MTOTO WA MANJI ATOA TAARIFA "BABA ATAZIKWA LEO MAREKANI, KARIBU NA KABURI LA BABA YAKE"

  Рет қаралды 53,274

Millard Ayo

Millard Ayo

24 күн бұрын

Пікірлер: 80
@chikujuma18
@chikujuma18 23 күн бұрын
Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zake mola ampe khauli thabiti ndugu yetu
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 23 күн бұрын
Gone too soon. Wangemleta tumzike ni Alichangia sana PATO LA TAIFA😢
@Afrikalove736
@Afrikalove736 23 күн бұрын
Wezetu wanakulia Tazania, wanatibiwa Marekani ,wanafia Marekani na wanazikwa Marekani.Tanzania nikuchuma tu hela lolote litakalo tokea wanamahali pa kukimbilia .Wengine na mimi kauparange tutakanyagana hapa hapa.
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi 23 күн бұрын
Sio watanzania hao wapo kwa niaba ya kutafuta
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 23 күн бұрын
Hizi siasa na huu msiba unahusina nn sasa mbona mnapenda kuingiza siasa had at the wrong place
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 23 күн бұрын
😢😢😢😢 pole sana Kwa familia
@judyngowi391
@judyngowi391 23 күн бұрын
Tumekulia buzz, tutatibiwa buza , tutazikwa kwa Mpalange
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 23 күн бұрын
Kwani akizikiwa Marekani atafufuka na sisi tukizikwa kwa mparange ndio basi au?
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 22 күн бұрын
Innalillah wainna ilayh rajiuun pole kwa familia na walioguswa na msiba huu
@200Stella
@200Stella 23 күн бұрын
Mungu ampokee kwa mikono miwili na amsamehe makosa yake yote.May you find peace.
@EmmanueliZani-ur9bi
@EmmanueliZani-ur9bi 23 күн бұрын
Umechelewa, Mungu anaangalia neno lake, vile alivyosema, ndivyo atakavyofanya. Mungu anataka utubu dhambi zako mwenyewe, na uishi maisha matakatifu. Na siyo ukifa watu wakuombee hayo maombi ni sawa na kumpigia Mbuzi gitaa.
@Sarah_gerald
@Sarah_gerald 21 күн бұрын
Amiin
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 22 күн бұрын
Nenda baba msalimie Joseph Magufuli. baba yangu yule
@drgraysonkibwana9083
@drgraysonkibwana9083 22 күн бұрын
Kafa kiukweli au ni maigizo mbona ghafla jamani
@fallymetoo191
@fallymetoo191 22 күн бұрын
Allahumma ghufirlahu warhamhu waaskinahu filjannat 🤲
@HADSONPAUL
@HADSONPAUL 22 күн бұрын
Poleni sana mbele yetu nyuma yake
@ZayanaRiyami-jl3sd
@ZayanaRiyami-jl3sd 22 күн бұрын
Inna lillah wanna ilayhi rajeun 😭😭😭😭 Allah amsameh makoda yake anayoyajuwa na asoyajuwa, Allah amtanulie kaburi lake liwe na nuru na bustaan inayonukia na ampe kitabu chake cha mkono wakulia na amtarishie jannat firdaus donate na Mtume wetu Muhammad S.A.W 🤲 Ametangulia na sisi tupo nyuma yake Allah atupe khusnu khatma yarrab 🤲
@Didaskamili
@Didaskamili 23 күн бұрын
Maisha yote ameishi Tanzânia na sisi wNayanga tumeguswa lakini ametuchoma nafsi kwa nini azikwe marekani na nyumbani Tanzânia?
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 22 күн бұрын
Kaburi halina tofauti..je? Wanaoliwa na mamba ?? Makaburi yao yako wapi ??
@Teaching356
@Teaching356 22 күн бұрын
Ndo mtambue kuwa tz wanawaona ni kama hamna thamani yoyote.na angekuwa MTz afie marekani anazikwa huko huko uuuwiii!
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 22 күн бұрын
Innalillahi waina ilaihi rajiun, Allah amsameh madhambi yake
@jumamario-vr1mw
@jumamario-vr1mw 23 күн бұрын
Pole sana
@aaa64sa13
@aaa64sa13 23 күн бұрын
Inalillahi waina ilayhi rajioun
@johnlyochi7212
@johnlyochi7212 22 күн бұрын
Poleni
@DottoBusweru
@DottoBusweru 23 күн бұрын
pole ni
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 23 күн бұрын
Daah 😢😢
@user-ns1dg4jd7q
@user-ns1dg4jd7q 23 күн бұрын
Tangulia Manji kifo wewe 😭😭
@benancejohn1198
@benancejohn1198 23 күн бұрын
Rest In Peace Tajiri 🕊️
@user-nv7jg6xc8l
@user-nv7jg6xc8l 21 күн бұрын
Allah akosei innalillah wainnailah rajuun 🙏
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 23 күн бұрын
😢😢😢
@AeshaSaid-pe3tn
@AeshaSaid-pe3tn 23 күн бұрын
Subuhannallah
@SalumMzee-cw8do
@SalumMzee-cw8do 19 күн бұрын
Ewe uliye danganywishwa na dunia una nguvu unajeuri hakika ya umaut unakuja Ghafla na kaburi ni sanduku la matendo yk Allah Akbar
@StevenMsagusa-mk8qd
@StevenMsagusa-mk8qd 23 күн бұрын
RIP
@radojembe7347
@radojembe7347 23 күн бұрын
Dunia Mapito Inallilah wainalah rajuun
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 23 күн бұрын
Innalillah wa inailah rajun
@michaelloveness1705
@michaelloveness1705 23 күн бұрын
R. I. P
@setiseti5281
@setiseti5281 23 күн бұрын
Rip
@suhailaidarousahmed2879
@suhailaidarousahmed2879 22 күн бұрын
Innallillah waina illahi rajiun
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 22 күн бұрын
R.i.p😢
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 22 күн бұрын
Kama baba yake aliamua kuwa raia wa marekani inakatazwa? Omba na wewe uwe raia wa marekani, Sweden nk huwezi kukatazwa, issue ya manji ni msiba, huna haja ya kulalamika Manji kuzikwa Marekani, unajua kuna watu duniani hapa husimanga maiti utafikiri wao ni mawe, hatari sana.Duniani hapa hatuwezi kujariwa woteee tuwe matajiri, ndiyo maana unakuta akina mo, bakharesa,tramp, rip mengi nk nao pia wana michango yao kitaifa.
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 23 күн бұрын
Allah amrehemu
@ModextaModexta-on7mi
@ModextaModexta-on7mi 22 күн бұрын
🤲🤲💔😭😭
@TumainiAkyoo
@TumainiAkyoo 22 күн бұрын
Rais wangu Magufuli alikuwa hakurupuki kwa hili la kuzikwa marekani ndilo linafungua akili sasa
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 23 күн бұрын
Apumzike kwa amani
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 22 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni
@user-bn9el8yv8o
@user-bn9el8yv8o 22 күн бұрын
inailahi wainailahi rajiuni
@mercylujwangana2368
@mercylujwangana2368 23 күн бұрын
RIP MANJI
@neemapaschal1372
@neemapaschal1372 22 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajiun
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c 22 күн бұрын
Kwn anaishi marekani?
@SalimSalimu-z5c
@SalimSalimu-z5c 22 күн бұрын
Innaa lilahi wa Innaa ilahi Rajuun Allha Ampe Qauri
@sabinahobe3478
@sabinahobe3478 23 күн бұрын
Sorry kwani alikuwa ameshahamia Marekani? Na je ni muhindi au mwarabu? Rip
@florencemeza6540
@florencemeza6540 22 күн бұрын
Pesa na mali zote tutaziacha tutendeni mema tu, unajilimbikizia malii utafikiri utazikwa nazo
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 23 күн бұрын
Tumbafu saana wanatusumbua kumbe siyo watanzania?? Na hap ndo wanatuletea ushoga tumbafu
@cclaudeshilling957
@cclaudeshilling957 23 күн бұрын
Innalillah wainnalillah rajiuun
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 23 күн бұрын
Amezariwa tz amekuria tz anazikwa marekani tujifuze
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 23 күн бұрын
Hajaletwa kuzikwa kisutu kumbe !!😢😢😢
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 23 күн бұрын
Hawa natajiri wana manyumba yao nje huko 🙏🙏🙏☹️☹️☹️
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 23 күн бұрын
@@user-nb6yh2bn9y duh! Noma aisee
@rubenprince8990
@rubenprince8990 23 күн бұрын
​@@user-nb6yh2bn9yhela za moto ngumu
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 23 күн бұрын
Watu wa maana wanakufa maeneo ya maana wanazikwa maeneo ya maana bhan
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 22 күн бұрын
Msalie mtume!!!
@KhadijumaKhadijq
@KhadijumaKhadijq 22 күн бұрын
Wewe ni wamaana kuliko huyu jikubari Kama tunavyo kuku bari
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 23 күн бұрын
Inaonekana alichukia Tz
@JonathanMatembo
@JonathanMatembo 23 күн бұрын
Wameiba lasiimali za Tanzania wakawekeza hukoo marekani,na wakifa wanazikwa huko huko
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 22 күн бұрын
Mmh sijui hata mnapata wapi nguvu ya kumsema mtu ameshatangulia mbele ya Haki poleni wafiwa M Mungu amsamehe makosa yake inshalah
@immaculateakilimali7220
@immaculateakilimali7220 22 күн бұрын
​@@SalamaAkilimali-ly3bujamani Akilimali mwenzangu binadamu wanajua kuhukumu acha tu.
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 22 күн бұрын
@@immaculateakilimali7220 Sanaa baada wajiombee mwisho mwema 😭
@irenemaganga9831
@irenemaganga9831 23 күн бұрын
Tutajuje kama kweli amekufa
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 23 күн бұрын
We Nani sasa ujue au usijue
@judyngowi391
@judyngowi391 23 күн бұрын
Nenda msibani
@robbyman6213
@robbyman6213 22 күн бұрын
Rip
@user-qg7fw7si5i
@user-qg7fw7si5i 22 күн бұрын
Apumzike kwa amani
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 4,6 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 105 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 16 МЛН
SIMULIZI YA MAMA WAWILI KUMGOMBANIA MTOTO,MTOTO AONGEA
8:27
Millard Ayo
Рет қаралды 27 М.
Is AI an existential threat to human jobs? | BBC News
20:38
BBC News
Рет қаралды 44 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 4,6 МЛН