MTOTO wa MIAKA 9 ASIMULIA ALIVYOBAKWA KISA VICHEKESHO, APEWA 200, MAMA AZUNGUMZA kwa UCHUNGU...

  Рет қаралды 651

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

MTOTO wa MIAKA 9 ASIMULIA ALIVYOBAKWA KISA VICHEKESHO, APEWA SH.200, MAMA AZUNGUMZA kwa UCHUNGU...
Mtoto wa Miaka 9 Jina limehifadhiwa anayeishi na wazazi wake katika kata ya Mpemba mtaa wa kigamboni anadaiwa kubakwa na mtu aliyemtaja kuwa ni baba Jack mfanyabiashara wa Mahitaji ya nyimbani katika Soko la Kigamboni Mjini Tunduma.
Akiongea na Global TV mtoto huyo amesimulia namna baba Jack alivypmshawishi kwa kumuita kibandani ili aangalie Movie ya vichekesho.
Aisha muendesha mashtaka wa mahakama ya wilaya ya Momba anaeleza kesi hiyo inavyosikilizwa ktk mahakama ya wilaya
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 10
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Haya mambo yanakua vipi bongo wanawake wote waliojaa bongo kukiingilia kitoto cha miaka 9😭
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 9 ай бұрын
Yan naumia sana kuskia watt wanafanyiwa mambo y kulawitiwa n wahusika wapo nje inauma sana itafika mahali mtu unaweza ukaua ukaenda kufungwa ndo tunapoelekea mtoto anauma sana sana 😢
@salhaomar5382
@salhaomar5382 Жыл бұрын
Kwanini hawa watu.wasinyongwe tuh jamani watoto wetu wananyanyasika san
@josephmgale4914
@josephmgale4914 Жыл бұрын
😢😢
@funny-videos265
@funny-videos265 Жыл бұрын
🤔🤔
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Kwanini yupo njee
@rehemamkolwe7120
@rehemamkolwe7120 Жыл бұрын
Mbakaji
@josephmgale4914
@josephmgale4914 Жыл бұрын
Amekamatwa huyo?
@salhaomar5382
@salhaomar5382 Жыл бұрын
Inatia uchungu san
Mtoto wa miaka sita mwenye kipaji cha hesabu Tanzania
2:42
BBC News Swahili
Рет қаралды 125 М.
Kutana na Mama Mariam Nabatanzi  mwenye watoto 44
5:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 8 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 29 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 20 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН