Bwana wetu Muhammad swalallahu aley wasalam alituachia Quran na hadithi sahihi msituchanganye na unafikiwenuuu
@AbdulIssa-o7e9 ай бұрын
Twahiby ala akujahalie umri mrefu shekhe wetu Salim barahyani,nakupenda kwaajili ya Allah,hakika umefanya kazi kubwa hapa TZ kuinusuru sunna ya bwana mtume,Muhammadi s.a .w japo unapitia mitihani mingi katika dahwa tunaomba matusi,kejeli na kudhihakiwa na pomoja na hila za watu wanayoipinga sunna ya bwana mtume.Mambo haya hata mtume wetu muhammadi alipata dhiki kubwa na taabu kisa kueneza haki,so mtume alitukanwa matusi makubwa,alifanyiwa hila na wanafiki na washirikina walimuita mwenda wazimu walimuita mchawi walimuita mtunga mashahili,Walimpiga mawe na kumtukana matusi makubwa lakini Allah akumuacha alisimama pamoja nae na kumusuru na vishindo kama hivyo,na vitisho vikubwa dhidi ya kina abujahali walitumia vyeo vyao na pesa zao lengo mtume aache kuwabainishia watu kweli lakini mtume wa mungu hakuacha na Allah alimtia nguvu,Hivi ndivyo ilivyo watu wa batwil siku zote hupenda kuwazuilia watu na njia ya mwenyezi mungu na hata Allah kawataja katika kuraani, watu wa dizaini kama hii ya mufti.Anawaletia fitna waislamu wenzie juu ya Jambo la ibada na hali ya kuwa kila mtu,na dhehebu lake na msimamo wake,anaongea kwa kibri kwakuona kuna mahali anategemea,yeye anawatu wake, wanao muamini na wengine Wana shekhe zao wanao waamini.kwanza mwezi so wake ni wa Allah na dini so yake ni Allah,katiba inamruhusu mtu yeyote kuabudu anachoweza kuabudu,sijawahi kuona askofu anawaambia serikali wachukulieni hatua wanao sali jumamosi,Sabu wakristo nao kila mtu anaibada zake na madhehebu yake hakuna kiongozi wa dhehebu Fulani akaishawishi serikali et mbona Hawa wanasali jumamosi na sisi tunasali jumapil wachukuliwe hatuwa wanaosali jumamosi why uliona wapi hiyo? Ye kwakuwa anajivunia madaraka yake na kutegemea sehemu sisi tunamtegemea mwenyezi mungu ndie atakae simama na sisi katika haki.
@OmarAlly-iz8ot9 ай бұрын
Shekh Salim Allaah akulipe kila lakheri, kwa hakika umeongea maneno ya busara sana, na nimaneno mazima Maashaa Allaah, tuko pamoja.
@husseinmanyanga15879 ай бұрын
Masha allah.Shekh allah akuhifadhi miaka mingi umetutoa mbari
@AhmedHassan-y9i9 ай бұрын
Alhamdulillah sheikh salim barahiyan allah akuhifadhi na hasadi za walimwengu Allah akupe umri mrefe wenye kheir na wewe uendelee kutuelimisha
@jumamohamedkidiaunga92249 ай бұрын
Mashaallah shekhe wetu Allah akuweke umejaaliwaa elimu zote kwa hakika
@ustadhikhatwibukibaraza9 ай бұрын
وفوق كل ذي علم عليم
@SharifaYaru-ev9su9 ай бұрын
Jamani sisi waislamu wote wa Tanzania Bara na visiwani kwanini hamtaki kulimaliza hili na sisi maamuma tukafahamu kua ni lini kufunga na kufungua kazi yenu mabishano kama kwamba akhera haiko mbali jamani ebu malizaneni nasi maamuma tumfate nani mashehe ndio nyie tunao wasikiliza
@abdulomari49329 ай бұрын
Hamna sheikh apo,njaa tu
@Superbasil-h3x9 ай бұрын
@@SharifaYaru-ev9su Muwahabi anapenda ukubwa hawapendi wawe wanafuata watu wengine
@Aminahlamranl420-hw2ie9 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu Barihiyan akulinde na watu wabaya. Uzid kutuelimisha
@bashiru_moh10609 ай бұрын
ALLAH atuongoze katika njia iliyonyooka
@YusufuOmari-pz7vt9 ай бұрын
Shekhe saajimu barqhani Allah akupe maisha marefu kwa busara zako kuelekeza pia awafanyie wepesi wakuelewe inshalah❤
@EagerHerculesBeetle-en9bj9 ай бұрын
Mashallah sheikh wetu Allah atupe elim na misimamo ya dini
@joharithabiti3349 ай бұрын
Maa shaa Allah Mwenyezi Mungu akuhifadhi shekh wetu na huyu mufti tumuombee hakika dunia inamuhadaa
@HusnaAboubakar9 ай бұрын
Muft abubakar bin zuber mungu akuongoze akuondolee hasad husda shari na akupe umri mrefu.upole wako ucheshi iman yako hakika nakupenda sana sana mzee wangu.
@hatibumohamedi34719 ай бұрын
Nenda kamsifie kwenye post yake
@awadhkannah65879 ай бұрын
Mufti wa Tanzania Kwa maana ya Baraza la Kiislamu Tanzania hapa, hakuna namna , tunataka ama atutaki, twende kwenye jambo la Msingi la mwezi, Mufti wetu sote, nashauri achukue majukumu yote mawili atangaze mwezi wa kimataifa, pia atangaze mwezi wa Tanzania, asitubague wengine wote ni Waislamu
@SaidiMaulidi-d4l9 ай бұрын
@@awadhkannah6587mufti wa bakwataaaaa
@SaidiMaulidi-d4l9 ай бұрын
Mzee wako wewe
@abuuaidh65009 ай бұрын
Sheikh mwenye akili anaejitambua hapewi nafasi ya juu . Hata mukiona Mtu kapewa nafsi ya juu huyo ujuwe ni mzandiki .
@husseinmaula49659 ай бұрын
Miaka yote nimekua nikifunga kwa matangazo ya bakwata ila mwaka huu allha kaniongoza ktk njia ilionyooka Alhha akuhifadh shekhe barakhiyan.
@adamhashim33529 ай бұрын
Acha uongo we wahabi tu
@mohammedmhina39739 ай бұрын
Wahbi bhna
@ibrahimmatumla2319 ай бұрын
Ww mnafki tu
@sports007tv49 ай бұрын
Sheikh hao unaosema wamekuongoza kwenye njia sahihi wao wanafata mwez wa saudia alaf mwez wao washauandaa kwenye calendar nakupa elimu fatilia calendar yako ya simu ishakuandikia mwez wenu huo wa njia sahihi mpka 2027 yan ww inakua haina haja yakuangalia mwez nyie mnaangalia calendar tu kaangalie kwenye simu yko eid pia ipo tyr na ukitaka kujua kma njia yko ni sahihi ww fatilia hiyo calendar yko tu kila eid mshaandikiwa na Ramadhan zenu zte mshaandikiwa kwenye calendar 📅
@yussuphsultan14009 ай бұрын
@@sports007tv4Allah sw amuongoze ndugu yetu. Kufunga na kufungua pamoja haiwezekani. Huu mjadala ulishaisha mbona! Hivi ukitangulia kuonekana Tanzania, Suudia watatufuata!Majuzi nimemsikia Sheikh mmoja wa kisalafi wa Kenya, akisema mwezi wa kimataifa na mwezi wa eneo ulilopo yote ni sahihi, na hoja zote zina mshiko! Ingawa yeye alitamani tufuate mwezi mmojawapo ili kuunga waislamu. Kwa mnasaba huu, sheikh aache hii hoja, kila mtu afuate kilicho sawa wake! Tusipeane hoja kila siku ambazo tunazijua! Ambacho nakubaliana na sheikh ni kuwa kuna tatizo BAKWATA na tatizo hili ni kihistoria kutokana na jinsi baraza lenyewe lilivyoanza. Ila kwenye mwezi mtuache kwanza, muhimu waislamu waone mwezi sio kusubiri kutangaziwa na BAKWATA!
@ZamdaSuleiman-w5p9 ай бұрын
Mashallah shekhe Allah akujaze kher zaid
@trustman80349 ай бұрын
Daima Maneno ya Haki ukiyasikiliza yanakutosheleza.. Mungo Akupe umri mrefu tupate faida zaidi..hakika ni msiba kuona Muislam unapigana vita na muislam mwenzio eti wakamatwe wafungwe Kisha iweje..muogopeni Mungu atakukamata kaburini kunatisha tusidanganyike na vyeo na kujipendekeza kwa wakubwa. maisha ni mafupi mno Kuna maisha baada ya kufa na tutahesabiwa. Tujijlize wangapi wamelishwa wakati mwezi haujaandama.wangapi wameshafariki na tutawaomba radhi Vipi.na swaumu ulofungua kwa makisudi Hailipiki..mtihani kweli kweli.Tunamuomba Mungu atusameh makosa tulosababishiwa na viongozi wetu tuliowaamini.
Mashaallah mungu akulipekila la kheri she kwakuupigania uislam ao wanfata selikali uku selikali inaendeshwa kikatoliki na serikari haina dini jamn🙏
@ibrahimsirhim18939 ай бұрын
Mungu akueke inshaallah kisiki muhimu sana katika sunnah
@mariamumkwamba23338 ай бұрын
Allah akupe maisha malefu inshaallah
@SalmaSimma9 ай бұрын
mashalla shekhe wetu Allah akilind
@tumainjoseph71899 ай бұрын
Allah akuhifadhiii
@HabibuSalumu-l3b9 ай бұрын
Maashallah haki na batwil havikai pamoja wao wamelewa bahasha za kakii ilihali waisillam Wana madhilla njinzima.
@AmiriSwalehe8 ай бұрын
Inaskitisha sana waislam kuwa na uelewa finyu juu ya mas'hara haya Allh atufanyie wepes ili waislam wote tuione haki tuweze kufunga pamja kwa mwezi wa kimataifa. Allhahumma aaaamin
@ShemkayOsama9 ай бұрын
Shekh Allah Akuhifadhi Inshaallah
@Bashirubakarisalala9 ай бұрын
❤❤❤Alllah akuhifadhi sheikh wetu
@NuhuMuhidini-v1r9 ай бұрын
Mashaallah allah akulipe kheli tuendelee kwa msimamo wetu
@MohammedSeif-r9v9 ай бұрын
Mwambien muft awe anajielewa
@KhatibKhamis-nj7nk9 ай бұрын
Endeleeni na maradhi tafuteni kila walilosema maulamaa mufanye ili mukhitilafiane na watu kama hamuyajui ulizeni huo ndo usuli wenu
@KhatibKhamis-nj7nk9 ай бұрын
Na hao mashekhe wenu walokutakeni musifanye sijui hawakusoma au nyie mshasoma sana au mna mashaka gani ?
@IssaHamisi-z2v9 ай бұрын
Msimamo wa kupotosha
@jumaabdulrahim55539 ай бұрын
Allah atakulinda sheikh wetu baraka llahu fika
@SamirKaba-u1c9 ай бұрын
Sheikh uko sawa sawa kabisa Mufti wa tasisi ya bakwata ajasema sawa Inaonekana ana msukumo kutoka sehemu fulani
@awadhally10529 ай бұрын
Kwel kabisaa bakwata ni chombo cha serekali
@awadhally10529 ай бұрын
Sio chombo cha dini
@binaamour3189 ай бұрын
Hivi huko suodi mnako fata chombo kinacho tangaza n Cha Nani? Kama cio serikali? Huwezi lazimisha watuwote kuwa fata sehemu moja mufti anasema kuheshimu mamlaka huko suodia hakuna shekh anaetangaza mwezi bila y mamlaka hajazuia msufate kutangaza ndio shida!
@saidtembele30709 ай бұрын
@@binaamour318 Saudia na Tanzania ipi dawlatul islamiyyah yaani inaongozwa kwa sheria za kiislamu!??? Ukipata jibu hapo tuendelee....
@IKOLAPORT9 ай бұрын
@@saidtembele3070zote sio nchi zakiislamu
@mkude9 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu na Afya sheikh Salim Barahiyyan
@SabihaHaji9 ай бұрын
Ili aendelee kupotosha na kufarakanisha watu!? Acheni hayo mambo, BAKWATA kama chombo cha kitaifa kinapaswa kuwaunganisha watu na ndio msingi wa maelezo ya Mufti Mkuu na Sheikh Mkuu wa Tanzania. Fungeni na fungueni mnapotaka ila msiutangazie umma
@husseinbachwa83729 ай бұрын
Allah akulipe kher kaka hapa Dunia tunapita haki hii itabaki kuwa Bora...
@muhudharimohamed9 ай бұрын
Allah akuhifadhi fidunia wal-akhera
@salumtakao98289 ай бұрын
Mashallah. Shekh wetu sisi hatutawafata bakwata Abadan .wao sio waadilifu wanafata matamnio yao tu . Htuwaamini na hatutawaamn Hadi wabadilike
@ibnhassan99809 ай бұрын
Nikweli
@assadyabdull51469 ай бұрын
Na sisi hatutawaamini na hatutawafata nyie na masheikh zenu Maan itikadi zenu sio sahihi sio tu MATAMANIO Kila kitu chenu sio Sawa
@salumtakao98289 ай бұрын
@@assadyabdull5146 Allah humuongoa mtakaye yeye. Na nyinyi ikifika zamu yenu mtaongoka kwa baadhi ya mamb ambyo bdo yanawatatiza. Muhimu lazimianeni na kuacha siasa na kufata mkubo ni hivo tu nawashauri. Mamb haya hayahitji elimu kubwa kumzindua mtu acheni ushabiki tu mtaona haqqi na Yale ya sawa. Msipelekeshwe Kila siku .
@shabanimussa42699 ай бұрын
ww mwehu wahabi nyinyi mnaelemu Gani
@salumtakao98289 ай бұрын
@@shabanimussa4269 ukitok kwenye ushabiki na siasa utaelewa we tok tu kwanza huko yote utyaelewa haya
@AllyMandunda-tj9jc8 ай бұрын
Mungu akulinde duniani na ahera
@SaidAbdallah-sm1ft9 ай бұрын
ALLAH AMUHIFADHI sh Salim barhiyani
@Omar_Abdulrahim9 ай бұрын
Ameen
@salumrashidabdullashmely25589 ай бұрын
Umekosea jina, anaitwa barahayawani
@HassanHaji-uu8km9 ай бұрын
Hatujafundishwa hivyo katika QURAN. Umetereza brother. Tengeneza ulichokiharibu ndugu. Ni Barahiyani sii hivyo ulivyoandika wewe! Hata kama unamchukia mtu kwa misingi yeyote ile!@@salumrashidabdullashmely2558
@NanahHassan-cd2vl9 ай бұрын
Amiin
@SwalehNunda9 ай бұрын
Sisi tunashukuru sana
@NasibuMulji9 ай бұрын
Sheikh Barahiyan Allah akuhifadhi Wana sunna wa to take na wewe
@HappyBlackKitten-nt2lp9 ай бұрын
بارك الله فيك يا شيخي
@idrisamsilagi22049 ай бұрын
Maaashaa baarakallahu fiika shekh barahiyan
@kdrama_lovers4069 ай бұрын
Ewe Allah tukubalie ibada zetu pamoja na mapungufu yetu 😢
@twahambowe4409 ай бұрын
Aamiin Aamiin allaahumma Aamiin
@AllyKp-pj9tw9 ай бұрын
Allahumma aamin
@nafoinvestimento96889 ай бұрын
Amin
@omarymkundi30459 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu
@seifkhalfan18819 ай бұрын
Barahiyyan unafaa kupewa ww hicho cheo Bac tuuu Allah akuongozee na akuhifadhi
@AdmiringCorgi-rg5tj9 ай бұрын
Na apewe halafu ndio mutaona mutakavyokunya
@Omar_Abdulrahim9 ай бұрын
@@AdmiringCorgi-rg5tj acha chuki ww. Chiki zitakuuwa hizo
@adamhashim33529 ай бұрын
@@AdmiringCorgi-rg5tj tena mavi mekundu
@hamadally5019 ай бұрын
Ila je unakijua cheo au unasema tu apewe
@HajiMohamadi-q6i9 ай бұрын
Mungu akubarik sheh wangu
@KasimuSaid-y2x9 ай бұрын
Allah warasulahu aalam, Ukweli nastajabu sana kuwaona wasomi wengi wa dini yetu hawawezi kabisa jinsi ya kupambanua mambo yenye utata
@YahyaHussein-rd4kx9 ай бұрын
Allah abaarik ya sheikh
@MkongweMullah9 ай бұрын
ALLAH akuhifadhi shekh akupe umri mrefu ili utupiganie
@salummbarouk42169 ай бұрын
Sheikh barahiyani Allah akulipe
@MohammedMuya-b5d9 ай бұрын
Maashallah Tabaarakallah Shukran Sheikh kwa ufafanuzi na msimamo Allah Haafidhkum
@awazmudricbatamwak1199 ай бұрын
Shekh sisi uku geita Shekh wetu kashakamatwa tagu jumanne tarehe 12 adi sasa hatujui hatima yake.Allah akuhifadhi
@jumaally60079 ай бұрын
Barakallahu fiika
@HekimaFashion-wr1ml9 ай бұрын
Shekhe salim mungu akuongoze naakupe afya ilio njema
@abdallahmbonabona88609 ай бұрын
ALLAH SUBEHANA WATAALLAH AMUHIFADHI HUYU SHEIKH SALIM BARAHIYAN NATAMANI NINGEPATA MAWASILIANO YAKE YUKO VERY SERIOUSE! Hii Bakwata itajikuta imekuwa Tatizo kweli kwanini watake kutumia Nguvu nyingi kwa kuwambia waisilam wafunge ao wafunguwe kwa wao watangaze? Hivi Hawajuwi kuwa wao ni Taasisi Tafauti na zingine? Na zingine Taasisi zimesajiliwa serekalini? Kwa kweli Hili ndo Tatizo liko mu jamii hasa hawa watu wa Bakwata wao wanasahau kama wao ni Taasisi japo wao wanajiona wanawakilisha waisilamu wengi inchini! lakini pia yafaa watambuwe kwa sasa tuko kwenye ulimwengu wa kisomi taasisi zote za kidini zipo huru kuendesha Ibadah sawa na Katiba ya inchi!!! Ndio maana wapo wenye mtazamo tafauti na Bakwata nao pia wanahaki ya kuendesha ibada zao kwa uhuru sababu ni Taasisi zimesajiliwa serekalini pia hizo taasisi hazijasema kama zinaongozwa na Bakwata! Kama serekali inaibeba Bakwata ni sababu tuu kuna watu wengi kwa hio inapitisha tuu baadhi ya mambo bakwata lakini sio kusema kiibada waumini wanaotokana na Taasisi zingine kinyume na Bakwata hawana mamlaka!!! mathalan jee wa Salafi, wa Answar sunna, wa soufi, wa Shia hawa wana haki ya kuwa na taasisi zao pia na Mufti wao!? Ebu watazame basi upande wa wakristo.Piko taaasisi za kikatolika , piko za ki pentecosti piko wa kilutheri, piko wa aglican, piko wa jehova, piko wa injilist hawa wote wanatambulika kama taasisi za kidini za kikristo ila kila moja yuko huru hakuna kiongozi wa kikatolika atawalazimisha waumini wa kilutheri, ao wa ki injilist matakwa yake kila Taasisi ya kidini iko huru kufanya shughuli zake na ibadah zake ca lazima ni kulinda amani ya taifa ila Huyu Mufti wa Bakwata asitake kuwalazimisha watu matakwa yake kuna kipindi wao wanafanya kibri kukosa kutangaza wanakuta wanawafturisha mcana siku ya ramadhani wakati imeanza ao wanawafungisha swaumu siku wengine wanasali! Na Baadaye wanajikuta walikosea lakushangaza hawawataki Radhi waumini wa Inchini kuwa walikosea pia hawawambi kuwa walipe siku waliwapotosha wakawalusha siku ya swaumu !!! Wawatake Radhhi pia Kwa kuwaambia waumini wafunge siku ya laidi haya mambo ya kujidai eti bila sisi kutangaza wangine hawana haki ni kibri na udikteta kwani inaamana Kiongozi wa Answari Suni akitangaza kakosea wakati wao wametangaza kwa mujibu wa taarifa zimekwisha thibiti kuwa Mwezi umeonekana Ulimwenguni! Yaani Inaamana wa wahabi wakitangaza hawana haki? Ao wa Shia nao ? Mambo ya kukinzana kinzana ni ujinga mtupu ! Inchi ya Tanzania ni inchi ya ki secular haiegemii kwenye Dini yoyote kwa hio watu wako huru Wa wahabi wa answari wa sufi wa shia wanao uwezo hata wakuteuwa wa Mufti wao ao qadhwi wao!! Bakwata kama serekali inawasikiliza ni juu myaka mingi wanaonekana wanawakilisha walio wengi na serekali iko na interest ya kuwa na mawasiliano na kirafiki kizuri na dini zote! ila pia pamoja na kuwa Taasisi ya Bakwata inakirafiki na serekali ni kutambuwa kuwa inchini kuna maa taasisi mengine yana mitazamo na Bakwata hawa Bakwata kama wakitaka watu wawatambuwe kama wao ndo wawakilishi wawaisilam wa taasisi zote basi waikae cini wajadili hilo na taasisi zote waweke kiongozi moja anao wakilisha umaja wa hizo taasisi zote! wafanye kikao waunde ao waidhinishe taasisi moja la sivyo watu watafwata sawa na gisi wanaelewa sawa na fasi wao wanaonakuna Haki !!! watatafuta fasi wanaonahaki ! Kwani wakristo siwako na ma taasisi ulisha wahi sikia wa katolika wanawalazimisha, wa pentecosti wa luther, wa aglican wa jehova wa injilist? Ila kwanini Bakwata wao tu ndo wajione kuwa wao tuu ndo wana haki ya kuwatangazia waisilamu mwezi? Na kwanini wajikute kwa sababu ya kibri chao wanawafturisha waisilam mchana? Ukinzani wa Bakwata unaenda Hadi siku ya kusimama Arafat huwa wanaipinga iyo siku eti hiyo tarehe haijakutana na matakwa ya Bakwata? Waisilam wanamaco wanaona huwezi ukawapeleka Waislam kama vitunga wakukubalie Ndugu zako waisilam wakitangaza wameuona mwezi kwanini wewe uwapinge?
@bonifasiemanueli219 ай бұрын
Msigombane,Ninyi Kwa Ninyi Nani kawaloga
@isihakaabdul11349 ай бұрын
Mzee wetu umezeeka mwili tu lkn ufahamu alhamdulillah Allah kakuhifadhia kuzidi hata vijana
@NanahHassan-cd2vl9 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu Sheikh saalim barahian
@uledihassan60659 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Barahiyyani
@ahlusunna89329 ай бұрын
Hakika mufti wa bakwata dunia inamuhadaa sana tunamuomba Allah amuongoze katika njia ya haq.
@mohamedkhamishamad9 ай бұрын
Mashaallah ❤kwa jili ya Allah
@GadafiRashidi9 ай бұрын
Maneno ya Sheikh Salim barahyan yako sahihi
@kheriabubakar46749 ай бұрын
Allah akulipe kilalakheri shekhe.
@abdulazizhabib45819 ай бұрын
Allah akuzidishie hekima na afya njema,bwakwata hakuna vision
@Dachboy-f3v9 ай бұрын
Allah akuhifadh shewetu mkwwli mbona tumewajua zamani wababaif
@h77-f8m9 ай бұрын
Bakwata iliundwa na mkatoliki Nyerere baada ya kuivunja east Africa muslim welfare mwaka 1968 guy ndio ukweli waislam wa Tanzania msitegemee mabadiliko kwenye Bakwata
@Hamis-ks1sy9 ай бұрын
Akhy umeongea kweli kabisa
@AliNassor-qt6fm9 ай бұрын
Swadacta ❤❤❤
@focusernest56109 ай бұрын
Na ndyo ukwel yule mzee alion mbal syo tu waislam tu,,,pia aliwavuruga na wasukuma hakutak wastaw maan machafuko yangekuwa rahs anawaelewa😅
@abdallahsaid17139 ай бұрын
Kuna kuongea na kuropoka we ni mropokaji tu kondo msojitambua kila mnalo ambiwa mnafwata mnajazwa ujinga mnajazika hamjui kuhoji wala kuchunguza mnapo letewa jambo ndio mana kila kukicha kwenu wanaibuka watu wano jita manabii na wanawadnganya wanaongea na mungu x hv x vile na nyi mnayapokea tu, mpka leo mmeshindwa kujiuliza vp mungu aje duniani ajifanye mtu alafu afe kwa ajili ya dhambi za viumbe alivyo viumba yye na yye ndie mtoa hizo dhambi kwann azunguke kote huko wkti yye ndie mwenye mamlaka yote ndio mana serekali hawasumbuki nanyi mana hamjitambui😅 ......nk @@focusernest5610
@rogoyassin59 ай бұрын
😭
@AbuuIsmailBashiru9 ай бұрын
Maashaallah shekh allah akuhifadhi.
@AliSalim-yu4mo9 ай бұрын
Jambo la kushangaza Mufti wa Bakwata amesema kwamba eti Walikubaliana na wenzao wa nchi jirani sasa hapa hakusema kuonekana kwa mwezi ktk nchi zote lkn moja ktk nchi hizo ikiona innatosha sasa je huku si kuruka najisi ndogo ukakanyaga kubwaaaa!
@mbarakaissa92329 ай бұрын
Siku zote kwa waislam ni siku za ibada na kazi pia Mashaallah
@abuuallmaanalmuusawy9 ай бұрын
Allah akuhifadhi shekh
@abdallahmsham-eb7jz9 ай бұрын
kazi yao kuharibu hii dini ya mwenyezi mungu watashidwa duuuu
@HafidhMwinyi-z8l9 ай бұрын
MwenyeziMungu akubarik
@mohammedlipindula54159 ай бұрын
Sheikh wangu mzee wangu mimi namuomba Allah akujaalie afya njema inshaallah na usiache kusimama na khakih hao wanaojiona nakutegemea yakwamba wataiendesha dini ya Allah kwafikra zao namawazo yao inshaallah Allah atawalipa hapahapa duniani coz uislam sio dini ya bakwata wala serikali yatanzania leo watu wabakwata wanajifanya waijua dini kumbe nichanzo chamigogoro ktk uislam
@jumaabdulrahim55539 ай бұрын
Nikweli kabisa Masha Allah
@jumaabdulrahim55539 ай бұрын
Hii imekua ni kawaida ya bakwata kujificha katika kivuli Cha dini kumbe ni serekali
@NuurulHudaa5 ай бұрын
We ni mrobgo mkubwa qaul ya mwezi wa popote ni qaul dha'ifu ambayo katika madh-hab nne ni moja tu ndo yenye kusema hivo nayo ni ya imaam ahmad ibn hambal ambapo bado ibn taymiyah asema kwamba mwezi wa popote ni miji ya karibu ama miji ya mbali kila mmoja na mwandamo wao. USIDANGANYE WATU!!!
@mussaabedi93399 ай бұрын
heshima itabaki katika Sunna ya kumfata mtume muhammad.na sio mtu mwingine .mtu akienda kinyume na Sunna .na muandamo .si tunamuacha aende na watu wake.izi ni zama za kufata Sunna .ya mtume muhammadi.sio masaailu jahilia
@SaidOmar-d3m9 ай бұрын
mussa abedi wewe ufati sunna ya mtume Muhammad (s.a.w) wewe unafata saudia kufata saudia sio sunna jiulize umewahi kufata sehemu nyingine pasipo saudia sasa hao saudia wanautaratibu kama huu walionao bakwata kwanza nikufaamishe sio watu wote saudia dhehebu moja hili mnatakiwa mufahamu sasa nakufahamisha Tanzania taasisi za dini zina uhuru mkubwa kuliko saudia saudia uwezi kufanya shughuli yoyote ya dini lazima likubaliwe na balaza lao la dini hakuna taasisi inayoweza kubishana na selikali ya saudia tujiulizeni maeneo mtakatifu yanalindwa na wasio waislamu ingekua linafanyika napa kwetu ingekua vip kwaiyo saudia wanatangaza selikali kupitia balaza lao la mahulamaah je Tanzania ni dhambi kutangaza mufti?
@srafiy9 ай бұрын
Jambo muhimu la kujiuliza iweje Saudia Arabia ndio iwe ya kwanza kuona mwezi siku Dunia nzima? Hata pale ambapo astronomical data zinasema mwezi hauwezi kuonekana saudia, wale jamaa wanatangaza. Waslamu wote tukibaki kwenye sunna na mafundisho ya dini kwamba fungeni kwa kuuona mwezi na fungueni kwa kuuona mwezi, basi hakutakuwa na shida kabisa.
@SaidOmar-d3m9 ай бұрын
wewe ufati maneno ya mtume wewe unafata saudia kama unafata maneno ya mtume mtu aliyekua America anawezaje kufunga na wewe siku moja kwa mujibu wa tarehe ya kiislamu kuishia baada ya sala ya maghalibi wakati yule aliopo a america ajafika hata saa tano asubuh mfano wakifata saudia kufunga unafaamu wa America atakua usiku mfano saudia wakiwa mwezi 29 jioni mwezi wameuona America wao 28 alfajiri vipi mtakua sawa tatizo inawezekana wewe umesoma saudia au umefundishwa na aliesoma saudia maana saudia wao wanamsimamo wao kwa ajiri ya watu wao wao hawafati nchi yoyote duniani ila watu wote waliosoma saudia wanatakiwa wafate misimamo yao kwani wao ndio wanao wadhamini nakuwafadhili kwahiyo hapo akuna sunna kunakutetea masirahi yao kama sunna ya mtume akuna waumini nchi nyingine wenye kufata sunna tusomeni dini tusisome Quran pekee maana dini nisomo pana linalo usisha sanyansi giografi history hesabati pamoja na maalifa tukisoma Quran na hadithi tunasema tumekua mashekh dini inaitaji watu wenye elimu shekh ni elimu ya awari tu inawezekana mtuakausoma uislamu kisha akakuchalenji ukashindwa kujibu mfano nakuliza ule ukuta uliowazuia wale viumbe juja wa maajuja upo nchi gani uijui wakati habali ipo ndani ya Quran tukufu
@SaidOmar-d3m9 ай бұрын
tumeamlishwa tusome sio kuwafata watu waliosoma zama hizo wamepita kwa waalimu we wengi unaweza kusoma ila kufahamu usifahamu maana kufahamu ni riziki na riziki Allah umpa amtakae kusoma wengi wamesoma ila kwenye kufahamu wanafahamu wachache mungu akupe ufahamu mwema ilihujuwe ukweri wa dini yako na jifunze kwa wengine kumbuka nabii mussa alipo muuliza Allah kuna mtu aliemzidi elimu Allah alimjibu nabii mussa kuna wajawetu tuliowaruzuku elimu maana wapo wenye elimu kuliko hao waliokufundisha wewe nabii mussa aliomba afahamiswe hili akasome alipofahamishwa na alipo fika akushikishwa kit kitabu wala ubao alifundishwa hekima hiyo ndiyo dini dini ni neno lenye maana pana sana usinganie jambo tu kalisome hata china kutafuta elimu ni bora tumeimizwa kusoma atujachanguliw a lazima usome sehemu furani
@HassanAbdalah-fv9ow9 ай бұрын
@@SaidOmar-d3mhuna hoja za kielimu,,, mcheni Allah jamani si Kila mtu huizungumzia dini, jambo hili la mwezi lina khilafu kwa wanachuoni na kauli yenye nguvu kwa maulamaa ni kufuata mwezi wa kimataifa, ukionekana popote duniani sio saudia tu.
@jimpazclimpaz17949 ай бұрын
Mungu akubariki Sheikh
@fikirimachela47789 ай бұрын
Mashaallah
@sadiqfatma9 ай бұрын
AL-Hamduli(A)llahi wa shukruli(A)llahi , Allaahu A-k-bar ×3 wali(A)llahi (A)L-Hamd !
@abusalmadangaadam7089 ай бұрын
Sheikh allah akupe ulinzi na kila wenye chuki na wewe allah awasafishe nyoyo zao
@Omar_Abdulrahim9 ай бұрын
Ameen
@AbduliSeleman9 ай бұрын
Allah akure umlimref Allah azdikuupa msmamowako😊
@danaklinnaturopathy53859 ай бұрын
Huyu Mzee anajenga Sana hoja asikilizwe
@omarirama-s1y9 ай бұрын
Acheni tofauti zenu undeni chombo ambacho kinawaunganisha waislamu mnatofautiana waislam kawa waislam umoja uko wapi mnatuangusha tunaotaka waislam tuwe kitu kimoja. 21:26
@kamalmukaddam15219 ай бұрын
Mashaalah
@abdallhabinmkasibayyat66579 ай бұрын
Mungu akulipe kwa niayako ya kuwagawa watu waislamu yani wewe mungu anakukumbusha kwa kukupa maradhi lakni wewe ubadiliki wa ajili ya fedha
@ahlusunna89329 ай бұрын
Kumbe kuongea ukweli ni kuwagawa watu? Na je shekh ameongelea habar ya fedha hapo kama unavyodai ww? Mche mola wako wewe achana na maneno ya mipasho tafuta dini yako uijue vzr utaacha kupelekwa kichwa mchunga.
@msarama54069 ай бұрын
Maradhi ni ibada hata wewe utapata hasa ukiaanza kuzeeka
@abuukarata96539 ай бұрын
Maradhi sio adhabu shekh wangu. Ni mtihani mwanadam kapewa.
@Aminahlamranl420-hw2ie9 ай бұрын
Hata ww utaumwa kwan ww nan mpa usiumwe, acha kufuru kuumwa ni ibada. Na wale walio mahospital wanaumwa ni Barahiyan!!??
@zainabjumaa30558 ай бұрын
@@Aminahlamranl420-hw2ieMaa shaa Allah swali mtambuka akikujibu unishtue
@hamzakimaro37649 ай бұрын
HAWA BAKWATA hawajitambui,wanataka kujiona wao ni bora kuliko taasisi nyingine!!eti kwa sababu tu wao wanabebwa na mbeleko na serekali!! Lakini BAKWATA kwa sasa haina nafasi kwa WAISLAM!! kama si kubebwa na serekali na MASHIA isingekuwepo tena!!
@awadhally10529 ай бұрын
Kwel kabisaa
@jumaa0529 ай бұрын
Asa habib kama taasisi zote zingel kua Sawa c kungelikua na mamufti waso idadi
@AllyHamran9 ай бұрын
Kizuri ni kuwa Barahiyani hawatangazii watu wote anawatangazia wano msimamo na itikadi ya mwezi wa kimataifa basi.
@athumaniomari97609 ай бұрын
huyu sheikh allah ampe afya maan ni hazin ya hapa tz
@nassibdoma54089 ай бұрын
Masha Allah ❤❤
@ingodwetrust18529 ай бұрын
Mbona ww ulilalamika Tv Iman walipotangaza mwezi kabla ya kaul yako
@abubakarally34139 ай бұрын
Kama alilalamika kwasababu yeye ndio basuta walimchagua na hio tv imaan walikua chini yake kwenye jambo la kutangaza mwezi
@AdmiringCorgi-rg5tj9 ай бұрын
Barahiyani uliwahi kukasirika ulipotangazwa Mwezi kwakua hukusema wewe
@saidimkwinzu91069 ай бұрын
@@AdmiringCorgi-rg5tjKwa sbb yeye ndie kiongozi wa basuta lakin walioko wakatangaza mwez bila yeye kuambiwa
@mkude9 ай бұрын
@@AdmiringCorgi-rg5tj mnatafuta hoja za kitoto, wao wote ni dhehebu Moja wakamteua Salim barahiyyan awe anatangaza, mfano mufti anatangaza mwezi wa bakwata akitokea mtu mwingine ndani ya bakwata Kutangaza mufti anahaki ya kuchukia, lakini mufti Hana mamlaka ya kuchukia dhehebu lingine likitamgaza siku ya ibada Yao Kwa katiba ya Tanzania
@zaituniluboge88979 ай бұрын
Tuache kurumbana na kutupiana maneno machafu hasa kwa viongozi wetu muhimu kila mmoja afate imani yake inavomtuma kwa maana iman yako ndy itayokuponya baadae haya marumbano ya mwezi tutayaacha hapa hapa duniani wala hayana manufaa kwetu muhimu allah apokee funga na ibada zetu
@AbdulKarimu-lj8iu9 ай бұрын
😂 Iman na mwezi ni vitu tofauti tafuta elimu hakuna kitu kama hiko ati kila mtu abaki na Iman yake
@yussufhaji33359 ай бұрын
Wasitusumbue hao ela wasituendeshe Sisi tunajua tunachokifanya dini halazimishwi MTU wasitukosee kabisa waendelee nabakwata Yao Sisi watuache na Sunna zetu
@memorataedson78959 ай бұрын
waislamu mnapenda malumbano yaani hakiwapiti kitu
@AllyHassan-e2m9 ай бұрын
Hata mm mara hii niliinqia kwenye mteqo lakini wallah mwezi ule ulikuwa ni mwezi pili
@ZainabuMlyatangu9 ай бұрын
Umeona😮Umeonanaee
@ibnhassan99809 ай бұрын
Mche Allah
@rahmaabdallah45149 ай бұрын
Kila mmoja anajiona sahihi mungu ndo anajua zaidi.... mungu atupe mwisho mwema
@AllyHassan-e2m9 ай бұрын
@@rahmaabdallah4514 amiin
@catchall93649 ай бұрын
Shekhe, mwezi ulizaliwa saa sita mchana siku ya jumapili kwa majira ya Afrika Mashariki, hivyo wataalam wanasema usingeweza kuonekana kokote katika maeneo ya Afrika, Mashariki ya Kati na Asia, kwa maana ungekuwa ni mchanga sana labda kwa bara la Amerika ambao wako nyuma yetu masaa zaidi ya nane, kwa minajili hiyo ndio maana siku ya jumatatu ukaonekana ni mkubwa kwa sababu ushakomaa kwa masaa zaidi ya 30. Ukubwa wa mwezi unategemea una masaa mangapi toka ulipozaliwa na sio wa jana au wa leo kakaaa.. Fuatilia mambo hayo kitaalam sio vijiweni..
@issahabdallah90189 ай бұрын
Huna baya Sheikh, kiti chako utakikuta firdous.
@dahlainismail68379 ай бұрын
Naam mwalim Allah akuhifadhi bakwata kama kirefu chao bana kabisa waislam Tanzania hao ni wafedhul maulamaa usuhii
@baghabaghaingwengwe17509 ай бұрын
Mufti hapo alikosea sana
@SospitaKabaka9 ай бұрын
Uislam kama kwel ni din ya haki sas iweje muingiliwe na siasa kwel yaan mambo ya kimungu yana ongozwa na siasa jaman ifike mahari tusiogopane tuseme ukweli amin amin nakwambia ukiona nchi inaingilia mambo ya kimungu na kuyabadilisha hayo nimambo ya kishetan amin
@wazirihamisi64849 ай бұрын
Lengo la makafiri kuuzima uislam siasa imeundwa na makafiri
@h77-f8m9 ай бұрын
Bakwata ndio chombo kinachowarudisha nyuma waislamu Tanzania .Kenya ina waislamu wachache lakini wana nguvu kwenye mambo mfano Mahakama ya Kadhi ambayo ipo kwenye Katiba ya Kenya ya 2010
@ramygichero10169 ай бұрын
Hawa ni magaidi Mawahabi
@mkude9 ай бұрын
@@ramygichero1016 hizo chuki zenu zilishapitaga muda mrefu sanaa, sasa hivi mmekuja na kueneza ushoga duniani baada ya kuona ugaidi mmefeli, sasa mnahamasishana ushoga😮
@YuzzoKhalifa-zq6xf9 ай бұрын
mashaallah shekhe,wafafanua vizuri sana, kwanza bakwata ndio nn
@maftahmusa95139 ай бұрын
Tatizo la Mufti wa BAKWATA hujisahau akajifikiria yeye ni mufti wa waislamu wa tanzania wakati yeye ni mufti wa BAKWATA
@LouisMambaAloyce-cu6ud9 ай бұрын
Hakika
@ismailhassan52099 ай бұрын
Kamata huyo kama anakaidi kamata weka ndani
@ibnhassan99809 ай бұрын
Tatizo la muft wa Bakwata na viongozi wote wa Bakwata kujivesha joho la wao kuwa watumishi wa serikal.
@HUSSEINALLY-b7f9 ай бұрын
Yaani we ndo jaahil kabisa eti mufti wa bakwata
@maftahmusa95139 ай бұрын
@@HUSSEINALLY-b7fwewe ndio jahili katika uislamu hakuna kitu kinachoitwa bakwata
@jumasalum28429 ай бұрын
Inalilah wainairay rajiun yaan tunasikitika sana waislam tunakwenda wap jamani mungu atunusuru na hili
@wazirihamisi64849 ай бұрын
Sikiliza hoja kisha fuata haki
@SaidAbdallah-sm1ft9 ай бұрын
Kweli amejuwa makusudio ya mufti wa bukwata nikutaka kuwachochea watu wa SUNNA kwa serekali lakin serekali inaakili sio kukurupuka
@ZainabuMlyatangu9 ай бұрын
Kweli uyo mzee hataki kuongeza watu hatumtaki
@KhalfanSuleyman-q9d9 ай бұрын
Tupo pamoja allah akupe ulidhi inshaaallah
@rasheedmbaraka71999 ай бұрын
Siku zote watu wanasema bakwata ni chombo cha serikali sasa imejidhihilisha wazi..
@rashidsuleiman92539 ай бұрын
Kwani nyinyi hicho kitaasisi chenu hakijasajiliwa na serikali?
@cheapunderage82289 ай бұрын
@@rashidsuleiman9253mbn unachanganya mada kaka iv unajielew kweli mmh
@AbdulkarimShosi7 ай бұрын
(فأما قول من قال إنه ينبغي أن يكون المعتبر رؤية هلال مكة خاصة ، فلا أصل له ولا دليل عليه)
@yassirrashid78029 ай бұрын
Sasa ikiwa wameswali kabla watakua wameswali na nani? Na aliposema anaenda kuftri atakua kafunga na nani? Jibu ni kwamba tangaza mwezi wa kimataifa..