Mashaallah Allah akulipe kher nyingi pamoja na wazaz wako
@HusnaSalum-p1q5 ай бұрын
Kaka angu kondoa1allah akuhifadhi🎉❤
@hatibumsaki54468 ай бұрын
Ma shaa Allah.....ila msiwaalike tena hao mashia ni maadui wa maswahaba na ni maadui zetu pia
@khalidhassan98458 ай бұрын
Njaaa mbaya ndugu yangu
@abiabi93538 ай бұрын
Haha mawahabi hamna ishu mmechanganyikiwa wala hamjui mfatacho.Yani maswahaba waliuwana na kutukunana ndiyo waliokuwa wanapendana? Yani nyinyi hata sijui mnasoma elimu gani
@abiabi93538 ай бұрын
@@khalidhassan9845Hivi kuna watu wana njaa zaidi ya mawahabi? Mawahabi wanatunga hadithi na kanuni k8nyume na Quran ili kuunga mkono mdhalimu wa mabwana zao
@arafawilliam21425 ай бұрын
Sasa wasipowaalika Nuru ya dini wataipatia wapi? Mwenyezi MUNGU mwenyewe angetaka angewauwa ila kawaacha wachague haki na baatwil kwa kuwapa neema ya akili
@mokitaa87507 ай бұрын
MASHAALLAH ALLAH AZIDI KUKUHIFADHI
@rajabuchambuko5818 ай бұрын
Maashaallah Maashaallah mtume katuachia Quran na kizaz chake Maashaallah
@IssaHamisi-z2v8 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله فيك.
@khalidhassan98458 ай бұрын
Wallahi njaaa mbaya sana Allah atuepushe na njaaa ndugu zangu waislam,
@abiabi93538 ай бұрын
Haha mawahabi hamna ishu zaidi ya chuki tu.
@KaitaKatema8 ай бұрын
wakaimbe bongo flava
@abiabi93538 ай бұрын
@@KaitaKatema Hata mimi naunga mkono mawahabi wakaimbe bongo Flava maana hawana wajuacho
@ShkeSule8 ай бұрын
Mashallah kakahujawahi kufeli ❤
@OmaryFaki-v5k8 ай бұрын
Mashallah ❤
@KarimSeleman-r4y8 ай бұрын
Mashallah best shekhe Quran
@AllyMustapha-kq8fs8 ай бұрын
Allah akujaalie kila la kheri
@AkramuBilali8 ай бұрын
Mashaalah tabaraqallah mjomba idy
@RehemamakukuMakuku6 ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah
@Yazidaa-c9y8 ай бұрын
Masha Allah
@AkidaIbunjumaa4 ай бұрын
Mashaallah 🌹
@mohamediddi51268 ай бұрын
Ma Sha Allah
@AbdulrahmIbrahim-y5g5 ай бұрын
mashaallah soma midamu nia ipo mahala pake tu kakaaa
@ExcitedAtv-qx5pt4 ай бұрын
mashallah
@athumanikhamisi33778 ай бұрын
ماشا ءالله تبارك الله
@maulidimkumba32558 ай бұрын
Manshaalllah
@ManswabuShabani8 ай бұрын
Subhaanallah maashallah
@FatnaAlly-go7yt8 ай бұрын
Allahu akbar mashallah
@HawaMohammed-c2k3 ай бұрын
❤❤❤
@muhunzijunior51538 ай бұрын
Maa shaa allah
@ramiamisanya98738 ай бұрын
Takbiriiiii
@swahibu12028 ай бұрын
Mashaallh❤❤❤❤❤❤❤❤
@ShamanhashimKhushtar8 ай бұрын
Mashallah
@bakwiringashe43718 ай бұрын
Mashaallah
@AbubakaliShabani8 ай бұрын
mashallahu
@AbuuAyubu-q3l8 ай бұрын
Mashia masufi ndio wahuni wa uislamu hivi leo
@HusnaSalum-p1q5 ай бұрын
Kuna watu hata dini yenyewe hawajui vizuri wanakurupuka tyu huwezi kumuhukumu binaadam na wewe mwenyewe hujakamilika una maovu kibao
@AsiaAa-s1d8 ай бұрын
Tusiishabikie qur'aan kama tunavoushabikia mpira jaman makelele ya nini na ikiwa tumeamrishwa na allah tabaaraka wa taala pindi inaposomwa tunyamae ili tupate mazingatio kwanin tunakua hivi jaman twautafuta moto kwa nguvu?
@AbdurahmanAbdallah-yl6um8 ай бұрын
Duuuuuh sifa izoooo
@abdillahomary-e2p8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MohammediKingazi8 ай бұрын
Mwarab wa kondoa huyu mashaallah
@AbuuAyubu-q3l8 ай бұрын
Wahuni watupu
@sharifuburuhani19698 ай бұрын
Hao mashia wa nini sasa?
@safarsafari688 ай бұрын
Naona mashia wamejazana hapo
@abdulkhaliqmuhammed4568 ай бұрын
Umekosekana wewe tu
@abiabi93538 ай бұрын
Ukiangalia vita vya Gaza utajua mashia ndiyo wanaofata Quran na sunna kikweli.Huwezi kuwa mtu wa sunna alafu ukawa moga kama kuku aliye nyeshewa na mvua
@JumaBinAbdallah8 ай бұрын
Nilazima kuka namashia
@RamadhaniSiraji-gr8ed8 ай бұрын
Kwan mashia wamefanyaje
@AbdurahmanAbdallah-yl6um8 ай бұрын
Utatokwa na udhu shaban ww ivi mtume alisom iv na maswahab je?? Ila pesa ban fanyeni mtakavyo pia hao kun jalala makafir hapo wanafanyaje Allah awalaan hao .mashia
@RashidMuhunzi-pr5xj3 ай бұрын
"USIWATUKANE WATU, QUR-AN HAINA SHARTI KATIKA USOMAJI WAKE MURADI TUU USIKOSEE HUKMU ZAKE NA HERUFI AMA MATAMSHI SAHIHI TUU BAAS,HIVYO MPONGEZE HUYO KIJANA USIM-BEZE WALA USIMCHUKIE SIO VYEMA, KUMBUKA KUWA MUISLAM ALOTAMKA KALIMA TUKUFU LA (LAA ilaaha illa LLAH) BAS JUA KUWA HUYO NI TAYARI MUISLAM MWENZAKO,HIVYO KUHUSU MAPUNGUFU HAYO YAPO KWA WANAADAM WOTE NA SIO WEWE TUU NDO UNAYEPATIA......
@MahafudhiKishama8 ай бұрын
Ulitaka washirikiane n ww ,,alafu ww unatoa hukum au wajua je kuwa wwe upo sahii n unayoyaamin kuwa n kweli tumuuachie Allah maana yye ndo mwenye kumjua mbora kwake
@SophiaKamgunda8 ай бұрын
Kama wslikosea huko nyuma badass tuwafanyeje
@khamissmohd8 ай бұрын
Nyie mnaopinga mashia na ni krk qaumu ya wanafiki, mmelaaniwa hamtaki umoja, uislam ni shahada tu.
@malkiahsalimu26528 ай бұрын
Hivi walani watu wote jamani....tahadhari na onyo la mtume swalallahu alaiy wasalam...wajua kwann wanawake wengi wanaenda motoni?? Mulize sheikh wako akupe jbu kulingana na Hadith ya mtume swalallahu alaiy wasalam
@saidsalum5238 ай бұрын
Kwa iyo ukileta shahada hakuna tatizo kuwatukana masahaba au sio?
@shmohd118 ай бұрын
Nani Kwa kwambia Uislamu ni Shahada Tu? Maimamu ABUU Hanifa (ambaye Mashia walifukua kaburi lake na kuzika mbwa), Shaafi, Ahmad, Malik hawakujua hilo? Mnajiita Mashafi lakini hamuujui Ushafii
@saidsalum5238 ай бұрын
@@shmohd11 mtihani mkubwa sana tulionao,,watu wanajiweka pamoja na mashia labda hawajui ukweli kuhusu ushia na ndio maana wanawatetea
@AbuuAyubu-q3l8 ай бұрын
Mnacheka cheka tu hapo pumbavu nyie kwani mnaona mko ngomani hapo? mijitu inashida hii sijapata kuona
@OthmaniSelemani-tj3lv8 ай бұрын
Hiyo ni hatua ya kwanza hatua ya pili uifanyie KAZI sasa
@BarakatiYahyaa8 ай бұрын
Tatizo mnashirikiana namashia sjapenda hicho kitu
@abuubakarimussa23018 ай бұрын
Wependa Quran tu
@abdulkhaliqmuhammed4568 ай бұрын
Sema ulichopenda kwanza kisha ndo mengine yafuate kuwa na inswaaf
@ShkeSule8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@Shabalala992758 ай бұрын
Kwaio mashia wakitoa swadaqa sie tusitoe au
@salumkatula48248 ай бұрын
Sasa wewe unawafuata mashia
@wazirikipanga3258 ай бұрын
Huyu ni mtanzania ama??
@aishaaisharagp93818 ай бұрын
Ndio huyonimtanzania Allah amuhifadhi
@jamalAlly-p2y8 ай бұрын
Tofauti ya shia na sunni ni fitna tu ila wote wanatamka shahada 1 na wanaswali kufunga zakkatlmal na kuhiji vp wewe uwabague