Ibada ya Jumamosi tarehe 11.05.2019 kutoka katika huduma inayongozwa na mtumishi Sunbella Kyando,Sinza Mori Dar es Salaam
Пікірлер: 83
@user-rj1ef6je8k6 ай бұрын
Bwana Yesuasifiwe,Najjiungamanisha na Ibada nikiwa Nchini South Africa,,ninaamini kupokea ninacho kiona mbele yangu,napia napokea mitazamo yote mitatu kwa Jina la Yesu
@josephmuhindo7393 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni asate kwa neno tamu kwa kumtumikisha mtumishi wako🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@danieljames76485 жыл бұрын
mch Sunbella Kyando we ni jinius asante baba nakupenda sana injili ako ni tamu sana umenitia moyo baba
@starluzenja98612 жыл бұрын
Anavyofunza aki💯💯💯
@ruganoantony2 ай бұрын
Amen nimebarikiwa sana somo hili
@tumainihenrym9710 Жыл бұрын
Asante Kwa somo zuri mtumishi Ubarikiwe sana
@edwardsanga33482 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumish wa mungu, dodom mnasalia wap
@donardmwasunda94152 жыл бұрын
Mungu akubaliki mtumishi
@heriethkitururu44012 жыл бұрын
Ninazidi kuwa na kiu kubwa sana ya kuendelea kufuatilia masomo yako
@michaelmzava71032 жыл бұрын
Mungu nisaidie naomba nisaidie kuona kilichoko ndani yangu
@jerubetjoan202 жыл бұрын
Asante kwa huu ujumbe mtumishi itatusaidia wengi wenye tumekwama kwa vikundi
@rachelmwaki74544 жыл бұрын
Mungu akubariki umenena ambayo yamenifanya ni songe mbele
Napenda sana masomo ya mwalimu huyu yamejaa upako.
@jeremiaisowe44432 жыл бұрын
Nabarikiwa mnooooo Mungu akutunze mtumishi
@evelynouma9755 жыл бұрын
Am blessed from Nairobi kenya
@eutropiangido96843 жыл бұрын
Nimesikiliza ujumve huu leo yaani mwaka umeisha tangu umetolewa lakini huwezi amini labda huu ujumbe umekuwa wangu kabisa. Nimegundua makosa mengi sana ktk maombi yangu. Ubarikiwe mtumishi.
@anselmoonolius83625 жыл бұрын
Nabarikiwa sana mtumishi Mungu akubarik
@graceambilikile74423 жыл бұрын
God hve mercy
@melaniazacharia33573 жыл бұрын
Mungu nisamehe nimejua sasa Bwana Yesu nirehemu 🙏🙏🙏
@SimonMusa-lm4tf Жыл бұрын
Asante Mungu kwa kumtumia mtumish wako kubadirixha maisha yangu. Mtumish Mungu akubariki.
@judithmussa25162 жыл бұрын
amen
@danstonecool17342 жыл бұрын
am touched
@chidrichie14435 жыл бұрын
Mbarikiwe sana huduma ya reality of Christ,mnanivusha hatua moja kwenda nyingine,japo wiki 2 nyuma sikuwapata on youtube
@eaglecrown11012 жыл бұрын
Amina 🙏
@papyprosper89222 жыл бұрын
Amen Amen
@magrethkaria77963 жыл бұрын
Amina sana mtumishi wa Mungu
@margarethmgimba74352 жыл бұрын
Mungu naomba unisaidie Mimi na uzao wangu tujue njia sahihi za kufikia kwa wakati sahihi
@murekatetegermaine65592 жыл бұрын
Ubarikiwe mucungaji🙏
@undulemwambesela2233 жыл бұрын
Kaka mung azidi kktia nguvu nabarikiwa sana na mafundisho yako
@mutuakimeu8796 Жыл бұрын
Amina
@lubangoseni25262 жыл бұрын
NimeBarikiwa na huduma yako kwa Bwana
@alphoncemollel69835 жыл бұрын
Habari za asubuhi kaka mm naitwa Alphonce nipo Mombasa Kenya,kweli Mungu akubariki sana nimepata kitu cha kunipeleka mahali
@samweljoshua33605 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA SUNBELA KYANDO NA NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA AJILI YAKO KWA KUWA KILA NAPOKUSIKILIZA NAPATA KITU(VITU) VYA KUNISAIDIA KWENYE SAFARI YA IMANI
@rachelmwaki74544 жыл бұрын
Alphonce Mollel >l
@alphoncemollel69834 жыл бұрын
@@rachelmwaki7454 Barikiwa sana
@josephmuhindo7393 Жыл бұрын
Amen🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@josephmuhindo7393 Жыл бұрын
Ameeen🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@cheyoveda59423 жыл бұрын
Ameen Nitamwacha YESU aniponye kwa njia zake
@martinsikabwe7255 жыл бұрын
Amen Amen mtu wa MUNGU tumeachwa lakini bado tunangaaa
@fridafrancis19602 жыл бұрын
Mafundisho mazuri
@jordanasadjah84512 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
@vanessakassogafaustine19505 жыл бұрын
Nawafatilia sana ,na nabarikiwa sana sana na uduma yenu toka mwanza ,nimewatafuta sana sana bado sijafanikiwa kuwapata