MUME WAKE MALAYA INAUMA SANA😭😭 | PART 01

  Рет қаралды 18,626

ZOMPAH 🎬

ZOMPAH 🎬

Күн бұрын

Пікірлер: 125
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj Ай бұрын
Huyo Dada sio rafiki ndio maana alikuwa anakataa challenge
@elinamimtaita6724
@elinamimtaita6724 Ай бұрын
Alivyokataa nilijua tu sio bure khaa
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Yn angekataa vile vile wala asingekubal
@rahmahamad5005
@rahmahamad5005 Ай бұрын
Naomba voice note nicheke kdg😂😂😂😂😂😂😂
@sophiarajab5476
@sophiarajab5476 9 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ooh my God,jamaniiii 🙌🙌🙌ushoga Noooooooo🙌🙌🙌🙌
@LydiaGervas
@LydiaGervas 14 күн бұрын
Ndy maan alikuw hatk anajua nn kinaendelea😅😅
@user-yr5wj5bz4w
@user-yr5wj5bz4w 11 күн бұрын
Huyu alie vaa nguo ndio mke sasa
@asteriaslaa5482
@asteriaslaa5482 Ай бұрын
Khaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ndo maana alikuwa anaktaaa... mwizi huyu
@doreennyangemissdee
@doreennyangemissdee 28 күн бұрын
Ndy mana staki mambo ya marafiki alooo😂
@ShudaCure
@ShudaCure Ай бұрын
We kila siku kujuta kuacha ahaaa😂
@ChristianaAmoc
@ChristianaAmoc Ай бұрын
Huyu mchongo 😂
@habibaraphael6583
@habibaraphael6583 Ай бұрын
😂😂 mwendelezo 😂😂
@Luiverine
@Luiverine 27 күн бұрын
Mwache afanye vurugu 😂💃🏾
@pendoyohana2399
@pendoyohana2399 Ай бұрын
Ushoga mbuzi😂😂😂😂
@HappynessJose
@HappynessJose Ай бұрын
Ndio maana alikua ataki kupinga kumbe wanakua wanalala pamoja Eti leo tena nilishanga kwambia hakuna kuja mara kwa mara rafiki atajua ukwel inanauma
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke Ай бұрын
Hii ndio Tanzania nchi pekee ya marafiki kutembea na mwanaume mmoja😂😂
@RehemaAthuman-mw2wg
@RehemaAthuman-mw2wg Ай бұрын
Kumbe ndomaana alikuwa anakata
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 Ай бұрын
Marafiki wanakuoga na tamaa Sana sasa anatembeaje na rafiki yake
@mankakiria5157
@mankakiria5157 18 күн бұрын
Mi nilishahisi mdaa
@MoshiKindamba-jo9wo
@MoshiKindamba-jo9wo Ай бұрын
Maraya TU nyoo
@LenathaEmanueli
@LenathaEmanueli 15 күн бұрын
ushoga kazi😂😂😂😂😂😂😂
@estherlisahelifuraha9312
@estherlisahelifuraha9312 26 күн бұрын
😂😂me sitaki mambo ya udugu
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 27 күн бұрын
Du makubwa 🤔unamusariti lafikiyako et kwasababu yapesa
@AkxaEdwin
@AkxaEdwin 29 күн бұрын
Humu tuuu !!!!😂😂😂
@zahormohammed4476
@zahormohammed4476 13 күн бұрын
Uyo sio ustadhat hayo ni makurbembe yalovaa baibui
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 10 күн бұрын
𝐾𝑢𝑚𝑏𝑒 𝑎𝑛𝑎𝑗𝑤𝑎 😂😂😂😂
@dorahpatrick6698
@dorahpatrick6698 Ай бұрын
Ni humu humuuu 😂😂😂😂😂🙌💔💔
@irineTesha-u2e
@irineTesha-u2e 26 күн бұрын
Duuuuuh jmn marafik hawaa😂😂😂😂😂
@zahormohammed4476
@zahormohammed4476 13 күн бұрын
Kilichomfanya mwanaume ahamie kwa shoga ya demu wake ni kwamba shoga anavaa kiheshima zaidi na mwanamke wake anatembea uchi kabisa yani anadhalilisha jina la aisha
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 Ай бұрын
Hii neeenda kabisa
@RutyNatalia-uu5uj
@RutyNatalia-uu5uj Ай бұрын
Mkome kiranga kwann utembee na mpenzi wangu rafiki yako jamani
@gamarahmed3258
@gamarahmed3258 Ай бұрын
Sijui Kwa. Nn marafiki wanakuaga na wivu sana ndio mana wanamua kutuchukulia wapenzi wetu mashetani yani nachukua marafiki sana
@floraahsteven
@floraahsteven Ай бұрын
zompa mtu mbadi 😂😂😊
@FEBRONIAJULIUS
@FEBRONIAJULIUS Ай бұрын
Duh hii kali sana marafiki wa sasa nuokoo
@NeemaMdachi
@NeemaMdachi Ай бұрын
mama weeee😆😆😆
@user-cv4yx4uf8u
@user-cv4yx4uf8u 7 күн бұрын
Ndio maana wanafilika
@JosephKway
@JosephKway Ай бұрын
😂ten lime zagaazagaa
@saharunlock4929
@saharunlock4929 Ай бұрын
Zompa kila ck anajuta kufany challenge😂😂😂
@UstinaMayemba
@UstinaMayemba Ай бұрын
Ila maisha yana siri nyie😂😂😂😂
@raydaizerbanks
@raydaizerbanks 27 күн бұрын
Dakika ya 10:20 focus apo (SEPA) KUMBE NI EKTI KAMA MR UKY top creator in is only one kiredio
@AbdulMpemba-ie6lh
@AbdulMpemba-ie6lh Ай бұрын
Sasa mpaka anakataa mala zote izo hamnajiongeza tu mpaka anasema sim haina chaji mmmh heshima yako dunia.
@Neema-m6s
@Neema-m6s 28 күн бұрын
Mbona leo tena duuu hatari
@ChainesBoufee
@ChainesBoufee 24 күн бұрын
Aah yaan maisha haya .
@mohamedasha3130
@mohamedasha3130 Ай бұрын
Huo niujinga t shemg gn😊
@chresenciaanthony8940
@chresenciaanthony8940 28 күн бұрын
Ningekua Mimi ningekataa KABISA
@ElizabethRaphael-x5h
@ElizabethRaphael-x5h 28 күн бұрын
hiiiii ndo nchi ambayo shemeji ako ndo mume wako😂😂😂😂 kama unabisha nambhe
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 10 күн бұрын
❤❤❤❤
@jackstar508
@jackstar508 Ай бұрын
Ungekua wew ungekataaa bro 😅😅
@LeukajaMavika
@LeukajaMavika Ай бұрын
Hahhahqhq anapesa kwanin amkatae jamni mashemeji waliwe to maan 😂😂😂😂
@SajdaHussen
@SajdaHussen 22 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@irenemwilongo1923
@irenemwilongo1923 28 күн бұрын
Dah wanawake
@raydaizerbanks
@raydaizerbanks 27 күн бұрын
Mnatuektia
@shanishani7690
@shanishani7690 Ай бұрын
Ndio maana sina lafiki
@kelvinkimaro9637
@kelvinkimaro9637 14 күн бұрын
Ila husuna ni pisi kwelii
@VeronicaEliasi
@VeronicaEliasi Ай бұрын
😅😅😅😅😅Atali jaman ww
@MasoudAlbusaid
@MasoudAlbusaid Ай бұрын
Ustadhati uyo kfanya mambo
@GloriaNikiza
@GloriaNikiza 15 күн бұрын
Ndo mana sinaga rafiki
@ZeyanaKhamismashaka
@ZeyanaKhamismashaka Ай бұрын
Umalaya tu huduma ndo chanzo utembee na shemg yko ushaga wa mjini ushuzi 😂😂😂😂😂😂
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Part 2 isichelewe dah wanawake konyo staki ushoga mm
@StellaStanphord
@StellaStanphord Ай бұрын
Nataka niwe shoga ako😊
@GloryKihongosi
@GloryKihongosi Ай бұрын
Na mm pia😂😂😂😂
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
@@StellaStanphord Hapana bint zng wawili wananitosha
@shanishani7690
@shanishani7690 Ай бұрын
Mwendelezo nitang
@theeaglefilmproduction4567
@theeaglefilmproduction4567 Ай бұрын
Subscribe kipenz ukiingia2 unaiona
@GloryNicomed
@GloryNicomed Ай бұрын
​@@theeaglefilmproduction456712:06
@halimashaban3858
@halimashaban3858 Ай бұрын
Dada wawat alikataa mkamlazimish
@jamilaissa1386
@jamilaissa1386 Ай бұрын
mpenzi shikamoooooo😢
@SajdaHussen
@SajdaHussen 22 күн бұрын
Aisee marafiki hawa
@issabelfrancis4257
@issabelfrancis4257 22 күн бұрын
..ila kuna watu mafala tu yan anajua anacheat bado anakubal ni ujingaa kbsaa nyoo
@beatricesway5782
@beatricesway5782 Ай бұрын
Ila zompah 😢❤
@theeaglefilmproduction4567
@theeaglefilmproduction4567 Ай бұрын
😂😂😂😂kafanyaje
@HamisiForogo
@HamisiForogo Ай бұрын
Nimependa hapo we kenge
@FatimaOman-wb8tn
@FatimaOman-wb8tn Ай бұрын
We kenge😂😂😂
@GloryKihongosi
@GloryKihongosi Ай бұрын
Haunjuiiii😂😂😂
@AngelaMsukwa
@AngelaMsukwa Ай бұрын
Duuuuuuh 🙌🙌
@MustyNgongo
@MustyNgongo 27 күн бұрын
Baibui kubwa kumbe malaya
@RosemaryWilliamson-t7b
@RosemaryWilliamson-t7b 29 күн бұрын
Ila wanawake sisi hapana hizi tamaa mbaya sana mume wa rafiki ako
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 10 күн бұрын
𝑃𝑖𝑞 𝑚𝑚 𝑛𝑠ℎ𝑛𝑔𝑎𝑎
@amosmahona433
@amosmahona433 21 күн бұрын
NImecheka kweli leo tenaaaaa?
@user-be9xm3og4x
@user-be9xm3og4x 17 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-nu8or5ks9b
@user-nu8or5ks9b Ай бұрын
Alikua anakataa kupiga sim kumbe analiwa na shemeji yake
@amosmahona433
@amosmahona433 21 күн бұрын
KWanza humo mnauza nini? Nataka nije kununua
@aliceshija3123
@aliceshija3123 29 күн бұрын
Ndo maana mm sinaga karafk
@omanoman2044
@omanoman2044 28 күн бұрын
Huyu ali jistir hiv kumbe ni malay hee pesa hiz zitawapeleka moton wallah
@FatmaMohamed-vd5zc
@FatmaMohamed-vd5zc 29 күн бұрын
Hiki kipindi kifungiwe kusema kweli ipo siku watu wa tauwana kinapo erekeya siyo kuzuri kabisa
@subiramayegeya5343
@subiramayegeya5343 28 күн бұрын
Ndio mnawatetea watu wanaovaa nguo ndefu wanajistiri haya sasa c Bora aliyevaa uchi lkn hachit
@JohariJohari-rv5js
@JohariJohari-rv5js Ай бұрын
Mh hii hatar
@sulleRuth
@sulleRuth Ай бұрын
Uwiiiii ningeua mm jamaniiii uwiii😂😂😂
@sulleRuth
@sulleRuth Ай бұрын
Hawa wadada nao ni wajinga sana Kam ulikuwa unajua michezo yenu kwann ukubali challenge wabongo Kuna washamba wengi sana😂😂😂😂
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Ай бұрын
Hamna sababu za kupigana, wanaume ni washenzi sana.
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 20 күн бұрын
Duuuuh hamnazo kabisaaaa mpenzi wa rafiki yako huyo ht wadada yake anaweza tenbea naye kisa kat ongozwa duuh
@millionarebillgates3062
@millionarebillgates3062 Ай бұрын
Bwana z unajua unachokosea ni kitu kimoja tu na hpo ndo anakupiga bao kiredio inaonekana uyo dada aliye kubali mwanaume wake apigiwe inaonyesha yeye ndo alitaka hii challenge ifanyike ndo maana baada Ya challenge ukasema utamtafuta kwa maana iyo una no zake
@AliciaResiqiuc
@AliciaResiqiuc 19 күн бұрын
Ndoo maana ctaki urafiki na mtu
@saidasalum4172
@saidasalum4172 26 күн бұрын
Bwana ustadhati wapi, kisa baibui , moyo wamtu kichaka jamani usimhukumu MTU kwa muonekano wake, ustadh wapi hamna lolote
@saidasalum4172
@saidasalum4172 26 күн бұрын
Mpuuzi kweli kashajua kwanini akakubali interview asiondoke mazima, mpuuzi kweli huyu kibaibui
@raydaizerbanks
@raydaizerbanks 27 күн бұрын
Challange uku mnaelekezana cha kufanya challenge master unamwambie mtu sepa iyo imesikika bro ampo serious kumbe
@FAHEEMTOZZY
@FAHEEMTOZZY Ай бұрын
😂😂😂😂😂nakubal zompah
@AnnaLuhanjala
@AnnaLuhanjala Ай бұрын
Ety mm ostazat unatembea na mpenzi wa mtu tena wana mtoto upuuuuzi mwingine bwana
@Aisha-qg5mj
@Aisha-qg5mj Ай бұрын
Apana ostahdat apo malayatu mnauficha kwenye maabaya
@aboujanomarion6121
@aboujanomarion6121 29 күн бұрын
Urafiki wakuhusishiana waume huo siurafiki hawa wanawake wanajitakia wenyewe so mm wanawake wakuhusisha waumezao na marafikizao naona niwapuuzi sana kumbuka sisi tulishaambiwa tunauwezo wakuoa wanawake wanne then unaniletea mke karibu wewe mwenyewe unajuaje kma rafkiako kakuzidi vigezo unatarajia nni .????
@peacermaria2045
@peacermaria2045 Ай бұрын
😅😅😅😅😂😂
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 20 күн бұрын
Kinacho nichukiza nyie kucheka cheka kama mashoga emu kuweni sirias nakazi zenu
@ErizabethShayo
@ErizabethShayo 29 күн бұрын
Ach umalay
@FETTYDHAHABU
@FETTYDHAHABU Ай бұрын
ustaz fek
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 26 күн бұрын
😅😅😅
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu Ай бұрын
Kwanini mnakubali
@mohamedasha3130
@mohamedasha3130 Ай бұрын
Mimi siwezi kumpa rafiki yangu namb ya mpenzi wangu😊
@DativaMbowe
@DativaMbowe 24 күн бұрын
Yaaani MTU unampaje namba ya mpenz wako😂
@VeronicaEliasi
@VeronicaEliasi Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Yn mtu unajuwa unatoka na mwanaume warafiki ako alafu unakubal vp kupiga iyo cm mm siwez piga ht yn
@WitnessKimaro-sx3rj
@WitnessKimaro-sx3rj Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 24 күн бұрын
Eti ustadhaty mmh kifua wazi nyuma chogo, na kama haitoshi MZINIFU, MM NDO MAANA SINA RAFIKI NA SIHITAJI RAFIKI ✍️🚮
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 Ай бұрын
Acha tabia za kiswahili dada baibu kubwa unaficha madhambi kwenye baibui eti ostadhat ovyooo,kuhudumiwa bongo?halafu shemeji yako mnamlamba kisogo mwenzenu
@VeronicaEliasi
@VeronicaEliasi Ай бұрын
hatali
@VirginiaStaki
@VirginiaStaki Ай бұрын
Ngoja nikamroge wanguu
@mwakwelisaid3152
@mwakwelisaid3152 Ай бұрын
Nacheka hilo sanamu hapo bonge la kichwa
@manktarimo8146
@manktarimo8146 Ай бұрын
Kumekucha
MUME MALAYA PART 2
16:14
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 16 М.
BIZO KAPATIKANA USO KWA USO NA MPENZI WAKE  |  PART 2
16:38
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 8 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 32 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,4 МЛН
CHUCHU KANIPONZA KWA KWELI
8:09
Mr Uky
Рет қаралды 61 М.
FUMANIZI  B2 Part1. @Officialsonjordan
10:27
Son jordan
Рет қаралды 2,3 М.
MARAFIKI WABAYA SANA😭😭
9:40
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 13 М.
MZEE WA UTOPOLO ACHAFUKWA NA KAGOMA DAY, HAWAENDI MAKUNDI
17:15
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 2,3 М.
MPENZI WAKE AMUACHA BAADA YA  KUBEBA MIMBA
10:16
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 7 М.
MPENZI WAKE KALALA NA RAFIKIAKE
9:07
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 28 М.
DADA ACHANGANYIKIWA NA MAPENZI  | PART  1
13:07
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 28 М.
USO KWA USO SALMA NA NURU WAKUTANISHWA
7:55
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 11 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 32 МЛН