MTANZANIA ALETA MITAMBO YA UFUGAJI NA KILIMO TOKA CHINA "HATA UWE UNAFUGA KUKU WATANO"

  Рет қаралды 53,490

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@justinebally
@justinebally 5 ай бұрын
Safi sana ! Huu uwekezaji tumekua tukiona kwa nchi za nje.Kiukweli haku biashara ya kimasikini ktk kilimo, eshima ya kazi yako utegemea na aina ya uwekezaji wako.
@tumahamza8972
@tumahamza8972 5 ай бұрын
Hongera sana Najma. Allahumma baarik. Millard hongera kwa kuwa kijana unaeleta taarifa zenye maana.
@SalhaRamadan
@SalhaRamadan 4 ай бұрын
Team Gulf opportunity ndio hii ukinunua kiwanja nunua double ili kimoja ujenge kimoja wekeza Kwenye ufugaji asanteni❤❤❤❤
@FatumaKachenje
@FatumaKachenje 2 ай бұрын
Ni nzuri Sana nashukuru kwa mfano Nina cagezangu ntaweza nisaidia kufunga hiyo mitambo ya kulishia
@yusufismail3116
@yusufismail3116 5 ай бұрын
Tunaelekea pazuri kwenye tasnia ya Kilimo. My DREAM.
@pendosailo1989
@pendosailo1989 5 ай бұрын
Safi sana. Asante Ayoo kwa kutuletea taarifa njema kama hizi.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 5 ай бұрын
MashaAllah,this is super inspiring..
@pastormoseschami7208
@pastormoseschami7208 5 ай бұрын
Aisee nilizoea kuona kwenye nchi za wenzetu, hongera sana Dada, Hongera sana Millard kwa kutusanua hili
@mcsam254
@mcsam254 5 ай бұрын
Hogera sana.. napenda sana ufugaji natokea kenya nikihitaji elifu nzima ya ufugaji nikija Tanzania mko na classes
@MuhammadiMnyawi
@MuhammadiMnyawi Ай бұрын
Masha a llah
@khamisshee803
@khamisshee803 5 ай бұрын
Safi Sana nimeipenda Sana MashaAllah AKA BACHUCHU MOMBASA 001 +254
@JacksonKisiri-w1n
@JacksonKisiri-w1n 5 ай бұрын
Hongera sana Najima, Nahitaji Ushauri wako kuhusiana na kilimo cha mahindi maharage mbaazi na ngwara pia na alizeti please
@PillyShee
@PillyShee 4 ай бұрын
Shukran sana dada Najma
@mrmweusi592
@mrmweusi592 5 ай бұрын
Safi sana hongera dada na shukurani sana kwenu Ayo TV
@jasminmdimi6059
@jasminmdimi6059 5 ай бұрын
Sasa my dream will come true. Asante Millard Ayo🙏🙏
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 5 ай бұрын
Saf sana,,, mashaallah wanawake Sasa tuko vereee.
@MartinLouis-jb9ps
@MartinLouis-jb9ps 5 ай бұрын
Hongera sana dada unamtaji mkubwa sisi wafugaji wadogo mnatusaidiaje dada.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 5 ай бұрын
Duuh kumbe bongo Kuna wafugaji wa kati namna hii.Safi sana hivi ndo maendeleo ya mmoja mmoja tutayafikia.
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
AMEN AMEN Bwana George
@shadrackmohamedi8765
@shadrackmohamedi8765 5 ай бұрын
😂😂😂😂 Nimefurahi kuona reply ya Mwamba Ayo maana si rahisi kutujibu mashabiki wako. Ubarikiwe sana mwamba
@dorcasassenga2005
@dorcasassenga2005 5 ай бұрын
Hakika ni Nadra sana.
@fadhilimfalamagoha2682
@fadhilimfalamagoha2682 5 ай бұрын
What a content, tunaelekea kuzuri, thanks for it. Tupo nanyi agri
@kamanda007
@kamanda007 5 ай бұрын
Nimeipenda hii, itasaidia ajira, biashara za uhakika na uzalishaji kuongezeka na kupunguza njaa, haya ndio mambo vijana mliozamia nje mkirudi mnarudi na akili kama hizi
@erickkasbeth4668
@erickkasbeth4668 5 ай бұрын
Nimependa sana
@usercabal
@usercabal 5 ай бұрын
safi sana 👏🏾👏🏾
@mwajomberobert
@mwajomberobert 5 ай бұрын
Hongereni kwa kutupatia elimu ya ufugaji
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
shukrani sana Mwajombe
@kimongemalyawere
@kimongemalyawere 5 ай бұрын
Hongera sana
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 5 ай бұрын
Hapo swali ni la mtaji. Hapa gharama za mitambo ni bilioni kwenda mbele
@raphaelmandi7506
@raphaelmandi7506 5 ай бұрын
Asanthe sana kwa taarifa njema
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
asante na kwako pia kwa kutazama
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 5 ай бұрын
Ila tz umeme ndio jangaaa 😢😢😢waweza nunua but umeme ukazingua . yaan apo lazima jenereta
@juniorgodfrey3527
@juniorgodfrey3527 Ай бұрын
Ndoto yangu n kuwa mfungaji wa kuku tena Kw njia ya kisasa kama ii I hope itakuwa ivi
@Gody360
@Gody360 5 ай бұрын
Pamoja sana 🫡
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 ай бұрын
Tunataka cage free chiuckens sio hawa wa miezi mitatu tayari mnawachinja!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 5 ай бұрын
Ndugu zangu Watanzania tukiacha malalamiko fursa utaziona ziko nyingi saaana, Hongereni saana dada zangu kwahika mmetufungua macho , akili na mawazo
@HappnessYohanaRohongo
@HappnessYohanaRohongo 5 ай бұрын
❤❤❤
@franklinisaya4796
@franklinisaya4796 5 ай бұрын
Save hii post baada ya miaka mitatu Millard nitakuita uje
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 5 ай бұрын
Mimi bado ninajitafuta kwa kweli
@johnbyamungumuzinga4363
@johnbyamungumuzinga4363 2 ай бұрын
Naweza kuwasiliyana nanyi namna gani?
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 4 ай бұрын
Mimi ninahitaji kufuga kuku kibiashara zaidi nina eneo la kuweka mabanda ya kutosha huku chanika shida yangu kubwa ni msingi/capital kwa ajili ya hayo mabanda
@talentshow2024
@talentshow2024 5 ай бұрын
Umezungumza vizuri kuhusu antibiotics ukweli mkiliondoa hilo kwenye mifugo mtafaulu😢
@CatherineShayo-rr2hq
@CatherineShayo-rr2hq 5 ай бұрын
Waooohh 🎉
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
👊🏿👊🏿👊🏿
@Mairi-zk1ty
@Mairi-zk1ty 4 ай бұрын
Bei ya cages za layers ni how much?
@johnbyamungumuzinga4363
@johnbyamungumuzinga4363 2 ай бұрын
Mimi niko kongo , mnaweza fika kwetu piya ?
@KoleYasini
@KoleYasini 5 ай бұрын
Huu ufugaji wakitajili
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 5 ай бұрын
Ndio maneno yenu hayo uoga uoga tu ukiona kitu badala ya kufatilia unaanza toa vimaneno vya uvivu na kukata tamaa
@tadeofabiani2890
@tadeofabiani2890 5 ай бұрын
Zvu
@shazmashang4012
@shazmashang4012 4 ай бұрын
Nisaidie no zako ili niweze kukupata kirahis
@GSELgodoni
@GSELgodoni 5 ай бұрын
Millard uwe unatuletea content kama hizi.
@allykomsonde7813
@allykomsonde7813 5 ай бұрын
Hivi kweli jogoo anatetea au masikioyangu
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 5 ай бұрын
jifunze fursa zilizoko acha kuangalia makosa kijana, amka kutoka usingizini
@bedabeda6348
@bedabeda6348 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 wa bongo tupo vzr kuhoji
@FLASHLENSVENUE
@FLASHLENSVENUE 5 ай бұрын
Muongo huyu naye technology kubwa ya mitambo kama iyo iko USA afu ukosefu wa wafanyakazi ni USA na siyo china aache uongo
@LucyInnocent-y2d
@LucyInnocent-y2d 5 ай бұрын
😘🌹
@marthageorge5043
@marthageorge5043 5 ай бұрын
Mimi ndoto yangu kufuga kuku napenda sana
@SalminTenga-fx6wi
@SalminTenga-fx6wi 5 ай бұрын
Sehem gani apo bagamoyo
@vibetz9991
@vibetz9991 5 ай бұрын
Kuku mmoja ana leta mimba kwa wanawake wanne, ,nchi inaongezeka watu,,,faida ni nyingi
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
au sio😂😂
@vibetz9991
@vibetz9991 5 ай бұрын
@@millardayoTZA faida ni nyingi kaka😁😁
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 5 ай бұрын
Kuku wa mayai kukaa kwenye cage miaka mi 2 wanapata stress ,cage nzur kwa kuku wa nyama wa mda mfupi.
@AngelAfric
@AngelAfric 5 ай бұрын
😆😆😀
@khamisrajabu1107
@khamisrajabu1107 5 ай бұрын
badilika kulingana na technology
@abdallaabdulmalik1427
@abdallaabdulmalik1427 5 ай бұрын
Jee Mtu akitaka kuanzisha Mradi Kupitia kampuni yenu naeza Kupata huduma nkiwa pwani ya Kenya?
@bakarimwanjano730
@bakarimwanjano730 5 ай бұрын
Nigharama kiasi gani inauohusika kwa kupata hiyo teknolojia ya kuku kwa kuku 300
@SalminTenga-fx6wi
@SalminTenga-fx6wi 5 ай бұрын
Shida yangu ni kupata mbolea ya kuku .
@mariamusiraju3289
@mariamusiraju3289 5 ай бұрын
Uko wap ndyg
@RobertCollinskc
@RobertCollinskc 5 ай бұрын
Upandaji wa vitunguu ni changamoto kwa wakulima wengi hapa nchini, haswa kwa wale ambao wana dhamira ya kupanda kitunguu maji au saum katika maeneo makubwa takriban zaidi ya hekari 100, je kuna mashine ambayo itakuwa na uwezo wa kupanda heka zaidi ya 100 na kwa mda mfupi?
@mariamusiraju3289
@mariamusiraju3289 5 ай бұрын
Mkiu poultry farm
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 5 ай бұрын
Usiseme tecnologia yao,
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 5 ай бұрын
Asemeje boss?
@talentshow2024
@talentshow2024 5 ай бұрын
Tz bwanaa😂😂
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 5 ай бұрын
@@talentshow2024 Ww uko Moldova au sio?
@talentshow2024
@talentshow2024 5 ай бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rj tabia ya kujua hata tusio jua tutaacha lini ili tuendelee
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 5 ай бұрын
nice proceeding
@mchinankaloza-3633
@mchinankaloza-3633 5 ай бұрын
Chausiku
@frankkidenya
@frankkidenya 5 ай бұрын
Huu mtambo wa kuku unagarimu kianzio cha shingap?🎉huenda nikawa mdau
@KingoFarm1
@KingoFarm1 5 ай бұрын
Tutafute hapa KZbin hutajutia kututafuta
@maryali2122
@maryali2122 5 ай бұрын
Mimi niko mbali na tazania nita wapata vipi nina penda sana kuffunga kuku nifanyeje ili.niwapate maomba jibu
@jumaramadhani5861
@jumaramadhani5861 5 ай бұрын
katika hii video imewekwa namba yake ya simu mbona
@Afrikalove736
@Afrikalove736 5 ай бұрын
Hii mitambo inaleta kansa ya utumbo.Wanyana wafugwe kienyeji.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 5 ай бұрын
we naye tupishe hebu
@victormkello9575
@victormkello9575 5 ай бұрын
😂😂😂 duh wabongo bwana
@mcback4384
@mcback4384 5 ай бұрын
Vifaa vingi hapo vinatengenezwa na plastic na chuma ambayo ni materials yanayotumika kutengeneza kijiko, sufuria, kikombe na sahani ambayo lazima uvitumie kila siku ungetakiwa uwe umeshakufa
@G24TZ
@G24TZ 5 ай бұрын
Sasa hapo mayai yanapodondokea mbona yanashuka kwa speed yanavyogongana mayai mengi si yanapasuka
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
hayapondeki, kuna u-smooth flani sio pagumu
@talentshow2024
@talentshow2024 5 ай бұрын
​@@millardayoTZALeo umejitahidi kujibu hongera san
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 5 ай бұрын
Kaka Millard hii interview ilitakiwa kuwa hata na dk 60 angalau
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
nimekusoma Hassan, mengi yanakuja
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 5 ай бұрын
@@millardayoTZA I appreciate 🙏
@johhaule299
@johhaule299 5 ай бұрын
Hii ni kubwa sana asee, content ya maana sana.@millard ayo
@RebeccaMkangala
@RebeccaMkangala 5 ай бұрын
❤❤❤
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,5 МЛН
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 11 МЛН
KUKU WENYE THAMANI YA KUANZIA SHILINGI LAKI SABA
24:23
Kilimo Kwanza TV
Рет қаралды 57 М.
Nilianza na Kuku 8 wa Kienyeji, Lakini Nimezalisha Kuku wa Kienyeji 300
10:37
UFUGAJI KUKU CHOTARA
28:34
Kilimo Biashara
Рет қаралды 98 М.
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,5 МЛН