Tanzania kuna watu wana Uwezo shida ni Wenye jukukumu la kuwawezesha Vijana. Hongera sana Kijana Mwenzangu. Piga kazi mladi unajitambua Uraia wako. Nimekupenda sana Mdogo wangu Mr Benjamin Sanandas.
@renaldakamugishazeramulake9407 жыл бұрын
Kihanda Tv uraia kautabua je chimbuko la nchi yake wapi?
@kihanda25547 жыл бұрын
Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe ZANZIBAR
@renaldakamugishazeramulake9407 жыл бұрын
Kihanda Tv Zanzibar! kuna nchi inaitwa Zanzibar!
@VincentPancras2 ай бұрын
All I learn from this man my fellow Tanzanian, he is not arrogant and proud of his achievemts! He is humble and calm! This man is the definition of patriotism!
@ogunyamarwa72153 жыл бұрын
I appreciate this mAn with all his speech🇹🇿See you if God wishes
@suphianmohammed33953 жыл бұрын
Ok br thanks for give out a person like Benjamin Fernandez 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@rosenamilia41407 жыл бұрын
Akili, ujasiri wa kutaka kuthubutu ndo umekufanya uwe hapo ulipo kijana. Keep it up.
@johnchoma25227 жыл бұрын
You are a really good young man you have made Tanzania great and proud
@michaeldaniel46337 жыл бұрын
THE SON OF APOSTLE FERNANDES AT AGAPE TELEVISION (ATN). GOOD WORK BROTHER, GOD BE WITH YOU.
@lucymbaza2127 жыл бұрын
hongera sana kijana pia huna maringo mungu akubariki sana akupe umri mrefu
@reggy3377 жыл бұрын
Wooooooooooooooooowwww😍😍😍😍😍😍😍你真的太棒了。 Hongera
@gaudenciamwanjoba99147 жыл бұрын
very smart bro. unaipenda nchi yko Tanzania
@renaldakamugishazeramulake9407 жыл бұрын
GAUDENCIA MWANJOBA Tanzania hatuna kizazi cha kiharabu wala kihindi . ni raia wa mabara ya eshia mwenye pasport ya Tanzania. ndio maana Zanzibar wanatusumbua waafrika waliwakaribisha ona wanavotusumbua. hata kiswahili cha.mkoa gani.
@Gemjvisualmedia7 жыл бұрын
fuatilia vizuri uzaliwa wake ndio utajua ukweli
@gaudenciamwanjoba99147 жыл бұрын
Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe
@gaudenciamwanjoba99147 жыл бұрын
Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe kweli kabisa ndugu yangu. ila unatuhamasisha vjana tusikate tamaaa
@kenyomarion56057 жыл бұрын
hongera sana Benjamin..unaipenda nchi yako sana.
@kelvingipson36837 жыл бұрын
good man l like person like you masomo mema kaka pambana
@juliuskalawa82627 жыл бұрын
Daaah aisee nazid kupata unique ways za kupata mafanikio kutokana na mahtaji yako, umeongea kitu na huna majivuno man
@erickdonald46607 жыл бұрын
kwenye fikra zangu nliwah kujiaminish kuw watu wa asili ya waarabu wanadharau kumbe sio. very smart bro hata wewe pia uko vzuri sana the way you talk kweli usimjaj mtu kwa kumwangalia
@bintirashidantybaby81467 жыл бұрын
Erick Donald he is not an arab Hes is an indian blood
@erickdonald46607 жыл бұрын
Thank you @Binti Rashid
@dianaahdarlingkenya76167 жыл бұрын
never Give up bro May God bless the work of your hands
@honestbsn30447 жыл бұрын
asante millad Ayo #lonkennyTZA thanks for the good questions
@emiliamulaki36007 жыл бұрын
hongera sana ndugu. kazi njema
@senatorhans64337 жыл бұрын
God bless you gentlemen!!!!
@mudishaaban16397 жыл бұрын
Ww na boss wako munafanana sifazenu mungu akubarikisana
@arthurmwakanyamale76517 жыл бұрын
kweli maisha nikuishi kwa upendo. ongera sana kaka
@nicholausmwambebule76327 жыл бұрын
Hongera sana kwa kupenda taifa lako.
@yusuphabubakarabhoo55837 жыл бұрын
you are smart bro. hata maneno yako yako sawa
@ahmedangelo68124 жыл бұрын
We sio mtanzania Acha kujipendekeza
@shermsmtago10707 жыл бұрын
Ni faraja kubwa kuona watu wenye mafanikio wanathamin utu kama ilivyo kwa Bill Gates na Benjamin frm Tz respect kwenu
@happythomas50267 жыл бұрын
Huna hata msjivuno ubarikiwe
@moyobongo22737 жыл бұрын
ubarikiwe sana kijana
@adamhashimu72227 жыл бұрын
nice interview and it encourages me u don't have to give up till end
@kamandab79767 жыл бұрын
ongera ndugu kwakuona mbali zidi ku motivates wengine
@topheadings44367 жыл бұрын
dah bro hongera sana and keep it up
@zahramunir85967 жыл бұрын
Nice boy.. Mashaallah
@martinanjiku22507 жыл бұрын
Hongera sanaa
@ZakariaSimon-gp1gr4 ай бұрын
Kaza god bless you your ni kabila gan😅😂
@mariamhadija72367 жыл бұрын
vzr sana
@christophermgego83235 жыл бұрын
Alright uko vema
@jorambingelangoma19337 жыл бұрын
Thank you ayo
@kilagane1837 жыл бұрын
hongera sana
@alihijiiddi89777 жыл бұрын
LAKINI USOMI MMOJA TU HAJASOMA ISPOKUWA ANASOMA VITABU VYA DUNI LAKINI LABDA HAJASOMA KITABU KIMOJA TU KINACHOKUSANYA VITABU VYOTE DUNUANI IN SHAA ALLAH NAKITABU CHENYEWE KITAMFUNDISHA YEYE KUYAJUA YA HUKO AHERA NA DUNIANI SIHIVYO NI IN SHAA ALLAH VYOTE AVIFANYAVYO NI BURE HAVINA MAANA NA HAVITOMSAIDIA MWISHO WA MAISHA YAKE HAPA TUNAPITA TU TRANZIT BUT SHETANI TROBLE US ONLLY 👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👺👺👺👺👺👺👺👺👺 MWAMBIE BIL GET UKIPATA NAFASI ALLAH SUBHANAWATA ALLAH WILL BLASS YOU MORE GOOD NED AND BIL GET IN SHA ALLAH😰😰😰❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥 NI QURAN QURAN QURAN
@jeremialauden57106 жыл бұрын
Huyuu mbongo kweli???? Wap amezaliwa
@lagbtechnology64697 жыл бұрын
I got a point...
@gozbertmmassy29437 жыл бұрын
everything is possible under determination
@aishaeliaslocalmusic84967 жыл бұрын
sasa huyu anaingilia wapi na wa tanzania? hebu wacheni shobo
@halimkepa77667 жыл бұрын
ماشاءالله
@bintirashidantybaby81467 жыл бұрын
Determination is evrythng
@jasminasha95517 жыл бұрын
huyu kijana wetu ni mzaliwa wa mkoa gani?
@kihanda25547 жыл бұрын
Jasmin Asha Swali lako limekaa Kibaguzi. I dislike that Attitude.
@jasminasha95517 жыл бұрын
Nilitaka kufahamu kama nimekosea naomba samahani niliuliza mkoa aliotokea tu sio ubaguzi na nimesema ni kijana wetu
@kihanda25547 жыл бұрын
Jasmin Asha Nimekuelewa 🆗 Pamoja sana.
@seurisanare80157 жыл бұрын
Tanga
@amalcsalim-uu7hk6 жыл бұрын
Ni wa tanga.. ila ni wagoa, walihamia tz miaka mingi. Kiswahili chake ni cha kusoma na kujifunza ila yuko na bidii sana
@fanuelmpesa34847 жыл бұрын
good
@elvisrichard55117 жыл бұрын
congrats
@ramamabinda50637 жыл бұрын
jamaa hazina sana huyo
@dianahamischi34176 жыл бұрын
Alipewa kaz vile ni mwalab angekuwa mweus angetolewa na umbwa
A alaykum Inshaallah nyote wazima , Samahan mwenye namba yahuyu kaka anipatie au yeye mwenyewe akiona text yangu anitafute kakika no 0774596192 From ZANZIBR ❤ shukran.