Kiukweli sisi mabint wengi kwa sasa hatuna hofu ya Mungu kabisa ivi kweli mwanamke mama wa mtoto unavaa ivi kweli dunia tunapita na hatujui nimuda gani tunaondoka umauti unakukuta ukiwa umevaa uchi kiasi ichi tutakwenda kujib nn siku ya mwisho tumuogopen Allah wanawake 😢inasikitisha sana jaman Mungu tuondoshee matamanio ya hii dunia
@nishaabdula50153 ай бұрын
Yn viguu km. Mtii
@marryeliasmarryelias92893 ай бұрын
Aliyee vaa baibui na magauni kumi yanaburuza kama Hadi chini jeep hamjaona alicho mfanyia lafiki yakee😂😂😂 acheni ujinga kuku nyieeeeeee🤣🤣🤣
@chalachala4251Ай бұрын
Hahaha huyo mdada hiyo migu ss kama tendegu za kitanda 😂
@Steven-George-es3hg3 ай бұрын
Tunaosoma comment kwanz kabla ya kuangalia content😂😂 ngonga like apo😂
Kama aliweza kumkunja hizo ni kelele za chura tu!! Na mshikaji kamueshimu sabab dukan kwa watu !! Engekuwa mtaan huyo demu anachezea makofi vixuri tu!! Ana ubavu gani !! Labda mshikaji analelewa ndo maana kawa mpole anajua anachokipata kwake !!😀😁
@AishaAishaothmani3 ай бұрын
usitukandie kweli mwanaume usikae nae kinyonge😂😂😂
@OfficialA836403 ай бұрын
Huyo Husna akili zake 0 vile vile yaani utembee na mwanaume wa rafiki yako halafu useme umetongozwa kwahy ht chizi akikutongoza utakubali fala ww ni maraya tena wakuogope shoga zako wote
@FadhilaKhatibuabdala3 ай бұрын
Jamani miguu ndo alivyoumbwa mavaz ni kawaida mbona huyo majuba na kabeba bwana wa rafiki tusijaji vitu kwa macho😢😢
@HusnaJabiri-i4w2 ай бұрын
Wajina umenidharirisha umalay tu chefuuuuuuu,,,,
@IsmailHamad-sv3sf3 күн бұрын
uyo jamaa kwa muonekano wake tu kwaza anaonesha ni mjanja kwa wanawake halaf muonekano t hana hela chochote 😂😂😂
@charming3893 ай бұрын
bora umevaa ivyo maana watu walishaanza kusema wanajistili wanafki😅
@HasnaHasna-q5x3 ай бұрын
Ww husna wawapi mbona husna mm sina umalaya wakuchukua mabwana zawatu😂😂😂😂😂😂
@GraceShirima-cl4yx3 ай бұрын
Msimjaji MTU Kwa uvaaji wake anaweza akawahivyo lakini asiwenatabia chafuchafu lakini hao wanao jifunika sasa msisahau kuwa huo alikuwa amejifunika lakini anadate na shemeg yake mnajifunika ila Amna adabuu
@AdelineDaudАй бұрын
😂😂😂we kaka bora uachane na huyo dada atakuuwa
@ZubeirHassan-c9yАй бұрын
Yy mwenyewe ni aisha si iishe
@FaridaShabani-h3p23 күн бұрын
Inapendeza jaman😮
@LeukajaMavika3 ай бұрын
Huyo demu kaliwa mzigo na ajifanya haoni😂😂😂😂
@amosmahona4333 ай бұрын
WAdada wembamba nawachukia sana ona sasa eti unamuangalia nani,mara nataka hela yangu mimi ningemkimbia
😂😂😂😂😂😂 wadd wembamba bana anajiona mwamba, [huyo rafiki nae malaya tuh eti umesababisha ww kwani ulikuwa ujui huyo shemeji yako??]
@BurterDreezy3 ай бұрын
Zompah badilisha nguo😂😂 part 1 na 2 nguo zile zile😂😂
@amosmahona4333 ай бұрын
😂😂😂
@saunaJohnАй бұрын
Kaah unachunguza ww 🤣
@SaidMullunga21 күн бұрын
Hiyo video ni moja ila wameikata
@calvin64452 ай бұрын
😂😂😂nimeruka nae mwanangu ujana maji ya moto
@OfficialA836403 ай бұрын
Hiko ki Aisha kinapenda kutembea uchi viguu vyenyewe na vipaja sasa doh 😂😂
@MwanaNandy3 ай бұрын
Vinguu. Vya ishakm nzr jmni jisitirini mwaya
@YohanaPetro-xv9tp2 ай бұрын
Aisha sauti Yaketu Anaonekena Mgai Gai😅😅😅😅
@felicianboss69533 ай бұрын
ThE boy for mEh°😂😂😂😂🙌🏻
@aminamohamed99553 ай бұрын
Wewe mwanaume mzuri c umtafute mwanamke mwenye eshima
@ZainaSur3 ай бұрын
Mavazi yenyewe kama yagihuni kiukl😢😢😢
@doreennyangemissdee3 ай бұрын
😂😂😂😂nkae kmya kabla cjakagua vimiguu vyangu
@VeronicaFrance-vr6xk3 ай бұрын
Ongea yak kama mlevi flan mdada anae shinda clab
@janemhangomhango58413 ай бұрын
Wanatangaza biashara tu hawo
@AshaDickson3 ай бұрын
Khaa nae huyu ajui ata kujisitili hivyoo khaa!!
@IbrahimMrisho-n5j3 ай бұрын
Huyu dada anavuta sio bure😂😂😂😂
@AminaHaidari-rz2vhАй бұрын
mbon kama huyo dada ni tofauti na yule wa mwanzo au ndo kanenep
@MamaSamir-x7u3 ай бұрын
Uyo dada ni malaya aise Kwan alivyotongozwa na shemej yake alishindwa kukataa umalaya tu rafik wa kisenge uyo nyoko👌
@nishaabdula50153 ай бұрын
Tamaa ndo shida
@JoyceMwita-e3w3 ай бұрын
Badala ushukuru ameondoka hajawapiga humo dukan kwa watu😂😂😂😂😂
@DanielMelami-o3t3 ай бұрын
Aki ya mungu uyo demu asiombe akutana na Mimi
@Maslas-k2x3 ай бұрын
Mkaka mwenyewe sasa😂😂😂
@Aisha-qg5mj3 ай бұрын
Yule ostadhat ndio uyo mwenyekofia yatobo😂😂😂😂
@joycezawadi19523 ай бұрын
😅😅😅hata mm nimeshtuka
@NasraAli-c9s3 ай бұрын
😂😂😂 mimi nataka unifanyie😂😂😂😂 eti demu unamjuwa 😂😂🤣🤣
@theeaglefilmproduction45673 ай бұрын
0679900694
@SelinaErick3 ай бұрын
Nimependa husna anavoongea kiustaarabu hata km kachepuka.......ila bora usiwe na marafk kwenye mahusian
@chilovebeb45793 ай бұрын
sasa uyu nae vimguu virefu na ameviacha nnje na ndio yuko juu kwa mwanamme n mwanamme gan atakaa na ww kwel hv😂😆
@Dafetty3 ай бұрын
😂😂😂 duh
@chilovebeb45793 ай бұрын
@@Dafetty 🤣🤣🤣
@irineTesha-u2e3 ай бұрын
Ilo dada husna kama chiziiiiii kichaaa kabisaaa
@AsdDsa-fi5qk3 ай бұрын
Mmmh hyo ndo wakutaka kuuwana mmh
@innocentoisso68697 сағат бұрын
Maigizo haya mnatuletea
@omanoman20443 ай бұрын
Ashakuharibia am ulijiharibia mwenyew
@omanoman20443 ай бұрын
Anatembea nannguo lam hizo na miguu mirefu kam ya ndege fulan am kam ya warangi usipokoywe bwan
@omanoman20443 ай бұрын
Wallah wa dada malay san punguzen umalya loo
@Lidiakomba3 ай бұрын
Jamani kassimu mbn natamani na mimi niwe wa tatu maana 😂😂
@JosephatMassae3 ай бұрын
Kasimu atakuwa anajua kumkatia mchuchu mauno ya kwenda!! Ndo maana rafiki yake akaona hasipitwe na uno la kasimu!! 😀😁😂
@RUKAIYAABDALLAH-m6n3 ай бұрын
Huyo bwana anafanya kazi gani kwani😂😂mbonaa au bac😂😂
@JosephatMassae3 ай бұрын
Kazi ni mauno tu kwa kwenda mbele!! Si unamwona huyu demu ni mkorofi lakini akikamatiwa na bwana kasimu kiunoni anatulia!! Na pesa anampa kama zote mjini hapa😀😁😂
@rqiyaabdallah8403 ай бұрын
Yaani Dunia imesha yaani mtu anavaaa nguo yajuu Tualafu anajiona kavaa
@ELIZABETHEMMANUEL-kz7vn3 ай бұрын
Icho kihusna hakijielew koo kila ukitongozwa unakubal hajihexhim kama mdada ovyoooo kaokotwaa uyo shemej ako unatembea nae wala hutkisk
@JosephatMassae3 ай бұрын
Kusema ukweli hata Mimi siwezi kuvumilia rafiki yake demu wang aje gheto na pigo za kujibebisha bebisha!! Na anajua fika mda huu demu wangu hayupo kwanini aje!? Sisi wanaume hatuna uvumilivu kwenye mitego afu upo kwenye mazingira hatari yaan magheton hata mim siwez kuwa na moyo tofauti na wa kasimu nabutua tu itajulikana baadae!! Nitatubu baadae 😀😁😂
@aminamohamed99553 ай бұрын
Hahaha haoni hata aibu hyo aisha eti anajiita mke wa mtu bora kuwa cngo tu miaka mianane
@ElizabethMasanja-v3d3 ай бұрын
Duuh kazi ipo
@mankakiria51573 ай бұрын
Wewe husna ndio malaya kwanini ulipotongozwa hukukataa acha umalaya weweeee
@zahormohammed44763 ай бұрын
Iyo isha anaonekana ni kama teja flani
@ASHAHAKIM-qm9gu3 ай бұрын
Ww Isha Acha kujitukan viguuu chanjeeee
@Nasmahkilingo3 ай бұрын
We mkundu nn we mwanamke malaya 2 kama rafiki ako kwann ulale na Shemeji ako
@Neema-m6s3 ай бұрын
Aisha kaondoka waliobaki wamepumua 😂😂😂😂
@Bupe-kv6zn3 ай бұрын
Stakii shogaa kwa baby wanguu
@HidayaTwitunge3 ай бұрын
Sistery uyoo unabalaaaah atarii
@omanoman20443 ай бұрын
Et na yule dada mara hii kaw dada ten siyo rafiki
@LloydsTechАй бұрын
watoto wa 2000 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chayoamaeda79552 ай бұрын
Havi wanaume bwana alimtoa wapi bangi tupo
@ReginaJumanne3 ай бұрын
Mbn kenge tena 😂😂😂😂😂
@SafayaPlatnum-zz1dz3 ай бұрын
Bobu yupo makini sana futa boy kwani beigani
@annajoseph99553 ай бұрын
Kassim mwenyew sasa duh
@ThauratSuleАй бұрын
Asha hana mwili lakin kanahatar
@yassinMungere2 ай бұрын
Sema husna pisi la kwenda
@AishaKhamis-gs6qc3 ай бұрын
Wakina isha tukomoto😂😂😂😂
@BeatriceFabian-d4d3 ай бұрын
We dada ni mnafiki huyo ni mwanaume kwann alivokufata hujakataa na ulijua ni shemeji yako tamaa zako ndo zimekuponza uliona rafiki yako anafaidi wala ata kaka wa watu hana makosa
@MariaMagele3 ай бұрын
Kwa viguu ivyo ndo vyakuvaa uchi ivyo kweri
@irineTesha-u2e3 ай бұрын
Uongee na aisha uongee nae nn
@FrancisAbel-b9g3 ай бұрын
Iyo miguu Sasa kama sikiti za kuchomea mishikaki
@agriparose39423 ай бұрын
Aisha huo mkomwe na nguo unazovaa miguu ya ya nyani
@doreennyangemissdee3 ай бұрын
Kwan n lazima ukitongozwa na shemeji ni lazima uliweee😢😢😂bongo bhana
@MatridaMwakalili-do2pg2 ай бұрын
kwan we ungeweza kuwa mstarab ndo ujue hela hana anaamisha kwa mwezio umalaya tu nyooo wanaume wengine hamna
@achennimuxx33583 ай бұрын
Alivyokubalii sasa😅
@cyberGhost-g3d3 ай бұрын
Ustadhati Leo kavaa CEP uyu malaya
@ElizabethMasanja-v3d3 ай бұрын
Isha mwenyew hajali Wala nini
@AminaMohamed-j9o3 ай бұрын
Kama kaondoka bora mbaki wawili ndo inapendeza
@AlexsandrEgbart3 ай бұрын
Mmmhhh hatar sana
@Jonathanlymo3 ай бұрын
huyu dada angekutana na mm mngemkuta marehemu soon
@SanjerSaimon3 ай бұрын
Kwan alishindwa nn kumkataa huyo shemej km sio umalaya kitu gani