Mwezi wa 6 ukawe mwezi wa baraka na kupokea ehee Mungu nionekanike naomba nipate vibali na kazi🙏 na nitangulie katika safari ya mwezi wa nane amen 🙏
@floshkitchen30617 ай бұрын
Mwezi wa sita nategemea kibali kilicho toweka kwa maisha yangu kirudi,nategemea milango iliyo fungwa kwenye maisha yangu ifunguke,nategemea kutembea na Mungu na kuongozwa na roho mtakatifu mwezi wote huu wa sita🙏🙏🙏
@kareganjagi86407 ай бұрын
Amen amen
@graceurasa20827 ай бұрын
Amen
@AliceNduku-cx9hm6 ай бұрын
Naomba roho wa mungu atawele maisha yangu na watoto wangu na masomo yao yajengwe juu yako mungu shetani asipate nafasi katika maisha yao
@jacklineumbisa49347 ай бұрын
Mwezi wa sita natarajia Uzima,nategemea kuona msaada wa Mungu uningoze nimalize madeni,,Mungu nisaidie kwa neno lako,Mungu nipe uzima katika jina la yesu
@GloriaMillinga6 ай бұрын
Hakika mahubiri yako hayochoshi, yamenibadilisha kwa kiasi flani,, MUNGU anisaidie nibadilike zaidi Amina 🙏
@shshygibb2236Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Oooh wooooow glory...pastor prophet be blessed ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤oye St Pölten ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@teresiadeule39607 ай бұрын
Asante pastor kwa neno zuri,ila pastor ulisema utatufundisha majina ya Mungu na kazi yake nasubiri sana somo hilo kwa hamu
@leonidafatson8827 ай бұрын
HATUA 7 ZA JINSI YA KULIHUSISHA NENO LA MUNGU KATIKA NINACHOPITIA. Neno la Mungu ni siraha pekee iliyoaminika na Mungu ya kwamba haiwezi ikafeli, Linaweza kupenya popote. Waebrania 4:12 Neno la Mungu sio andiko neno la Mungu ni mtu (hai) ambae ni kristo.
@MathewSilu-df2ii7 ай бұрын
Pastor you have been a great blessings to me if it we're not for you i could not be where i am now , Following you keenly in washington state USA
@bethsebamilinde71137 ай бұрын
Nategemea kuhama Kwa uweza wako mungu 2:33
@zipporahmuraga47377 ай бұрын
Pastor nimembarikiwa sana
@gilbertwanje7 ай бұрын
Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NijimbereFrancoise7 ай бұрын
Mwezi WA sita nategemea uwezo WA mungu Uwe juu yangu, unibaliki na watoto baba 👏
@Daniella2497 ай бұрын
Mwezi wa 6 ukawe mwezi wa kupokea baraka zangu na kibali cha Mungu 🙏🙏
@modestermwali7 ай бұрын
Nipe neema bwana yakulitendea neno lako kazi 🙏
@Lusimo1117 ай бұрын
Mungu akuinue Sana baba nimemjua mungu zaidi kupitia wewe Mimi ninatoka kwa Familia ya kiislam lakini kupia wewe nimejikuta nanena kwa lugha pasipo kujua imekuaje Tena nikiwa pekeyangu njiani
@ElizabethLaizer-h5i7 ай бұрын
Amen, Amen 🙏 Nimepokea portion yangu Kwa jina la Yesu Kristo Alie hai 🙏
@ConjestaKimario7 ай бұрын
Mwenzi wa 6 niuonee wema wako Mungu katika maisha yangu
@DoraMtui7 ай бұрын
Yesu nategemea kibali kikubwa mwezi wa sita na amani kubwa kwenye familia yangu
@naseeralbishi47267 ай бұрын
Anategemea nione msaada as Mungu nakuona mingi zangu alinifunga...nategemea kuona neema na kubali juu yangu na nipate ndoa nzuri in jesus name ....nategemea nione break through kwa maisha yangu 👋🙏🙏
@leonidafatson8827 ай бұрын
3. Neno la Mungu ndilo linaloumba na kutunza uhai wa Mungu ndani yangu. Kuna aina tatu za uhai; -Uhai wa mwanadamu without divine in me. -Uhai wa shetani . Anakuwa hana moyo wa huruma wala moyo wa kufanya vitu vitakatifu. 1petro 1:23-25 -Uhai wa Mungu. Ndio kinga niliyonayo mimi .
@FloraFredy-c3l7 ай бұрын
MUNGU naomba mwezi huu wa sita ukawe ni mwezi wa baraka kwangu
@janeombati22907 ай бұрын
AMINA 😇😇
@ROPHENCEBENDERA7 ай бұрын
Ameni naomba Mungu anifungilie milango
@BlaiseKananemunguiko7 ай бұрын
Asante kwa neno la Mungu. Mungu akufunuliye mengi kwa faida ya nafsi za taifalake
@salma50167 ай бұрын
Mwezi huu wa Sita naomba mungu aniwezeshe Malengo yangu yakuekeza pesa yakununua kiwanja ili nijenge eeh mungu niongoze ili nipate Kibali machoni mwako
@naseeralbishi47267 ай бұрын
mwezi as sita Natarajia mabadiliko kwa kiroho changu kiinuke zaidi na mabadiliko kwa maisha na kwa hafya yangu Mungu anjalie neema zaidi
@leonidafatson8827 ай бұрын
Nina uimara kwasababu Nina msingi wa Neno. Nina maandiko ambayo nimefunuliwa na nayasimamia kwenye maisha yangu . Lazima nijenge maisha yanayolipenda neno na yanaliitikia neno la Mungu. Luka 6: 47-48 Kila siku ninayosoma neno la Mungu ninachimba msingi wangu.
@LilianFares-gg7tz7 ай бұрын
MUNGU akupe maisha marefu pastor maana kila ujumbe unao ongozwa kuhubir unagusa maisha yangu hakika roho wa bwana ameniongoza mahali sahihi pa kukombolewa mwezi wa4 Sasa nafatilia ibada zako nimefunguliwa kwa hatua kubwa Sana siishi kwa kubahatisha tena Wala sipigani na nisicho kijua
@linernyambarya63897 ай бұрын
Ameeeeeeeen nabarikiwa mno
@Judith-mw4ys7 ай бұрын
Amen amen and amen God bless you so much the man of God 🙌🙏
@carolinederi56907 ай бұрын
Nategemea nione ukombozi wa afya kwa ajili yangu na familia yangu
@naomikangangi44807 ай бұрын
Following from Kitui Kenya,am blessed with you message pastor.God bless and your family.natarajia milago yangu ifunguke.
@edithmchenditsi33187 ай бұрын
Natekemea nione kibali kwa jina la yesu kristo
@byaduniafuraha7 ай бұрын
Nashukuru Mungu kwa ujumbe huu,Mungu akubariki
@abigailosoro56407 ай бұрын
Following from Eldoret Kenya 🇰🇪 You have been a blessing to me and my Family
@CatherineMakokha-dg6ws7 ай бұрын
Amen and amen 🙏🙏
@Walumbe7 ай бұрын
Naomba uponyaji wa mtoto wangu Samuel tukiwa hospitalini
@naomikyengo22777 ай бұрын
Napenda mafunzo yako nipp msa
@MauwaZawenda7 ай бұрын
Ubalikiwe mutumish wa Mungu
@BONIFACEMUSAU-do9oh7 ай бұрын
Amen
@jacklineumbisa49347 ай бұрын
Following from kenya Nairobi
@leonidafatson8827 ай бұрын
HATUA 7 ZA JINSI YA KULIHUSISHA NENO LA MUNGU KATIKA NINACHOPITIA. 1. Lazima nitambue ninataka nini kutoka kwa Mungu . 2. Nikashajua ninachokitaka , Niende kwenye neno la Mungu nipate neno la Mungu linaloendana na ninachokitaka. Isaya 34:16 3. Nihakikishe nimejaza fikira zangu kwa kulitafakari hilo neno mpaka litengeneze picha katika ufahamu wangu. Yoshua 1:8 4. Kulichukua hilo neno na niliweke kwenye maombi. Isaya 43:26 5. Niamini ya kwamba nimepata bila ya kuwa na hofu. Nijitengenezee mazingira ya kumuamini Mungu wangu. 6. Natakiwa kushikilia ujasiri wangu. 7. Nichukue hatua ya imani inayodhihirisha imani niliyonayo. Yakobo 2:17 8. Nimkemee na kumpinga shetani.
@JulianaJimmy7 ай бұрын
NAITWA JULIANA MWAIHOJO WATUNDUMA MWAKA NAPOKEA MIMI NAUZAO WANGU NAAMINI MUNGU ATAFANYA.
@janesamwel73767 ай бұрын
NAMSHUKURU MUNGU NIMEWEZA KULIJUA NENO KUPITIA KWAKO,KILASIKU LAZIMA NOPAYE FOSE YA SOMO LAKO.MUNGU AZIDI KIKUFUNULIA NA KUKUPA MADINI MAPYA
@RosemaryOwori7 ай бұрын
Amen 🙏
@evalynependo38247 ай бұрын
Ameeeeeeeennnnnn
@annadaffi20237 ай бұрын
Nategemea kufanikiwa mwezi wa sita Uwe mwezi wa kubaki Kibali kwa watoto Kibali ktk familia,ndoa,biashara
@rehemaramadhan50437 ай бұрын
Nitegemea Kuingia mwezi 6 kwakufunguliwa vyote vinavyofanya nisibarikiwe ktk kila hatua zangu nifunguliwe eee Mungu nitoe kwenye madeni mm niishi kwa amani ,amani yangu imepotea nataka kukutumikia Mungu mwezi wa6.
@Liliy-q7n6 ай бұрын
Praise God naomba kuongea na mtumishi George mwenye ako na namba yake anisaidie tafadhali
@NellyKadenyi-qc3em7 ай бұрын
Mwezi wa sita natengemea hekima ulinzi pia Baraka
@METRINEASHIALI7 ай бұрын
BABA NAOMBA UREJESHO WA NYOTA YANGU ILIO IBIWA NA MUOVU SHETANI
@tumainichanya32687 ай бұрын
Yani ukweli baba wewe umenifundisha kusoma neno na nimeona utamu wa kusoma kimenipa kujinasua hata nikivamiwa
@janeombati22907 ай бұрын
Wabie wanje Jordan watanjuwa juwa 😂😂 AMINA 🙏🙏
@bethsebamilinde71137 ай бұрын
Mwezi wa sita nategemea Kuona uzima,afya mafanikio ya Yale yaliyochelewa niyapokee
@The1979bornagain7 ай бұрын
Fundi mitambo, KZbin audio ya video hii iko chini sana. Tafadhali unaweza kuongeza kidogo?
@Jane-h5n7u7 ай бұрын
Mimi naota ndoto moja inajirudia kila siku nna ota nasafiri nini maana yake ? Au niombe maombi gani wapendwa
@JulianaJimmy7 ай бұрын
NAJIUNGAMANISHA NA HUDUMA HII NIMETUMA SADAKA YANGU YA KUINULIWA NAKULINDWA NATEGEMEA NIONE UZAO WANGU WAONE MEMA NAKUFANIKIWA NAAFYA TELE