MashAllah!! Sheikh umeongea ya kweli kabisa ..hakuna kupinga.siku zote ukweli usemwe japokuwa uchungu...nasheed nyingi siku hizi zimekuwa mtindo wa kimziki au nyimbo Allah atuongoze inshallah..tuweze kuifwata haqq na kuwacha baatwil..Sheikh Bachu kijana mwenzetu Allah barik akuzidishie umbri wenye barka telee...jummah Kareem . waislamu wote.
@iddimohamed254 Жыл бұрын
Shukran sheikh,darsa zuri kwa mwenye kutaka haki Mungu akuhifsdhi..!!
@zahraomar6172 Жыл бұрын
MashAllah Allaibarik shukraan sheikh kwa kutu eliminate Allah.sw atuonyeshe nuru yake na ukweli tuepukane na batwiil...amin
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Asante sheikh Muhammad. Kweli shetani mjanja, ana njia nyingi za kutuharibia. Allah atunusuru.
@shedangio7912 Жыл бұрын
Subhaanallah hii yahitaji sana uchamungu Watu ambao wanajua nini dini inataka na nini Allah anataka ndo wanaweza kuelewa jambo hili. Wallahi Uislamu alofundisha mtume tumeutupa mbaali.
@husnaally7964 Жыл бұрын
Inahuzunisha sanasaaa
@BadiKhamisi6 ай бұрын
Allah akuzidishie ilmu nasi atujaali niwenye kusikiya na kufata
@halimaramadhan2945 Жыл бұрын
Allah akulipe nilikua. Sielewi kutofautisha hasa umenielewesha
@mahmoudmohamed-yv3il Жыл бұрын
Shukran sheikh Allah sw akuzidishie. Najua kuna watu watabishaa tuu. Hakuna a nasheed siku hizi zote ni nyimbo tu. Ni kma wasiokuwa waislamu wanaimba gospel wakidai wanamtaja mungu
@fakihkhsaid9353 Жыл бұрын
Allah akuzidishie watakao kataa ukweli hakuanza leo hao, muhimu sis tushapata elimu...
@yusrajuma6714 Жыл бұрын
shukran sana ust wetu , kwa kuongea ukweli .Allah akulipe kheir .Nashid skuiz hazina tofaut na mizik
@allycomm1553 Жыл бұрын
Hello
@hussenhashir7670 Жыл бұрын
Sheikh Mungu akulipe kila la kheri
@khamisjuma7616 Жыл бұрын
Shukran sheikh ila kwa mwenye elimu tu ya sharia za ibada ndo atakufaham
@abuually-ol2xc Жыл бұрын
Wallah huyuu Muhammad bachu anaongeaa porojoo tu Hana Moja la maana analoongeaa wallah anajidhalilisha hasaaa
@RashidiIsmaili Жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi hapa duniani na kesho akhrah.maana hapo umenukuu vitabu vya mahulamaa
@isarichard Жыл бұрын
Alhamdulilah I'm loving your lectures. From Lusaka Zambia
@mwanakomboabdala-bt4po Жыл бұрын
Sheikh yupo sahihi
@wazirmsabah7574 Жыл бұрын
Shekh Allah akulipe kheri na elimu zaidi piya Allah akuhifadhi
@saadaAbdalla137111 ай бұрын
Maashaa Allah, Allah akuhifadhi
@Filamumaridhawa Жыл бұрын
Daaaah shehe allah akuhifadhi
@zahormbwana9916 Жыл бұрын
Nawapenda kwa ajili ya Allah mashekh
@is-hakaame Жыл бұрын
Kwa hakika tumepata elimu kubwa na mimi naachana na nasheed kuanzia leo
@mohamedathman2619 Жыл бұрын
ALLAH AKULIPE MAZURI IN SHAA ALLAH
@hamisibakarimwahundu4861 Жыл бұрын
Asalam alaykum wallahi Allah atuongoze kwa sababu majirani zetu watusikilizisha miziki ya akina diamond na ali kiba sasa ukiwa kwako utafanyaje ukifungua quran ni makosa wakati huo maana quran yatakiwa ikisomwa watu wakae kimya kusikiliza sasa bora uweke nasheeds kupambana nao atleast mm naona ili jambo lina advantage na disadvantage na ndio Allah mjuzi zaidi.
@alawisoud665 Жыл бұрын
Waalaykum salam. Umeona wapi ndugu yangu mtu kupata dhambi halafu ikawa kuna advantage kwake? Kuna mambo mengi ya kufanya sio lazima usikilize radio ndugu. Mtaje Allah (s.w) kwa wingi na pia unaweza kujiburudisha kwa kumswalia bwana Mtume Muhammad swalla llahu alayhi wasallam. HAKAUNA ADVANTAGE YOYOTE.
@king3-q1s Жыл бұрын
kwani ukisiliza Quran utakosa nini?
@khalidahmed6900 Жыл бұрын
Jazaakal Laahu khayran
@mzalendohasa3 ай бұрын
Hayo maneno haya unahidi wa hadithi hayo ni maneno tu wapi imethibiti kwamba shetani amechukua hayo maneno kutoka kwenye vinanda kauli ya shekhe isipo kuwa na ushahidi wa hadithi au aya ina baki ni mtazamo tu wala sio haram kumburudisha mtu kisheria isipokuwa hata ukimpa mtu umemburudisha toa dalili kumburudisha mtu ni haram Pili ni maana ya nyimbo kisheria Hao wanavioni walikuwa watu ndio maana walikuwa wana pingana wenyewe kwa wenyewe hayo unayo sema ulikuwa ni mtazamo wake hakuweka dalili ya hadithi wala hakuweka dalili ya aya Naswala la kutamani kuolewa hata ww unaremba sauti hapo kuna wanawake wanatamani uwaowe sio dhambi hakuna ushaidi wowote wa kisheria unao utoa huo ni mtazamo usio na ushahidi
@saidmohammed2830 Жыл бұрын
Mashallah shekh Muhammad akuhifadhi ilaa huyu mpiga picha na video aleta fitna manake picha alioweka ni picha ya stikiti wa yussf abdii sisi watu wa Mombasa twaujua na yussuf abdii ni mtu wa kuimbaa sasa mtu akiona tayari atafikiria nn na Leo la shekh Mohamed bachu ni kulingania watu ........... Shekh Muhammad bachu mrekebishe huyo mpiga picha wako camera man
@kassimabdulla2648 Жыл бұрын
Allah akulinde na kusoma maandiko kwa haki kabisa
@salmatarazo8238 Жыл бұрын
Mashaallah, jazaakallahu lkhaira
@naimarashid490 Жыл бұрын
Shukran, Allah akuhifadhi
@abdallahtwahiru7191 Жыл бұрын
Katikamasheikh ninaowapenda kwaajili ya Allah Allah amuhifadhi
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwaandaa vijana wengine wengi mfano wa Hawa Masheikh wanaouongoza uislaam kwa mujibu wa Qurani na Sunna ili waislaam tupate kuongoka
@zahraomar6172 Жыл бұрын
Tusomeni tuitafute ilmu ili tutokamane na ujahil...
@sudisalehe192 Жыл бұрын
Shukrn ust watakaoelewa tutakuelewa
@omarally6819 Жыл бұрын
Baaraka Allaahu fiik
@badrualikhamis9103 Жыл бұрын
Shukran sheikh
@suleiman5257 Жыл бұрын
MashaAllah bahthi Mzuri lakini tuwe na Amanatul ilmiya Ulete akwali za kina Inbu Bazi na Mohamad amani jamy na Sheikh otman khamis nawengineo kuhusu nashid
@AbdullahHussein-p7t Жыл бұрын
Mawaidha mazuri mungu akubariki lakini tuwaonye mashekhe wetu wasalafi katika tiktok wawo hutia ala za nashid wakati wanapo towa naswaha pia sisi tujirekebishe
@fahmisaid7364 Жыл бұрын
Ongea simba Mohamad bachu waambie
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Nakupenda unavo chambua na kutapsiri kifasaha kabisa tuelimishe tuelewe at a kama wngine hawakupend Ila tuelimishe hakuna MTU anaependwa na watu wote%
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Sahihi in swaha
@mwanamwinyikutunga7884 Жыл бұрын
Shukran jazilah
@ibrahimkula1659 Жыл бұрын
Yeah there's nothing like anasheedul islaaamiya
@abubakarabdulmalik8805 Жыл бұрын
Facts 🤝
@dullahmihuri Жыл бұрын
Assalam alaiku. Shekhe nimekuelewa sana. Naomba upate japo darsa fupi kuelezea mashairi yanayofaa... pia nyimbo zipi waimbe wanawake na watoto? Je hizi za rusha roho inafaa mwanamke kukaa akaimba?
@mummy-qg6tt Жыл бұрын
Swali zur tusubir in Sha Allah
@alawisoud665 Жыл бұрын
Kwani lazima kuimba jaman? Tukumbukeni mauti.
@abuuamourmuhamed1934 Жыл бұрын
@@alawisoud665 kweli kabisaa ndugu yangu
@burayhin Жыл бұрын
Kwa mtu aliesoma mantiq huyu kamtukana swahaba wa mtume S.A.W anjasha R.A kwasababu nae alikua na sauti nzuri na akaghani mbele ya mtume mpaka mtume amwambia punguza fanya kwa upole. Kiufupi huyu kijana mwenzetu kasoma lakni kanyimwa ufahamu na baraka ya ilimu adabu yake pungufu. In shaa allah kher itapatikana
@aljalilatiba9873 Жыл бұрын
MFATE UMUELEKEZEE NDO UISLAMU HUO
@burayhin Жыл бұрын
@@aljalilatiba9873 Ni matumaini yangu analifaham swala hili, wala sio la kutaftana na kuelezana, na anafahamu pia kua halipingwi katika dini jambo ambalo wanawazuoni wametafautiana mitazamo katika jambo hilo, na pia kiufupi hakuna aya katika qur'an ilio wazi kabisa ikiharamisha vyombo vya mziki, wala hadiith ilio swahiih ikiharamisha vyombo vya mziki, kma zingekuepo angezitoa na watu wangesikia, la ajabu kasema maneno matupu.
@almunawarakanyosha1402 Жыл бұрын
Apo uko sahihi tatizo anapo sahau imamu siyo mtume pawe kauli yamtume ilio aramishiwa
@saidtelly6835 Жыл бұрын
ما شاء الله
@nyipindamlimited1629 Жыл бұрын
Wewe maishiri ya kwako yanayofanya kwa njia ha halali umefanya lini kazi kusema wasimla tu kutwa nzima huchoki
@hamasagame9197 Жыл бұрын
Assalam alaikum WARAHMATU LLAH.... Samahn Sheikh Muhammad... Hii chanalle mbona nikifungua video zako tu Hua Kuna Kuja matanganzo... Na matanganzo mengine Hua hayaridhishi je umeweka channel hii kwalengo la kulipwa na wamiliki WA KZbin au...? Mana Matanganzo mengine yanaonesha Utupu...!
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
Mim siaoni!😳
@nadyajaffarali7289 Жыл бұрын
@Hamasa Game:Si kweli
@mvungijuma2025 Жыл бұрын
Hayo ni matangazo yakuja automatic siyo yy alie eka
@khamisali5942 Жыл бұрын
Matangazo yale waulize yutube usimuulize sheikh yeye alichokipost ni hichi na sio yale matangazo
@mummy-qg6tt Жыл бұрын
Mche ALLAH Una uhakika na hili??
@ahmadowahmed4751 Жыл бұрын
Mashizbi na masufi ktk anashidi je hao mahizbi ndio majadida au kina nani?
@madinamumin6689 Жыл бұрын
MashaAllah
@aljalilatiba9873 Жыл бұрын
MASHALLAH SOMO ZURI KWA ATAKAYEELEWA
@hamzaausiy5821 Жыл бұрын
Mtihani katika uislamu ni pale mtu anapotoa ushahidi kwa kutumia ( wanazuoni) sababu kila madhehebu kuna wanazuoni wao wanaowaamini. Mwengine atakuja kutoa maelezo ( nasheed) zinafaa na atataja wanazuoni wake wanaounga mkono. Masheikh wangetumia Quran zaidi kwani ndo haina( Shaka) ndani yake
@KibheziKalimagi Жыл бұрын
Hongera kwa mtazamo hapa hakuna madhehebu kwakuwa uislamu asili yake hakuna madhehebu niupotovu tu
@mummy-qg6tt Жыл бұрын
ما شاء الله Nakupata vizur tu
@mohameddzugwe6813 Жыл бұрын
MaashaaAllah
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Sikuelewi
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
Ndio maana sheikh Yusuf Abdi kahamia kwawatu wa Maulidi aliona nyie ambao mnae pinga aina za usheherekeaji za mauldi ndie mnae ongelea naashiid kuelekeza kivip ni makosa
@mohammedkhalid9975 Жыл бұрын
Yusuf Abdi Allah amuongoze atoke kwa ukhanith arudi kwa Ahlul Sunnah
@faisalmohamed727 Жыл бұрын
ALLAH akuhifadhi, wajinga wasioelewa ndio watakupinga.
Ni kweli, hata ule usemi wa nabii hakubaliki kwao ni Kama unathibitika.
@saidimadzumba2266 Жыл бұрын
ata babake muhammad bachu alipwendwa sana Kenya! Punguzeni Hasad ndugu zetu huko!
@abdlaahabdalaah6911 Жыл бұрын
Zakochuki pimbiweee hueleweki marazinafaa zenyeheshma maraa hazifai wafanye wanawake au watt . Natka nijue . Nashd inafaa au haifaiii . Nawewe hapo umenukuu mashair yakiarabu kwaio nawewe nikhanix achaukhanix umomxktni
@selemanmartin Жыл бұрын
Abdallah: naona wewe ni miongoni mwa Ahl Bid'aa kwa mujib wa maneno yako
@SaidAbaas-z6z Жыл бұрын
Abdallah huna ubongo wewe????
@mwalimumuhidini1544 Жыл бұрын
Kwa hiyo ibnu taymiya ndo mashairi yake sahihi?hili ni jinga kubwa
@ishakafaki3501 Жыл бұрын
WACHA ujinga wewe kwani hujaelewa hayo meneno alioyasoma kutoka kwa wenye elimu ya DINI YETU? LA PILI KASEMA IPO tofauti kubwa na hata mtume kasoma mashairi hata matume na maswahaba wametoa mashairi. Jitahidi usome na uniombe ALLAAH akupe ufahamu na elimu
@mwalimumuhidini1544 Жыл бұрын
Huyu jamaa Ana kila sababu ya kuitwa mchipuko
@mwalimumuhidini1544 Жыл бұрын
@@ishakafaki3501 Nimefahamu kuwa hakuna Aya wala hadithi anaimba tu na mipasho mengi jahil huyu
@mwalimumuhidini1544 Жыл бұрын
@@ishakafaki3501ukitaka kuijua dini yako usimtizame huyu ni shehe gani tizama anatumia Qur.an na sunna katika anachokijadili Hilo Jambo lake hayo ndiyo aliyotuachia Mtume(S.A.W)na akatwambia mawili haya ndiyo hayatotupoteza
@mwalimumuhidini1544 Жыл бұрын
@@ishakafaki3501 jengine mfumo mzima wa utendaji katika dini una tofauti kubwa baina ya sisi na zama za Mtume (S.A.W)tizama misikiti tunayosali lakini hata Sala tunayosali siye harakati zetu ni muhimu kuliko Sala utoaji wa sadaka makka yetu hija yetu kila kitu ni halali mpaka ije dalili ya kisheria kukataza na dalili ya kisheria ni Qur.an na hadithi wapi katika Qur.an na wapi katika hadith NASHID ni haramu?si vibaya akiiyona comment hii akusaidie
@saidomarabdalla1768 Жыл бұрын
Kama nikitabu na sunnah na uwelewa wa wana zuoni hungeropokwa maneno yaso na maana katika mimbar
@yasinomary2147 Жыл бұрын
Ety mwataka vijana watakaowachukia makafiri,haya bas tuwauwe wakristo wote tubaki sie tu
@شيخنيف Жыл бұрын
Makafiri wenyewe wanawachukia Waislam, je sisi Waislam tuwapende Makafiri ambao wanatuchukia?
@abdlaahabdalaah6911 Жыл бұрын
Kumbewewe nikhanix
@khatibbakhresa7615 Жыл бұрын
Allah SW akuongoe hujui ufanyalo ndio unamtukana Ustadh Ukweli hauwezi kuwa Uongo Uongo utabaki kuwa Uongo
@banihashim5347 Жыл бұрын
Shida yako hutaki kusoma kama baba yako, sio kutumia jina lake tu, Allah Amraham
@eastzooadmin6416 Жыл бұрын
Kwamba kuimba inafaa
@banihashim5347 Жыл бұрын
@@eastzooadmin6416 nakubaliana nae kuwa kuimba haifai, ila kijana aache ujub aongeze ilmu kama ndugizake Masuod na yusuf wameenda hadi sudan kusomo
@ishakafaki3501 Жыл бұрын
Nakukiza swali wewe unaesema Baba ake nayeye wote hawajasoma nakukiza kwani kuna neno alitoa katika kichwa chake?
@hamisimuhammad3656 Жыл бұрын
@@banihashim5347 sas kwani kwenda sudani ndy nin
@banihashim5347 Жыл бұрын
@@ishakafaki3501 hapana hujanielewa sheikh nassor Allah amraham ni msomi na mwali haswaa, na mwana wa sunnah mkubwa
@mwalimumuhidini1544 Жыл бұрын
Je! Kipindi Cha Mtume(S.A.W) hiyo spika uliyoivaa alivaa Mtume au maswahaba?
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Kwani kipindi cha MTUME MUHAMMAD sala na salamu juu yake , alitumia smart phone km ulionaya? ama alipanga gari?
@mwalimumuhidini1544 Жыл бұрын
Haya maisha yanataka mazingatio Hawa wengine si mashehe wala si walimu sahihi kwa sababu anaipeleka dini kwa uoni wake
@mwalimumuhidini1544 Жыл бұрын
Sasa wewe unaacha hadithi na aya na unafutu kwa ibnu taymiya mlitukataza Sana na wewe kwa hivyo umeamua kubwabwaja ?hayo si mawaidha ni blaa blaa tu huna ushahidi wa Aya wala hadithi wewe vipi?
@YahyaYahya-vp2pp Жыл бұрын
Hatukulaumu ww wakuwalam ni wazaz wako kwa kukukosesha elim. Kisha jifunz hii dini haend kwa ushabiki. Unazarao maneno ya wanachuon wakt hunaeli hata nusu yao bac kama hujuii wanachuon maneno yao wanatoa kweny hadth or aya za quran ukiona ukiona neno linapingana na quran bac achana nalo jua halitok kwa mwana chuon neno hilo.
@mwalimumuhidini1544 Жыл бұрын
Maskini sijui Hana elimu ya mantiq naona anasema Kama kasuku huyu sheha
@abdallamohammed6069 Жыл бұрын
shikh la Google
@gwijiigwijii3846 Жыл бұрын
😂😂😂
@fatmakhanii1676 Жыл бұрын
We umesikia wp mbona unasikiliza umejuaje mambo ya corona na hayo maghani mtihani jee wewe ukiskiliza hupati dhambi nauliza tu
@dpredator5201 Жыл бұрын
Hahahahaha najua hili jambo limewagusa lakini ao mashekhe wako wote ukiachia huyu wanajua kuna nyimbo za diamond na zuchu na wanajua mengine tele yasiofaa kwasababu kwa bahati mbaya haya mambo yako mainstream kwenye jamii nayeye anaishi kwenye jamii haishi pangoni
@yasinomary2147 Жыл бұрын
Taja mwanachuoni alieharamisha sio kudanganya watu na story za uongo ety kuna mtu alikuwa anauza CD za Anna sheed shekhe akamwambia hiyo ni kharam,taja ilikuwa mwaka gani?? maana cd zimetoka hazina hata miaka20,acha unafaru
@khatibbakhresa7615 Жыл бұрын
Mwanachuoni Bin Adamu nao wana mapungufu yao. Hakuna mkamilifu ila Allah SW ndie mkamilifu
@RashidiIsmaili Жыл бұрын
Sasa ndugu yangu unachoshindwa kuelewa Nini hapo? Maana hapo ametoa ushahidi katika vitabu vya wasomi au wanazuhoni .au niuhelewa wako n' bovu? Mbona maelezo Yako wazi hayo.
@nyipindamlimited1629 Жыл бұрын
Yani wewe sijui hujui dunia au unajisahaulisha dunia ina mabadiko wewe leo unatumia mitandao huku umweka maiki kama dereva wa ndege kwani enzi ya mtume yalikuwepo mbona unatumia? kataa picha kama kassim mafuta ndio yupo sasahihi sana na msimamo sio wewe
@swafniesaid23319 ай бұрын
Jekutukana wanawazuoni hufaa panya buku wewe
@hajjisanga789 Жыл бұрын
Nashid sio haramu Nashid zipo nzuri na mbaya ikiwa nzuri za faa na zilizo mbaya haifai ikiwa masahaba waliimba pia sasa vp ziwe haramu
@SaidAbaas-z6z Жыл бұрын
Wewe mpole kutaja spika kwani spika kazi yake si kuwafanya watu wasikie tuu acheni nyimbo nyie mabidaaa waburura kanzuuu
@khamistomohamed7079 Жыл бұрын
Umesema kweli kuhusu uharamu wa anasheed ila Tatizo lako Sheikh M. Bhachu ukiitwa na masheikh wa kikhurafi wewe huenda ukakaa na kujumuika nao , kama juzi 18th Dec ulivyokuja Msa kwa Sheikh Bahero na Yusuf Abdi kuchangisha pesa kwa watu. Sasa haya maneno yafaa umwambie rafiki yako Yusuf Abdi muimbaji. Ndio maana kina Sheikh Qasim mafuta na Abdallah Humeid wakaipinga daawa yako sababu hawakuelewi. Ukialikwa na masufi kwako poa, kisha bado unajinasibisha na daawah salafiyya! Daawah yako yanitia wasiwasi.
@burayhin Жыл бұрын
Nilitegemea ntasikia aya katika Quran au Hadith juu ya uharamu wa nasheed au vyombo vya mziki unfortunately hakuna hata kimoja, maneno matupu ya wanazuoni. Jua pia maneno hayohayo wapo wanazuoni wakubwa walio juzisha nasheed na vyombo vya mziki.
@chelseafcinafrica4313 Жыл бұрын
Unataka kusema mziki nihalal hivi ulishaga soma suratu akabuti
@aljalilatiba9873 Жыл бұрын
ANASHEED HIZI ZA SIKU HIZI SIZO KABISA NI MAMBO YA ANASA TUU TENA IMEKUA BIASHARA MCHANGANYIKO WANAUME NA WANAWAKE PIA LEO HII MTU AKIOWA TUU ATUNGIWE ANASHEED HII AYA KTK SURATUL LUQMAN INAELEZEA UHARAMU WA NYIMBO HIZO MIZIKI YA BONGOFLEVA KIHINDI NK. وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua maneno ya upuuzi, ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha.
@burayhin Жыл бұрын
@@chelseafcinafrica4313 haya nisomeshe habiibi asaa utachokisema ni haki.... tafadhwal lete faida...
@burayhin Жыл бұрын
@@aljalilatiba9873 Twakubaliana wala hatupingi kua baadhi ya anaasheed hazina sura nzuri katika uislamu, hazifundishi wala hazielimishi, kwahiyo hatuwez pinga kwa kutinda jambo lote kwa makosa ya wachache.
@shaibhemed4152 Жыл бұрын
Allah akuzidishie kheri akuhifadhi usijali wanaokulaumu Ataukawapa ushaidigani wapenda muziki watakupingatu nasheed zasikuizi ninyimbo watake wasitake
@alhudhaify7810 Жыл бұрын
Unapotoa watu
@yasinomary2147 Жыл бұрын
Hueleweki sasa mara dufu wanapiga wanawake mara dufu ni kharam sasa tukueleweje? yaani umekodisha msikiti ili uongee upuuzi huo hapo uko peke yako wajiongelea mwenyewe,waliokukodisha huo msikiti hapo mombasa pia ni makhanithi,huko kwa wasenge ndipo penyewe
@saeedmohamed3589 Жыл бұрын
Khanithi ni wewe shoga
@almunawarakanyosha1402 Жыл бұрын
Rekebisha kauli uyo ni sheikh usijikuti ume mjibu waace ma sheikh wenye elimu wa mjibu kielimu
@yasinomary2147 Жыл бұрын
@@saeedmohamed3589 kama Mimi khanith muulize mkeo sheikh wangu Saeed,mkeo anajua kama Mimi ndyo khanith au wew.
@husnaally7964 Жыл бұрын
Kaka zangu mcheni Allah sisi ni ndugu kiiman tukosowane kwa hikma miongon mwetu hatupat Aman mkijibizana.
@mwanakomboabdala-bt4po Жыл бұрын
Huko ni kumfanyia hiyana, lengo lake mbona nizuritu
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Sahihi in swaha
@matanokarabu5580 Жыл бұрын
Shida ya uchache wa ilmu ndio hii badala utoe waadhi wa kutia waislam imaan na kuwaaleta pamoja wewe wangoja mashekhe wafanye jambo alafu uje uwapinge INSHALLAH ALLAH ATAKUONGOZA NA ILMU N A HIKMA
@fakikombo7114 Жыл бұрын
Tafakar na upime ndipo uambie watu neno pale unapotaka kuwaambia