No video

Munani Nami Viumbe - Swabaha Salum Rmx | MARJAN SEMPA

  Рет қаралды 1,727,655

Marjan Sempa

Marjan Sempa

3 жыл бұрын

FOR MPESA GIFTING - 👉 me.creator.co....
SEMPAZ SOUNDS Ent...
For BOOKING=
EMAIL. Marjansempa@gmail.com
Cell - +254728011195.... or....+254737307549
The authentic and genuine traditional Swahili Music, that has its origin in Zanzibar and coastal area of Tanzania. The lyrics (Mashairi) in Taarab music are not just ordinary lyrics they're poems or more precisely it's poetry containing significant and instructively information.
In fact all Taarab songs follow the formal rules of traditional Swahili poetry, with intricate rhyming schemes. Furthermore Taarab is one of Swahili people ways of delivering messages to specific individual or individuals with very special metaphor or language codes that most likely and mostly only Swahili people can interpret, so even if you understand Swahili that doesn't mean you comprehend the messages behind, contents and significance of Taarab lyrics.
SONG LYRICS:
Salamu nimezipata ulotuma kunambia
Salamu nimezipata ulotuma kunambia
Nasikia wajinata Leo utanitambia
Lakini utanikuta Sabaha nakungojea
Lakini utanikuta sabaha nakungojea
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Wewe kuku wewe kuku chakula chako jaani
Wewe kuku wewe kuku chakula chako jaani
Mimi njia mimi njiwa huletewa mikononii
Kama hujui uliza mimi nawe bora nani
Kama hujui uliza mimi nawe bora nani
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Mahali ukichukizia huzuka kila mazuo
Mahali ukichukiza huzuka kila mazuo
Huzidi na miujiza kusudi uvunjwe cheo
Japo wajipendekeza katu huwi mtu kwao
Japo wajipendekeza katu huwi mtu kwao
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Ni bure hamunipati mbio mukaniendea
Ni bure hamunipati mbio mukaniendea
Mtakufa na laiti uku mkinishuhudia
Nimewashinda bahati ndipo mkanichukia
Nimewashinda bahati ndipo mkanichukia
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Dunia yetu ya leo si ya watu kusemana
Dunia yetu ya leo si ya watu kusemana
Kila alie na lake aombe Rabbi salama
Kama langu limetota na lako wewe litazama
Kama langu limetota na lako wewe litazama
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Mtu akitaka sema kwanza hutizama lake
Mtu akitaka sema kwanza hutizama lake
Akazunguka na nyuma kutizama yalokwake
Hainuki kusimama kutangaza ya mwenzake
Hainuki kusimama kutangaza ya mwenzake
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Mwafanya muyatakayo mimi sisemi ya mtu
Mwafanya muyatakayo mimi sisemi ya mtu
Yangu yafata mbio komeni roho za kutu
Kwanza safisheni nyoyo kisha mseme ya watu
Kwanza safisheni nyoyo kisha mseme ya watu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Sijali mimi sijali maovu mkinitangaza
Sijali mimi sijali maovu mkinitangaza
Ni mambo tangu akali si mwanzo kujitokeza
Najua msema kweli kwa wengine huchukiza
Najua msema kweli kwa wengine huchukiza
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Nina neno ndugu zangu nawaeleza sikizeni
Nina neno ndugu zangu nawaeleza sikizeni
Kutangwa jina langu kwa uzushi mtaani
Hamnitii machunguu walakwangu si magenii
Hamnitii machunguu walakwangu si magenii
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Ukitaka jenga nyumba ukajengee mjini
Ukitaka jenga nyumba ukajengee mjini
Nadirisha na dirisha ulielekeze kusini
Hauna nywele kichwani sasa chanuo la nini
Hauna nywele kichwani sasa chanuo la nini
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
#MarjanSempa
#Munani_nami_viumbe
#SwabahaSalum
#2022
@Diamond Platnumz

Пікірлер: 243
@Rukiaomary-ed4bj
@Rukiaomary-ed4bj 2 ай бұрын
Tunaoskiliza huu wimbo 2024 tujuane hapa
@briindiana7306
@briindiana7306 2 жыл бұрын
All lovers wa hii wimbo please let's gather here this 2022❤❤🇰🇪🇰🇪
@bestlyrics7411
@bestlyrics7411 3 жыл бұрын
salamu nimezipata ulotuma kunambia x 2 nasikia wajinataa leo utanitambia lakini utanikuta sabaha nakungojea x2 muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4 Wewe kuku wewe kuku, chakula jaani x2 Mimi njiwa Mimi njiwa huletewa mikononi Kama hujui uliza Mimi nawe bora nan Kama hujui uliza Mimi nawe bora nani muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4 mahali ukichukiza huzuka kila mazuo x2 huzidi na miujiza kusudi uvunje cheo japo wajipendekeza katu huwi mtu kwao x muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4 ni bure hamunipati mbio mkaniendea x2 mtakufa na laiti huku mkiwashuudia zimewashinda bahati ndipo mkanichukia x2 muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4 dunia yetu ya leo si yawatu kusemana x2 kila alie nalake aombe rabi salama kama langu limetota na lako wewe litazama x2 muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4 mtu akitaka sema kwanza hutizama lakex2 akazunguka na nyuma kutazama yalokwakwe hainuki kusimama kutangaza yawenzake x2 muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4 mwafanya muyatakayo mimi siswemi ya mtu x2 yangu mwayafata mbio komeni roho za kutu kwanza safisheni nyoyo kisha museme ya watu x2 muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4 sijali mimi sijali maovu mkinitangaza x2 ni mambo tangu angali si mwanzo kujitokeza najua msema kweli kwa wengine huchukiza x2 muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4 nina neno ndugu zangu naweleza sikizeni x2 kutangazwa jina langu kwa uzushi mitaani hamnitii machungu wala kwangu si mageni x2 muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4 ukitaka jenga nyumba ukajengee mjini x2 na dirisha na dirisha ulielekeze kusini na huna nywele kichwani sasa shanuo la nn x2 muna ni mani viumbe mwapita mwanilaumu x4
@samyamahmud9880
@samyamahmud9880 3 ай бұрын
Yiho
@fatoumaahmed7670
@fatoumaahmed7670 3 жыл бұрын
Nampenda sana sabah salum Asante sana
@faridahabibu3845
@faridahabibu3845 2 жыл бұрын
Wewe kuku wewe kuku chakula chako Jaani Mimi njiwa Mimi njiwa huletewa mikononi kama hujui huliza Mimi nawewe bora Nani💃💃💃💃💃
@aminajaha3703
@aminajaha3703 3 жыл бұрын
Ahsante mama hauna kazi mbaya🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈
@abdulhamidkificho5768
@abdulhamidkificho5768 3 жыл бұрын
Dunia yetu ya leo si ya watu kusemana Kila alie na lake aombe Rabbi salama Kama langu limetota lako wewe litazama Kama langu limetota lako wewe litazama
@hafsatseif5145
@hafsatseif5145 2 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@abdulhamidkificho5768
@abdulhamidkificho5768 3 жыл бұрын
Salamu nimezipata ulotuma kunambia Nasikia wajinata Leo utanitambia Lakin utanikuta Sabaha nakungojea Lakin utanikuta sabaha nakungojea
@mohamedipandu1689
@mohamedipandu1689 3 жыл бұрын
Nzuri sana, ila kama itawezekana naomba taarab inayoitwa Shukrani za Punda iliyoimbwa na Bi Eshe Mohammed. Ahsante.
@bintykigan6236
@bintykigan6236 3 жыл бұрын
Yanikumbusha marehemu juma balo mungu amrehemu cz sauti baadhi ya mashairi niya bhalo
@mtu.wa3
@mtu.wa3 3 жыл бұрын
wewe kuku wewe kuku chakula Chako jaani..mimi njiwa mimi njiwa huletewa mikonini! Kama hujui uliza, mimi na wewe bora nani?
@zalhatabubakar6581
@zalhatabubakar6581 3 жыл бұрын
Oyooooooo ilkua naingojea sanaaaa
@muhammadomar1787
@muhammadomar1787 3 жыл бұрын
MTU akitaka sema kwanza hutizama lake,akazunguka na nyuma kutizama yalokwake,haenuki kusimama kutangaza ya mwenzake waiyoooooooo
@ednagodson7540
@ednagodson7540 3 жыл бұрын
Weuweeeeee kwetu rahaaaaaaa teynaaaaaaa
@zenakhamis5892
@zenakhamis5892 3 жыл бұрын
Dunia yetu yaleo siya watu kusemana.. kila aliena lake aombe rabi salama.. kama langu limetota na lako ww litazama ...dah tamu haki
@shanishamsi9576
@shanishamsi9576 2 жыл бұрын
Teynaaaaa👌
@user-ny1ut9kw7p
@user-ny1ut9kw7p Жыл бұрын
My favorite song🥰Sabah salum ww n moto nkupnda Bure mom❤❤
@mouhamadbakri9720
@mouhamadbakri9720 3 жыл бұрын
Hii pambe 😍❤️ asingekua sabah nisingesikiliza taraabu jamani
@zenaal-baalawy3262
@zenaal-baalawy3262 3 жыл бұрын
Mtu akitaka sema kwanza hutizama yake, akageuka na nyuma kutizama yalo yake, hainuki kusimama kutangaza ya wenzake👌
@badarahmed1861
@badarahmed1861 3 жыл бұрын
Allah ailaze roho yake pema Marhemu Profesa Juma Bhalo
@alithuva7480
@alithuva7480 3 жыл бұрын
Hii kali jamani tamu km nn si choki kuickia keep it up
@user-gt5mi3bv2v
@user-gt5mi3bv2v 9 ай бұрын
Unabaya nymbo zako pambe
@salehnassor8980
@salehnassor8980 3 жыл бұрын
Hii taarab pambeee hongera sana sabaha nakupenda mnoo
@aishajuma6216
@aishajuma6216 2 жыл бұрын
Sanaa yaaaan
@saidiaisha6140
@saidiaisha6140 3 жыл бұрын
Naomba unitumie nimeipenda
@bossbaby5722
@bossbaby5722 3 жыл бұрын
Wapiii swabah weuweeeeee💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🥳🥳🥳taarab pambeee👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽
@allyawadh4765
@allyawadh4765 3 жыл бұрын
Kakukosha
@kiparaused
@kiparaused 3 жыл бұрын
Woyooooooooó
@AmCool_
@AmCool_ 3 жыл бұрын
Leo ni tarehe 24/06/2021, Hivi sasa saa 18:23' Ni siku ya Alhamis LIKE 👍🏽
@MwajumaMrisho-em7yw
@MwajumaMrisho-em7yw 2 ай бұрын
Imenikosha sana
@maimunaathman4664
@maimunaathman4664 3 жыл бұрын
Wauh hili goma likua nalitafuta sana Wallah. Shukran Habibi
@mwanaishabakari3145
@mwanaishabakari3145 3 жыл бұрын
Namipia wallahy
@StellaAlly
@StellaAlly 4 ай бұрын
Hii ni noma
@abouayman8713
@abouayman8713 3 жыл бұрын
taarab sa iv imevamiwa na majike shupa...salut kwako swabah%
@hannanmohammed2284
@hannanmohammed2284 3 жыл бұрын
Piga kelele kwa Saba akeee....ngoma Kali sna
@wahidaabeidmohd5968
@wahidaabeidmohd5968 3 жыл бұрын
Weuweeeeeee pambeeeee hatari
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 3 жыл бұрын
Unatisha mama
@JinaMakame-vq8mq
@JinaMakame-vq8mq Ай бұрын
Wewewwee swabahaa unanipa amani ya moyoo
@rizkajuma8424
@rizkajuma8424 3 жыл бұрын
Wewe kuku chakula chako jaani mm njiwa naletewa nyumbani kama hujui uliza mm nawe Bora Nani khaaah
@kimlee2488
@kimlee2488 3 жыл бұрын
Bb Rayna nakuona
@abdulhamidkificho5768
@abdulhamidkificho5768 3 жыл бұрын
Wewe kuku wewe kuku, chakula jaani Mimi njiwa Mimi njiwa huletewa mikononi Kama hujui uliza Mimi nawe bora nan Kama hujui uliza Mimi nawe bora nani
@hafsatseif5145
@hafsatseif5145 2 жыл бұрын
💯
@SalehSaid-kw5vu
@SalehSaid-kw5vu 8 ай бұрын
Yuko juuu
@XPOSED255
@XPOSED255 6 ай бұрын
wazanzibari wenzangu mupooooooooo
@shamimali396
@shamimali396 3 жыл бұрын
Hongera dadaangu.....
@mamitaamashausi5164
@mamitaamashausi5164 3 жыл бұрын
Mnani Na mi viumbe Mwapita mwanilaumuuuuuuuu We kuku Chakula chako Jaani Mie Njiwa huletewa mikononi ☺
@mamyhuuhuu7413
@mamyhuuhuu7413 3 жыл бұрын
Mtu akitaka sema kwanza hutizama lake...pambee
@mohamedhussein1744
@mohamedhussein1744 Жыл бұрын
Asanta Swabaha
@LaylatMuhinda-yw1xk
@LaylatMuhinda-yw1xk 7 ай бұрын
Pambe tyuuu b sabaha anazeeka na utam wke
@kimlee2488
@kimlee2488 3 жыл бұрын
Woyoooooooooooooooooo
@abdulhamidkificho5768
@abdulhamidkificho5768 3 жыл бұрын
Wewe kuku wewe kuku,,chakula chako jaani Mimi njiwa mimi njiwa,huletewa mikononi Yaasalaam Aunt Sabah muchacho
@paulmwandoe3959
@paulmwandoe3959 3 жыл бұрын
safi
@sabahiali6021
@sabahiali6021 3 жыл бұрын
Nice
@zahrasalum8041
@zahrasalum8041 2 жыл бұрын
nyimbo pambe ❤❤❤
@mammylooreuben4800
@mammylooreuben4800 2 жыл бұрын
Nani mwingne anaskiliza hii🔥🔥July 2022
@ostadkhalifaqaswida441
@ostadkhalifaqaswida441 Жыл бұрын
I am
@AbdallahZein-xy4tx
@AbdallahZein-xy4tx Жыл бұрын
Tupo
@tigermose6491
@tigermose6491 Жыл бұрын
July 2023 nipo bado
@mariammgusi6953
@mariammgusi6953 11 ай бұрын
​@@AbdallahZein-xy4tx343498ju😅 😅
@SurprisedBurrito-pw4wt
@SurprisedBurrito-pw4wt 9 ай бұрын
Nizakwetu
@eqbalarrith4059
@eqbalarrith4059 3 жыл бұрын
@Marjan ...naomba kibao cha 'nyumba njema si mlango fungua uingie ndani'
@jidraphwaitiki1734
@jidraphwaitiki1734 3 жыл бұрын
1z
@msiyakwedele828
@msiyakwedele828 3 жыл бұрын
Hauna nywele kichwani sasa shanuo la nini? Halooooooooooooo swabaha umenena hapo
@huseinbashir5816
@huseinbashir5816 3 жыл бұрын
🤣🤣
@BosheniFaisary-hd7tr
@BosheniFaisary-hd7tr 8 ай бұрын
Noma sana pro max
@ktggtvgvtghadijaalifanichi1301
@ktggtvgvtghadijaalifanichi1301 2 жыл бұрын
Hapo chacha utajuwa hujuwi
@user-sv2or7xc3u
@user-sv2or7xc3u 5 ай бұрын
Pambe mama wetu jaman piga kelele Kwa mama weweweeeeeeeeeeeeeeh ❤
@Monaish___mooon
@Monaish___mooon 3 жыл бұрын
Wewe kuku chakuka jaan mm njiwa uletewa mkononi👌👌👌💕💕
@mfalmemwinyi9474
@mfalmemwinyi9474 3 жыл бұрын
Asanteeee
@sadatkawambo1148
@sadatkawambo1148 3 жыл бұрын
Pambeeeeee ukoseagi
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
Kula chumaaa hicho mama umetishaa sanaaa
@munaisa5850
@munaisa5850 2 жыл бұрын
Santaa swabaha
@Monaish___mooon
@Monaish___mooon 3 жыл бұрын
Salamu nimezipata jmn munani na miviumbe👌👌👌
@KENNEDYWAFULA-rd5rj
@KENNEDYWAFULA-rd5rj 2 ай бұрын
Masha Allah habibi
@likedatshorty
@likedatshorty 3 жыл бұрын
Hukosei bi Sabah ❤️
@user-lu5ny9pg5l
@user-lu5ny9pg5l Жыл бұрын
Jameni,hongela
@SharifuMalinyingi
@SharifuMalinyingi 4 ай бұрын
🎉Starehe iliyoridhiwa na jamii zenye uzuri wa tabia usafi ulianzia pwani🦜
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Maneno kunntu👌😘
@asaaomar2132
@asaaomar2132 3 жыл бұрын
Kabisa
@halimakawina4589
@halimakawina4589 3 жыл бұрын
Asante marjan napenda sana hii nyimbo
@SharifuMalinyingi
@SharifuMalinyingi 2 ай бұрын
Mambo ya nyumbani hya kama mtu hayupo hku hana tabia hana tabia hawez kurai hana ladha ya mpñz anateseka👰🧑‍🚀
@abdhully3974
@abdhully3974 3 жыл бұрын
Finally marjan 🤗🤗💯💯
@nashdawood410
@nashdawood410 Жыл бұрын
Mashaallah mpaka leo hii ikiekwa harusini hakuna anayekaa❤
@user-lu5ny9pg5l
@user-lu5ny9pg5l Жыл бұрын
Taarab safi
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 3 жыл бұрын
Nyce song mum
@MohamedIbrahim-if1mc
@MohamedIbrahim-if1mc Жыл бұрын
Viumbe wazito kweli
@aminamollel5725
@aminamollel5725 3 жыл бұрын
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu, Sempaaaaaaaaaa
@marjansempa
@marjansempa 3 жыл бұрын
🗣🗣🗣
@salmasalim4023
@salmasalim4023 3 жыл бұрын
Wareeeeeeeee.......
@sabahiali6021
@sabahiali6021 3 жыл бұрын
Nice somo
@aminasaid7657
@aminasaid7657 3 жыл бұрын
Pambeeeee viumbe munani
@kelevinally2962
@kelevinally2962 3 жыл бұрын
Tenaaaaaaaaaaa habary ndoiyo hapana chezea swabaha
@salunarashid6202
@salunarashid6202 3 жыл бұрын
Wawooh
@mohamedsalehibrahim6291
@mohamedsalehibrahim6291 3 жыл бұрын
Mwaka gani hiyo
@marjansempa
@marjansempa 3 жыл бұрын
2021
@aishajuma6216
@aishajuma6216 2 жыл бұрын
Daaah MashaAllah nimeshaitafuta sana
@user-vr2cq8ot5r
@user-vr2cq8ot5r 8 ай бұрын
Ninakumbukabali
@imanhatibu7771
@imanhatibu7771 Жыл бұрын
2023 na bado ni hit 🔥
@fatumabakari6595
@fatumabakari6595 6 күн бұрын
Imenigusa.....
@amriyalibent8441
@amriyalibent8441 3 жыл бұрын
Mwapita mwanilaumu
@suzanamwita-fr4wq
@suzanamwita-fr4wq Ай бұрын
Nikoapa nakusubli😂😂😂😂😂
@fatumachengo6390
@fatumachengo6390 3 жыл бұрын
Munani nami viumbeeee mwapita mwanilaumu 2021 still a hit taarabu
@saumujumbe7685
@saumujumbe7685 3 жыл бұрын
Hii noma
@hafidhjr5216
@hafidhjr5216 3 жыл бұрын
Nikwli haaaayaaa
@jskdochy4221
@jskdochy4221 3 жыл бұрын
Uko vizuri sabah
@shakilawanjiku9013
@shakilawanjiku9013 Жыл бұрын
✋mimi hapa
@superdeeboy6100
@superdeeboy6100 3 жыл бұрын
Hii pambe san nakubali
@quincemoreen1263
@quincemoreen1263 2 жыл бұрын
Sawa sawa congrats dadangu 😍😍🔥🔥
@SaumuMohammedMohammed
@SaumuMohammedMohammed 8 күн бұрын
Nami mmoja wao❤😂
@fadhilijuma1694
@fadhilijuma1694 2 жыл бұрын
Nyimbo tamu
@dhuhurasaid2596
@dhuhurasaid2596 3 жыл бұрын
Imepenya iyo pambe tuu
@saidahmed8292
@saidahmed8292 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@StellaAlly
@StellaAlly 4 ай бұрын
Mama unajua pongezi kwako 🤲
@mariamsaid1130
@mariamsaid1130 3 жыл бұрын
Only legends listening to this 2021
@salimjuma8394
@salimjuma8394 3 жыл бұрын
Ebanae
@maryamkassim5903
@maryamkassim5903 3 жыл бұрын
Pambeeeeee👌
@abdul-latifsoudmussa3862
@abdul-latifsoudmussa3862 3 жыл бұрын
Facts
@mwanalelee6
@mwanalelee6 3 жыл бұрын
Wewe kuku chakula chako jaani Mimi njiwa huletewa mkononi Kama hujui uliza mi na wee Bora Nani ??? Munani nami viumbe jamaniii???
@carollachipeta1745
@carollachipeta1745 3 жыл бұрын
@@salimjuma8394 55
@yusufkibwana5789
@yusufkibwana5789 Жыл бұрын
All time best taarab GOAT
@user-cn5oz1cl9c
@user-cn5oz1cl9c Жыл бұрын
pambeeeeee❤❤❤❤❤ wabaya mutaiju
@saidsirya6716
@saidsirya6716 3 жыл бұрын
Aaah jamaniii 2021 tupo bado huku
@munirazizah2367
@munirazizah2367 3 жыл бұрын
My favorite of alltime
@hafsatseif5145
@hafsatseif5145 2 жыл бұрын
A Santee mamaaa
@RehemaMpeli-dt9vm
@RehemaMpeli-dt9vm Жыл бұрын
Unabaya maaa yet2💞💞pambeee2👌
@victoriatemu-ko8np
@victoriatemu-ko8np Жыл бұрын
Naenjoy jamn taarabu nzuri sabaha we ni hatari❤
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 3 жыл бұрын
Mambo yng ayoooo😘😘
@ghaniyashaban8737
@ghaniyashaban8737 3 жыл бұрын
Mambo ya kipwani jb hoyeeee
@user-vr2cq8ot5r
@user-vr2cq8ot5r 8 ай бұрын
Mimi mwanahamisi amani dsm
@NusuraOyila
@NusuraOyila 4 ай бұрын
Nice and lovly
@Lucia-vz3rm
@Lucia-vz3rm 3 жыл бұрын
Na bado 😅
@kiduozuberi3867
@kiduozuberi3867 3 жыл бұрын
Swabahaa weeee
@FatumaHamisi-sr6yj
@FatumaHamisi-sr6yj 8 ай бұрын
Naipenda sana hii nyimbo ❤
@ngengerajabu7209
@ngengerajabu7209 6 ай бұрын
kwanni unaipenda ? hahahah
SWABAHA SALUM = SIADHIRIKI REMIX. AUDIO | MARJAN SEMPA
14:45
Marjan Sempa
Рет қаралды 421 М.
ASO MTU ANA MUNGU - SABAH
12:47
Bin Seif
Рет қаралды 1,1 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 33 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)
9:23
Isha Mashauzi
Рет қаралды 504 М.
Taarab: Ngwinji
13:38
Swahili Taarab
Рет қаралды 910 М.
Wembe wa Kutu - Mwanate Kibwana. official Audio | MARJAN SEMPA
8:06
Niacheni Nijivune
14:34
Sabah Salum - Topic
Рет қаралды 292 М.
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
Isha Mashauzi
Рет қаралды 163 М.
Taarab: Wa Mungu uwazi (Full HD)
15:27
Swahili Taarab
Рет қаралды 2,1 МЛН
Aso Mtu Ana Mungu
12:47
Sabah Salum - Topic
Рет қаралды 75 М.
Khadija Kopa Top In Town Official Video
20:39
Africha Entertainment
Рет қаралды 2,5 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 33 МЛН