Muogope mungu wewe dada kuungopea jamii. mambo ya ndani ya watu hayo ni simulizi chafu
@GatekaFatma18 сағат бұрын
Allah amtie nguvu uyo dd na utunusuru na iyo mitihani
@hidayandimini90364 күн бұрын
Aiseeee huyu mwanaume ni hatari sana, astahili kuishi hapa duniani ni zaidi ya mnyama.
@KenziaDaniel5 күн бұрын
😢😢Daaaah
@CharifaRachidi6 күн бұрын
Mh jmn inahuzunisha kwa kweli
@christinamwambene25116 күн бұрын
Ni huzuni kwa kweli😢
@Kompahkompah5 күн бұрын
Hollah❤
@mwanaishayahaya36492 күн бұрын
😢😢so sad
@hamisnsombo66253 сағат бұрын
Tatizo hayo mavazi na hizo kucha unafuga
@salimabduallah5121Күн бұрын
Huyo amekuwa kichaaa
@saudmohammed33904 күн бұрын
Wazungu hatari saaaana tuwe mbali nao siyo watu wazuri ni wanyama
@sabuabdi8396Күн бұрын
Inasikitisha
@aminashekuwe6703 күн бұрын
Alysallah biahkamal hakimeen
@mohamedS-yd9wh4 күн бұрын
Inna lillah wa ina illah rajiuun. Huu ni ushenzi, unyama, ushetani wa hali ya juu, huyu anamzidi ibilisi laana ya Allah juu yake, sijui hukumu gani itatolewa dhidi yake,. Hukumu ya haki ipo kwa Allah
@nassormohammed97422 күн бұрын
Kwanini iwe wewe unauzungumzia mkasa unao ushahidi wowote wa hayo unayoyasema .Unaonekana umevaa kiislam halafu unakuja na jambo hili halikhusu kabisa ndio iwe nini ,muogope Allah wako kama ni muislam haya ni kujidhalilisha na kuudhalilisha uislam na ufuto upuuzi huu na omba toba
@Storyzamuuhsaleh2 күн бұрын
@@nassormohammed9742 ulikuwa unataka nikusimulie story yangu ya maisha au kama hutaki usisikilize