MTOTO WA MIAKA 9 ANAMUUGUZA BIBI YAKE KWA UJASIRI, HAJAWAHI KUMUONA BABA "NILIMFUATA NIKAPIGWA KOFI"

  Рет қаралды 621,070

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

#millardayoMWANZA #mtotoJasiri
Shamsa Ramadhani ni mtoto wa miaka 9 kwa umri wa mtoto huyu ndie mwenye jukumu la kumuuguza Bibi yake kwa zaidi ya miaka mitatu akimpatia huduma zote ikiwa ni pamoja na kumsafisha Bibi anapopata haja
Mtoto huyu anasilimua baada ya kifo cha Mama yake hajawahi kumuona tena Baba yake licha ya kuwa yupo hai lakini hiyo haijamfanya Shamsa kupunguza mapenzi kwa Bibi yake na hata wanapoishi wamehifadhiwa kwa muda tu na msamalia mwema

Пікірлер: 1 000
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Na ana ujasiri MashaAllah🙏🙏🙏🙏🙏mungu amjalie Huyu mtoto..Mungu mkubwa,milango itafunguka tu,inshaAllah
@aishaukuthymwanachahaya4511
@aishaukuthymwanachahaya4511 3 жыл бұрын
Sn Inshaallah ameen yarrby
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Ameeen mungu ni mwema sana
@latifaali5874
@latifaali5874 3 жыл бұрын
Aaamyn
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 3 жыл бұрын
Wanaume nyiee atariii
@aishaukuthymwanachahaya4511
@aishaukuthymwanachahaya4511 3 жыл бұрын
@@asha.mwambamwamba1774 somo Sn yn
@tatumluv6054
@tatumluv6054 3 жыл бұрын
Mtoto mzuri alafu anamajibu ya kiutu uzima mashallah 😘😘
@ummuchumwashebby3752
@ummuchumwashebby3752 3 жыл бұрын
Yan anawashinda had mastaa wasojielewa kwa kujielezeaa,,,,,,
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 3 жыл бұрын
😭😭😢😢Allahu Akbar, Imeniliza MWENYEZI mungu Atakusimamia Mwanangu mtt Mzuri Jamani
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 3 жыл бұрын
Kiukweli huyu mtoto ametuliza wengi inatia huzuni Sana hii story ya hupi mtoto na bibiyake
@husnaally6776
@husnaally6776 3 жыл бұрын
Natamani ningekuwa jirani yake nimsaidie tu kaz maan pesa sina ..tungekula nnachopata ...am so sad 😭😭😭😭😭😭😭😭
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@husnaally6776 😭😭😭😭😭😭😭😭
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Hii story inaumiza saaan... Flora nitetee alipo mungu ambarikii saan
@aishachambo8663
@aishachambo8663 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ShebbyChipeta
@ShebbyChipeta 3 ай бұрын
Jamani mahisha aya simuliasana yasikukute yanaumiza
@robsondalink6206
@robsondalink6206 3 жыл бұрын
Heri kijana masikini mwenye hekima kuliko Mfalme mzee mpumbavu🤝Mungu akuinue na akusaidie katika njia zako zote
@michaelstephen3743
@michaelstephen3743 3 жыл бұрын
TUBAKIE hapo tuu
@dicksonnoel1004
@dicksonnoel1004 3 жыл бұрын
Amina
@elizayanga9756
@elizayanga9756 3 жыл бұрын
AMEN
@elividamtaki2760
@elividamtaki2760 3 жыл бұрын
Amen
@fransisigulu9761
@fransisigulu9761 2 жыл бұрын
Sana
@abdulkhamis1170
@abdulkhamis1170 3 жыл бұрын
Nimelia kwa uchungu jisi mtoto mdogo havyoweza kusaidia bibi yake kunawatu wengi hawana huluma na familia zao tumsaidie huyu mtoto
@salhanassor5201
@salhanassor5201 3 жыл бұрын
Inaliza kwakweli na hao watoto wake hawajiskii ata aibu kuona mzazi wao anatunzwa namtoto ilhali wao wapo! dah dunia hii Allah atupe mwisho mwema kwakweli
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Duh Mungu amuimarishe Huyu mtoto!!!Mungu amnusuru bibi yake...maisha ndo yalivyo🙏🙏🙏🙏
@stellaprince4871
@stellaprince4871 3 жыл бұрын
Oooooh Mwenyewi Mungu gusa moyo wa Baba wa toto Huyu daaah 😭😭😭
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
@@stellaprince4871 Ameen Ameen Mungu amguse Huyu baba..jamani..Huyu mtoto kaniliza..ila Mungu mwema..labda hatuna uwezo ila maombi yetu yanaskika na kupokelewa inshaAllah
@afropatriot7769
@afropatriot7769 3 жыл бұрын
Alafu Kuna mjinga asipotumiwa buku ya vocha anaona ameonewa duniani hapa,
@anithaapolinary6391
@anithaapolinary6391 3 жыл бұрын
Shukrani sana Frola Nitetee Mungu wa mbinguni azidi kukuweka zaidi uwaone hata wale ambao bado hawajaonekana
@sarhkimboi9085
@sarhkimboi9085 3 жыл бұрын
Huyu, ni mke wa mtu mwenye ajili timamu kwa bdae, Mungu akutumie mdogo wangu
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 3 жыл бұрын
Sanaaaaa....yaani huyu ni future wife wa maana sana. Tatizo atakuja kuolewa na myu haoni faida yake. Maslay queen wanapata husband material😥
@mwazaninalapa8852
@mwazaninalapa8852 3 жыл бұрын
Dah mungu anipe maisha marefu nimlee bint yangu na mama yangu 😢😢😢😢
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
Amina lnshallah 🙏😢😢🤲
@aishaomari944
@aishaomari944 3 жыл бұрын
Amina
@mohamedally5672
@mohamedally5672 3 жыл бұрын
Amiinnn🙏🙏🙏
@khadijeegundumu4651
@khadijeegundumu4651 3 жыл бұрын
Amiin yarrab 😢
@anethwilson1884
@anethwilson1884 3 жыл бұрын
Jaman Mungu naomba umri mrefu nimlee binti yangu nakusihi Mungu
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mtoto umeniliza moyo wangu unauma nikiangalia sina uwezo ningekuchukua wewe na bibi wote mngeishi kwa furaha lakini ndo hivyo nimejaliwa kidogo toeni namba nichangie hata kidogo nilichojaaliwa nimekupenda mno umri wa mwanangu wa kwanza Ee mwenyezi Mungu ninyime Mimi huyu mtoto apate 😭😭😭😭😭😭😭
@babittoevance4415
@babittoevance4415 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 mungu amnusuru huyu mtoto ila huyo baba inamaana hata hashtuki kwenda kumwangalia mwanae duuuh mungu atamjaalia tu
@gloryguren6887
@gloryguren6887 3 жыл бұрын
Kuna vitu vinaumiza sanaa kwenye hii dunia mtoto ameniliza huyu daah😢😢😢Mungu wa mbinguni akusaidie ufikie malengo yako,Hongera sana dada Flora Mungu akubariki sanaa.
@rayaahamad5502
@rayaahamad5502 3 жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@rayaahamad5502
@rayaahamad5502 3 жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@bashirkaitaba7465
@bashirkaitaba7465 3 жыл бұрын
2muombee kwa mung
@wizanakitvonline6190
@wizanakitvonline6190 3 жыл бұрын
Jamani , unapokula ukashiba ukavaa na kunywa bia ukajiona mjanja , Nakumbushatu Mungu anakuona endapo jirani yako unampita huku ukimcheka wakati unajua kinacho msibu , Mungu wasaidie hii familia , Huyo aliyekuwa mlinzi wa Magufuri , Mungu anakuona wewe jamaa , mwisho upo tu , Aiseee 😭😭 so sad
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 3 жыл бұрын
yaani hiyo bia umeweka kuogeza msisitizo? hahahahaah
@maryamsemaganga328
@maryamsemaganga328 3 жыл бұрын
Yarrab tunusuru waja wako
@augustinojob939
@augustinojob939 3 жыл бұрын
Huyu mtoto amesema babaake alikuja sikia moja na msafara wa magufuli na anasema alipomwona alikimbilia lakini kina mtu akampiga kofi. Lakini baadaye anasema walikutana na babake na wakalala hotel. Kwanini serikali ulisifanye mpango wa kumtafuta?
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
InshaAllah Mungu akusimamie usome shule zote umalize...🙏🙏🙏🙏
@bakarimasoudmasoud5138
@bakarimasoudmasoud5138 3 жыл бұрын
Aiiseee jamani. Mungu mkubwa
@batoulmwinshehe8787
@batoulmwinshehe8787 3 жыл бұрын
This is more than a pain wallah.... Allah Kareem
@husennyelenge6341
@husennyelenge6341 3 жыл бұрын
@@bakarimasoudmasoud5138 _¿.¿700 (
@haridjuma8307
@haridjuma8307 3 жыл бұрын
@@batoulmwinshehe8787 c. 8z
@irenemodesty
@irenemodesty 3 жыл бұрын
Omg😭😭😭😭I’m literally crying how they treat this babe I swear🥺🥺she is too young
@iddimoshi8459
@iddimoshi8459 3 жыл бұрын
I am getting quite emotional watching this video.
@immarimoy2039
@immarimoy2039 3 жыл бұрын
daha jamani. mtoto anamajukumu mengi
@عليغالب-ت5ر
@عليغالب-ت5ر 3 жыл бұрын
Can't hold my tears she's too young to do all those duties 😭😭
@chuwafamily496
@chuwafamily496 3 жыл бұрын
😢😢😢😢Imeniuma sana kama mzazi,Mungu awanusuru familia hii
@queenbhanji4152
@queenbhanji4152 3 жыл бұрын
she is humble,,smat girl wth brain
@faineschisunga7421
@faineschisunga7421 3 жыл бұрын
Nijikuta nalia mwenyewe jamani mungu akutuze binti
@kadrikimaro1889
@kadrikimaro1889 3 жыл бұрын
Yaraby tunakuomba kwa huruma yako mpe mtoto mwisho mwema na jannat firidaws kwa wema anaomfanyia huyo mama
@faizaboubacar5064
@faizaboubacar5064 3 жыл бұрын
Amiin in shaa Allah
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Amiin Amiin
@TeamKRX
@TeamKRX 3 жыл бұрын
Aminnn
@godfreysizya3711
@godfreysizya3711 3 жыл бұрын
Babaake alikua bodgurd wa magufuli,tukumbuke family zetu tunapokua na uwezo🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 3 жыл бұрын
Jamani kumbe baba yupo ananguvu zake, anamoyo gan 😭😭😭
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
Nyie wababa mungu anawaona
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 3 жыл бұрын
@@marthageorge559 😭😭😭😭😭
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
@@nuryatmussa9966 unajuwa awa wababa kunamisukosuko wanapata lakini awajui wanaipata kwa sababu gani,damu yako ikitoa machozi sijui kama mambo yako yanaenda vizuri,mungu atamsimamia uyo mtoto na atakuwa mtu mkubwa sana
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 3 жыл бұрын
@@marthageorge559kabisa watu hawajui tu baba unakula unalala sehemu nzur mtoto wako hujui anaishi vp😭😭mtoto anamajukumu makubwa
@barekesteve8679
@barekesteve8679 3 жыл бұрын
This is what we call maturity the way she's answering the questions Kam mtu mkubwa ujasir wake MashaAllah Emung musaidie Mototo huuu
@jayjay4313
@jayjay4313 3 жыл бұрын
Da, natamani huyo mlinzi wa Magu aliyekupiga kofi awe anaangalia habari hii ili imsute. Japo baba ake alimsakizia mwanae kwa Magu, labda mzee Magu angewafanyia maajabu.
@scolabahame2214
@scolabahame2214 3 жыл бұрын
Huyo mtoto analiza watu dah nimelia kwa uchungu Jamani dah pole Sana mtoto Jamani ukikosa mzazi hasahsa mama hauna samani tena nani kama mama Jamani 😭😭😭😭😭😭😭
@sarahorina2163
@sarahorina2163 3 жыл бұрын
She make me cry
@aminaadam9914
@aminaadam9914 3 жыл бұрын
Mungu amjaalie apate kusoma na bibi apone 🤲🏾
@mtitagirloriginal9472
@mtitagirloriginal9472 3 жыл бұрын
Mbona akili nyingi hivi😳
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙆🙆🙆🙆mtoto huyu
@zaitunisaidi3695
@zaitunisaidi3695 3 жыл бұрын
Frola Allah akubaliki na uyo mtoto Allah amtilie wepesi na Bibi Allah amponye
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
@@zaitunisaidi3695 Ameen rabil Alamin🙏🙏🙏🙏yaaani flora Allah amuweke jamani MashaAllah Mungu kaumba watu na roho zao
@jacklenmagambo6836
@jacklenmagambo6836 2 жыл бұрын
Jaman mungu amsaidie moto huyu pamoja na bibi inaumiza sana
@jacklenmagambo6836
@jacklenmagambo6836 2 жыл бұрын
Jaman mwenyez mungu hawasaidie family hii
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 3 жыл бұрын
Kwanza jaman mtanisamehe sana huyu mtoto nishamsikiliza historia ake kwa Dada frola lauo uyu mtoto yupo vzur kujieleza ila swala langu linarudi kwa baba mzazi wa huyu binti hiv hiyo kaz anayofanya anafanya kwa aman kabisa bila kuwaza chochote kabisa baba anakazi nzur alikuwa akimlinda Mh hayati Magufuri aisee hili swala hapana aisee mama etu Raisi wetu Samia Hassan Suluhu amuangalie huyu mtoto na uyo baba ake sizan kama baba unae jitambua unaweza kumtelekeza mwanao anamuudumia bibi ake ungal ukiangalia ata shule asomi huyu mtoto baba anashindwa kutafuta ata mtu wa kumlipa hela ili amuangalie uyo bibi anamuachia jukumu mtoto kwer jaman kiukwer baba ake anakosea sana namuachia Mungu pekee ndo muukumu wa yote
@alexdukes5547
@alexdukes5547 3 жыл бұрын
Baba yake inawezekana sio wakutuhumiwa kafanya jambo la imani kumwacha mwanae kwa bibi yake ili amusimamie
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 3 жыл бұрын
@@alexdukes5547 hapana broo c kwa umri huo mtoto anaitaji vitu vngi sana fatilia kwa frola lauo mtoto anaitaji apate Elimu ila mtoto asomi ndo madamu anaitaji ampeleke shule na hapo ni kwa msaada wa watu ungali ukiangalia mtoto ana baba ake kabisa ukiangalia ata kishelia hiyo aijakaa sawa broo sawa aitaji kuukumiwa je mtoto anapata msaada gan kwa baba ungali baba ake anakaz nzur na anapokea mshaara mzur tu je mtoto ananufaika na nn kwa baba
@juditheliud4857
@juditheliud4857 3 жыл бұрын
Huyu baba ndo wakumtafuta kwanza kabla ya yote, manake huenda anatuma pesa za watoto kuna mahali zinaishia
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 3 жыл бұрын
@@juditheliud4857 hapo umenena japo ukimsikiliza waziri wa afya Dorothy Gwajima alivyokuwa akiongea na mjomba wa mtoto anasema kabisa kuwa baba ake alimtelekeza mtoto alikuwa atumi pesa kwa mwanae ndo maana nimesema siwez kumuukumu mimi baba ake hapana namuachia Mungu pekee ndo anae jua pengine kuna vitu nyuma ya pazia tusivyovijua sisi kwaiyo tusiwe waongeaji sana ila nitoe shukrani zangu kwa madamu Flora Godwin Lauo mkurugenzi wa Nitete foundation na mkurugenz wa chair foundation kwa kumshika mtoto mkono na kumpeleka shule bila kumsahau mkurugenzi wa shule hiyo kuwapokea na kusema atawalea watoto kama wanae
@DeogratiusMwanicheta
@DeogratiusMwanicheta 2 күн бұрын
Sisi Wanaume ndio chanzo cha watoto wanaoteseka 😢
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 жыл бұрын
Popote babake aliko alaaniwe mshenzi mkubwa 😭
@ridhwanfaki9738
@ridhwanfaki9738 3 жыл бұрын
Na mashaallah mtt anaoneshea anaakili sana ,mola atakuongoza mtt wangu ,atakupa kila unachostahiki inshaallah kwani yy ndio kila kitu hapa duniani na kesho akhera .ammin ammin
@boazjoseph6372
@boazjoseph6372 3 жыл бұрын
Huyo mke wa mjomba atafutwe maana kama anachukua pesa za bure shenzi type. I love you baby girl ❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Inshaa Allah mungu atasimama na huyu mtoto na bibi yake halafu kana akili sana kwa kujieleza vizuri mungu awasimamie wapate msaada
@ridhwanfaki9738
@ridhwanfaki9738 3 жыл бұрын
Daaaa imenitowa machozi hii habari ya huyu mtt ,ewe bb Mzazi wa mtt huyu muogope mola wako hebu mwangalie mtt wako ,mtt yatima wa mama ww bb upo hai kweli unamwacha mtt anasumbuka namna hii na bibi yake kweli?muogope mungu ww mzazi .mola akuoongoze ww Dd unaemsaidia huyo yatima mola atakufanyia wepesi kila penye uzito inshaallah ,
@alexsalum7824
@alexsalum7824 3 жыл бұрын
WAHESHIMU BABA NA MAMA UPATE MIAKA MINGI NA KHERI DUNIANI,Endelea kumuuguza bibi M/MUNGU ni mwema mwanangu atakusaidia,Daaah!,Mpk chozi limenitoka aiseee!
@veerdhaheer7288
@veerdhaheer7288 3 жыл бұрын
Mtoto anajua kujieleza mashAllah, Mungu awafanyie wepes
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 3 жыл бұрын
Tena kwa kueleweka kupita maelezo,ee Allah mja wako huyu una lengo nae kibianadamu tunakuomba umponye huyu Bibi na mfungulie huyu kiumbe mdogo kabisa
@halimamimarich3799
@halimamimarich3799 3 жыл бұрын
ya Allah amjalie shufh bibi🙏🙏mungu akukze mtoto mzuri😍😘ya Allah msaidie uyu bibi🙏🙏
@miselemanchimvuno5978
@miselemanchimvuno5978 3 жыл бұрын
Maskini😭😭😭😭😭
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa . kaka kafariki umebaki wewe for reason . uje umsaidiye bibi . Alhamdulillah
@neemakidaboga4046
@neemakidaboga4046 2 жыл бұрын
Mungu akutunze wewe mtoto
@tatumluv6054
@tatumluv6054 3 жыл бұрын
Nataka niwe kama mamy Flora Mungu akubariki 😭😭😭
@rachelmbeyu4385
@rachelmbeyu4385 3 жыл бұрын
Amewatoa pabaya mtoto anashukuru nakutaka kua kama yeye
@kulthumabdalla9035
@kulthumabdalla9035 3 жыл бұрын
Hadi machozi yananitoka ya allah mzidishie imani mtoto huyo azid kukuw na moyo huo pia azidi kumtia nguvu amina yaa rabbal alamiin
@jumangondae1636
@jumangondae1636 3 жыл бұрын
Daaaaaaah dunia hiii ukistaaajabu ya mussa utaona ya firauni maisha haya yaaache kma yalivyo
@bellaki4392
@bellaki4392 3 жыл бұрын
This was Dr. floras story..of nitetee...she was the first one to air this story...
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 3 жыл бұрын
So what??
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 3 жыл бұрын
How does it concern with us...fool!
@bellaki4392
@bellaki4392 3 жыл бұрын
@@abdulkheri7322 Your English is funny....You need some classes dude....
@bellaki4392
@bellaki4392 3 жыл бұрын
@@mrambadiana9678 So other reporters are gaining mileage on her effort...That's why...anything else you wanna know???
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana,Mamii unayemsaidia huyu mtoto na bibi yake! Mungu yuko nawe , mtoto mzuri.
@adoniasamike2124
@adoniasamike2124 3 жыл бұрын
Huyo mumy ni frola nitetee kama huwa unafatilia crp zake anasaidia sana watu
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 3 жыл бұрын
Eeeh ni yeye
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 3 жыл бұрын
@@adoniasamike2124 Mungu ambariki yy na uzao wake!
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
kashapata mawazo mengine sasa mwanxo alikuwa na mawazo. aje awe jeshi km babaake sasa anayaka afanye lazi za jamii mashaallah.
@annanyoni1981
@annanyoni1981 3 жыл бұрын
Mtoto tena wakike analilia kwa ndani Mungu akupe maisha marefu yenye neema na baraka Mungu teremsha baraka zako juu ya shamsa
@mutheuphilip4360
@mutheuphilip4360 3 жыл бұрын
Very strong kid may God of peace and grace akulinde siku zote tayari Bibi ashakupa baraka zote n zako
@sophiakitaly2843
@sophiakitaly2843 3 жыл бұрын
jaman kazi nyingine hiz zinafanya mtu usahau familia huyo baba ake kama alkua bguard wa magu anashindwaje kumpa maisha yakustahili binti yake,,,fimbo ya hukum itamchapa badae
@annapeter6065
@annapeter6065 3 жыл бұрын
Jaman mtoto nijasiri kumzidi mtu mzima, mungu ampe subra na mwongozo... Wanaoweza jaman Mungu awatumie kumsaidia ...
@citizensnews.
@citizensnews. 3 жыл бұрын
sasa AYO TV mmesaidiaje hapa sijasikia mkitaja njia za wasamaria wema kumfikia huyu mtoto ama labda namba za simu...
@ramayasly4584
@ramayasly4584 3 жыл бұрын
Nawasalim sana ndugu zangu. Watu wengi tumekua wanyama. Hatuna upendo ona mtoto mdogo Mungu atatuchapa kiboko kwa haya tunayo yafanya
@ghaniyashaban8737
@ghaniyashaban8737 3 жыл бұрын
Kila mja anafungu lake ukiwa bado upo duniani kila linalo kufika hiyo ndio kher yako kuna sababu mtoto huyo mdogo kua na mitihani kama hiyo Allah atamfungia njia ya riziki in shallah
@safiakhamiss4567
@safiakhamiss4567 3 жыл бұрын
Hakuna kitu sipendi kama mtu anipige maana wengine ndio kila kitu kwenye familia alafu anatokea mtu anakuzibua akikuua sindio na familia inafia kwenye milango ya watu
@haikamero2887
@haikamero2887 3 жыл бұрын
Hahaaaa
@theempressmadam
@theempressmadam 3 жыл бұрын
Kwa nini government ya Tanzania inaendelea na Hiyo Wiazara ya Ustawii wa Jamii? Wizara ifutwee #samiasuluhu #ummymwalimu #matatizoyanahitajisukuhishosahihi tumechoka kuona watanzania wenzetu wanatseka hivi
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 3 жыл бұрын
Mungu WANGU mtoto ana akili balsa
@onexofficial95
@onexofficial95 3 жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu utusaidie na uwasaidie wote wanaopitia magumu kama hayo 🙏🙏🙏🙏
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 3 жыл бұрын
Hivi baba wa huyu binti upo dunian kabisa na unasikia na kuona mateso ya damu yako hakika mungu awezi kutusamehe acha magonjwa yaibuke ya kila aina tu tumezidi dhambi jaman
@ruthawakola8869
@ruthawakola8869 3 жыл бұрын
Mungu akupe subira mtoto utapata msaada
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin yaraby
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
😭nimekuja hapa baadae ya kutokea kifo cha mtangazaji wa AYO tv ambae ametoa hii video amefarik REST IN PEACE 😭 and pole san mtoto
@faizaboubacar5064
@faizaboubacar5064 3 жыл бұрын
Pole sana Shamsa mungu amhurumie bibi yako in shaa Allah 🙏
@babaluxe8626
@babaluxe8626 3 жыл бұрын
Duuu kumbe baba yake ni mtu mkubwa tu walinzi wa, jpm khaaaa🙈🙈🙈🙈
@pendomariki6562
@pendomariki6562 3 жыл бұрын
Ee Mungu wa mbingun msimamie huyu mtoto mpe haja ya moyo wake usimwache hata hatua moja inauma sana mtoto wa miaka 9 kuwa na majukumu😭
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 3 жыл бұрын
Ooh my God,, Poleni Mungu awape Nusra 😢😢 Mtoto mzuri anajua kujieleza 🤗
@aishaukuthymwanachahaya4511
@aishaukuthymwanachahaya4511 3 жыл бұрын
Sn
@rehemaelisa4938
@rehemaelisa4938 3 жыл бұрын
Pole bibi, pole mtoto mzuri MUNGU AKUTIE Nguvu bibi apone haraka
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 3 жыл бұрын
Sana
@herryreuben9714
@herryreuben9714 2 жыл бұрын
Duuuuu ee Mungu endelea kump nguvu huyu mtoto mpiganie
@ddfatma4281
@ddfatma4281 3 жыл бұрын
Dada flola mungu akubalik akupe kila hitaj la moyo wako na akupatiye mwisho ulio mwema
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Sitaki kusikiza maneno ya mtoto huyu mana yanaumizaa moyo wakati akihojiwa na nitete flora nililia sana
@mwanas2
@mwanas2 3 жыл бұрын
Allah mustaan 🤲mungu simama na hii familia mtoto kaniliza jamani.
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 3 жыл бұрын
She is going to be clever but mpeni bahati yake mujulishe baba yake
@saidmungulu7053
@saidmungulu7053 3 жыл бұрын
ama kwel dunia ina meng sana mungu tunusuru na wape shufaaa hii familia....🙏🙏 SHAMSA 😢😢😢
@عباسعباس-ش9ه4ت
@عباسعباس-ش9ه4ت 3 жыл бұрын
Mashaalah mungu amuhifadhi uyu mtoto na ampe tahfifu bibi jamani😭
@mercymmbone4605
@mercymmbone4605 2 жыл бұрын
Mtoto.jasiri
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 жыл бұрын
Allah mpe hitaji la moyo mtoto shemsa na bibiyake😭😭😭😭mtoto anapitia magumu kuliko umri wake😭😭😭😭
@prudenceleeheung4487
@prudenceleeheung4487 3 жыл бұрын
Oooh Duh Mungu akusaidie mtoto jasiri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@timashee7403
@timashee7403 3 жыл бұрын
😭😭😭 nipeni mm huyo mtoto nimlee
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 3 жыл бұрын
Mungu Amtunze Mtoto Awe na umri mrefu wenye Amani Amponye na Bibi Waishi na mjukuu wake kwa furaha😭😭
@mamamchina1931
@mamamchina1931 3 жыл бұрын
Siku moja mungu atatenda miujiza mtt mzur mungu akutunze kwa kwel
@mansourmakame355
@mansourmakame355 3 жыл бұрын
Ayo tv,nafkir mgefanya kitu kwaajili ya jamii imchangie huyu mtt au mutupe infor za kuweza kumfikia kiurahisi
@aminasuliman2923
@aminasuliman2923 3 жыл бұрын
Nihodali kufuatilia mikasa ila huyu mtoto Mungu amempangia fungulake inshaalla uendelee kua na ujasili katika kufanya yalio mema nimetokwa machoz 😭😭😭
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Wallah tena yahuzunisha 😭😭
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 3 жыл бұрын
MashaAllah majibu mazuri mtoto mungu at akubarik na Dr flora mungu akupe moyo huo huo hata kosa kitu kwa mungu
@Jal210
@Jal210 3 жыл бұрын
Nyie wana habari mtafuteni baba yake na ashitakiwe kwa kumtupa mtoto.
@bekatv1009
@bekatv1009 3 жыл бұрын
Smart and hardworking gal i do salute her she's ma hero....thumb it
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 3 жыл бұрын
Haki huyu mtoto ana akili kuliko mimi
@neemazee1864
@neemazee1864 3 жыл бұрын
Wew😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fsaad5116
@fsaad5116 3 жыл бұрын
Maskini majukumu makubwa subhhannah Allah Allah protect this family. Na huyo baba hana hata haya mtoto mzuri kesho kuna hesabu kwa Allah. Wajiandae
@lamerckjesus5404
@lamerckjesus5404 3 жыл бұрын
kweli kaka
@abrahamrashid4282
@abrahamrashid4282 3 жыл бұрын
Mashallah Mummy Allah akuzidishie kote ulipopungukiwa
@mashirimathias6006
@mashirimathias6006 3 жыл бұрын
Ee Mungu mtazame huyu mtoto na bibi yake wasimamie ee Bwana Mungu
@thedyenoch4756
@thedyenoch4756 3 жыл бұрын
😭😭😭 ni mdogo Sana jamani! Nimelia mpaka nimechoka. Jamani huyu bibi hana ndugu wengine mpaka huyu malaika mdogo huyu abebeshwe mzigo mzito. Mpaka mtoto kashakua na akili ya utu uzima na wakati ni mdogo.
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 3 жыл бұрын
😪😭😭Mwenyez Mungu amzidishie imani na afya njema
@omarykasongo6211
@omarykasongo6211 3 жыл бұрын
Du! Nimeisikiliza hii Story hadi machozi yamenilenga ,hakka huyu Mtoto Jasiri Sana niimani yangu atakuja kuwa na maisha mazuri sana sk za usoni.Kila mwenye Subra yupo karibu na mwenyezi Mungu.
@hendryprosper9950
@hendryprosper9950 3 жыл бұрын
Anajibu maswali kama mtu mzmaa kbx yan mungu ni mwemaaa
@mimamambo9537
@mimamambo9537 2 жыл бұрын
Allah amjazie Kheri na nguvu Insha Allah 🙏 kwa ujasiri wake
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 3 жыл бұрын
Subhana Allah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭. Pole mtoto mzuri
@lordrichreuben1446
@lordrichreuben1446 3 жыл бұрын
Daah mtoto kanitoa machozi mungu akusaidie mtoto
@samkiria450
@samkiria450 3 жыл бұрын
She's so confident 🥰 Mungu amsaidie sana huyu mtoto. I'm just so speechless. My heart is bleeding 💔😢 sorry beautiful soul 😢
@elijahelisha4780
@elijahelisha4780 3 жыл бұрын
Nimejisikia kutokwa machozi Mungu akutunze nywema mtoto mzuli 😭😭😭
@doramkolo1745
@doramkolo1745 3 жыл бұрын
I cant hold my tears😭😭😭😭 miaka tisa ni mtoto wa kucheza rede na kwenda shule...uwii huyu kawa hadi kama mtu mzima Mungu muonekanie binti huyu
@saidmasika8738
@saidmasika8738 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭❤️❤️ nakupenda mtoto wangu mm sina la kukwambia Allah atakupa hars
@francisanania1765
@francisanania1765 3 жыл бұрын
Pole Sana.
@elizabethswai9670
@elizabethswai9670 3 жыл бұрын
Niko bariadi simiyu,kuna kanisa kiboko laitwa Ukombozi,liko Majahida,Mchungaji SL Kwezi no 0757 140802 ,Mlete mgonjwa wako,lazma atapona,Mungu wa Mbinguni akubariki sn
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 жыл бұрын
Allah akulipe Mumy ,kwa kweli Allah akubariki na barka nyingi
@fatumasaleh8048
@fatumasaleh8048 3 жыл бұрын
Daah! Yani Kuna watu wanapitia magumu kiasi hiki.. hii stori imeniganya nilie wallah 😭😭😭 flora mungu akuzidishie moyo wa upendo dada yangu, na akulipe lililojema.
@amlimamouris..a9411
@amlimamouris..a9411 3 жыл бұрын
""Time traveler"" Huyu mtot n wa pekee sana Mungu akusaidie Mungu ana Jambo na wewe Anko..!!
@snipershort6988
@snipershort6988 2 жыл бұрын
Ewe mwenyez mungu unipe moyo kama huu, hongera mtoto mungu ni wetu sote, sidhani kama anapenda uishi maisha haya, kwani uo ndo mlango wako wa kutokea, amini iyo ni ibada ya kweli
@emanuelsamkinda2893
@emanuelsamkinda2893 3 жыл бұрын
2:27 much respect kwa uyu dgo
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 3 жыл бұрын
NDUGU WA PEKE NI MAMA KWA 7BU ALIKUZAA NA KUKULEA TU WENGINE NI ndugujamaa na marafiki yaan wasindikizaj tu
@demycratia2567
@demycratia2567 3 жыл бұрын
Jamani BABA ANALINDA MAGUFULI hamlindi mtoto wake MWENYEWE na anateseka KWELI DUNIA MVIRINGOOO
@tatotato506
@tatotato506 3 жыл бұрын
Tena baba yake anacheouko jeshin
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 3 жыл бұрын
Inaonekana baba anajal kiasi chake isue ni hao wajomba aisee wanaokula hela za mtoto
@tabithanyakare3139
@tabithanyakare3139 2 жыл бұрын
Huyo mtoto atafanikiwa maishanwake Kwa kila layesu
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 3 жыл бұрын
Dada Flora Mungu akujalie wepisi wa maisha 😘😘😘😘
Kutana na Mama Mariam Nabatanzi  mwenye watoto 44
5:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 8 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 23 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,6 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
MAMAYANGU KICHAA PART 2
18:09
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,6 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 23 МЛН