Daaah.polen san mungu ampumzishe mahar pema peponi🙏🙏🙏🙏🙏
@JoyceRichard-b2n9 күн бұрын
Pole sana Dada mungu akupe ujasili na nguvu
@jackmabirangacharles939818 күн бұрын
Poleni Sana Mungu akampe Makazi Mema Yenye Mbele yetu sisi Nyuma yake 😢
@hamzakimaro376418 күн бұрын
watanzania wameanza kuwa makatili wa kuitisha!!hii tabia hatukuwa nayo miaka ya nyuma!! poleni sana wanandugu kuondokewa na mpendwa wenu!!
@NeemaMgema-q8l10 күн бұрын
Sorry sana mother 😂😂😂😂😂😂
@ThanksonJeremiah18 күн бұрын
Poleni sana
@AsiaJumanne-h2v13 күн бұрын
Polen sana mungu awasimamie
@arthurherman-rn8ko17 күн бұрын
INAUMA SANA...
@amanisalum163818 күн бұрын
Katika Nchi yetu ndugu kuwa na Imani tofauti sio jambo la ajabu. Inawezekana ni mtoto wa mama mkubwa na mdogo,ama baba mkubwa na mdogo na vinginevyo.
@IreneJoseph-t8s17 күн бұрын
Irene Joseph 306 jamani kuweni makini na watoto sasa hivi dunia inamambo mengi Kama unga was ngano Wana dodoma poleni Sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@gertrudegwarasa63214 күн бұрын
Pole Dr.Frank🤝🙏😢
@SaidaRamadhan-j7m13 күн бұрын
Waliousika mwenyezi mungu wape adhabu yako
@Naju64518 күн бұрын
😢😢😢😢mungu tulindie watoto wetu
@ezebiakayingi657618 күн бұрын
kweli Mungu atulindie watoto, ila na sisi tutimize wajibu wetu kwa watoto
@Naju64517 күн бұрын
@ezebiakayingi6576 hata huyo anatimiza majukum yake nivile Jambo likitaka kutokea hakuna ujanja
@Daphne36218 күн бұрын
Daaah..jamani kifo kusikie tuu kwa mwenzio😭😭😭😭😭
@PaulAntony-i4c18 күн бұрын
Jamani poleni sanaa
@ashurachai844218 күн бұрын
Kila kifo kina sababu zake. ALLAH NDIO AJUAE YOTE
@MamaShazma-o3o18 күн бұрын
Ni kweli
@jumaigoti754118 күн бұрын
Poleni sana inauma sana
@Dmsiris518 күн бұрын
Poleni sana wapendwa.
@simbafans-v8f17 күн бұрын
kudadeki kumbe ni msukuma tena dah!!! pole sana msukuma mwenzangu
@zaharamussa16117 күн бұрын
Singida
@MwanahamisiBwanga17 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭nmeishiwa maneno daaaa untamass
@swaibushemdoe18 күн бұрын
Duh😢😢inauma sana
@JeniAlex-e4v18 күн бұрын
Jaman duniya imekwisha🤭🤭🤭🤭🤭🤭🙊🙊🙊🙏🙏🙏
@lulumwakila520117 күн бұрын
Dah inauma sana usikie tu kwa mwenzio kifo hakizoelek mtoto mdogo anauawa kikatili kweli jamani binadamu tuwe na huruma
@MkitoMkito17 күн бұрын
Poleni wana familia wote
@ShemtoiMyonga13 күн бұрын
Pumzka kwa aman kijana wetu
@HonestaKimaro17 күн бұрын
Inauma sana jamani
@Hamy110918 күн бұрын
Inasemekana ameuwawa kwa kupigwa na kitu butu kichwani na sio kitu chenye ncha kali. Waandishi kuweni makini na taarifa zenu.
@DianaTumsime13 күн бұрын
Yahan wote waliousika wakamatwe
@JahidaRashid17 күн бұрын
Pore Sana 😢😢😢
@ZuhuraAthuman-u2i18 күн бұрын
X.Mas ya mwaka huu atakaa haisahau milele😭😭😭
@bettykafumu667818 күн бұрын
Poleni wafiwa
@PendoCharless17 күн бұрын
Inauma sana jaman mtt mzr amekosea nn
@SadaHasimu18 күн бұрын
Inauma sana jamni Yani unaanzaje kumpiga mtoto kichwani adi kumtowa uwai wake inauma sana mtito hana kisa lolote Mungu atafanya kheri aliyeusika au waliyousika watqpatikana tu
@CelinTonny18 күн бұрын
Yaani
@FarajaMarko-b9t18 күн бұрын
Duuuh inauma sana jamani... wana dodoma tuwe makini na watoto wetu
@saidhamza531818 күн бұрын
Frank makaranga dadake zaituni shaban zengo 👀 rip mtoto.
@evalinalucas766018 күн бұрын
Kila mmoja na Babaake huenda
@FekiHappy18 күн бұрын
Kwani Kama lzm awe baba moja kuna Binamu una kaka kwa mama wadogo wa kubwa
@jonfredkewe345118 күн бұрын
Ubini wa dadaake unatajwa ule wa mme wake
@halimakuju607618 күн бұрын
Sasa ndugu zake kama wako jilani jamani siengempeleka mtt huko jamani
@MariaMagele17 күн бұрын
😭😭😭 mngu wangu
@josiamwambona278518 күн бұрын
Da inauma una ndugu hapo unamuachia boda mtoto una shida we mama wa mtoto tuombe sana mungu atupe hekima starehe zipo tuuu ila binadamu wabaya wapo omba sana
@adeodatuskakorozya906418 күн бұрын
Mazito gani sasa amefunguka hapo! Haya mambo ndo KZbin wanakwenda kukomesha soon, mtanyooka tu na uzushi wenu
@KalekwaKibwana18 күн бұрын
Mungu tuonyeshe kitu Kwa huyu mtoto mdogo Maraika wako
@AlHamra-k4u18 күн бұрын
Mama wa mtoto bora ungemchukua mwanao lkn ulimuamini bodaboda 😭😭😭.
@zubedamagambo813918 күн бұрын
Jamani Dunia ilivyoharibika kumuachia kijana mtoto, watoto wanalawitiwa, wanauwawa ili waibiwe viungo, wanabakwa. Inakuaje bado tunawaanini vijana na kuwaachia watoto jamani????
@ezebiakayingi657618 күн бұрын
@@zubedamagambo8139katanguliza starehe mbele mtoto nyuma, anajiona bado binti kumbe keshakua mama, hapo alienda club, na itakuwa ndiyo utaratibu wake wa siku zote, wazazi wengine huwa wanawaona watoto wao kama kikwazo cha kutoponda raha.
@MonicaNguruwe17 күн бұрын
Duh boda boda unamuachia mtoto????? Wale Wana laana ya kuvuta mafuta Kila siku
@swaibushemdoe18 күн бұрын
Hivi hizi nguo za wanazo vaa wafiwa zinashonwa sangapi
@irhamseif18 күн бұрын
Zinauzwa zushashonwa.zipo madukan
@arafaomari183217 күн бұрын
Mie mwenyewe na shangaa
@HappnesHasssani18 күн бұрын
Dah😢😢😢😢😢😢
@FloraIkwabe-qy3yb17 күн бұрын
Labda kachanganya mababa
@dn.n498318 күн бұрын
RIP MTOTO SO SAD JABMANI HATARI
@SalamaKassimu17 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢
@zuenajohn832518 күн бұрын
Au mama ulishindwa kumuuwa mwenyewe uka mkodi bodaboda.
@latifamubba10018 күн бұрын
We mpumbavu kweli sas amuue mtt wake kisa nn mpk amtumie mtu kwann asitoe mimba
@Isack-b9k18 күн бұрын
Hakuna kutukanana maswal ni mazur kujua ukweli
@arafaomari183217 күн бұрын
Ilo nalo neno
@arafaomari183217 күн бұрын
Tutajua tu
@innaenock207418 күн бұрын
RIP broo🇹🇿
@TatuMkeso18 күн бұрын
Inalilah wa inailah rajuun
@JacklineAbel-r2t15 күн бұрын
😂😂
@AngelinaDauson18 күн бұрын
Poleni sana
@OmanOmanhoner18 күн бұрын
Uwezi jua labda mama kashanganya wa baba
@sskondopoleani961618 күн бұрын
Kwa hiyo kama umechanganya baba basi stahiki ni kumuua mtoto? Kakosa nini??? Kwanini asimuue mama aliyechanganya???