Wallahi Mimi ninavyo mpenda Muhammad Bachu kwa ajili ya Allah na usalafi, naomba Allah anijalie niwe kama yeye au kama sio Mimi angalau mtoto wangu au mwengine apatikane kama sheikh wetu Muhammad Bachu inshaAllah.
@azamomar99206 ай бұрын
Amiin
@yusufathman24786 ай бұрын
Maa shaa allah kipenzi cha watu nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh muhammad bachu. Ni mmi nwanafunzi wako
@musabahaliou-lo9xe6 ай бұрын
Somo juu ya somo mashaallah akhy Muhammad, Allah akufanyie wepesi kwenye mambo yako.
@UmmuFaaruq6 ай бұрын
نسأل الله أن يهدي هذا الرجل الجاهل الذي لا يريد تعليم الناس بل يريد تضليلهم وإخراجهم من المنهج الحق الى الضلالات
@UmmuFaaruq6 ай бұрын
Unadai wamtetea abuu Muawiya haliyakuwa wewe nwenyewe wajua abuu Muawiya hayuko pamoja na wewe toka akiwa hai mpaka amekufa na ata Hilo walijuwa wewe
@JumaAbeid-y5p6 ай бұрын
@@UmmuFaaruqSASA ikiwa yeye alimkata unataka akataliwe na yeye Yani MTU akifanya ovu na ww ufanye ovu SASA huu ndio ujadida wenyewe
@abbaspaziaog21886 ай бұрын
@@UmmuFaaruqkapike huko mandazi. Acha shughuli zakiume
@JumaAbeid-y5p6 ай бұрын
@@James_Jay_Jay Al akhii ww unashindwa kufahamu hakuna anaepinga usalafi tunatambuafika Kia usalafi ndio njia sahihi Bali kinachopinga ni hiki kikundi kilichojinasibisha na usalafi na wakawa hawaufuati ule usalafi wenyewe Yani wanapetuka mikapa Kwa kuwaita watu wa Sunna wenziwao kua mahizbi na majina mengine mengi ndio maana wakambiwa kua wamekuja na usalafi mpya Yani salafia jadida haukuepo Zama izo hiki ndicho kinacho pingwa.
@hashimabdulrahman45326 ай бұрын
Shekh Bachu Ahsante sanaaaa Unatutoa Matongo kwakweli Allah akuzidishie elimu ww na sisi Inshaallah
@aishabiwott24136 ай бұрын
جزيت خيرا شيخنا الفاضل علي هذا التبيين ويجعل الله في ميزان حسناتك....
@IbnUmmar5 ай бұрын
Mashaallah Allah amuhufadhi shekh wetu wallah nimepata faida kubwa
@MariamUmande6 ай бұрын
Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho Uyu mafuta aweze kujibu lolote mafuta ni kutowana kwenye sunaa to Sheikh Muhammad bacho endelea kurekebisha hawa masalafiya jadidah wakina mafuta na wenzake
@ayubumasudi83806 ай бұрын
MaashALLAH❤ JazzakkALLahu khairat apa elimu tu ALLAH akuhifadhi sheikh wetu
@ThabitiRashidi-z1b6 ай бұрын
Wallahi shekhe na kuelewa vema Allah akuhifadhi
@abdiazizmohamed4446 ай бұрын
Usalafi ni fitna
@saeedqaseem31726 ай бұрын
Ukiiiacha Akili yako kuwa huru na kuwa ikhlas basi masalaf wanaotuhumiwa wanayo sababu yakukaa kujibu hizi hoja kwa ikhlas ili kuweka mambo sawasawa.. Allah atuongoze na atuhifadhi sote Amin
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
@@saeedqaseem3172 Majibu kwa M.bachu na timu yake kzbin.info/www/bejne/p6CqlKOGp5qBnK8si=0q3GglwKZ90zAy32 Kwa ziada ya majibu sauti na makala peruzi kwenye hiyo hiyo channel
@aishabiwott24136 ай бұрын
Mashaa Allah shukran jazakallahu kheiran wabarakallahu fiika...
@khamisoothman52946 ай бұрын
Jazak Allah khair
@mohammedhassan-o9s6 ай бұрын
Yaani hili ni somo kubwa saana , allah akuhifadhi na mambo haya hayataki ata ushabiki bali ni kufuat na kukubali lililo sawiyya.
Kabla ya kumshajiisha hivi walijua neno analo tumia kila mara JADIDA JE wajua ni nini maana ya JADIDA? Ni akina nani hao JADIDA? Lini walianza hao JADIDA? Nani kaanzisha huo UJADIDA? Je unao ushahidi juu ya hilo? Twaomba kujua kwaajili ya elimu wala sio ubishani inshaa-allah
@sultansaidsalehe38056 ай бұрын
@@AbuuBakar1kamuulz shekh bakar abuu zayd swali lako hilo
@JumaAbeid-y5p6 ай бұрын
@@AbuuBakar1kafungue kitabu cha Abdul Rahman nasor Saad Al hadhu alal ijitimai kalimatul muslimiin au kafungue kitabu cha Ibni uthaimin sherhe ya hilyatu twalib ilmi utakuta majabu yote ya swali lako.
@muhammadkhamis93966 ай бұрын
Maashaallah Shekhe kwa juhudi kubwa
@abuibra6 ай бұрын
ALAIKUM SALAM WARAHMATULLAH WABARAKAT,SHAIKH VITABU VINGI SANA VIHIFADHI KWENYE KABATI ITAKUA BORA SHUKRAN.
@saidsalum5236 ай бұрын
Kwakweli aliekua hamfahamu Muhammad Bachu atakua ama ana ufahamu mdogo au KAAMUA TU KUMPINGA BACHU BILA YA HAQQI
@sawtsalaf6 ай бұрын
Mashaallah Sheikh umeanza vizuri sana nikakuelewa lakini kile ambacho ulikikataa ww mwenyewe umekitumia. Ulikataa kuitwa mjinga ila baadae umelitumia neno hili kumuita mwenzako mjinga. Kingine hujatupa audio ya Qassim Mafuta kwamba amewatoa watu katika sunnah, ukawaunganisha Mahajawirah ukasema ni sawa na kina Mafuta ilihali Qassim Mafuta na wenzake kina Abdallah Humeid (Allah awahifadhi) wanawakemea kila kukicha. Huu si uadilifu kama ulivyosema mwanzoni.
@ShemsaUmmuFawzaan6 ай бұрын
Assalaam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh.vp hali yako sheikh wetu Muhammad bachu.Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu wenye amali njema sheikh wetu.Aamiin
@pavillioncry52416 ай бұрын
Allah akulipe kheir kwa kulibainisha kundi la majadida Lenye mrengo wa kuwatowa watu kwenye uislamu
@abdiazizmohamed4446 ай бұрын
Usalafi ni fitna
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
Ah! Wana mrengo wa kuwatoa watu kwenye uislamu!!! Watakuwa ni waislamu kweli hao? Au ni wanafiq waliojichomeka kwenye dini? Kama ni hivyo ni watu wabaya sana hao
@Dawah996 ай бұрын
Mm namshangaa sana huyu bachu, yeye anamsimamo wa kuwaita maulamaa majadida na biwabidi’isha mashekhe wakubwa kama Shaykh Muqbil, Shaykh Rabee na Shaykh Muhammad Aman Jamee. Huyu usalafi haujui. Allah amuongoze
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Wewe wache upuuzi, lini umeskia amewabidiisha hao mashekh? Kama Huna akili vizuri katafute spitali kwanza utibiwe kisha ndio uje comment hapa.
@AbuuBakar16 ай бұрын
@@Najma_Mbarukkamuulize Muhammad bachu hivi Ni nini maana ya JADIDA? Ni nani hao JADIDA? Walianza lini hao JADIDA? Nani kaanzisha huo UJADIDA? Ushahidi uko wapi? Hapo ndipo utajua anaitikadi gani kuhusu hao masheikh kama sheikh raby na sheikh muqbil na wengineo
@Dawah996 ай бұрын
@@Najma_Mbaruk mimi sitokujibu baada ya hii, mambo huyajui kaa kimya dada
@@Najma_Mbarukukisema wameanzisha usafi fake au hizbi jadida uko si kuwabidiisha ewe jahik
@hatimabubakar17916 ай бұрын
Jazaka Allah kheirah yaa shk
@sakinasakku83406 ай бұрын
MASHAA ALLAH Shukrn kwa eml sheikh
@abduswaburmuhammad66256 ай бұрын
Aslm alkm warahmatullah wabarakatuh sheikh bachu unajaribu kuwaeleza Hawa watu ukweli wao wanakuja Na Shari so sioni wakikufaham Ni Bora utufundishe Sisi wasio jua lolote tutakufaham wao darsa zao Ni kutoa watu katika uisalm Na ukuwaingiza wengine so Allah atuongoze sote amiin
@KhalfanMakota6 ай бұрын
Kwel we kichwa sheikh muhamad bachu hoja umezivunja vzr sana
@وزيرهالوزير-ذ8س6 ай бұрын
Manshallah
@bafaaabuu6 ай бұрын
Mashaallah Allah akuongoze uzidi kutupa elimu naona huyo kaja kuchukua elimu na sio kutoa elimu juu ya maswali uliyo wauliza hawajajibu na wanaogopa kujibu wanatuma watu ili wakujue unategemea ponti zipi kabla hawajakujibu ili wasije kichwa kichwa kama umewaelewa huyo nikibaraka katumwa kwamba muulize hivi na hivi ilitujue ana nini anatemea yani ww unaegemea kwenye Pont zipi ili wasije wakaaibika kwa hoja zao kua zaifu juu yako hivyo kua makini unapo wajibu maswali yao wakati yako hawaja kujibu shekh bachu
@KijoJr-r1l6 ай бұрын
Ndugu zangu wa kisalmu tumefundishwa mambo dini tusi tiye maneno ya ovyo oyvo hii ni Dini mungu akujaliye herii muhammad bachu
@TheAmadoni2 ай бұрын
Ustadh Bachu me nakakubali sanaa ila ulipo sema MTU AWEZA KUA MLEVI , MZINIFU lakini bado akawa mtu wa Sunnah !!! 😢 how ?!! dakika ya 34:20
@babatidaawa65506 ай бұрын
Allah akuhifadhi
@KashinnaKashinna6 ай бұрын
Asalamu alaykum warahamatulah wabarakaru alihamdulilah tunazidi kupata elimu,kwanza nawashangaa wanao comment kwa ushabiki,sisi sote ni waislamu,na kutofautiana kupo na kutaendelea kuwepo,ukiangalia tangu mwanzoni hadi sasa tofauti zipo na hazitaisha,mimi nimeelewa jambo moja hapa kwenye hizi mada,kuwa haifai kumtoa mtu kwenye dini kwakua mnatofautiana jambo flani,sasa wengi wetu ni wana sunna ila wana comment ushabiki na matusi,namuomba Allah atuongoe sote inshallah
@rajabumbendenga54806 ай бұрын
Nani katolewa ktk dini ndugu
@Hamis-ks1sy6 ай бұрын
Wallah kuna mda nafurah sana kukusikilza yaani saivi watu watiana peponi na motoni kirahisi hivi kweli Dr Islam,Qassim Mafuta nk mtu anakwambia usisome kwao kirahis maana waonekana kabisa watu wa sunna mtihani Wallah
@shekhmansoor54216 ай бұрын
Allah akuhifadhi akhui
@imranmrisho6 ай бұрын
Anajijibu mwenyewe maskin ,,,
@MunahyaMubaraka6 ай бұрын
A, alleykum allah atuongz inshallah endelea kutufunza maan ni mtihan huko tunapoelekea na vizaz vyetu vijavyo tunakupenda kwaajir ya ALLAH usichoke wala usikate tamaa na pia nna shida na no zako kam itawezekan inshallah
@husseinmongolare34176 ай бұрын
Shukran ❤❤❤
@ashekhajabir24696 ай бұрын
mashaallah
@وزيرهالوزير-ذ8س6 ай бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@ibrahimabdul82576 ай бұрын
51:19 hahaha لا إله إلا الله umeamua kuchezea dini والله
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
Hahahaha!!! Anajifanya kugonganisha kauli za wagonjwa wenzake #mahajawira ili apate uchochoro wa kupisha #uhizbiyya na #ujinga wake!
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
Tunamuuliza M.Bachu na waliomtuma na wanaomshabikia, Kwani nyinyi #maAnswari hamna hoja za #kuwajadidisha Masalafi? Hoja zenu zinatosha? Zinamashiko? Zileteni tuzione
@hassanmohamedlaizer5696 ай бұрын
Jamani wanaosema tuchangie hii channel kwa ajili ya ubunifu zaidi naomba tu comment usipooze huu ujumbe tumshajiheshe sheikh letu aendelee kupambana...nani yuko tayari inshaallah
@MuhammadabedAbedi6 ай бұрын
Maashaaanllah
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Mimi pia naunga mkono. NA mimi nishaanza kutuma mchango wangu .❤ Nampenda sana huyu mtu wallahi❤
@sadikiissa77566 ай бұрын
Sahihi kabisa. Hakika huyu Bachu ndo anatuonyesha njia Sahihi. Kwa maana watu wengi walikuwa wanaogopa kusoma Usalafi Kwa sababu mafunzo yao mengi yanalenga kuwagawa Waislam hata kama wanajitahidi kufuata Sunna na kujiepusha na Bidaa.
@Abuunuwayra6 ай бұрын
Mungu Mahifadhi Sheikh Bachu
@musabahaliou-lo9xe6 ай бұрын
❤❤❤
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
Utoto wa M.bachu haujifichi hata kidogo. Elimu si kubwabwaja sanaaa mitandaoni na kukaza macho.
@omarykibunta49506 ай бұрын
Assalam alaykum Hali yako shekh wangu Muhammad nassori bachu
@LuqumanOmar5 ай бұрын
Duuu bachukumbe umepinda
@AbdallahAbdurahman-cj2qp6 ай бұрын
Shkh Muhammad nakupa Salam assalam alykum warahmtllh wabarakatu
@AbubakarAlly-th6op6 ай бұрын
Kwakweli sheikh Qassimu mafuta, au Sheikh Mujjahid, au Sheikh Abdalla humeyd, au upande wakina Sheikh Abuu Haatim au sheikh Abuu usama khamis ame, au upande wa kina Sheikh Abuu muwawiyya, Hawa wote chanjo cha ugomvi wao umetokea kwa masheikh wakubwa kama Sheikh YAHYA ALHAJURY, na sheikh ALWASWABIY, na sheikh RABIY ALMADKHAR, na sheikh, MUHAMMAD IMAMU, kwakutofautiana kwao masheikh wakubwa tena wote wa sunna ndio nahuku kwetu yametokea hayo, kwahio masheikh hawa wakwetu wanashindwa kuelewana kwasababu wanaona watawakharifu masheikh zao haliyakua masheikh wote ni watu wasunna masalafiyun Kwakweli tuna mtihani mzito Allah atuongoze sisi na masheikh zetu wote hao wa sunna na masalafiyun
@musarashid-xw1qm6 ай бұрын
Mashallah umesema vizur allah atuhifadhi na hizi fitina maana zinatokeya kama zilivyo tabiriwa ktk maandiko namuomba allah anipe salama duniyani na akhera
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
Maa shaa Allah! Na huo ndio msimamo wa Abu Muawiya na Muhammad bachu wanapoanza kuwakusanya watu ili wawasikilize huanza na msimamo huu huu. Mambo yakienda mbele Alhamdulillah tunajua wanapoishia ni wapi.
@jamaldineali32286 ай бұрын
Wallahi sheikh nakupenda sana kwaajili ya Allah
@maadinaJuma6 ай бұрын
Allha akulinde na maadui wote
@ibrahimabdul82576 ай бұрын
45:07 utamjuaje kama hastahiki hujajibu swali ujanja ujanja Tu
41:51 hivi huyu anapata wapi ujasiri huyu ibnu uthaimin kamnukuu halafu akaleta kanjanja…ibn uthaimin hajataja imam amesema jitenge na jamaa zote
@salumtakao98286 ай бұрын
Huyu aliejibu nadhan anjihisi ovyo saiv akisikia hii clip. Na halfu mkiulizwa maswali mjibu kwanza msianze kuuliz maswali yenu. Twambie kwaza abuu muawiyyah kakhalifu kipi mpk mumtoe hmna hojja juu ya hiloo ni chuki na ushabiki ndo umewaja yawa salafi jmni . Wabdilike tu
@rajabumbendenga54806 ай бұрын
Subiri dawa iwaingie mbona RUDUUD zinaendelea inshallah na mtakaa mjue kuwa huyo ibn bacho ni debe tupu..
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
shukran
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
17:51 M.bachu kaona tusi kuitwa MJINGA #jahili na kujifanya eti anabusara sana.! Wakati huo huo kwenye kichwa cha habari cha video yake kamuita Abul Abbas ni #kibaraka!!! Hilo kwake yeye na wapenzi wake kwao sio tusi!!! Allahul Musta'an
@seifsalum30186 ай бұрын
Wengi wanaokoment ummu ni wale bendera wasiopenda kuisom dini na kaz yao ushabiki
@mohammedhassan-o9s6 ай бұрын
Assalamu alaykum Allah akulipe kheir akhy, Ww umeyajibu maswali wao mbona hawataki kujibu uliyouliza , hii inaonesha hasa hawa watu wamezidiwa. Tunaomba kwa allah awaongoze na atuongoze sis pia kwa wote.
@salumtakao98286 ай бұрын
Mm pia nilishanga nilitmn tukabainishiw majibu ya mswal yalioulizwa ila chkuskitisha kumezuka maswal mapya 😂. Hawa jama hawako serious wamekamatw ndipo haswa hawachomoki Hawa. Wajibj maswal waliouluzwa kwamza hlfu km wan yao watajibiwa. Shekh qassim anamyindo huo huo na yeye ukimuliza swal ankuliza swali sasa hapo ndo Nini jmn ah wanzingua Hawa Hawa hoja
@KassimSalim-fi1me6 ай бұрын
Dawat salaf ni nuru ya Allah na nuru ya Allah hawapewi mahizbi
@salumtakao98286 ай бұрын
Si usalafi wa shekh qassim lkin. Naon mmekamatw ndipo hamjibu maswal manuliza maswali na bado mmejibiwa kielim zaidi . Mnaaaibika majadida . Toen hijja Kwan hmumuon bacho anvopekula vitabu ? Mjibubi basii km kaongea pumba ila mnashindwa
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
@@salumtakao9828ni usalafi wa barahiyani na m.bachu eee?
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
@@salumtakao9828 Kupekuwa vitabu si hoja, hoja ni anakielewa anachokisema? Hata masufi na mashia hupekua vitabu wateteapo upotofu wao. Tutoleeni ushamba na ulimbukeni wenu. Kinachotakiwa ni hoja, na m.bachu hakika hana hoja ana #Viroja tu.
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
mmebanwa haswa hapa
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
@@SonofJacol-t6h amekosea wapii sasa katika hoja zakee? au ndio cha kujibu hauna umebakia kuwa na muhahoo😅
@abusalmadangaadam7086 ай бұрын
Muhammad bachu allah akulipe kwahakika wewe ni kiungo
@ibrahimabdul82576 ай бұрын
Khilafu ambayo mtu anapewa udhuru ni ipi sasa sheykh BACHU…mbona huiraji ili kina Abu muawiyah nawao wapimwe kwa kipimo hicho hicho kilo wapima kina ibn Hajar
@musabahaliou-lo9xe6 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@AbdulwahidAli-md6re6 ай бұрын
Wambie waje Zanzibar wasome lugha ya kiswahili kwanza, halafu wajibu kwa ufasaha hayo maswali
@nasirdinmohammed87416 ай бұрын
Kwani uyo Hassan wazir mtu WA wapi na anakaa wapi msiwe kama makondoo mnafuata Tu someni acheni ujinga
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
58:20 Muhammad bichwa ww ni #jaahil mada imekushinda unajifanya muda umekwisha. Hizo Athar za Salaf ulizowekewa ni kitanzi kwako. Unabakia kuuliza "shida iko wapi, shida iko wapi" huku ukikaza macho!!!. Mambo ya kielimu hayapelekwi hivyo huo ni #utoto
@Abuuabdillah2596 ай бұрын
Wewe ulishaanguka ili usimame rudi katika njia ya sawa
@saidimkwinzu91066 ай бұрын
Jibuni maswali Kwa dalili tupate elimu sio maneno tuu
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Kaanguka kwako tu, Lakini duni nzima inajua kama huyu mtu yupo imara pamoja na misuko suko yote anayopata
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
amekosea wapi katika hoja zakee hapo? au ndio mmebakia na muhahoo?🤣🤣
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
1:02:57 kwani Shekhe lako #HasaniAwadhi sio #Dai ni muislamu wa kawaida tu? Hivi unajua kweli unachokizungumza kweli au umeamua kuwapotezea watu muda?
@AbiyolaSaidi-qe2ku6 ай бұрын
Allh akibr allh akuongoz san man hun akir ya saw na maswal kam 4 ukijib nakup magar yang ma 3
@AbdurahmanBishariza-p9h6 ай бұрын
Unasema kwa uhakika?au ndo yale ya kumchaleji mtu ?Kama unauhakika maswali yako yapo kwenye msingi ya dini yetu uliza inshaallah
@ramadhansaid7786 ай бұрын
Asie kuelewa Sheikh BACHU basi juwa yakuwa yeye ndio anakasoro
@ibrahimabdul82576 ай бұрын
38:18 hapaa kajigonga gonja imam Nnawawiy kumbe amekhalifu aqidah ya salafiy? Nini sasa kili mbakiza wakati umetusomea maneno ya ibn Taymiyyah kuwa akikhaalifu aqidah ya salafi anatolewa katika sunnah??
@universitylink6 ай бұрын
Sheikh Bachu wewe ulianza kutoa hojà ilikuwa wajibu hoja Kisha ndio wakuulize maswali lakini wamebadilishà meza sasa wewe ndio unajibu maswali yao
@abdallaali42606 ай бұрын
Ukiskia kelele nyingi jua ngumi imeingia, mahizby wataka nusuru nafsi zao na wala si daawa
@saidimkwinzu91066 ай бұрын
Toeni majibu acheni ngonjera sisi tunataka faida uhizbiya wenyewe hujui ni nin hapo ulipo
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Hakuna anaenusuru nafsi yake hapo, kinachpingwa hapa ni tabia yenu mbovu ya kuvuka mipaka na kujiona MASALAFI ni pekeenu.
@abdallaali42606 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106 bali alama kubwa za mahizby n kumchukia sheikh rabii na sheikh amani aljaamii.....
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
@@Najma_Mbaruk Oh! Hivyo kumbe wao si masalafi peke yao tu nanyi pia ni masalafi wenzao!! Haya maneno ukiyatafakari kwa kina Wallahi utajicheka
@ABUUJAAFAR926 ай бұрын
Hakuna hoja ya Al alkh abbul abbas iliojibiwa kiilmu ata moja ,,,tumeona kutafuta huruma kwingi tu ,,,,hoja zingine ameziruka ,,,lkn in shaa Allah mahizbiy mtabainishiwa haqq tu ivi punde .
@abuumansour84796 ай бұрын
Hhhhhhhhh kipofu Kwel ww taassub ishakuzonga
@ABUUJAAFAR926 ай бұрын
@@abuumansour8479kipofu ni wewe unayedai umeona ilmu na Hali hamna,,,sikiliza kwa maakini tena utaona venye bachu maswali yamemshinda.
@abuumansour84796 ай бұрын
@@ABUUJAAFAR92 nyie maboya kwel yan Bach alianza kuuliza yeye maswal, uadilif ni kumjib maswal kisha ndo muuliz sasa nyie bana mnatabia ya kuruka maswal so maswal hamuwez kuayjib na kimakala uchwara hhhhhhhhh mim nakijib yan mpaka jina halijui anaitwa bachu sio bacho hhh
@ABUUJAAFAR926 ай бұрын
@@abuumansour8479 si unaona sasa hata hufuatilii inaonekana ,,wadandia tu juu ,,,bachu amemtaja sheikh qaasim mafuta kwenye clip zake ,,,ambaye tayari alitoa hoja zake dhidi ya uhizbiy wa barahiyani na dr Islam,, hizo hoja za sheikh qaasim hazijajibiwa ,,bachu sasa angekuja akataja zile za qaasim mafuta azivunje kiilmu,,,lkn amejifanya hazijui akaja na zake ,,sasa ukisema bachu ametangulia kuuliza utakuwa humkweli
@ABUUJAAFAR926 ай бұрын
@@abuumansour8479 sasa wewe subiri al akh abul abbas ,atakuja kumnyoosha huyu kijana wenu ,,kwahio subiri ,,,ikiwa hauko kishabiki utaelewa biidhnillahi
@yunus-or3ny6 ай бұрын
ukiishi darul kufru marumbano hayaishi
@swalehemusakiluwa94056 ай бұрын
Unakataa lugha chafu wakati wewe kwenye kichwa cha habari tu ushamuita mtu kibaraka Kama lengo ni dini basi rekebika wewe kwanza
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
KIBARAKA NI MTUMISHI WA MTU, SASA TUSI VIPI APO, HUONI KAMA HAO WANATUMIKISHWA KUJA KULETA FUJO?
@azizayassin36236 ай бұрын
Hyu anatafta views tu biashara iende hana abdu ya kuongea wla kujishusha hataki anajiona anajua yeye kila kitu angekuwa na elimu kama ya shekhe OTHOMAN MAALIMU cjui ingekuwaje othaman maalimu anajuwa kujishusha mno na bado anaitafta elimu watu wanamtukana yeye kimya misho wa cku wao wenyewe wanaenda kumuomba msamaha hyu sasa kuwafedhehesha watu na Kuwaita watu majina ya aibu fedheha ndio anajua
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
@@azizayassin3623Wewe Huna ujualo tulia pembeni, huu uwanja wa watu wa sunna wewe unatutajia Othman Maallim!!! Huoni haya wewe? Hapa huyo Othmani hastahiki hata kutajwa, kama angekuwa na elimu asingekuwa mtu wa Bidaa
@kasimubangu18756 ай бұрын
@@azizayassin3623 kwahilo ni uongo hatafiti views na umejuaje kama uthman Maalimu ana elimu kubwa kumshinda Muhammad bachu hata kama humkubali mtu ila kuwa muadilifu Allah akuongoze ww na mm
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
anae endesha hii channel sio yeye wala sio yeye anae upload videos
@AmourAmour-ux3nm6 ай бұрын
Shida ndugu yangu wew hujulikan washika wapi kwanz nan aliyeanzisha kundi hilo la majadida
@wardinizuri6 ай бұрын
Kaanzisha mwalimu nyerere😂😂😂
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Hahahaha😂 eti mwalimu nyerere
@HassanJamada-pf4jt6 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/nYG6i4Otg6ppaJosi=2o6ywiNbAHgMXzfg SIKILIZENI HII MTAJUA KWA NINI SHEKH ABULFADHLI HAMJIBU MJINGA HUYU
@@HassanHamad-rf9tq ungekuwa ni mtu wa elimu usingesema maneno kama hayo lakini Nina khofu kuwa wewe ni mtu anayejishughulisha na kusaka tonge tu hata yakitajwa mambo ya kielimu huna zaidi ya ushabiki, mtu wa elimu anakuwa anajua kuwa sio Kila mzungumzaji hujibiwa
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
Hizi hojja amekosea wapii?
@KhamisDaud-nz3rc6 ай бұрын
Anaetaka kujifunza atajifunza bi idhinillah bali yule alieshikilia ushabik ataruka patupu
@mfalmenajjash21286 ай бұрын
Nawaona majadida wanavyo ingiya nakutoka vikao kama vyote wanatafta uchochoro mdogotu wautumiye kumtukana mtu Allah awape kheri
@AbubakarMuqaddam-f2r6 ай бұрын
Unakiu kweli na Abulfadhli
@abbaspaziaog21886 ай бұрын
😂😂😂Abul fadhwil anamuogopa japo anajifanya kashaakua mwamba hataki kumjibu Abul fadhwil kopo la choosing kweli
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Tena kiu kali sana, na akijaribu kuinua kidole tu, tunamuumbua😂
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
@@Najma_Mbaruk Na kweli m.bachu anaisubiri sana hiyo sauti angalau hata ya dk. 2 kutoka kwa Sh. Qasim atajwe tu asikie raha aanze kubwabwaja masaa kwa masaa. Bila shaka Islam anaelimu kumzidi m.bachu, basi twamuomba kwa hisani zake abainishe kwa uwazi (asifuge funge) kuhusu hao majadida na Masheikh zake angalau hata dk. 5 kisha ndio tunaelewana vizuri. Kiufupi ni hivi Masheikh zetu hawahangaiki na mikia wao wanapiga vichwa. Vichwa vitakaposimama tujulisheni
@abubakarshaban61186 ай бұрын
Sio kila mtu anajibiwa tu... kzbin.info/www/bejne/nYG6i4Otg6ppaJosi=5mMP38BnehB2VHVp
@OmarAlly-iz8ot6 ай бұрын
Na Shekh Nuhammad hajaandika makala, bali ameongea wazi mbele za watu. Majibu yaje hivihivi mubaasharatan
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
Majibu kwa M.Bachu na timu yake kzbin.info/www/bejne/p6CqlKOGp5qBnK8si=0q3GglwKZ90zAy32 Wasambazie na wengine
@abdulkarimurassaabdulkarim24775 ай бұрын
Ugg
@FeisalDoctor-wr8ws6 ай бұрын
Waislamu wenzangu uislamu haun madhehebu na qur ani imeshasema tusigawe uislam vikundi vikundi tusijikweze leo tunjiita majina tofauti tofauti muislam w kweli alishaelezwa n qur an n hadithi za mtume ay makundi makundi waanzilish wake ni wayahudi imkuw sas mt kuslim imkuwa shida pia waislam kw waislam kuombana maji tatizo kisa mtu ni salaf cijui sunni n makundi mengine kaeni mufkiri muipeleke din y uislam mbele mtu akiulizwa mtume alikuw kundi gani jibu hamna n mitume waliopita walikuw makundi gan majibu hamna ispokuwa walikuw waislam wa kweli.
@usrahismail31966 ай бұрын
Tanzania mnatuongoza wakenya kwa makundi na malumbano
@RajabuBabu-c9y6 ай бұрын
Shekh twakupenda ila pambana na kina sabas ila kwa shekh kasm mafita unacho kitafuta utakipata utapigwa radi Moja tu
@AbAlhuraas6 ай бұрын
Bas ndio tunasubiri ilo radii mojaa kwa huyo daruweshi Kasim mafuta
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
@@AbAlhuraastunamtaka shekhe lenu rais wa majadida tz ajibu nyi vifaranga hatutaki mana wafata mkbo hamjui kitu mnasetiwa kama maroboti usimsikilze fulani na ww humsikilizi atimae unapishana na hakki
@AbAlhuraas6 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7e kijana vp mim npo mbaali na ujadida kbs Nashkuru san na hlo pote nimejipusha zaman san
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
@@AbAlhuraasNa kweli m.bachu anaisubiri sana hiyo sauti angalau hata ya dk. 2 kutoka kwa Sh. Qasim atajwe tu asikie raha aanze kubwabwaja masaa kwa masaa. Bila shaka Islam anaelimu kumzidi m.bachu, basi twamuomba kwa hisani zake abainishe kwa uwazi (asifuge funge) kuhusu hao majadida na Masheikh zake angalau hata dk. 5 kisha ndio tunaelewana vizuri. Kiufupi ni hivi Masheikh zetu hawahangaiki na mikia wao wanapiga vichwa. Vichwa vitakaposimama tujulisheni
@AbAlhuraas6 ай бұрын
@@SonofJacol-t6h ukiwataja wengne huwpi cheo cha usheikh ,lakn bos mafuta unampa cheo au utakosa ubwabwa ,ukiwapa hao wengne cheo cha usheikh
@HajiHaji-r6n6 ай бұрын
Wajikweza kweli sio uongo ndio maana ulishindwa kujibu suali La yule Sufi kwa kujikweza.
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
tunataka rais wnu wa majadida sshk kasimu mafuta atutaki nyi vifaranga ambao hamjui kitu jibuni maswali kazi yenu kutukana t
@abbaspaziaog21886 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7enaam vifaranga. Vina taaabu. Hivi
@abbaspaziaog21886 ай бұрын
😂😂😂😂😂duuh. Hii midude akina qasimu mafuta sijui ipoje. Maswali yakijinga kweli harafu ikiulizwa. Haitaki kujibu 😂😂😂 duu. Itakua. Ina laana au
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
@@abbaspaziaog2188 makombora mzito ya nyukla hyo shekhe yamewashinda na huoni wanataja nyusi za bachu hawana issue kichaka chao kimewashwa moto
@abbaspaziaog21886 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7e naam kabisaa Rais wao. Hizbii mafuta anajikuta. Yy ni mwamba hamjibu. Bachu. Kumbe. Hamuwezi. Anaogopa. Kuaibika😁😁majadidah
@AbdulfatahWanyamaAngachi6 ай бұрын
Watafuta kiki😅😅😅😅😅
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
hoja hakuna kwako, ukaona bora uonekane na wewe umeandika comments🤣
@abdurashidinasorodini6 ай бұрын
hivi hawa watu wanashida gani mbona nikitu simpo tyu mmeulizwa maswali jubuni sio kumtukana hatuwaelewi mnashida gani usimtukane mtu jibuni kwabusara tuwaone
@AbuuBakar16 ай бұрын
Kuna maswali yaliulizwa tangu miaka 3 ilio pita mpaka leo hakuna majibu bali mnatuongezea tu kutatizika maswali kaulizwa sheikh Saalim barahiyyan Sheikh Ductur Islam Na wewe Muhammad bachu ila mpaka leo hakuna majibu Ni nini maana ya JADIDA? Ni nani hao JADIDA? Walianza lini hao JADIDA? Nani kaanzisha huo UJADIDA? Ushahidi uko wapi?
@kasimubangu18756 ай бұрын
@@AbuuBakar1hiliswali lishajibiwa sana Akhii hata katika kitabu cha sheikh Salimu Barahiyan majibu yapo
@abbaspaziaog21886 ай бұрын
Hawawezi kujibu hawa kazi yao nikusema. Hizbii 😂jaahil murankab baasi. Hawana. Lingine
@AbuuBakar16 ай бұрын
@@abbaspaziaog2188 nakuhurumia sana
@JumaAbeid-y5p6 ай бұрын
@@AbuuBakar1Al akhii Ayo maswali yote sheikh Muhammad bachu kashalizungumza ila ww unaonekana haya mambo umeanza kufatilia juzi ila nitakutumia clip ya sheikh bachu usikilize kama unahitaji elimu pia nenda kafungue kitabu cha ibn uthaimin sherhe ya Arobaina nawawia au sherhe ya hilyatu twalib elmu
@SaidoOmar-g2bАй бұрын
Wanaziyoni wote hawo mabingwa wawakoseya adabu. Halafu wamtaja n'a uthaimin hâta ikiwa mjuzi. Nikina Nani umwatawo ww.
@abdallaali42606 ай бұрын
Maneno ya sheikh abdallah humeid ama kweli😂 ukiona mtu kwa video yake kaweka vitabu mrundo n hafungui hata kimoja ni kuvuta taswira ya watu wamuone ana elimu😂😂
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Kaa Na ujinga wako , zama za sasa unachapwa kwa vitabu kwenye pdf tu, huoni njia anayotumia Muhammad bachu kuonyesha hoja zake kwenye screen? Nyinyi mbona hamufanyi hivyo? Wehu nyinyi.
@abdallaali42606 ай бұрын
@@Najma_Mbaruk bila ya mavideo alhamdulillah tandika wtu wa bidaa mpka kueleweke siku zote haqqi itashinda batwil twamuomba Allah thabat juu ya kushikamana n manhaj salaf
@bacteria51846 ай бұрын
Sheikh uthaymeen MashaAllah alishawaona zamani kwa mbali hata kasema hilo kundi lina matatizo.lkn majajida wanaenda kama kondoo
@AbuuBakar16 ай бұрын
Kabla ya kumshajiisha hivi walijua neno analo tumia kila mara JADIDA JE wajua ni nini maana ya JADIDA? Ni akina nani hao JADIDA? Lini walianza hao JADIDA? Nani kaanzisha huo UJADIDA? Je unao ushahidi juu ya hilo? Twaomba kujua kwaajili ya elimu wala sio ubishani inshaa-allah
@bacteria51846 ай бұрын
@@AbuuBakar1 majadida ni kundi linaloitwa salafy ilianzishwa na baadhi ya masheikh saudia.mtume saw hakutuachia kundi linaloitwa salafy,kundi linatoa waislamu na hata kukataa kwenda kuzika ndugu yao abu muawiya.
@AbuuBakar16 ай бұрын
@@bacteria5184 naomba kuwajua hao masheikh wa saudia walio anzisha hilo kundi
@abuumansour84796 ай бұрын
@@bacteria5184fact
@JumaAbeid-y5p6 ай бұрын
@@AbuuBakar1kzbin.info/www/bejne/fWKneI2uiqiAiKssi=gv_CMFuSrORQc3bJ sikiliza hii upate majawabu yako
@sadru57106 ай бұрын
kwani iyo fatwa ya ibnu uthaymee c ushajibiwa na Abul Abbaaa muhammad wa zanzibar na ukafedheheka?? mbona wew c muelewa?
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Mwambie aje ajibu sasa hivi basi😂😂 kama kipindi kile Sheikh alikatazwa na wazee asimjibu, mwache aje aone sasa kitakachomkuta
@AbubakarMuqaddam-f2r6 ай бұрын
MBONA HUKAI MSKITINI UKAWARUDI WAJIFUNGIA VYUMBANI KAA MSKITINI TUKUULIZE MASWALI NA SISI
@JumaAbeid-y5p6 ай бұрын
Nyinyi ambao mupo msikitini jibuni Yale maswali 6 mulioulizwa.
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
@@JumaAbeid-y5p Majibu kwa M.bachu na timu yake kzbin.info/www/bejne/p6CqlKOGp5qBnK8si=0q3GglwKZ90zAy32
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
ndio hojja hii kweli?
@SonofJacol-t6h6 ай бұрын
@@ibrahimjumaa538 Ni majibu kwa m.bachu je, umesikiliza?
@ibrahimabdul82576 ай бұрын
50:08 sasa hapaa ndio umefanya nini wewe kweli umekulia mtaa wa venezuela
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
unajua kabisaa katika nafsi yako ni ni Muhammad amejibu.. lakini kibrii tuu.. suali, je ni wapi amekosea katika hojja zake zote hapa? usifuate itikadi pasi na hakki...
@ashrafhashim21166 ай бұрын
Ukisikiliza kwa umakini maswali oloulizwa hakuyajibu bali Amewafanyia watu talbiis kaulizwa misingi gani iliyowekwa na ulamaa inayo kujulisha kuwa wamechupa mipaka kubiisha? Yeye kasoma maelezo ya ibn uthaimiin alipokuwa anazitaja sifa za kikundi cha salaf kwamba kinabiisha watu wasiositahiq, Ibn uthaimiin hakuitaja misingi wanayotumia watuhawa ili tukiiona misingi hiyo anaitumia mtu teseme kachupa mipaka!!! Kimsingi swali halijajibiwa.
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
Wewe ndio wale صم بكم عمي فهم لا يعقلون😂😂
@ashrafhashim21166 ай бұрын
@@Najma_Mbaruk Haya niambie uziwi na upofu nilonao juu ya hili kisha nitajie wewe misingi ambayo ameitaja ibn Uthaymeen ya wale wanaobiisha watu pasi na haq zaidi ya kueleza sifa zao tu nasio misingi kama alivyowa hadaa bachu.
@salehrashid-fx9rq6 ай бұрын
Sheikh Muhammad, hao unaojadiliana nao ni zero brain, hamna kitu vichani mwao. Hata ukiwafuatilia ni failures. Hata mazungumzo yao ni pumba na kupotezeana muda. Nakushauri andaa mada za dini uje utufundishe. Hao achana nao
@uledihassan60656 ай бұрын
Hawa majadida wana lugha chafu sana
@BizimanaYahya-y4o6 ай бұрын
Wallah ukijibu haya maswali nilioyaona ndasema WWE nimwacuoni
@yassinsaid-b7v6 ай бұрын
assalam aleikum huyo bwana kauliza maswali lakini majawabu yako ndio yamenipa somo kubwa zaidi ya maswali ..na pia umetupa taswira nyengne ya fatwa za maulamaa na maana halisia kuliko ukiziskia kutoka kwa midomo wanagueza maana Allah akupe umri mrefu wenye amali njema uzidi kutunufaisha na uwe ni sababu ya mimi pamoja na wengne wengi kuifahamu quran na sunnah namna salaf walivyoitekeleza Allah akujaze kula la kheri .. nategea hio chapa ya 2
@ibrahimjumaa5386 ай бұрын
amiin amiin
@abuubakarmohd75326 ай бұрын
1:04 umetamka ujinga
@Athumaniomari-ge2gs5 ай бұрын
Huyu kaw mwiba kwa kundi la kasim mafuta na humeid
Wanamdharau na sio wanashindwa. Mtu anayetaka umaarufu hajibiwi na masheikh inakuwa km vile unampa umaarufu. Huyu ni You-Tuber anayetafuta kutrend ndio maana anatumia muda mwingi huku.
@MussaYasini6 ай бұрын
@@twaliburajibi856 sion kama hio yaweza kua7b yawao kuto kumjibu mana mashekh wakisalaf hawawez kuona mtu anapotosha tena anae skilizwa na watu weng kama huyo kisha wakamuacha kumrudi ila sema2 wameshindwa kumjibu kutokana na hoja zilivyo madhububut
@Najma_Mbaruk6 ай бұрын
@twaliburajibi856 Jiangalie vizuri wewe, mbona kasim mafuta anawajibu kina Abu iddi? Pia mbona hajamjibu Abu muawiya, au na yeye alikua anatafuta umaarufu? Sema ukweli Sheikh wenu akiona pahala ni pazito haingii. Bachu ni maarafu wala hana haja ya kuutafuta, angalia channel yake kisha angalieni hizo channel zenu zipoje, utajua nani maarufu. Na kwa sasa Bachu ni maarufu kuliko hata huyo kasim mafuta