Mashallah, kwakweli Doctor Hussain Ali Hassan Mwinyi unazidi kudhihirisha nia yako njema Allah akuongoze zaidi
@MozaSalim-d5eАй бұрын
Ahsante Dr. Hussein Mwinyi hakika hautosahaulika kwa mema yako
@MuuminSaid-m5fАй бұрын
Acheni ushamba uwo pemba mnadanganywa tu
@zahornassor5420Ай бұрын
Mashallah beautiful of Islands🎉🎉🎉
@ahmedalbalooshi8518Ай бұрын
Ifungueni Pemba lakini musiharibu khulka na mazingira
@kassimmohdАй бұрын
Umefkiri mbali
@HarithAlyhamadiАй бұрын
Inaalilahi wainaa ilaihi raajiuni unguja ishaharbka hasa pemba ndoilobaki na afadhali ila leyo wanaenda kuiharbu ivi iv ila inshaallah allah yupo ataisimamiya 😢😢😢
@shafiijuma-g3hАй бұрын
ni heri kusiwe na utalii iyangalieni uguja saa hii maadili yameisha jama nikufaidika basi wagefaidika wauguja na izo sehemu zenye utaliii ndio njaaa imekisiri
@kassimmohdАй бұрын
Pia tunataka chuo kikuu kijengwe Pemba 😢
@HajraOmar-g1cАй бұрын
Mbona kipo
@lulanjamd3886Ай бұрын
@@HajraOmar-g1cPemba tumejenga chuo mwaka Jana the mwalimu Nyerere memorial academy kipo Kijiji Cha mtimbu kata ya pujini
@mohammedrashid2906Ай бұрын
AHSANTE
@fauzseif7344Ай бұрын
Kumbe uislam umeingia tanzania kabla ya ukristo kunamsikiti huko iringa unazaidi ya miaka 500 leo pemba msikiti unazidi ya miaka 1250 kwanini histori mnaificha
@ahmedalbalooshi8518Ай бұрын
Fanyeni uchaguzi ujao uwe wa haki , wa uwazi na bila kutesa wananchi.Atakae fuzu aendeshe serikali kwa maslahi ya wananchi wote
@dottomuhanukaАй бұрын
Pp
@hajiabdalla5772Ай бұрын
Acheni kuwatesa wanyama acheni upumbavu
@SaidSeif-d4yАй бұрын
wanyama wakali wanini?? sio utamaduni wetu,,,, itokee siku uzembe wa kibinaadam utokee ndo utawajuwa hso simba,, chui ,,, fisi,, mbeha ni nani ... hatuns maeneo kwa wanyama wakali...
@kamrudinelias3922Ай бұрын
Badala la Uislamu mnaleta watalii walevi kupata uuzaji miili.....shame
@kamrudinelias3922Ай бұрын
Sifa za kijinga zitaangamiza kisiwa muda si mrefu, hawa watalii mnaopenda ni maporomosha maadili za pemba muda si mrefu, tamu za wazungu mtaangamia saaivi...poleni wapemba
@RashidHaroun-c2jАй бұрын
Kiukweli mie naona wapemba hawajui wanachokitaka kila jitihada hawathamin halafu ndo wa kwanza kulalamika,hivi hamuoni pemba ikifunguka ki utalii mtapata fursa angalau mkaweza kukaa kwenu
@NassorBinSalumАй бұрын
Hizo ni tamaduni zetu unguja si kuna mwaka koga ndo tamaduni zenu
@HumudNassor-pg6lqАй бұрын
sisi ata kuwe na maendeleo sie niwatu wakusafiri mbwa mkubwa ww
@RashidHaroun-c2jАй бұрын
@@HumudNassor-pg6lq mbwa mamako alokuzaa halafu ukawa hutulii unahangaika tu
@zully756Ай бұрын
Jengeni vyuo vya ufundi.
@ahmedalbalooshi8518Ай бұрын
@@zully756 hilo muhimu sana
@HajraOmar-g1cАй бұрын
Mbona vimejengwa tyr
@salimharrasy7047Ай бұрын
Pemba kuna tamaduni zake ambazo kwa kiasi fulani ni njema. Ila mahoteli ambayo sasa yapo katika fukwe za Pemba aangalieni kinachofanyika. 1. Pombe. 2. Zinaa Ndio kivutio kikubwa cha watalii hivi sasa. Wacheni kuudanganya ulimwengu.
@ahmedalbalooshi8518Ай бұрын
@@salimharrasy7047 huko vumawimbi yashaanza
@2002-h6cАй бұрын
Hao wanaosema eti nchi ya Kiislam isilete watalii ni wajinga tu, hata Saudia na hata huko Oman kuna watalii kibao, ila watengewe maeneo na wakiwa kwenye maeneo yenye mchanganyiko na wananchi basi kuwe na adabu