MTOTO GENIUS MUUZA MAKOPO YA MAJI, APATA DIVISION ONE, BABA ALITUFUKUZA “TUNA MIKOSI”

  Рет қаралды 209,534

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 628
@muddybreezy4595
@muddybreezy4595 Жыл бұрын
R.I.P MOM😢 Hakuna upendo wa kweli isipokuwa wa MAMA Mama anaokota makopo mtoto asome dah😢 Mlio na mama mjivunie n muwapende mama zenu
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Жыл бұрын
Aminaa
@RoseSindi
@RoseSindi Жыл бұрын
Kweli mama tunae namshukuru Mungu lkn mmmmmh!
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Жыл бұрын
R.I.P MAMA .
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 Жыл бұрын
​@@RoseSindimbona kuguna npenz
@EvelynMonica-ib3op
@EvelynMonica-ib3op Жыл бұрын
Kweli kabisa hakuna Kama mama sisi tuliopoteza mama enzi hizo tuliteseka sana 😢
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Жыл бұрын
Huyu binti ni muombaji sanaaa sauti yake ipo na fire 🔥🔥🔥 Yuko na upako wa Hali ya juuu
@magrethsanga942
@magrethsanga942 Жыл бұрын
Amina
@joycemageta4876
@joycemageta4876 Жыл бұрын
@elishajoshua4892
@elishajoshua4892 Жыл бұрын
Ase MUNGU atabaki kuwa MUNGU, jinsi anavyojua maisha ya watu lakini anaturehemu wote. Naamini njia Itapatikana kwa hii Familia. 🙏🏼
@AshaMakame-zg9xi
@AshaMakame-zg9xi Жыл бұрын
Ameen
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Kinachoniuma akifauru kazi
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 Жыл бұрын
Amina
@nicewatson6264
@nicewatson6264 Жыл бұрын
Amiin Mungu ni mwema
@sarahbusiliye1174
@sarahbusiliye1174 Жыл бұрын
​@@AshaMakame-zg9xiee2😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😆
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 Жыл бұрын
Hongera sana Betty,Mwenye enzi mungu akusimamie. Nitoe tu Msisitizo kwa shule zinazojitangaza kibiashara,zitumie nafasi hii kumpa nafasi huyu binti aendelee na masomo yake ya advance maana ANAJITAMBUA
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Жыл бұрын
Woooh! Huyu Baba anasubiria huruma za fainali za uzeeni! Mungu ataiinua hii familia tu
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Жыл бұрын
Akizeeka ndio atawatafuta
@tedykimaro2763
@tedykimaro2763 Жыл бұрын
Ashalamba joka huyo mzeee yaan atabaki nazo mkononi mchezo ushaisha
@beatricetoye3576
@beatricetoye3576 Жыл бұрын
Daaaah huyu mama yao naiona kesho yake nzuri sana maana watoto wote wanaakili 🙏🙏🙏mungu atakusimamia pia binti
@twilumbamhonda
@twilumbamhonda Жыл бұрын
Oh.ananikumbusha mbali kweli,bety jipe moyo mkuu,umefika hatua nzuri usikate tamaa . Mungu akujalie ufikie malengo yako.
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe Mungu awabariki ninyi na mamaenu Baba Mungu amsamehe Airudie family
@nadhirualawi3180
@nadhirualawi3180 Жыл бұрын
Ww ni unanmoyo wa ajabu wengine wangeanza kumlaani baba japo anastahili hilo cha muhimu ni kumuombea kwa Mungu airudie family
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Familia yao wote vipaji wanaonekana Maa'shaallah Allah amsaidie
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
Pole sana bnt ,mama na familia kw ujumla,hongera sana bnt maana vmbunga vyote na tufani havijakupotezea baharini,endelea kujipa moyo mkuu,ulikotoks kulkuw gza zaid uendko angalau mapambazuko onekana.Jpo mzaz Hana upendo nanyi ila anayohoja ya kujbia km c mbele za wanadam bc yke yy ahukimuy kw haki.Jipe moyo mkuu,usijihukumu Wala kutosamehe,jilazimishe kufuata akili yle yaliyokuumiza hasa,jitahd kuvtafakar vle vtu vdg vlivyowah kukupa faraja wkt WA machoz yko! Mungu kibariki ht Dawa ya meno takutumia.Japo n heri ukateseka Hali mzaz kafa kuliko yko hai tna anamwagilia moyo kila uchao. Jpo htuwezjua Ile nguv imshikiayo upnde wa2 na kumpumbaza asahau km lishkuw baba hpo kwnza,maana ht kichwa akirukw akili mkinyang'anya mtoto akitulia hukumbuka mwanae na humdai,paka na mbwa nao hvyohvyo kukiwa mvua/ jua huwahamisha watoto wke ht eneo salama,chakula kikiwa kdg humtengea mwanae kwnz ksha yy hula mabak lkn Leo mwanadam anazdiw akili na mnyama amfugaye!!?WANADAM ,SIK Y HUKUM ITAKUW N SIK YA UTIISHO MKUU Kwann twakoleza ghadhab ya Mungu kzembe km hv?
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Zidi Sana ktk Imani zidi ktk kumtegemea Mungu
@annamakusa3740
@annamakusa3740 Жыл бұрын
Yaani huyu anaakili ya darasani na yakimaisha,ongea yake tu she look very composed,go girl 🔥🙏
@florandomba6822
@florandomba6822 Жыл бұрын
Saaana ,,,,,
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 Жыл бұрын
Hongera Sana Mjuu wangu, umenifariji sana. Wewe ni dhahabu,, Mungu anaenda kukuinua zaidi ya Uwazavyo. Nakumbea Mungu akupekeke Viwango Vikubwa na vyakushangaza ili Shetani na kazi zake ashangae na kukalia Kiuno kwa kushindwa kwake. Mungu awatinze kwa Neema yake.
@DenisLukomwa-u9v
@DenisLukomwa-u9v Жыл бұрын
Nimefurahi sana Sana sanaaa Safiiii sanaa 👏 WeWe ni CHAMPION 💪💪💪jamani! MUNGU WETU SOTE, ANAPONYA KWA MOTO, ANATIBU kwa KISU ANATUMIA MATATIZO YETU KUTUBARIKI, KUTUINUA NA AnAtukutaanisha na Wakuu juu..
@sultanjames9395
@sultanjames9395 Жыл бұрын
Kuna rafiki yangu anasemaga nipo singo kwa sababu sibembelezi wanawake. Kupitia huyu mtoto naweza kusema mwanamke mwenye akili unamjua kwa namna anavyoongea na anavyojibu unachomuuliza. Hongera sana Dogo unastahili baraka unazopokea.
@asnathmwaipopo6877
@asnathmwaipopo6877 Жыл бұрын
MUNGU huyu nimkuu sana🙏hongera sana mrembo wangu ❤MUNGU akutunze uje kusaidia wadogo zako🙏
@jonathannkoba3806
@jonathannkoba3806 Жыл бұрын
Hongera sana Betty👏 kwa ufaulu mzuri.Binti anaonekana ni mwenye nidhamu,adabu na anajituma. Mungu amsaidie atimize malengo yake na ndoto zake ili aje aisaidie familia yake. Huyo baba anahitaji maombi sana na wanasaikolojia wa kumshauri manake si akili ya kawaida kutosaidia familia yako hata kama ana mke mwingine.
@whiteangelhomedecorations2230
@whiteangelhomedecorations2230 Жыл бұрын
Baba mwema mtakatifu Kristo Yesu uishie milele wema wako na fadhili zako ziihudumie familia hii kwa kuwainua watu wakuipa mkono wa ushirika, Mbarikiwe sana Millard - Ayo mmekuwa mawakili wema basi nitafanya kitu kwa hiyo familia.
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc Жыл бұрын
Inapendeza tufundishane kwa mkazo kutendeana mema kama neno linavyotuagiza kuuanzia ngazi ya utoto,wazazi ,walezi ,ndugu kutelekeza watoto ni tabia ipo ,c wanaona Hana kitu ila akibarikiwa Kila mtu atadai ni ndugu..
@chloecallie3619
@chloecallie3619 Жыл бұрын
Hongera sana mwanangu. Ayo mtupatie no ya simu. Na huyo baba subirini watoto wafanikiwe. Ataanza kudai matunzo na asipopewa anadai anawalaaani. Jamani mnisaidie mwenzenu hiyo laana itashika
@soberhousetv2245
@soberhousetv2245 Жыл бұрын
Haishiki
@doreen9516
@doreen9516 Жыл бұрын
Mungu watetee hawa Watoto, wainue, washinde zaidi ya kushinda kwa utukufu wa jina lako! Amen!
@monyjohn5538
@monyjohn5538 Жыл бұрын
Damu ya Yesu iwafunike, mkono wa Mungu uliohai uwape kushinda dhiki daima
@KibibiShetui-z2i
@KibibiShetui-z2i Жыл бұрын
Karibu moshi mtoto wangu. Mawezi ni shule Moja nzuri sana mwanangu tunakuombes sana wewe na ndugu zako Mwenyezi Mungu awatangulie
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Najikuta nataka kulia mm 😢😢😢mungu akutangulie msg wangu 😞😭😭😭 utafika mbaliii mungu yupo
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akutangulie ktk masomo yako ya High School na hatimaye Chuo Kikuu uje uisaidie familia yako(Mama na Wadogo zako). Mshukuru sana Mungu kwa uwezo aliokupa na mtegemee yeye ktk maisha yako yote usimwache. Utakuja kuwa mtu mkubwa sana. Na msamehe Baba yako usiwe na chuki naye. Muombee Mungu atambadilisha. Kila la kheri Binti yetu. Ningejua namba ya mama yako ningechangia kidogo nilichonacho kikusaidie.
@mamanice-go6ud
@mamanice-go6ud Жыл бұрын
No zipo hapo chini
@annijulius4953
@annijulius4953 Жыл бұрын
Mtoto anajielewa sana hongera sana binti Mungu akusimamie.
@sarafinabutashilaga6990
@sarafinabutashilaga6990 Жыл бұрын
Sis wenyew tunaish maisha magum yan hapo ni pazur walah lkn Mungu ni mwema mdg wng kapata one ya6
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Akuna kama MAMA Mungu ampumzishe kwa amani MAMA angu😭😭😭😭😭Hongera sana MAMA kwa kuwapambania watoto ipo siku utakula matunda yako uliyoyapanda endelea kupambana 🙏🙏Hongera mtoto mzuri Mungu azidi kukuongoza ufike mbali 💖
@SNKANTO
@SNKANTO Жыл бұрын
Pole
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@JacobRushatsi-gi6wj
@JacobRushatsi-gi6wj Жыл бұрын
Duuuuu mungu akulinde katika maisha yako , jirinde na vishawishi usidanganyike ukasahau ulikotoka , pambana mdogo wangu
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 Жыл бұрын
Yeah sisi ndio wale tunaopiganiwa na bwana.❤🎉
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Nimpe hongera anajua kujieleza na mungu azidi kuwa nae
@deborahlusenga3574
@deborahlusenga3574 Жыл бұрын
Hongera sana Betty, Mungu akuwezeshe utimize ndogo zako. Ninaamini utafanikiwa kwenye maisha yako. Pia nampa pongezi Mama Betty kwa kuwapambania watoto wake.
@bibiruthmasanja
@bibiruthmasanja Жыл бұрын
Mungu, atabaki kuwa Mungu. Mungu aendelee kukuinua, nenda na kasi hiyohiyo. Hongera sana mjukuu wangu
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Жыл бұрын
Mama huyu namjengea mnara wa dhahabu. Wewe ni mama hasa. Kuna wamama wana baba na mama na baba anapenda watoto wake. Lakini mama anatoka nyumbani na watoto anakwenda mbali akifika huko anaanzisha maisha na watoto anawaoangisha kwa ndugu zake. Watoto wanaishi maisha ya shida na masimango mpaka watoyo wanachanganyikiwa wanakuwa watukutu kwa maisha, mama kama hawa Mungu anawaona. Lakini huyu mama nampa nishani ya dhahabu na mwisho wake atakuwa mtu maisha ya kuwafariji na watoto wake. Mama big up.
@faridahalil4456
@faridahalil4456 Жыл бұрын
Very intelligent familia, mungu awahifadhi wake wamfae mama yao
@jonasjonasloth5767
@jonasjonasloth5767 Жыл бұрын
Chanzo ni nini mpaka baba anamfukuza mama Kwan huyo baba nikichaa mbona hakumfukuza toka mwanzo na je baada ya kufukuzwa nyumban mama alichukua hatua gani za kisheria ? Ila wamama wanapandikiza sana ubaya Kwa watoto pasipo kufuata ukweli mm nimtakie Kila lakheli mungu atamsaidia ila ugomvi wa wazazi usiuingilie Wala usipandikizwe chuki Kwa kuambiwa baba yako mbaya chunguza umakin.
@neemakahale
@neemakahale Жыл бұрын
Mungu akubariki bint, jinsi mungu alivyokusimamia, Nashauri kasome pcb au pcm mungu atakufikisha mbali sana
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Watu wanaopitia magumu kama haya wengi Kwa uwezo wa mungu huwa wanafanikiwa sana na utafanikiwa dada mungu yupo pole sana
@dominickmollel3237
@dominickmollel3237 Жыл бұрын
Ww baba wa mbinguni naomba sana usiwache hawa watoto maisha yao ni ww kwa kila kitu..
@zenobiagenuine537
@zenobiagenuine537 Жыл бұрын
Hakika hakuna kinachoshindikana kwa Mungu,big up kwa mama na akina mama wote kwa ujasiri mnaokua nao kupambania watoto wenu,hongeraa Sana mdogo wangu Mungu wa mbinguni atafungua milango ya Baraka bzaidi mpaka dunia ishangae
@salmasuleiman2285
@salmasuleiman2285 Жыл бұрын
Hongera binti
@carezaro
@carezaro Жыл бұрын
😭😭😭😭😭nmelia saaana betty mdogo wang MUNGU akuinue juu hata mimi nmeptia😭😭 kuwa na iman2
@severinemkumbi9213
@severinemkumbi9213 Жыл бұрын
Halafu mtoto akipata Mkwanja Baba mbio na kusema huyu mwanangu, hongera zake aisee.
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 Жыл бұрын
Umeona yaani
@severinemkumbi9213
@severinemkumbi9213 Жыл бұрын
@@zulfahussein6784 Yah inatia huzuni, naomba nisifanye huo ujinga.
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Na mtoto akikazia utaskia oooh mtoto yule analaana
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Anasimamisha kbs mishipa hy mwanangu
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 Жыл бұрын
@@lastkinglastking3326 yaani acha tu wazazi wanatowa laana hila wanajisahau kabisa
@abedishebila6676
@abedishebila6676 Жыл бұрын
mh da inauma kweli 😭😭😭 mm Kama mm choz limedondoka mdogo wangu akili unazo soma mm nilikuwa natoka na mama yangu kwetu siku za soko jumanne na ijumaa mama ananiamsha saa 10 usiku nabeba mzigo na mama Hadi sokon tuseme kuanzia kinondoni Hadi korogwe ya kimala wa miguu halafu narudi na navaa naenda shule mm nimeishia from two lkn baba yupo wewe akili unazo pambana mungu akusaidie ndogo wangu Sina chochot lkn naomba namba nikusaidie 25000 asant usilie lkn pambana
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Namba hizo zinapita juu
@yohanapelecca5034
@yohanapelecca5034 Жыл бұрын
Mungu ni mkubwa Sana
@SNKANTO
@SNKANTO Жыл бұрын
Pole
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Жыл бұрын
M2mie kweli xaxa!
@abedishebila6676
@abedishebila6676 Жыл бұрын
mm jamn sio mtu wa mitandao San lkn Hadi leo sikufanikiwa kupata namba yao Kama Kuna mtu yoyote mwenye namba zao tafadhar naomba anisaidie
@lupamwakabenga1716
@lupamwakabenga1716 Жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote one day maisha yatakuwa mazuri
@marcelinemumbee5911
@marcelinemumbee5911 Жыл бұрын
Hongera sana wewe ni jembe, Mwenyezi Mungu akuongoze
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 Жыл бұрын
Mungu Mwenyezi Atawafikisha Juu zaidi. Mpendeni Baba, Mungu Atatenda na atawatafuta katika JINA la Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai.
@thadeimosha7897
@thadeimosha7897 Жыл бұрын
Hakika Mungu turehumu mama ni mama tuuu hakika pongez bety Bado Mungu yupo atakupigania usjal safar bd utavuka tuuu
@hizamawa6046
@hizamawa6046 Жыл бұрын
Mzee wao atakuja kujuta aisee Yaani watoto wote ni magenious halafu unawafukuza
@efrasiabosco4661
@efrasiabosco4661 Жыл бұрын
Hongera Saaana binti na pia pole kw magumu uliyopitia naamin Mwenyezi Mungu atakufungulia njia nzur maishani mwenu endlea kupambnia ndoto zako Amin zitatimia nikutakie kila lakherufanikiwe Amen
@JamilaKelota
@JamilaKelota Жыл бұрын
Congratulation my love young sister upo very strong nakutabilia yaliyo mema daima
@benardotuoma59
@benardotuoma59 Жыл бұрын
Beauty with Brain, may Almighty God open the way for you,so that one day u can be a blessing to your family.
@collinstemba6040
@collinstemba6040 Жыл бұрын
Mimi ni kijana mdogo sana nmepitia changamoto ila hii ya Betty ni zaidi yangu 😢😢😢 sina mengi sana ya kusema pia sina uwezo kiivyo ila naomba tu namba nitoe chochote kwaajili ya safari yako mpya ya masomo unayoenda kuinzaa niseme tu unaniaa na njia ipo mbele yako baada ya miaka mitano badae uwezi kuwa hivyo ulivyo leo 😭😭😭
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 Жыл бұрын
She is so strong, hata anavyoongea kweli unaiona ndani yake.
@didowamchops9229
@didowamchops9229 Жыл бұрын
Yaan kweli genius huyu mtoto maana maongezi yake yametulia sana, Mungu awatunze kwakweli
@raphaelngulo1293
@raphaelngulo1293 Жыл бұрын
Hongera sana binti MUNGU amekuwezesha na ataendelea kukuwezesha ,hawa akina Marwa ipo shida yupo Marwa mwingine aliwakimbia Watoto wake huko Morogoro Naomba
@raphaelngulo1293
@raphaelngulo1293 Жыл бұрын
Tumsaidie huyo binti
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Yeye ndiye Mũngũ Buana ✓Mungu wa wanaũme ✓Mungu wa yatima ✓mfariji wa wanyonge ✓mzee wa siku ✓Mungu asiyependelea ✓YEHEVA SHAMA ✓YEHOVA NISI ✓YEHOVA RAVA ✓YEEHOVA ADONAI ✓ELISHADAI ✓MWAMBA IMARA Daima utabaki kuwa Mũngũ,heshima na Utukufu ni zako,
@EmeliaKilave-rs8oh
@EmeliaKilave-rs8oh Жыл бұрын
Kwanza nimelia,Mungu aliyewavusha Wana wa Israel aivushe familia hii ktk mapito magumu, Betty apambane lipo jambo jema kwake,mabinti wengne wajifunze ujasiri na kujitambua kwa binti huyu
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Ila wanaume mmmmhh🙌am speechless😤😤😤
@michaeldady1767
@michaeldady1767 Жыл бұрын
God Bless you young Girl your super genius and talented
@ms123ru
@ms123ru Жыл бұрын
Best interview ever Millard
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 Жыл бұрын
MUNGU awabaliki hii familia mungu amewabariki sanaaaaaaa.naamini mungu yupo pamoja na nyie mama apewe mauwa yake🌹🌹🌹
@ZenaJafari-mz4hr
@ZenaJafari-mz4hr Жыл бұрын
Mungu akusimamie naufike mbali zaid atakuja kujua mkos huo ulikua wake sina chakukupa ila nakuombea sana kwa mungu akuongoze kilahatua upitayo
@sekilonge
@sekilonge Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤dhahabu upita kwenye Moto ili baadae ing'are
@efrasiabosco4661
@efrasiabosco4661 Жыл бұрын
Duh Mwenyezi Mungu atawafanyia wepes kweny maisha yenu
@dottomccraney5485
@dottomccraney5485 Жыл бұрын
Da huyu Baba serekali imchukulie hatua na huyu mtoto apewe hata u Ambassador wa taulo za kike ili aweze kukimu mahitaji yake dah so painful story 😫😫😭😭
@RosemaryKisura
@RosemaryKisura Жыл бұрын
Umesema vizuri kabisa,akiwa ambassador itamsaidia na ujumbe utafika vizuri kwa vijana. Sioni haja ya makumpuni ya taulo za kike kutumia watu wenye pesa badala yake wawatumie mabinti kama hawa.
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 Жыл бұрын
Maashallah mwenyezi mungu akujalie kila lakheli yaarabi pamoja na Mama yako na ndugu zako yaarabi ameen 🙏🙏🙏🙏
@Mickson-o6l
@Mickson-o6l Жыл бұрын
Huyu mama apewe ulizi pamoja na watoto tatizo ni nyumba ndogo naushirikina wa nyumba za nje..unavuruga wanaumme wengi mungu atawafungulia...
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Hongera sana mwanangu mana wewe ni nwanangu mana mwanangu nime mchelewesha shule wewe 2006 wa kwangu elufu 2004 kumbe na wa kwangu ange maliza kumbe umasikini sikilema ninahakika hata wa kwangu atafika huko🤲🤲 mungu nisaidie
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 Жыл бұрын
Wa Baba Mola anawaona na malipo ni hapa hapa duniani
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
Uyu baba sio akili yake kashalogwa uyo😢😢
@mercyherbert8978
@mercyherbert8978 Жыл бұрын
Hongera sana Ufike mbali zaidi na umkumbuke mama yako,ila wababa Mungu anawaona
@kibibijaphary6918
@kibibijaphary6918 Жыл бұрын
Hongera sana mwanangu mtihani huu mgumu sana umeupitia Moyo umeniumaaa sana sana Mungu atakuvusha ye tu ndo kimbilio letu Utapata Kilichoboraa kabisàa...
@ericktesha7046
@ericktesha7046 Жыл бұрын
Huyu binti ana akili mnoo,Mungu ampatie hitaji la moyo wake katika Maisha
@sarahkadugu4367
@sarahkadugu4367 Жыл бұрын
Muleba Yatima wapo Wamepata Division 1.7 wakilelewa Mama akiuza Nyanya na Kabichi. Huyo Hongera zake
@AustineJulius-or5eq
@AustineJulius-or5eq Жыл бұрын
Hata huyu 1.14 kajitahidi san hongera yake
@Mwasity
@Mwasity Жыл бұрын
😭😭😭Duh Mungu Atawafungulia Milango tu hongera Sana mtoto mzurii
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
😭😭😭
@pyquedams1617
@pyquedams1617 Жыл бұрын
Jamani😭😭😭😭 watu wanabadilika sana Mwenyezi MUNGU aisaidie hii familia
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Жыл бұрын
anajieleza vizuri adi rahaa mwee Mungu amtunze😍😍
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Жыл бұрын
Kiukweli sisi wazazi wa kiume tunawakosea sana familia,ugomvi wa mama na baba usiwahusishe watoto,pia na wanawake wa pembeni punguzeni kuturoga mpaka tunasahau familia,Betty Pole sana na masaibu hayo makubwa
@hellenshayo3454
@hellenshayo3454 Жыл бұрын
Karibu Sana Moshi natamani ukija unitafute nice mama yako mlezi
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Жыл бұрын
Mungu mkuu Aangalii Makopo. Anaangalia haja ya makazi wake na kilio chake. Nawambia kila wakati mtegemeeni MUNGU MKUU SIKU ZOTE NA KWA YOTE NAYE ATAWASHIKA MKONO NA KUWAVUA AIBU YENU. BARIKIWA MTOTO NA MUNGU WETU AWAPE NEEMA YAKE. AMEN.
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Watoto tuliokuwa ivyo mbali na shule huwa kufanya vzr wengi maisha ni shule nzr sana answa yakiwa magumu yatakufunza
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Mungu bwana hana wa kufananishwa nae wallah
@BeatricealphoncemaziraJokate
@BeatricealphoncemaziraJokate Жыл бұрын
Pole mdogo wangu pambana nungu yu pamoja nawe
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 Жыл бұрын
Hongera sana binti Mungu akutunze❤
@gracegofrey4677
@gracegofrey4677 Жыл бұрын
Pambana mdogo wangu maisha magumu ndo huwa yanawapa watu uchungu na kupambana zaidi 🙏🙏
@rashidhamisi8301
@rashidhamisi8301 Жыл бұрын
Kweli dada 😢😢 dah inauma sana yaan wanaume sisi kuiona pepo sizani 😢😢
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Elimu hapa kwenu haina kazi mpz. Basi tu. Ningeweza mm ningemshauri vya kwenda😂 5 na 6 angeacha aende hata kozi
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Жыл бұрын
Uko sawa maana tukikumbuka tuyopitia tunapigania ili tubadilishe hali zetu
@faridafaki4927
@faridafaki4927 Жыл бұрын
Hongera
@faridafaki4927
@faridafaki4927 Жыл бұрын
Hatary jmn mtangazaji
@ShadrackAthumani
@ShadrackAthumani Жыл бұрын
Nimeumia sana,bety mwanangu unaakili,mtegemee Mungu atakusaidia,mimi ni baba ninawatoto sita,mama yao alinikimbia kwa changamoto za dhiki ya maisha magumu na bahati mbaya wiki aliyoondoka mama yao wiki iliyofata nikapata ajali mbaya sana nnikakaa hospital wiki mbili,mama yao alipigiwa simu mpaka leo hakuwahi kukanyaga,nimetoka hospital baada ya mwezi nikapata stock ya miguu na mikono mpaka sasa ninaumwa,nina binti yangu kamaliza form four mwaka jana,amefaulu kwenda kidato cha tano,amepangiwa chato mkoani geita,nipo nalia tu,na bahati mbaya wakati wa shida hata ndg huwaoni wakiona simu yangu wanajua nataka kuomba pesa,lakini napambana sina kazi yakueleweka maisha ni magumu,lakini bado hayupo wakuzidi wanangu thamani yao,mimi ndie baba yao,najua leo nina nguvu kesho zitaisha wanangu ndio nguvu zangu kesho ndio miguu yangu na mikono yangu kesho na ndio macho yangu kesho,chonde chonde wazazi wenzangu hasa wanaume wenzangu,ugomvi wa mke na mume usisababishe watoto waishi kama mbwa wasio na mwangalizi,baba mzazi unawafukuza wanao,unawavuruta nakuwatupa,kesho yako unajua itakuwaje,wewe baba bety ludisha moyo wako nyuma hiyo ni damu yako,wasaidie wasomeshe,Mungu kakupa watoto wenye akili sana,inawezekana kuna sehemu wanaungana na mama yao kukukosea maana wamama nao wana shida zao abda anawapandia maneno mabaya hawakuheshimu maana sio lahisi baba afukuze mke na watoto wote kutakuwa kuna shida hapo,lakini pamoja na yote wahurumie wanao waite uwatangazie msamaha maana kwa maongezi ya huyo binti betty yanaonyesha anauchungu sana na baba yake na kinyongo kikubwa sana,sidhani kama kesho atakuja kumsaidia baba yake,mzee mwenzangu wahi mapema kuondoa hilo bomu ambalo kesho litakulipukia mwenyewe,acha hasira,mimi nakomaa na wanangu wote,naomba msaada kwa marafiki na wapendwa ninacho pata ninawahemelea chakula na mahitaji madogo madogo,napambana sana na ninaumwa tangu mwezi watatu mwaka huu ndipo naanza kutembea kidogo kidogo,
@hafsaaali6518
@hafsaaali6518 Жыл бұрын
Jamani wababa wababa nawachukiya sana mimi nimepitiya hi hali nahangaika sana nasomesha wanagu ila mungu ni mwema sana na napata riziki yangu sana yani sijawahi kosa hata siku moja mungu endeleya kubariki kina mama wote na huyu binti mungu mfunguliye afanikiwe zaidi
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Wala sio wababa wote huyu mzee haya huo ukuu wa maabara wamempatu lakini akili yake sisawa kabisa
@fridamapunda5079
@fridamapunda5079 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu ana sababu zake
@ashwaqhasni
@ashwaqhasni Жыл бұрын
Hongera sana bint yangu Mungu azidi kukuinua huyo baba ipo siku yake 1 tu
@EvaristNgowi
@EvaristNgowi Жыл бұрын
Mdogo wangu usikate tamaa endelea kupambana Mungu yu pamoja nanyi
@SULEYMANSIRNGUNDA
@SULEYMANSIRNGUNDA Жыл бұрын
God bless you girl your fantastic genius... TO MY SIDE YOU GET 3 STARS LOVELY GENIUS I LIKE IT
@sixmundandrew381
@sixmundandrew381 Жыл бұрын
achana na mambo ya geograph na achana na mambo ya form 6 ,,,nakushauri ukipata mdhamin kasome vyuo vya tech diploma ili ukamilishe ndoto yako ya uinjinia.
@robinajonas
@robinajonas Жыл бұрын
Daaah,unawaza kama mm
@sixmundandrew381
@sixmundandrew381 Жыл бұрын
Yea,,form six n kupoteza muda ba bado n elimu ya sekondar.mfano kuna watu walienda na One kasoma PGM Zao lakin at the end wanapata 3 ya mwisho au four afu badae anakuja kutumia tena matokeo ya form 4 sasa io muda unapotea bure
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
@@robinajonas kweli kabisa Tz bado kasumba ipo Kuwa waliopata div4 ndo wanaenda vyuo
@sixmundandrew381
@sixmundandrew381 Жыл бұрын
@@adkajisi4536 n woga tu ,,watu wanajuaga mtu ukimaliza form 4 akaenda diplo wanajua kafeli et
@sixmundandrew381
@sixmundandrew381 Жыл бұрын
But all in all vyuo vya tech n bora sana kuliko 6
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 Жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 Жыл бұрын
MUNGU everthing will be fine inshallah
@tianarest
@tianarest Жыл бұрын
Mungu yupo nanyi kila saa kila wskat ni mwema
@NicolausSule-wr6jk
@NicolausSule-wr6jk Жыл бұрын
Karibu moshi mungu akutangulie kila hatua mdogo wangu
@annemlay11
@annemlay11 Жыл бұрын
Huyu mama wa huyu mtoto Mungu ambariki.Amesimama inavyotakiwa.Mama akisimama watoto hufanikiwa.Mungu atamlipa.
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Жыл бұрын
Hakuna kama mama
@ibrahimibra7486
@ibrahimibra7486 Ай бұрын
Mashallah sauti nzuri huyu ni tulia wa pili
@AshaMakame-zg9xi
@AshaMakame-zg9xi Жыл бұрын
Taula za kike muhimu maana chumba watu we give nyumba za kupanga hata yako kitambaa hakianikwi kwaupeni Hongera sasa Allah bless you
@asalkhan9168
@asalkhan9168 Жыл бұрын
yaani hii mibaba mengine haina imani mungu aninusuru
@mwanatenah4676
@mwanatenah4676 Жыл бұрын
anaweza kuwa karogwa jamani, em na yeye asikilizwe kwanza maake imetokea ghafla
@TheMandela21
@TheMandela21 Жыл бұрын
Stories nzuri I'll mtangazaji hafai
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Mungu wasaidie ,nimelia jamani,daa,namba ya sim bint ninsaidie chochote kidogo anunuwe pedi ,naunia nimepitiw maisha kama hayo mungu wasaidie wote wenye kuteseka
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg Жыл бұрын
Hongera zako mdogo wangu,Mungu amtupi mja wake ipo siku.
@mohammedhamiss3289
@mohammedhamiss3289 Жыл бұрын
Mungu atakufanyia wepesi mdogo wng betty kila kitu kitakua sawa mungu yupo nawe kila hatua ya maisha yako utafka unapo pataka.
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 Жыл бұрын
Hongera binti, wew utakuwa mtu mkubwa Sana baadae, mtangulizee mungu
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Twins Reaction After Diana Came Back😭 -They Really  Cried🥹
20:57
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН