Mtanzania Atengeneza Satellite na Kuifanyia Majaribio

  Рет қаралды 10,336

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

24 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 68
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 22 күн бұрын
Habri njema sanaa hii,japo haijapewa jukwaa kuu kama ilvyo kwa hbr za nyoka na chawa. Mungu ibariki Tanzania
@StevenPeter-sg7zo
@StevenPeter-sg7zo 20 күн бұрын
Hongera sana kwake ila tatizo ni kwamba watu kama hawa wanakuja alafu baada ya muda unashangaa huwasikii tena na hujui kinachoendelea sijui shida inakuaga nini
@user-wk7gh5it3v
@user-wk7gh5it3v 22 күн бұрын
Serikali ilitakiwa watu kama hawa wapewe support kubwa sana
@conganyoyo3195
@conganyoyo3195 22 күн бұрын
Hongera sana kaka 🔥🔥,sio like robot la mchongo limetengenezwa na wasauz,bunge liwapa vbari af ww mbongo unaacha,😭😭😭.hii nchi mpe jamaa kipaumbele
@omeraJR
@omeraJR 22 күн бұрын
Kijana wetu anaitaji support kubwa BRAVO✌🏾✌🏾
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 22 күн бұрын
Sio Tanzania watamkamata hautamsikia tena watasema anahatarisha usalama
@Lifemotivation7171
@Lifemotivation7171 22 күн бұрын
@@abdullahmanalex2306 kweli kabisa kaka bola hata ayo mambo angefanyia mbele angesapotiwa lakini hapa balaaa kaka
@emmanuelkiserere3523
@emmanuelkiserere3523 10 күн бұрын
hongera bro
@homecraft227
@homecraft227 22 күн бұрын
Kichwa sana huyu jamaa ni classmate wangu majengo sec, kichwa sana huyu ndugu akiwa shule ya msingi alishatengeneza Fm radio akiwa marangu. Sikumbuki jina ya radio yake ilikuwa inaitwaje😅
@vianmarcel818
@vianmarcel818 22 күн бұрын
Sure hiyo stori yake ya radio niliisikia around 2006/7 katika kijiji cha Mbahe Marangu moja.. Big up kwake
@abuugubi9312
@abuugubi9312 22 күн бұрын
Hongera sana ndugu
@user-lp4jj6uu1r
@user-lp4jj6uu1r 22 күн бұрын
Mungu akusimamie
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 22 күн бұрын
Hongera kwake
@januarysabena3128
@januarysabena3128 21 күн бұрын
big up Tanzania 2naweza mbona
@axdomician4785
@axdomician4785 22 күн бұрын
Safi sana serikali embu mpeni saport huyo mwenzetu
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 22 күн бұрын
Elimu ya vipaji yanatakiwa sana kiviwanda ❤❤❤❤❤❤❤❤
@IsayaMorange-wb5ek
@IsayaMorange-wb5ek 20 күн бұрын
Tunahitaji ubunifu kama huo na zaidi kikubwa vijana tuamke tufanye kazi kwa ajili ya maendeleo
@ezekiakiwovele7794
@ezekiakiwovele7794 22 күн бұрын
Hongera
@roi2554
@roi2554 22 күн бұрын
Maashaallah bro❤
@emmanuelmush6732
@emmanuelmush6732 11 күн бұрын
Safi kabisa
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 21 күн бұрын
Nice
@khalidjmfaume
@khalidjmfaume 22 күн бұрын
Bora hata huyu anaonekana yupo serious,sio wale walio tengeneza robot 😂
@wisemanfromzerotohero970
@wisemanfromzerotohero970 22 күн бұрын
Ila muwe makini wazungu hawatopenda ili kwa hiyo musichikombe na kujigamba watamumaliza i wish wangemuprotect pamoja na yule aliyefanikiwa kugunduwa dawa za ukimwi
@kwisa4899
@kwisa4899 22 күн бұрын
Hakuna cha ajabu hapo huko juu kuna satellite zaidi ya 1000
@ProDJayOnDecks
@ProDJayOnDecks 22 күн бұрын
​@@kwisa4899 Sio 1000 tu kuna zaidi ya Satellites 10k kabisa..
@wisemanfromzerotohero970
@wisemanfromzerotohero970 21 күн бұрын
@@kwisa4899 hizo zaidi ya 1000 za kitanzaniya ao za wazungu????kuwa muelewa wazungu hawataki Wa Afrika waendeleye zaidi yao
@user-yy6gf4my9f
@user-yy6gf4my9f 22 күн бұрын
Wa kenya mpo na kiengereza chenu
@DannyRose-gq3qe
@DannyRose-gq3qe 21 күн бұрын
Wewe na hio kichwa Yako inakaa panga unafikiria Kenya Haina satellite?? ebu Fanya utafiti ujue Kenya iliunda satellite ya kwanza lini
@jumahassan273
@jumahassan273 21 күн бұрын
Safi sana ila bongo kwa roho mbaya ata viongozi awatamjali kwa ubunifu mzur aliofanya brother
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 21 күн бұрын
kweli kabisa 😂
@r14kgroup68
@r14kgroup68 22 күн бұрын
Safi sana
@paulhema5713
@paulhema5713 22 күн бұрын
Big up..kk..Kaz mzur sana...ngoja na mm nisome kwa juhud...niwe na knowledge ya kutosha..😂
@dannywillson5874
@dannywillson5874 21 күн бұрын
VIONGOZ WETU WANAWAPOTEZA WATU MAKIN KAMA HAWA
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z 22 күн бұрын
Good news ndo maana sns mnakuq bora kila kukicha hope mtaendelea kuchukua matunzo kede kede insha Allah wa kwanza leo like hapa kumpongeza sns
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 22 күн бұрын
Wewe nae kwani ulikuwa aujaisikia hii habari kwenye Média zingine?
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z 22 күн бұрын
@@achawanunetv1167 mh acha wivu au kisa hatujaingia kwa channel yako na hata iweje sitoangalia channel yako maana unaonekana huna adabu na subscribers wewe nakwambia tena acha wivu utafika mbali
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z 22 күн бұрын
@@achawanunetv1167 we jamaa unawivu usiokua na maendeleo kwan mpaka ninangalie kwenye media yako alafu cha ajabu media yako unaiita acha wanune sa we kinachokununisha nini kua mstaarabu utafika mbali
@mwakimedia291
@mwakimedia291 22 күн бұрын
Akamatwe mara moja
@benjagaspar5304
@benjagaspar5304 22 күн бұрын
Hatareee🔥
@Manyara-Jr
@Manyara-Jr 22 күн бұрын
mataifa makubwa yakimuona yanamuiba. apewe ulinzi mtakuja kunishukuru badae..
@ce-08
@ce-08 22 күн бұрын
😂😂😂
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 22 күн бұрын
Au ndo hii ilioanguka juu ya paa hapa nyumbani? Maana nimeskia kishindo
@hanspop6961
@hanspop6961 22 күн бұрын
Watu kama hawa Wakushikwa Mkono wenye Glove ili Tufaidi Matunda
@cmantz8837
@cmantz8837 22 күн бұрын
Mhh bongo haya
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 22 күн бұрын
MUNGU AMSIMAMIE ATIMIZE MALENGO YAKE NA ASAIDIE NCHINI...
@timetravellor5367
@timetravellor5367 22 күн бұрын
Ata robot tungepewa tenda tu tungeteneza
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 22 күн бұрын
Hongera sana kwake ila wawe makini isije ikawaangukia watu
@user-is5pr5wf6c
@user-is5pr5wf6c 22 күн бұрын
Kinacho nisumbua kila siku selikali watu kama hawa nashangaa haijui umuhim wao
@naujila-rb2mg
@naujila-rb2mg 21 күн бұрын
kaka pambana tufike waliko fika
@vibetz9991
@vibetz9991 22 күн бұрын
Kumbe tunaweza
@user-oy5mt7yg4s
@user-oy5mt7yg4s 22 күн бұрын
Sema kumbe anaweza sio na ww
@lakasid3860
@lakasid3860 21 күн бұрын
​@@user-oy5mt7yg4sni mtanzania uyo kwaiyo tunaweza nikiwemo namie 😂
@officialwinaboy
@officialwinaboy 22 күн бұрын
Uyo jama nimuzaliwa wa D.R.C Congo sio mu Tanzania
@aminata3702
@aminata3702 22 күн бұрын
Kwenye video anasema ni mzaliwa na mkazi wa Tanzania.Acha bange ww bakongo
@officialwinaboy
@officialwinaboy 22 күн бұрын
Mim namujuwa ndiyo mana nasema ivo anaka tanzania lakini siomu tanzania nimu congo kama ujanielewa uliza mababu zako wanajua nini ilipitikana vitaya congo wata kuabia nusuya tanzania inaja wa Congo
@user-iq3pe4sf2h
@user-iq3pe4sf2h 22 күн бұрын
Apewe ulinzi
@stateofart1089
@stateofart1089 22 күн бұрын
Hii satellite imerushwa wapi? Tanzania hatuna uwezo wa kurusha satellite...
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 22 күн бұрын
Hiyo siyo Sattelite ni mfano wa Sattelite.
@EK-kp2np
@EK-kp2np 21 күн бұрын
Wivu 😟
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 22 күн бұрын
Hongera zake
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 22 күн бұрын
Watampoteza soon
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 22 күн бұрын
Hayo mambo ya zamani Nani aliepotezwa wakati hayo majaribio yake yalipewa kibali
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 22 күн бұрын
Kijana sapoti muhimu isije ikawa kama masudi kipanya , 😂.
@SaidKawela-qy5wv
@SaidKawela-qy5wv 22 күн бұрын
Aloo noma kweli africa inaugumu wake
@user-sr8tc8ke6q
@user-sr8tc8ke6q 22 күн бұрын
Humsikii tena huyu selikali ikimuona
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 22 күн бұрын
Unakuta mtu kama huyu hata mwaliko wa ikulu hapati alafu bi mdanga anaenda ktk show ya harmonize
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v 21 күн бұрын
Ndg yang pole pole tafadhari
@MarcellySumaye-bv5lh
@MarcellySumaye-bv5lh 22 күн бұрын
Haya maigizo sijui tutaacha lini
TRY NOT TO LAUGH 😂
00:56
Feinxy
Рет қаралды 13 МЛН
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 39 МЛН
🍕Пиццерия FNAF в реальной жизни #shorts
00:41
Ijue Vizuri STARLINK ya ELON MUSK  / Inakuja TANZANIA
5:03
Snashtz
Рет қаралды 18 М.
Camry rear hub replaced #carpart
0:36
Inayat auto technician
Рет қаралды 11 МЛН
Руль с задержкой: как водить эту машину?
0:15
Короче, новости
Рет қаралды 3,1 МЛН
Biggest Exclavator Construction Machine🙄
0:43
zias
Рет қаралды 2,3 МЛН
This is World's Best Drift Entry#drift #drifting #jdm
0:15
DARWIS RAHMAN
Рет қаралды 9 МЛН
Ждать пока остынут ступицы?
0:34
Trucker X
Рет қаралды 2,6 МЛН