHA HALISI YA MUIGIZAJI KINGWENDU NYUMBANI KWAKE
18:31
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 27 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 83 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 51 МЛН
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
25:04
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН