MUHAMMAD BACHU AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE

  Рет қаралды 6,194

Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya

Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya

Күн бұрын

MUHAMMAD BACHU AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE

Пікірлер: 271
@RashidJuma-uh8sv
@RashidJuma-uh8sv 3 ай бұрын
Malipo ya Kila mja ajuae ni Allah sisi tusubirie rehma za Alla tu bila Hivyo tupo kwenye mazito Allahu aturemu sote waislam allamma aamiin
@shuaibabdullahi7544
@shuaibabdullahi7544 2 ай бұрын
Asante sana sheikh kuweka wazi kinacho dhihiri kuwa makini sana na hawa watu
@user-pi3vj5sn3l
@user-pi3vj5sn3l 3 ай бұрын
Mohamed bachu na wenyeji wake wamefanya jambo zuri
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 3 ай бұрын
Subhanallah yaaani imefika hapo baada ya kua alipokwenda lamu waomba nafasi ya duruus wakanyimwa baadae unasema msikiti wa Allah subhannahu wa taala ni wa fitna mwogope Allah bana upotoshaji wenu ndo unasababisha kuwe hivi zueni polepole ila mjue kila mnalosema yako kwa rekodi za malaika n mjue kuchafua masheikh wetu watasafisha n naswaha zako baki nayo usimpe bachu
@bagalucha
@bagalucha 3 ай бұрын
Hasbünallah WAN imal wakil,Allah ni ndie mjuzi wa yote,Haifai kuzua na kuhusudu,Allah hayapendi haya,tuziogope nyumba za Allah,Kwa visingizio,tusivyokua na elimu navyo.
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
Hayo yarudi kwenu mawahhabi Nyinyi ndio wenye husda kutamani kupora na kuibia mskiti ya watu,acheni husda mawahhabi na mumche Allah
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
Ya haqi yatabainika n yabatwil yatapotea In Sha Allah. Ila hii yenu sheikh naikataa Mmejaa fitna Mmejaa uongo Mmejaa upotovu Pka wenzenu wakitaka kujenga msikiti mnapinga Hii yenu ndio mnaita dini ? Watu wanaswali na matwari msikitini,ala za muziki ndani ya msikiti Mfungo sita mnaenda kupigia maiti magoti mkiomba msaada Mkiomba cjui awape barka Mkiomba awape barka Allah awasamehe lkn yenu hapana Kujengea makaburi Kueka adi mabati ili asipatikane n jua😂😂😂bdo mnajiita hii ndio dini Kupamba makaburi
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 3 ай бұрын
Waislamu wameona haki ndio wakawa mawahabi, Mawahabi hawataki tena shirki zenu.
@eshasaid3258
@eshasaid3258 3 ай бұрын
Mashaallah shukrani allah ustadhi muhsin❤❤❤❤ huyo mohamed bachu atmpiga mtume s.a.w mpaka lini qiyama 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 3 ай бұрын
Sufi ni Ahlul Twariqah sawwiyya hatutukani watu khaswa ndugu zetu waislamu. Lakini tizama comments za mawahabi matukano na kejeli. Mungu atuongoze na atupe husnil khatima Aamiin. Na shukran ustadh Muhsin ambae ataelewa ataelewa na ambae hataki kuwelewa inshaAllah kheri. جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ محسن. تقبل الله طاعتكم وصالح أعمالكم و كل عام وانتم بألف خير وصحة وعافية وستر يارب العالمين. اللهم آمين يارب العالمين.
@Hunger388
@Hunger388 3 ай бұрын
inshaa Allah masjid sunnah yatakuwa meengi ulimwengu huu kwa kupambana na shirki na mambo ya bid aa
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 3 ай бұрын
Mimi Sisomi maulid hila nili wafwatilya kwa umakini sana nikagundua wao uzna kwa kusoma quran na kumswaliya mtume Mohammad (S.A W) na kusomesha ama kuelezea hitoriya yake tu.
@Muislamu
@Muislamu 3 ай бұрын
Alakh mzungumzaji muogope Allah mimi ni msufi lakin naona kuingilia niya za watu na kufananisha mskiti ni kama masjid dhwiraar... Tumuogope Allah wallahi ..kuna hesabu mbele ya Allah ..
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
@@Muislamu hiyo kumuogopa Allah yaenda kwa kila MTU pia yakurudia wewe mwenyewe,eti kuingilia Nia za watu wakati Nia zimewekwa wazi,kilichofananishwa ni nai ya kujenga msikiti kama masjid dhwirar ilikuwa ni kufarakanisha waislamu basi na hiyo ndio Nia ya bachu alioidhihirisha mwenyewe kupitia post zake na maneno yake
@Captainome
@Captainome 3 ай бұрын
Chuki na husda zimekumbata kama mlivyo familia mzima hukuanza ww wameanza wakubwa zenu kina watoto wa sharifu Muhammad waliskia uchungu sana sana walipoikosa ardhi iliyoa jengwa masjid TAWHID MAMBRUI.PWIRUUUUU.mumezoea watu wazeeke kwenye ushirikina kumekucha ANKALI TUTAJENGA MISKITI MINGI IN SHAA ALLAH NA BDO.
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
Nani ywaujua huo mskiti bsi,watu hutoka ulimwengu mzima wakija mambrui na wakishukia Riyadh,😂😂😂,na ama kuita waislamu washirikina hamkuanza nyinyi,hiyo ni mienendo walioanzisha makhawarij nyinyi mwayaendeleza
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 3 ай бұрын
KUFENI KWA CHUKI ZENU,SUNNAH INAZIDI KUNG'AA.....
@nasraswaleh1224
@nasraswaleh1224 3 ай бұрын
Assalam Aleykum. Kila mmoja ana fungu lake kwa Mwenyezi Mungu, not in your place kumhukumu kwa Yale aliyofanya ama iwe sababu ya kuukata Msikiti na kuwaambia watu Msikiti ni wa ukafiri wala kumwingilia yeye Muhammad Bachu, hata pia Ali Abubakar kwa yote wafanyayo. Sasa walingania watu kwa Ucha Mungu ama kuwapotosha watu waingie kwa madhambi. Jazakallahu Khayr.
@RashidJuma-uh8sv
@RashidJuma-uh8sv 3 ай бұрын
Acha misikiti ijengwe watu wamuabudu Allah muogope mungu😅
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
Kabisa yani
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 3 ай бұрын
الحمد لله mm ni dariqa ahlu sunah mawahabii wanagawaa waislnmu
@GOP-Abdallah
@GOP-Abdallah 3 ай бұрын
kawaida ya haqqi ikiingia mahali hukubalika kwa uwepesi,sio masala ya agenda wala nn,hii ayah moja tu ni jawabu tosha kwako وقل جاء الحق وزهق الباطل إن الباطل كان زهوقا
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
@@GOP-Abdallah mbona haqqi hiyo yenye kukubalika haraka imegonga mwamba mambrui lamu na Mombasa?😅😅😅mwatumia Aya za Allah na vichwa vyenu
@iddimohamed254
@iddimohamed254 3 ай бұрын
Wenyeji ndio walimpa ruhusa ama ni yeye mwenyewe acha kupotosha watu ww...
@Captainome
@Captainome 3 ай бұрын
Nakupa homework (kamuulize Muntamani alitakakutoa pesa ngani ili mawahabi wasiupate ardhi iliojengwa Masjid TAWHID.LAKINI ALLAH kwa rehma zake mwenye ardhi mzee wetu ISLAM ALLAH AMPE AFYA NJEMAA AKAWAPA MAWAHABI ARDHI WAJENGE KWA PESA NGAPI.😂😂😂😂😂😂😂
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
@@Captainome na kila mwaka mamilioni ya watu kutoka sehemu mbalimbali za ardhi washuka Riyadh, alhamdulillah 😅😅
@khamiisathmaan4362
@khamiisathmaan4362 3 ай бұрын
Na mbona waliteka madrasa Nuri mawahabi
@khamiisathmaan4362
@khamiisathmaan4362 3 ай бұрын
Mnapenda kujitakasa kana kwamba mlibashiriwa pepo
@user-pi3vj5sn3l
@user-pi3vj5sn3l 3 ай бұрын
Kama lamu kulijengwa makanisa wachukia kujengwa msikiti
@shariffomar8580
@shariffomar8580 3 ай бұрын
Mwaskia wivu kwa kuwa watu wataacha kufanya bid'aa zenu
@abubakarbakari9372
@abubakarbakari9372 3 ай бұрын
Masha allah shukran sana sheikh bachu amewagawanya waislamu allah atuongoze
@abdurahmanabdallah2403
@abdurahmanabdallah2403 3 ай бұрын
MASHALLAH shukran ust muhsin kwa kutuilimisha uovu wa mawahabi
@OsmanAli-zb3tu
@OsmanAli-zb3tu 3 ай бұрын
Hata mtume pia aliambiwa agawanya watu haikuanza kwa sheikh muhammad bachu hafidhwahullah
@shariffomar8580
@shariffomar8580 3 ай бұрын
Tatizo simisikiti kuwa mingi, Tunacho taka ni sunnah itawale kila mahali
@abuhassan9552
@abuhassan9552 3 ай бұрын
LAMU YAMEJENGWA MAKINISA NCHUNGU MZIMA HAKUNA ALIESEMA HAKUNA ALIEPINGA LEO KWAJENGWA MSIKITI WA TAWHID NDIO KERO SUBHANALLAH ALLAH ATUONGOZE
@abuarifhassan6316
@abuarifhassan6316 3 ай бұрын
Dini si moja kisheria ya kinchi sasa wanakatazwa vp ama tukijenga msikiti kericho tukatazwe tutaona vp lkn hii fitna baina yetu ndio inayopaswa kuongelewa..
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
​@@abuarifhassan6316Kujengwa msikiti ndio mnaona fitna ? astaghfirullah
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 3 ай бұрын
Twaangalia Imani zetu SI Imani za watu wengine ....tujiangalie sisi vipi kwanza tutakuwa kitu kimoja
@taurehassan7399
@taurehassan7399 3 ай бұрын
@@abuhassan9552 tauhd 3 z bid'aa?na kuwakufurisha wailm wnzenu wkt nyny ndo washirikina wa tawhd 3
@abuidifundi2016
@abuidifundi2016 3 ай бұрын
AFADHALI KANISA KULIKO MSIKITI WA MAWAHABI
@iddimutua420
@iddimutua420 3 ай бұрын
😅😅😅 Wallahi vituko vya hawa twarika jamaa za matwalaga balaa sana, Shafii Basalim alivyo jitokeza na kumtukana sana mwanachuoni Sheikh ISLAM IBNI TAYMIA walikua kimya sana kama hawapo wala hawamsikii alafu leo Shiekh M.Bachu kawa sababu ya kujengwa msikitini wamejitokeza na Aya kubwa kubwa ili kupinga sunna isijengwe na kuendelea Wallahi balaa sana.
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 3 ай бұрын
Kwani nyinyi mawahabilikua wapi alivyotukanwa Imamu BARZANJI
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
Acha urongo Wahhabi mmoja ww,matwariqa twawaheshimu watu wote!!UST said shirazi aliefanya mjadala na bachu alimtolea video shafii basalim zaidi ya video tatu akimkanya shafii basalim asimtukane Ibnu Taymiyyah,UST fakhruddin Ibn Muhsin Jamalulleyl pia alimtolea UST Shafii basalim asimtukane Ibnu Taymiyyah,Sisi ni watu wenye inswaaf na wenye kusimama kwa haqqi,mwenye shafii basalim amekataa haskii
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
Haya njoo kwenu sasa mawahhabi Yule bachu hakumtukana barzanji,hakumtuna Habib jufri,kuna sheikh yeyote wa mawahhabi aliejitokeza na kumkanya?hamna inswaaf na urongo juu pia mwasema
@iddimutua420
@iddimutua420 3 ай бұрын
@@answarmohamed4564 Please nitumie video moja alio mtukana Barzanji au huo jufri alie ridhi kilemba cha Mtume mpaka sasa anacho tuma ushaidi wa Bachu kumtukana mwanawazuoni.
@iddimutua420
@iddimutua420 3 ай бұрын
@@MuhidiniNassor Tuma ushaidi wa Bachu kumtukana Barzanji tuma sio kuongea bila ushaidi tumeni ushaidi.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 ай бұрын
Dhulumu utakalo, chafulia utakalo, zuia sunnah utakalo, tetea bid'a na ushirikina na upotovu utakalo, paka matope watu wa Sunnah utakalo lakini maisha ya mja ni 63 au hapo vile mtume s.a.w ametuambia na wewe utaenda mbele ya hakimu wa haki na bila shaka utahesabiwa vilivyo. عش ماشئت فإنك ميت،واعمل ما شئت فإنك مَجْزِيٌّ به
@feiawadhahmed1342
@feiawadhahmed1342 3 ай бұрын
Daaah kweli sasa kujengwa mskiti pia balaa hehehe haya ruhusuni makanisa basi
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
Alafu wanajiita masheikh , Wana elmu wao
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 ай бұрын
Mashia wanajenga misiki kila pembe Lamu na masufi hamneni lolote lakini msikiti ya sunnah ikipatikana mnapinga kila namna...may Allah curse those against the spread of the haq
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 3 ай бұрын
Hata mtume saw aliambiwa anapotosha na anafitinisha. Tatizo masufi ni wapumbavu kama alivyosema imaam Shafy
@shamsushaffikassim-fe4ul
@shamsushaffikassim-fe4ul 3 ай бұрын
Chuki tu na USHOGA na ukhabithi khabithi mkubwaaaa weweee
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 3 ай бұрын
Acheni husda,roho mbaya,na choyo.Sheikh Muhammad Bachu anawapotosha watu kwa kipi?hemu elezea hayo anayopotosha,huu ubaya hausaidii,na ndo mnazidi kumpandisha Darja,watu kumfwatilia zaid,maana M Mungu ndo ashataka kumpandisha mja wake.sasa hata mukijaribu kumchafua ni bure,acheni hizi husda,ubaya na choyo
@HamdiHamdiAbdi
@HamdiHamdiAbdi 3 ай бұрын
Imeuma 😅
@abuarifhassan6316
@abuarifhassan6316 3 ай бұрын
Lkn johari ina haja gani kua na miskiti kumi eneo moja wakati waswaliji hakuna kwann wasijenge madaris kubwa ya kiislam bure watu wasome
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
​@@abuarifhassan6316tatizo hujui kinachoendelea Msikiti unajengwa kijijini ofcz N msikiti uliopo hapo n mmoja Msikiti huo wenzenu wamekatazwa kuingia ndani I think Kuna kitu hujaelewa Ndiposa wakiamua wajenge msikiti wao Mlikua mnataka waswali nyumbani ?
@KomoraMohamed
@KomoraMohamed 3 ай бұрын
Ni firauni fitna zke bachu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 ай бұрын
Sunnah itatambaa biidhnillahi, usufi na bid'a na ushirikina utaisha katika jamii inshallahu taala. Mezeni wembe موتوبغيظكم
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 3 ай бұрын
Asli yako ni bidaa na usufi na ushirikina hii ni kama babu yako alikua muislam
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 3 ай бұрын
MOLA atulinde na sharii ya mawahabi
@famaufarmajo9665
@famaufarmajo9665 3 ай бұрын
Sasa Nyinyi Mulofunga msikiti Huko Sio Kugawanya waumini Hatakama hao Mawahabi Niwanafik Lakini mtume hakuwafungia wala hakuwafukuza Nyinyi pia mwafarikisha umma nanisifa ya unafiq
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
hakufukuzwa mwanzo hiyo ni tabia ya mawahhabi kufkuza watu miskitini...wenye kusimamia msikiti na mikakati yao na mipangilio yao walikataa ASIZUNGUMZE,lakini hakufukuzwa huchi kusema urongo?
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
​@@answarmohamed4564ww ndio unasema uongo Hujui lolote yaliojiri watu wametolewa msikitini N wakitaka kujenga wao bdo mnayumba yumba Hivi hamujiskii aibu ? Ni laana ya mungu imewafuata ndio mana mnapiga makelele yasiokua n maana
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 ай бұрын
Kwa taaifa yenu! Watu sasa wanaelewa Sunna ni nini!?? Mtaswali kipekeeenu ktk misikiti yenu !
@almashally8802
@almashally8802 3 ай бұрын
ماشاءاللہ بارك الله فیك
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 3 ай бұрын
Umekosa kazi ww sheikh vitu vingine hata havikuhusu ungekaa tu kimya kwasababu wewe nayeye mko tofauti yeye katika misimamo
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 3 ай бұрын
Mkitaka wafanye nn baada ya kuwakataza wasitoe daawa. Kufeni kwa chuki zenu متوا بغيظكم
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 3 ай бұрын
😂😂😂 mumejuta kuwakataza watu misikiti ya Allah, na pia wamesemwa vibaya ktk kuran wale wanaokataza misikiti ya Allah lisitajwe jina lake humo 😂😂😂😂😂
@khalfaanjeilaan3922
@khalfaanjeilaan3922 3 ай бұрын
Mbona hamuzungumzii kuhusu misikiti ya kishia lamu na makanisa?
@hadibjumbe
@hadibjumbe 3 ай бұрын
Dawa imefika. maashallah.
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 ай бұрын
ukıona hivi ujue kuwa Hii ni dalili ya 1- UOGA 2- Ni upungufu wa TAWHEED Tutaıtangaza sunna kwa hali na maliiii Watqariqa mmeiharibu dni kwa mda sanaaa ! Ata AbdulWahab alipigwa vita sana !
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
Uoga?yaani wewe kwa akili zako waislamu kugawanywa na watu kutoa tahadhari ni uoga 😂😂😂halafu wamaanisha kutaingia Tawheed,wamaanisha kule lamu mpaka Saa hii hamna waislamu wote ni washirikina?yaani nyinyi mawahhabi hamjielewi hii dini hamuwezi kutumia,acheni ukhawarij kukufurisha waislamu
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 3 ай бұрын
Ww unaijuwa historia Abdulwahab....ama unaifahamu historia ya masuudi walioko huko walitoka wapi
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 3 ай бұрын
Ulikua umalize TATU
@ShabanNyange
@ShabanNyange 3 ай бұрын
Tawheed ya kupora miskiti???
@iddimohamed254
@iddimohamed254 3 ай бұрын
Uyu ni hasidi Hana lolote nyoooo...atakae fanya mema analifanyia na atakae fanya maovu analifanyia mwenyewe...
@SalimHsn-Omar
@SalimHsn-Omar 3 ай бұрын
Acheni uchawi/ushirikina na bi-daah za maulidi Acheni kuwapoteza watu na imaani za mizimu uislamu wa Matambiko na uganga wa kishirikina na majini
@abdinoornyanga2117
@abdinoornyanga2117 3 ай бұрын
Mashallah,lakn msitumie mimbari kubondana,twawaonyeshani mfano upo wasokuwa na ilmu ya dini au hata wasokuwa waislamu??
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 3 ай бұрын
MASHA ALLAH 💚
@abdulqadirmasuo1550
@abdulqadirmasuo1550 3 ай бұрын
MANENO MENGI NA MSIKITI WAENDELEA KUJENGWA. INGEKUWA VIZURI KAMA UNGEMTAFUTA ALIETOA ARDHI ABADILI NIA YAKE. LAKINI UMEKAA WAREKODI VIDEO JISAA ZIMA BILA YA FAIDA YOYOTE NA MSIKITI WASIMAMA. AMA LABDA WATAFUTA UMAARUFU KUPITIA MOHAMED BACHU?
@NuzlaBunu
@NuzlaBunu 3 ай бұрын
Sasa ww umekereka? Kuekwa msingi wa msikiti wa sunnah? Kwani waislamu kwa ujumla watafaidika kwa kiasi kikubwa sana.
@sheikhyusufdiwan2489
@sheikhyusufdiwan2489 3 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@GOP-Abdallah
@GOP-Abdallah 3 ай бұрын
@@sheikhyusufdiwan2489 shekhe yusufu hawa si walikuruka baada kushindwa mjadala?😂
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 3 ай бұрын
nimpambe huyu sheikhe mdiho
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 3 ай бұрын
Hahahhahaa!
@iddimutua420
@iddimutua420 3 ай бұрын
@@sheikhyusufdiwan2489 MashaAllah Yusuf Diwani ndugu yake Shafii Basalim mtu wakupiga vita watu wasunna na kuwaacha Mashia InshaAllah Allah akufungue macho na moyo ilimu ulio nayo isikushtaki kesho mbele ya Allah.
@MBAROUKSAADHUSSEIN
@MBAROUKSAADHUSSEIN 3 ай бұрын
We kila kwenye fitna lazima turbo uonekane ila kwenye hakki wala haukomment
@GOP-Abdallah
@GOP-Abdallah 3 ай бұрын
Ujasiri gani huo ulionao kuzitolea hukmu miskiti ya Allah kwenye ardhi hii?ikiwa mtume mwenyewe hakujua malengo ya mskiti wa dhiraar mpaka alipotereemshiwa wahi?lakini wewe watoa hukmu moja kwa moja Chuki zako na za babako kwa watu wa sunnah zitawapelekea pabaya kaka
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
@@GOP-Abdallah huyo Baba ya MTU marehemu hizo chuki zake unzitoa wapi,wamlaumu MTU ywahukumu kisha we mwenyewe ndio wa Kwanza mwenye maradhi hayo!bachu ameyaweka wazi mwenyewe wale wanafik waliyaficha Bachu ameyatangaza!!!kila kitu kiko wazi na post zake tumeziona!!!mwenye chuki ni wewe na bachu
@SaidAbdalla-gl2dp
@SaidAbdalla-gl2dp 3 ай бұрын
Sasa ww shekhe unaumizwa na nini.kuna miskiti mingi ya kishia ambao wanawatukana maswahaba na wakeze Mtume s.a.w.hujapatapo kuisema miskiti hiyo.chuki haifai utaenda kuulizwa.tatzo hamtaki kufuata sunna ndio imekuwa ugomvi mkubwa mushazoea kupiga ngoma tu.
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
Kutokua n elmu ,fitna ,ujahil ,n chuki ndio zinawepeleka huku ... Makanisa yte yanajengwa lamu hakuna anaeingilia kati hili suala,hakuna anaelamika Kujengwa msikiti ndio imekua mmeinua maskio yenu? Ivi inamaana mnasupport sana ukristo kuliko dini ya kiislamu ? ALLAH AWAONGOZE AKUPUNGUZIE UNAFKI SHEIKH
@shuaibabdullahi7544
@shuaibabdullahi7544 2 ай бұрын
Sheikh ana ongea ukuweli kabisa
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 2 ай бұрын
@@shuaibabdullahi7544 Ukwely Gani huo? Udhalim tuh Hana lolote
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 3 ай бұрын
Haruna geni kwa haya hata Mtume wakati wake aliambiwa anawagawanya watu nyinyi mabidaa atawatesa sana bachoo ila haki itasimama tu
@HamdiHamdiAbdi
@HamdiHamdiAbdi 3 ай бұрын
Inakuuma
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
Usilie basi😂
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 3 ай бұрын
Unajua kuwa hata Rasuulullah alipokuwa analingania dini alikuwa anasimangwa na kudharaulia mpk kupigwa mawe akawa anaambia analeta dini ngeni sio ya baba zake. Lkn hakuchoka kulingania na ndo mpk sasa tunaisoma. Bayana ikikufikia usije ukasema sikujua au sikuambiwa. Kufuata au kuacha kufuata ni wewe na nafsi yako. Allah atuongoze
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
@@AbdillahSOthman yaani wamfananisha bachu na mtumi Swallallahu Alayhi wasallam,mawahhabi hamna mipaka,halafu kwani lamu hamna dini miaka yote?hamna la zaidi hata mkajaribu kuteteana ispokuwa ni kutaka kuleta mgongano Bana ya waislamu
@AbuuRayyan-j8x
@AbuuRayyan-j8x 3 ай бұрын
ACHA UPUMBAVU UWO WEWEE : INABIDI UNATAKA KUSEMA KWAMBA WATU WALIO KINYUME NA UWO UPUMBAVU WENU WAKIJENGA MSIKITI NDO UNA UFANANANISHA NA UWO AMBAO ALLAH AMEUZUNGUMZA KTK QUR AN ? ACHA UPUMBAVU NA UJINGA UWOO.
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 3 ай бұрын
Maa shaa Allah
@AdnanMohammed-l6i
@AdnanMohammed-l6i 3 ай бұрын
Iyo nichuki yenu maghurafi msingi unaporwa bl maghurafi mnaogopa sasaivi watu hawataki tena maulidi kwani ndani ya msikiti wanaletwa wageni sindohaohao maamumawenu iyo ndo dalili ya kwamba watu wamechoshwa nayinyi maghurafi wakata viuno
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 3 ай бұрын
watu wa sunnah lazima tuwe na miaikiti yetu hatuwezi kuswali misikiti yenu masufi kwa sababu baadhi ya misikiti yenu ina makaburi jambo hilo ni kinyume na itikadi yetu masunni
@HamidiYusuph
@HamidiYusuph 3 ай бұрын
Jielewe wewe acha kukera watu kwa kuwasema vibaya mashekh wetu koma wewe
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 3 ай бұрын
A/a ee sheikh ogopa mwenyezimgu usitafsiri aya za mwenyezimgu in your own opinion, sasa wewe alkaaba na msikiti wa madina unaendeshwa na dhehebu gani ambao misikiti hiyo miwili mitakatifu ulimwenguni una endeshwa na wahabi.
@shamsushaffikassim-fe4ul
@shamsushaffikassim-fe4ul 3 ай бұрын
Miskiti mingapi basi wewe wataja mzukaaa ni msikiti (Au) miskiti hata hujui unachosema mzukaaa na kibaraka wa mabwana zako wa kikhurafi
@AnaSalafi-f9d
@AnaSalafi-f9d 3 ай бұрын
😂
@ABUUUTHEYMINMADEGHE
@ABUUUTHEYMINMADEGHE 3 ай бұрын
Hamuwezi kuzuiya haqi ishadhihiri ndug huwezi zuiya msikiti utasimama inshaallah huwezi zuiya
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
@@ABUUUTHEYMINMADEGHE haqqi gani?kama mlivyoingia mambrui na lamu kwa vishindo mambrui ni ileile na lamu ni ileile,mlikuja na makina na vishindo,makina ni ileile,hamna haqqi katika kuwagawanya waislamu ispokuwa ni ukhawarij tu
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 3 ай бұрын
Kwa hivo msikiti wa maka na wamadina ni misikiti ya fitna.
@shariffomar8580
@shariffomar8580 3 ай бұрын
Fitna yake iko wapi Wacheni chuki, wamuonea mwenzako wivu Sunnah itaingia kila pembe ya dunia
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 3 ай бұрын
,صدقت استاد mawahabii wa poraa liko wazi😂😂😂
@bilaligona5478
@bilaligona5478 3 ай бұрын
🎉
@abduljabbaarswaleh1160
@abduljabbaarswaleh1160 3 ай бұрын
شكرا أستاذ محسن ❤❤❤
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 3 ай бұрын
مسجد التوحيد
@babuumohd4290
@babuumohd4290 3 ай бұрын
Kiufupu mashekhe wengi sasa hivi wameacha kuioigania Qur'an na sunna kurudi katika heshima yake wanafatana wenyewe kwa wenyewe wakilumbana hivi mnafkiri kwa style hii tutachukua ilmu kutoka kwenu wakati nyinyi wenyewe haiwanifaishi na chochote mumekua kama makundi ya kiyahudi na manaswara
@MudhyMudhy-s8n
@MudhyMudhy-s8n 3 ай бұрын
Shekhe sema ukweli acheni chuki sema shekhe kakataliwa kwa sababu pale wanakula maulidi.
@abutirmidhi
@abutirmidhi 3 ай бұрын
حسبنا الله ونعم الوكيل
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 3 ай бұрын
Siku zote hakki ni mchujo. ليميز الله الخبيث من الطيب...
@user-pi3vj5sn3l
@user-pi3vj5sn3l 3 ай бұрын
Sheikh hauna stori
@MBAROUKSAADHUSSEIN
@MBAROUKSAADHUSSEIN 3 ай бұрын
Shekhe kama hauna kazi bora kaa kimya na ukae nyumban na ulie watoto uko nyumban acha vitna shekhe wangu. mbona kwenye Miskiti yetu kuna viotezo, vya nn kama sio ya aya unaoisoma na mahatibu wanaumwa kila siku na kukataa mawaidha!
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 ай бұрын
Kwahiyo mwataka misitlkiti yote iwe ya kusoma barzanji na.hamtaki kabisa msikiti wa sunna? Kweli nyie vichaa in shaa Allah haqqi itasimama2
@abdurazakdaud9364
@abdurazakdaud9364 3 ай бұрын
Duuh kumbe ww pimbi watumia lisa lizima kuongea porojo kuna makanisa huku mbn hujawahi ongea
@shamsushaffikassim-fe4ul
@shamsushaffikassim-fe4ul 3 ай бұрын
Kuna Siri ambayo twaeza kuitaja ya huyu muhsin Ali bute kwa ushahidi lakini Wacha tunyamaze WEWE LETENI UKHABITHI WENU TU WA KUTIWA MAJI NA MABWAN ZENU Mbwaa weweee
@seifserenge3340
@seifserenge3340 3 ай бұрын
Nyinyi mashekhe munawaelekeza na kuwapeleka wapi waislam!! Kaeni muzungumze kwa busara leo kila shekh ana KZbin yake apambane na mwezake, kweli tutafika wapi
@shamsushaffikassim-fe4ul
@shamsushaffikassim-fe4ul 3 ай бұрын
Wala hujui yaliojiri hukoo Fala mkubwaaa
@ahmedabry293
@ahmedabry293 3 ай бұрын
Kwani shida kubwa ni nini kwetu waislamu?? Kweli tunashindwa kukaa sehemu moja tukaelewana na kuepusha mambo kama haya ya kusimama kwenye mitandao kusemana vibaya.. Cha ajabu ni kuwa hakuna mtu anaejua nini kilichopo katika moyo wa mtu mwengine.. Kila mmoja anajiona yupo sawa na kujitukuza wakati Allah anasema msizitukuze nafsi zenu yeye ndie anaejua nani mchamungu.. Ah sawa endeleeni
@Abubakarnaaman001
@Abubakarnaaman001 3 ай бұрын
Mashallah shukran sana habib mpe vidonge vyakeee
@bukhariznz
@bukhariznz 3 ай бұрын
HEBU TUSOMESHE JAMII TUSICHUNGUZANE!!
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
Ety sheikh imekuuma. Eeeh😂😂😂😂
@taurehassan7399
@taurehassan7399 3 ай бұрын
Inshaallah makusudio Yao hayatakuwa kw uwezo wa Allah
@RajabAbdallaah
@RajabAbdallaah 3 ай бұрын
Ina maana makhuraafi mmezoea kukata viuno hadi mmekuwa mazuzu mnaporwa miskiti na mawahabi
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@salimobeid1470
@salimobeid1470 3 ай бұрын
Wanakosea sana hawa ndugu wahabiy hii si kuwaleta waislam bali ni kuwagawa waislam wasipojitafakari watakufa vibaya
@abuarifhassan6316
@abuarifhassan6316 3 ай бұрын
Chambilecho misikiti tunayo mingi kwann msijenge islamic institute ili vijana wakiislam wajifunze ujuzi wa kikazi na mambo mengineo ama mujenge madaris kubwa ya kisasa wanafunzi wasome bila malipo..
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
Unaongea tuh hujui unachoongea . Hivi unajua huo msikiti unajengwa wapi ?
@soffiscarlett9702
@soffiscarlett9702 3 ай бұрын
Miskiti ipo mingi kwenu huko
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 3 ай бұрын
HUELEWIKI WEWE
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 3 ай бұрын
Lengo lako nn hasa cjui shekh km umeumia kujengw miskit ya sunna au vip povu Shia wajenga population yao inakua kimya wa sunna shida kalale uko
@MuniraRashid-sx3up
@MuniraRashid-sx3up 3 ай бұрын
Huyu chuki zimemja hadi anongea pumba khursafi ww
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 3 ай бұрын
hawa makhurafi bado wanapinga haki,wako kweyne uptevu na ku abudu kaburi, hawataki idihiri haki na iporomoshe batili zao
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
@@hassanmohamedabdalla4108 haqqi gani?mumejenga miskiti mingapi?kama kutawassal kwako ni upotevu Sisi twajua yafaa kwa ushahidi wa sunnah za mtumi na alhamdulillah twajibiwa na yatuendea,jengeni miskiti elfu moja lamu itabakia ileile,maulidi yatasomwa na ziara watu wataenda bachu na ww mtazidi kukereka moyo😅😅
@andallaathman3856
@andallaathman3856 3 ай бұрын
Sasa imekuaje msikiti WA kifitna why misikiti ni ya ALLAH
@Player1_666
@Player1_666 3 ай бұрын
Mm pia nishawahi kwenda hapo msikiti wa pwani wa kiwahabi,,,, sheikh umesema kweli 2007 nilikuwa nasoma riadha
@AshrafBunu
@AshrafBunu 3 ай бұрын
Hawa wataka view
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
@@AshrafBunu shukran kwa kuwapa😅
@AbdullahiHussein-ik4eo
@AbdullahiHussein-ik4eo 3 ай бұрын
Jiga ya mwisho shida yko ni miskiti iliyojengwa n m bachu ama ni misikiti yote y kenya
@SuleimanHassan-o6f
@SuleimanHassan-o6f 3 ай бұрын
Huyu hajui huko Visiwa misiki ya sunn Iko mingi sanna
@masoud744
@masoud744 3 ай бұрын
Huu msikiti uliowazuia masheikh wasiigie wakatoa daawa.. vipi hauwagawi waislamu?
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 ай бұрын
@@masoud744 kwa ivyo kila MTU akidai yy ni sheikh akija aiktaka kupishwa apishwe?😅😅😅
@ibnuali6857
@ibnuali6857 3 ай бұрын
Huyu ni simba allah amuhifadhi bachu ndio kiboko yenu
@Abubakarnaaman001
@Abubakarnaaman001 3 ай бұрын
Mashallah hii haina comeback 😂
@GOP-Abdallah
@GOP-Abdallah 3 ай бұрын
sisi comeback zetu ni kuwapokonya miskiti tu 😂
@ibnuali6857
@ibnuali6857 3 ай бұрын
Nikama misikiti yenu ushirikina umejaa mmoja wapo ni msikiti wenu wa swalihina
@salafy3566
@salafy3566 3 ай бұрын
Kwanzia hio vdeo time 12:00 huyo abu aamir al-khazrajy ndo ww wamuonea bachu wivu ndo maana wakaa kwenye vdeo kumchafulia.
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 137 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 32 МЛН
NAMNA ALIVYO ROGWA NABII MUHAMMAD (S.A.W.) SHEIKH MSELEM BIN ALI
1:22:05
MAZINGE ASHINDWA KUVUMILIA AMUULIZA SWALI SH MUHAMMAD BACHU ?
5:03
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 37 М.
🔴 Exclusive Bayan at Birmingham by Molana Tariq Jamil | 22 Feb 2023
2:42:17
MAJIBU KWA KIBARAKA WA QASSIM MAFUTA JADIDA HASSAN WAZIRI || Muhammad Bachu
1:06:29
NIMEFURAHI NA WATU WA LAMU NA WA LAMU VISIWANI SHEIKH MUHAMMAD BACHU
19:35
ANGALIA WATU WA SIU WAMENILISHA KENGE ( YURU ) / Muhammad Bachu .
8:14
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 10 М.
MAJIBU JUU YA URONGO WA ALI ABUBAKAR || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE
20:29
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 8 М.
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 137 МЛН