Inna Lilah wainnailay rajiun, Allah mma ajrunii fee musibati waalifliikhair Khair Minha, Namuomba mola amsamehe makosayake na afanye kaburi lake liwe moja ya viwanja vya pepo inshaallah
@jumakapilima72954 ай бұрын
Sheikh Hemeid bin Jumaa bin Hemeid (Al Marhum) Sheikh Kassim bin Jumaa (Al Marhum) Sheikh Suleiman Gorogosi (Al Marhum) Sheikh Suleiman Bin Amran Kilemile (Al Marhum) Sheikh Muharram Juma Doga (Al Marhum) Sheikh Twaha Suleiman Bane Wanazuoni wakubwa kuwahi kutokea katika nchi hii tuliwaidhika sana kupitia RTD na mawaaidha Yao miaka Ile 1980s - 1990s, Allah awape Pepo waliotangulia mbele ya Haki na waliohai Allah awape umri mrefu tuzidi kufaidika nao insha'Allah
@Chemba674 ай бұрын
Hakika, nilikua mdogo sana wakati huo RTD wanapoanza matangazo asubuhi walikua wakifungua na dua , mawaidha na Qur-an na msomaji ni Muharram Juma Doga.......nimemsikiliza sana lakini sijawahi hata siku moja kumuona. Mwenyezi mungu ampe makazi mema pepoi ...amen
@jumakapilima72954 ай бұрын
@@Chemba67Aaamen! Hata Mimi nilikuwa nawasikiliza sana hawa wanazuoni wakati huo! Dah, innalillah wainnailaih raajeooun!
@fahmiiidrisa51104 ай бұрын
Sheikh Walid hazungumzi ila kuna Faida ndani yake ALLAH amuhifadhi
@NasrahMakunga4 ай бұрын
Inna lillahh wainna ilayhii rajiuun!!!Allah amfanyie wepesi kiongozi wetu!!pia tujalie mwisho mwema ya rabbi sisi tuliobaki huku duniani
@HamduMasud-xw6qc4 ай бұрын
Innaalillahi wainnaailayhir rajiuun Allah amthibitishe kwa kaulithaabit