MAAJABU: NDEGE ILIYOPOTEA ANGANI/ABIRIA 227/KIKUNDI CHA MAUAJI /WAHUSIKA WATAJWA/INATISHA..| EP 02

  Рет қаралды 19,681

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Ni makala yenye kuelezea kisa kilichojaa utata, na bado ni kitendawili cha ulimwengu mzima, ni baada ya tukio baya la kupotea kwa ndege ya abiria ya MALAYSIA AIRLINE MH370, ikiwa safarini kutokea katika taifa la MALAYSIA ikielekea katika taifa la CHINA ikiwa na zaidi ya abiria 200.
Bado ni mtihani wako wapi watu hawa?, na maswali muhimu kama iko wapi ndege hii? na tukio hili ukweli wake ni upi?
Karibu katika makala zetu za maelezo kwa undani wa taarifa hizi
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#makala #malaysia370 #maelezo

Пікірлер: 58
@dar24media
@dar24media 8 ай бұрын
Kwa kutazama makala hizi za #MAELEZO usikose kila siku ya jumapili saa tano kamili asubuhi
@destroyerban7364
@destroyerban7364 8 ай бұрын
Tuna wakubali san na kuwasapoti ila ongeezeeni japo siku moja iwe hata siku mbil hich kipindi
@abdillahirashid4092
@abdillahirashid4092 8 ай бұрын
#dupathemaster Jamaa ni hodari sana, kwa uchambuzi
@markmushi8940
@markmushi8940 8 ай бұрын
Nipo italy uwa nakufuatilia sana vipindi vyako mkuu hongera sana unafanya kazi nzuri ku2julisha habari mbalimbali
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 8 ай бұрын
Uko vizuri kamanda
@SamwelMbeye
@SamwelMbeye 8 ай бұрын
Safi sana kaka mtu mana kabisa
@mkongwekarim3036
@mkongwekarim3036 8 ай бұрын
Safi Sana kwa makala zenu ni nzuri nana
@sashawambura
@sashawambura 8 ай бұрын
Hongera unajua vizuri..bravo
@MustymediaTv
@MustymediaTv 8 ай бұрын
Huwezi kumuelewa kama hujawah kupanda ndege
@khamisshee803
@khamisshee803 8 ай бұрын
Uko vzr Dupa one love AKA BACHUCHU MOMBASA 001 +254
@jumamakamba2202
@jumamakamba2202 7 ай бұрын
Ata mm sijawai panda ndege jinsi unavyochambua iyo ndege big up dupe uyo unayesema ujui siku tuitia atuchumberea ata baiskel kama ataweze
@AdonisMniko
@AdonisMniko 8 ай бұрын
We hujui kitu
@thabitissa6766
@thabitissa6766 7 ай бұрын
Mnosema humuelewi dupa panden kwanza ndege mta muelewa 2😂
@ashrafukilete
@ashrafukilete 8 ай бұрын
Dupa 🔥
@JosephTibu
@JosephTibu 8 ай бұрын
nashukuru sana
@lordmasali3410
@lordmasali3410 8 ай бұрын
Hauelezei kiini cha habar , unachepuka san kweny usimuliz😢😢
@ElishaJackson-m6r
@ElishaJackson-m6r 7 ай бұрын
Tupe yako
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 8 ай бұрын
Malaysia ni maarufu sana kwa kafara za ndege,,ukifatilia kwa ukaribu utagundua hilo
@rahimhussein3157
@rahimhussein3157 8 ай бұрын
Broo we genius.. unajitahid kusoma na kukakalili utafika mbaki kaka
@zacharianyiti9386
@zacharianyiti9386 8 ай бұрын
Broo unajua bna
@lazarochimela516
@lazarochimela516 8 ай бұрын
Upo vizuri ila unarudia rudia sana
@geraldgogadi7054
@geraldgogadi7054 8 ай бұрын
huna mtiririko mzuri, unaruka ruka tu
@YelemiaElidadi-cq9dj
@YelemiaElidadi-cq9dj 8 ай бұрын
Nakubali
@YuGhjkolo
@YuGhjkolo 8 ай бұрын
Hayo nimaajabu makubwa je nimashetani yalioipoteza hindege? Minimsikilizajiwenu kutoka uvira sudkivu congo asante kwautafitiwenu.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 8 ай бұрын
✌️🙏
@probatunes6347
@probatunes6347 8 ай бұрын
Katika upande wa kusimulia brother bado, unakuwa haubaki kwenye lengo la stori na kutoka nje.
@jotafungo4622
@jotafungo4622 5 ай бұрын
Dunia imejaa wajanja
@Hakuna_matata2003
@Hakuna_matata2003 8 ай бұрын
hii ishu ilitukuta juzi tz to switzland ndege ilizingua mfumo wake wa uendeshaji dahh 😀😀😀tulisubil takriban masaa 2 ila nivoipanda baada yakua sawa nilikua nasali ad tuvofika transfer ya ethiopia hii mi ndege hii haina mana ata kidogo
@RamaZuberi
@RamaZuberi 8 ай бұрын
Leo umezingua alafu kunawatu nyuma ya camera wanakuzingua imeboa sana.
@hassanchagua6141
@hassanchagua6141 8 ай бұрын
Tupo pamoja
@elesiahaule7606
@elesiahaule7606 8 ай бұрын
👏
@theophilwisdom2308
@theophilwisdom2308 8 ай бұрын
First officer jina lake ni Fariq Abdul Hamid na umri wake ni miaka 27 tuu na Captain Zaharie Ahmad Shah, 53 na sio huyo uliemtaja mwenye umri wa miaka 43 mkuu
@MalijaniMbeyu
@MalijaniMbeyu 8 ай бұрын
Unazigua Eleza ndege iko wapi ,uongo mtupu ulijuaje wakati hufanyi kazi Sheila hill landege
@thomaslali705
@thomaslali705 8 ай бұрын
Sikuwahi kusikia kwamba kuna miili iliyoonekana.
@Klvn_Chriss
@Klvn_Chriss 8 ай бұрын
Mi nimependa uo mfumo wa FAK
@EsromuKamwela-ol9uo
@EsromuKamwela-ol9uo 8 ай бұрын
Ujui utumbo ata ni nakushinda
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 8 ай бұрын
Wee ni m Tanzania? Nimefurahi sana kumbe tunawajuzi mwambie mh.rais aachane na wawekezaji wa kufyonza nchi kama wa bandari muifanye nyie wazawa tumechoka kufanyiwa unyama tu naweza bila kuwezeshwa
@maronmichael3439
@maronmichael3439 8 ай бұрын
Tupo nayo hii mpka sehemu ya mwisho
@guccigang255vevo2
@guccigang255vevo2 8 ай бұрын
Kaka mbona umevaa rain koti
@ElCapitano255
@ElCapitano255 8 ай бұрын
Unaelezea vizuri ila shida ni kwamba unatumia muda mwingi kuelezea/Kutuelewesha kuhusu ndege parts zake vifaa na ufanyaji kazi wake. Nb: Audience wanataka kujua kisa ni nini nini kilitokea na report inasemaje boresha hili mzee
@topselaz6366
@topselaz6366 8 ай бұрын
Huyu mtoto mchele mchele
@stevenbosco255
@stevenbosco255 8 ай бұрын
Who is landlord??
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 8 ай бұрын
Kuna siri kubwa ndani yake hizo ndege kupotea
@AdonisMniko
@AdonisMniko 8 ай бұрын
Unatumia muda mrefu kuelezea kitu ambacho hakipo
@matiredms917
@matiredms917 8 ай бұрын
Unazungumzia Malaysian Airlines au Indonesian Airlines? Unachanganya mealezo yako.
@Japanese-lz1or
@Japanese-lz1or 8 ай бұрын
Vp mbona hamuanzi
@BABALAOGENERALTRADERS
@BABALAOGENERALTRADERS 8 ай бұрын
Weeeee😂😂
@mwambambaleasajilelucas3938
@mwambambaleasajilelucas3938 8 ай бұрын
Usimuliaji mbaya
@arnoldlusambo3921
@arnoldlusambo3921 8 ай бұрын
we mwenyew bogas unawez kutangaza vitu Kam hvyo
@autoroyaledubai
@autoroyaledubai 8 ай бұрын
blaza tafuta mchongo mwingine wa kufanya
@NuhuMohammed-nu6ni
@NuhuMohammed-nu6ni 8 ай бұрын
Usikatishe mtu tamaa hata akifanya nyingine utasema hivyo hivyo hakuna aliyezaliwa anajua
@robertmosha6801
@robertmosha6801 8 ай бұрын
Broo umeyumba kinoma..stori unayopiga ni ya air Asia flight 8501..wewe unasema ni Malaysia flight 370 ambayo ilihusisha Boeing..kaa usome ndo ulete huku sio kila mtu mjinga
@abdallahbakari898
@abdallahbakari898 8 ай бұрын
Ngonjera nyingi kaka amna unachohongea unanimalizia bando tu 😂
@robertmzizima9621
@robertmzizima9621 8 ай бұрын
Tatizo unachukua mda sana kuweka story
@MudyWashamba
@MudyWashamba 8 ай бұрын
kujua anajua alafu ana pure vocal ila seem moja anay feli n kuwek inf. nying ambaz kwa sisi tusio n elimu anatuchngny nd man tunahs km anakosea il uyu jamaa n level y lecture wa aviation college
@robertmosha6801
@robertmosha6801 8 ай бұрын
Kadanganya ajali anayozungumzia ni ya ndege nyingine kabsa
@melchzedekackim8360
@melchzedekackim8360 8 ай бұрын
Yan wewe siwez kuangalia hujui lolote
@guccigang255vevo2
@guccigang255vevo2 8 ай бұрын
Kaka mbona umevaa rain koti
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН