Ajira zimekuwa ngumu jamani,wengine tumejitolea toka 2022,bungeni wanasema tutapewa kipaumbele lakini hakuna kitu,inauma sana
@RUTACHTV5 ай бұрын
Asante kwa elimu
@issaponera38508 ай бұрын
Hakika mtumishi wetu unafanyakazi kweli kweli Ila tunawaomba Sana huo mfumo bas uwe na option ya delete academic qualifications maana ni tatzo kubwa Sana , Ila tunawapongeza sana maana mmevuka hatua kubwa ya usail