MTOTO WA BILIONEA MSUYA AIBUA MAPYA MAHAKAMANI, ASEMA BABA YAKE HADI ANAKUFA ALIMILIKI GARI MOJA

  Рет қаралды 18,808

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 11 ай бұрын
Ndoa ziheshimiwe na watu wote, familia mjifunze kuheshimu mke na mume mmoja akiondoka aliyebaki aheshimiwe vinginevyo ndio majanga kama haya yanawakuta mauaji, matusi mwisho wake ni kuumiza watoto wasio na hatia
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 7 ай бұрын
Tatzo tunakosea wote ndo maana unaambiwa kosea vyote sio kuoa au kuolewa
@ecabelmwai3474
@ecabelmwai3474 3 ай бұрын
Umemaliza shida ni tamaa
@madamedna123
@madamedna123 7 ай бұрын
Ni kweli Mabilionea wengi Magari yao yanasajiliwa kwa Majina ya Kampuni na siyo Majina yao binafsi. Mara nyingi wanafanya hivyo ili kulipa nguvu Kampuni iweze kukopesheka kwa kuwa na dhamana kubwa.
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 11 ай бұрын
There is still light at the end of the tunnel god is in control don't lose hope.
@salminasalim5630
@salminasalim5630 11 ай бұрын
Baba yetu alie mbinguni mfanyie wepesi huyu mama atoke ashinde kesi aruhusiwe kurudi nyumbani aungane na watoto wake
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui 11 ай бұрын
Sheria ifate mkondo kama kaua wepesi hatouona
@RoseJohn-js7kb
@RoseJohn-js7kb 11 ай бұрын
​@@IMANWILLIAM-bl2uikabisa yani Kwa jinsi alivyomuua Aneth vile Anet akiwa na mtoto mdogo
@aminakasim1198
@aminakasim1198 11 ай бұрын
Anywengwe tu ukiua,pia,uawaa angekuwaa saudiaangeshauawaa
@RozRoz12-d4d
@RozRoz12-d4d 7 ай бұрын
Uyu mama gaidi
@FloraKida-j9f
@FloraKida-j9f 7 ай бұрын
Msimuhukumu Mungu mwenyewe anamjuwa muuwaji na kuna siku itajulikana. Acha Mungu amtetee huyu mama. Ingekuwa ni yy Mungu asingeruhusu aachiwe, damu ya mtu sio mchezo yy mwenyewe asingekuwa kama alivo kuuwa sio kabisa.
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 11 ай бұрын
mtoto wa mama uyoo nachukia za Sana watu wanao tengaga baba zao uwo Ni upimbi
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 7 ай бұрын
Inauma sana matoto mengi yana akili ya mende baba ndo mtafuta mali akifka maali akatafuta joto la pembeni unakuta ugomvi wa mama na baba matoto yanaingilia
@AngelaPeter-x2r
@AngelaPeter-x2r 11 ай бұрын
Acha kabisa mungu apendi
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 11 ай бұрын
Yaanimarehemu amiliki Gali moja alafu aitwe bilionia msuya kweli wewe mtoto nyoko mala sabini unamsaliti baba yako
@nathankihiyo6194
@nathankihiyo6194 11 ай бұрын
Eti gari moja tu🤣🤣 huo ni uwongo
@aminakasim1198
@aminakasim1198 11 ай бұрын
Hivi,wanajua kuna mungu kweli hawaaa mmmmmmmh yaan
@justice607
@justice607 7 ай бұрын
Ametoka tayari
@fideamtenga212
@fideamtenga212 11 ай бұрын
Mungu attatenda haki tuu
@joycerichard9274
@joycerichard9274 11 ай бұрын
Mungu wa mbinguni mkumbuke huyu mama
@aminakasim1198
@aminakasim1198 11 ай бұрын
Amkumbukeee na nini sasa naa damu ilomwagikaa
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 3 ай бұрын
​@@aminakasim1198 una lolote Leo mnapenda kuhukumu
@aminakasim1198
@aminakasim1198 11 ай бұрын
Na huyo mamaa anachekaa tu
@ChristopherDeograthias
@ChristopherDeograthias 11 ай бұрын
Eeeeeeeehatare
@munguhashindwijambo2681
@munguhashindwijambo2681 11 ай бұрын
Huyu siyo ridhikie huyo ukiua ndugu yangu siwezi kukutetea hata kidogo
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 11 ай бұрын
Kibatala moto unakusubiri ,tubu achana na hiyo kazi ya kishetani ya kumtetea muuwaji ..A lawyer is the first criminal
@getrudalufega9770
@getrudalufega9770 11 ай бұрын
Usihukumu
@goodlucktarimo6170
@goodlucktarimo6170 11 ай бұрын
Una uhakika ni muuuaji acha kiherehere ulikuwepo akiuwa
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 11 ай бұрын
Mungu msaidie huyu mama
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui 11 ай бұрын
amsaidie Kwa lipi?
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 11 ай бұрын
Amsaidie muuaji😢😢😢
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 11 ай бұрын
Mtoto nomaaaa
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 9 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
MAMA WA BILIONEA MSUYA 'AKATAA' KUFUTA KESI MAHAKAMANI, MTOTO ALIA..
12:58
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 245 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47