Hapo mmechemsha. Unampeleka mwalimu akafundishe biashara huyo mwalimu mwenyewe pindi hamjampatia kazi alishindwa kuuza hata karanga amepigika ananuka kikwapa halafu akafundishe biashara. Biashara ni practical siyo nadhalia.
@EsterMgaya-gr1ih5 ай бұрын
Mm nashauri advance iondolewe , badala yake iweke level ya chuo kwa ngazi ya chet , dipl ,kisha degreee
@claurianngowi79336 ай бұрын
Mimi nakuelewa vizuri sana professor, natamani wadau wa hii sector wakuelewe kama mm ila baada ya muda wataelewa.
@matalo05516 ай бұрын
Huyu professor namhusudu, big brain, my roll model
@faustadonasian27775 ай бұрын
True
@igihamanuel15 ай бұрын
Nakubaliana nawe bro! Cha msingi kuwepo na ushirikiano: wazazi, waalumu na wanafunzi husika
@MATHAYOPETROGARYA6 ай бұрын
Safi sanaaaaa hivyo ndo vitu vya kusomaaaa prof...
@EGM-TZ6 ай бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Bora tu maana tulisomaga mengi sana bado maisha yatusapa Kitaa hivyo kwa Niaba ya Wasaka Tonge Bora hiyo Mtaala ya Biashara, Ujasilimali n.k ila Kwa Wale wa Muziki Mtupeni EGM🎉🎉🎉 Congratulations 🎉🎉🎉🎉
@qamdiayboay-gv3by6 ай бұрын
Nchi iprint vitabu humu humu,kuna wataalam wengi sana wakuandaa vitabu,wataalam ni wengi sana jana,anayehitaji ananitafute ni mwelekeze, Vitabu bora sana
@geraldluiso67926 ай бұрын
❤ kila kitu huendana na wakati tuliopo. Taaluma hubadiki pamoja na masomo yake.
@jacksonchilongani44786 ай бұрын
Hello habari nashukuru sana professor nimekuelewa me ni moja ya walimu nilikuwa natoa ushauri naomba muangalie somo la history na civics kwa umakini sana huko ndio kuna ugonjwa mkubwa sana wa maadili yetu ya kiafrika ninaomba tuubadilishe maana hizi tamaduni za magharibi zinatuchanganya
@yordanyona12346 ай бұрын
MASOMO ya uongozi muhimu sana
@charlesmakuri7926 ай бұрын
Bana futeni form six mujulishe form four
@husseinmtima61065 ай бұрын
Tuweekeni na somo la katiba jaman 😂😂😂
@TOUNDISELASSIE-xj8oy6 ай бұрын
Elimu yetu inayumbishwayumbishwa sana. Badala ya kuboresha sehemu zenye mapungufu, inabomolewa kabisa. Siku ikionekana tumekosea mahali, kizazi chote kilichopita kwenye elimu hiyo kinakuwa kimepoteza. Pamoja na kwamba leo ndio kwanza nausika mpango huu, naishauri usitishwe, sina imani na waliotafiti elimu yetu kwamba ni mbovu kiasi cha kubomoa boa hivyo. Nyerere na wenzake walikua makini sana kwenye uundaji wa elimu yetu. Mwanafunzi ukifanikiwa kumaliza darasa la saba, unakua una uwezo mkubwa wa ufahamu. Na unakua mzalendo haswa. Tofauti na sasa wasomi wengi hawaleti tija kwenye nafasi zao wanazosimamia. Ripoti za c.a.g mara zote zinaonyesha namna baadhi ya wasomi wasivyo wazalendo. Tujitafakari.
@ayoubbuchilly74566 ай бұрын
We nae kumbe hujamsikia vzr, hajasema kua waanabadilisha masomo , waanachofanya nikuboresha vitu vya msingi viendane kulingana na hali ya maisha ya saiv yanataka nini
@fabianalfredy55576 ай бұрын
Uzalendo, ni Swala la kiroho yaani ufundishwi, unaona baba , mama, kiongozi wako mzalendo ndiyo na wewe unakuwa mzalendo. Haiwezekekani uwahubirie WATU kitu usichofanya, mf. Haiwezekani mkataba wa uchimbaji madini tanzania inakubali kuchukua 16% na mwekezaji anachukua 84%. Na Hela zinaliwa hakuna hatua zozote. Hapo mwananchi utamwambia vp mambo ya kizalendo
@anuarymyekakimolo47855 ай бұрын
@@fabianalfredy5557 wew nan kafundisha hicho? Kiroho ndo nini? Ulisha wahi ona kitabu Cha kiroho wapi??? Biblia na Quran ni material,,, physical sawasawa na vitab vya shuleni tu lakin kutoka hiyo material unailisha roho. Aliye kuambia mambo ya rohoni hayafundishwi ninani huyo punguani? Unasoma darasan una transform yaliyo andikw kuwa abstract concept kutoka concrete concept... Tangu lini maarfa ndani ya mtu ni material thing. Akili na elimu ndani yake na maarifa ni roho by nature elimu siyo kitu Cha kushikika anaye wafundisha elimu ni nan mjinga huyu anatuharibia watu. Kiroho ndo nini? Eti uzalendo ni roho, na Akili ni nini na elimu ni nini? Elimu ndani ya mtu ni roho pia is not a thing, not a physical thing,, huwez fanya surgery eti uangalie elimu ndani ya mtu. Uzalendo UNAFUNDISHWA NDUGU YANGU sema hujui unafundishwaje. Uelewa mdogo huu. Ubongo siyo akili ZINGATIA hilo.
@anuarymyekakimolo47855 ай бұрын
@@ayoubbuchilly7456tatizo mna abudu elimu wala hamjui ni nini. Hapo hamna kitu people are not sensitive na Akili za watu. Hupasw kujaribu uone km itafanya kazi unapoteza kundi kubwa sana na linadumbukia kwenye umasikin kwasababu you are dealing with a wrong thing. Elimu ya Tanzania haijatibu tatizo la kiakil la watu wake na hii kuitana professor hii kitu hii . Mhhh nisiseme Mengi
@ShaphyJamaly6 ай бұрын
Elimu .... Elimu... Elimu ... R. I. P LOWASA
@SamhhIlo-ib4ij6 ай бұрын
Mnaakili sana nimewapata😊
@madeuslegembo80026 ай бұрын
Changamoto ni hawa mnaowafanyia majaribio ni watoto wa kitanzania ikitokea mabadiliko huko mbele wanakua hawana soko. Mfano mimi nilisoma Bs in Tourism and hospitality management, ila miaka kadhaa mbele imebadilishwa baadhi ya mambo tuliokwisha maliza tunaonekana weightless katika market,
@bakarimasanga36346 ай бұрын
Plan to do a post graduate certificate kwenye hiyo course utatisha sana kaka.dont stay dumb
@Josephineexsuper6 ай бұрын
Ulisomea wapi kaka?
@igihamanuel15 ай бұрын
@@bakarimasanga3634 Yaap! tatizo ni kuwa tunashindwa kujiongeza, elimu unayopewa hiyo ni basic tafuta foundations kujikita katika eneo lako na boresha na uzoefu hata kwa kujitolea kwa muda mfupi baada ya hapo unakuwa nguli na unakuwa na uwezo wa kutamba popote
@munuoisaack4186 ай бұрын
Bado tutaambiwa mwanadamu wa kwanza alikuwa nyani?
@IsayaShauri-kn6ef6 ай бұрын
Respect prof.
@lawrencesanga94205 ай бұрын
Jamani.... Vitubu kwenda ku print nje ya nchi, mbona fedhea hivo, mnaweza kununua magari hata 100 ya Moja kwa 600M halaf mnashindwa kununua mashine ya ku print vitabu🙊🙊 yaan hapa nchi inajali starehe na sio maendeleo
@mawanzachihoma69595 ай бұрын
Hawa wanatafuta kamisheni kwenye printing ya vitabu na ndio maana wanapeleka nje ya nchi. Tuache ubabaishaji na kuwa changanya watoto. Sisi tumesoma na hatuja choka.
@ERICKRUGAMBILWA6 ай бұрын
Hizi comb Mpya zenye Fa na Li tunaomb kupata ufafanuzi
@salomeisaya13345 ай бұрын
😂😂 Asante msemaji, umetuwakilisha
@ROZITHOMAS-y4q5 ай бұрын
Mie sasa hivi naona form five waende wale genius ambao watakuja kuwa professor, n.k Vyuo viwe vingi vya art. Veta iboreshwe
@japhethotieno22856 ай бұрын
Wekeni na katiba ifundishwe kama somo
@abdulmajaliwa63766 ай бұрын
Wazo zuri sana hili
@mirajimsafiri9325 ай бұрын
Shida ni kwamba serikali haipendi kila mtanzania aielewe ipasavyo katiba ya nchi yake......italeta vurugu pia
@josephjohn21145 ай бұрын
Kabisa
@josephjohn21145 ай бұрын
sekondari na vyuo tuanza kufundisha somo la falsafa Uraia na Saikolojia na Sheria.
@japhethotieno22855 ай бұрын
@@mirajimsafiri932 italeta vurugu tu wasiposimamia na kuitekeleza ipasavyo
@maalimwenga4526 ай бұрын
Kwenye hiyo mitaala muweke SoMo la katiba na Sheria watanzania hawajui chochote juu ya hivi?
@Lifebeaconuplift6 ай бұрын
Mm cjaelewa
@paulkambonya80015 ай бұрын
Masomo kuanzia awali yafundishwe kwa lugha ya kibiashara(kiingereza)
@NicholausLaurent-t6x6 ай бұрын
Mkenda unataka kutuharibia mfumo wa elimu, watch out brother, mabadiko ya elimu ni gradual change sio immediately change, Utachemka, pole Sana Kwa kujaribu ila andaa mpango wa miaka 30 ijayo!!!!
@BONGOINMOTION6 ай бұрын
Mfumo w elimu bongo ni mrefu mno kumbuka zamani waisoma madarasa ma 4 tu... Na walikuwa poa.....
@YohanaMboma-vz3sl6 ай бұрын
Vitabu hivi vya awali ni vigumu Kwa wanafunzi mkenda
@thomassalvatory83036 ай бұрын
tungejkita kwenye elimu ya ustadi wa jamii(nyenzo ya maendeleo ya jamii) kuanzia shule ya msingi mpaka chuo, kivip mfano kuwe na mitahala ya kilimo(kilimo,ufugaji,etc) kuanzia shule ya msingi, mitahala ya masomo ya sayansi(fundi ujenzi,mechanics,computer,etc) mtahala ya sanaaa(cherehani,michezo,uchoraji,ususi,etc) mitahala ya biashara, mitahala ya sheria and etc. hii inamsaidia mtoto akitoka chini anakuwa na uelewa anachofundishwa mpaka juu sasa unayoongea hapa saisa na uhakika haina son kwa jamiii
@jamessanga71206 ай бұрын
Hao wadau ni wapiii? Wakati walimu wenyewe hawajui
@RamadhanKichele6 ай бұрын
Hapo Sasa elimu yetu saaaafi
@lucianakweyunga81876 ай бұрын
Profesa usiwe na haraka mabadiriko ya elimu yanahitaji mda wa kutisha, ndio maana ya transition period . ukimsikiliza vzur Prof anakili amewahisha sana.
@SamuelErnest6 ай бұрын
Hongereni
@emmanuelgwanchele97956 ай бұрын
Ambaye hajaelewa tujuane
@edsonnelson44646 ай бұрын
Mimi sijaelewa
@alonchobasamiye68446 ай бұрын
mm hata sijaelewa kiti hapo
@AlhajiIssa-jb9hr6 ай бұрын
@@edsonnelson4464Wapi unatatizika kaka?
@RichardDamas-fs3bp6 ай бұрын
Ww Profesa Mwanao anasoma kwa kutumia Mtaala gani?? Cambridge au wa Tanzania?? Mnalazimisha mambo ambayo hata nyinyi wenyewe hamuyaamini
@hakambashe84216 ай бұрын
Kumbe vitabu Havi printiwi hapa nchini?!?
@thedriver.michael.39755 ай бұрын
Bomoa tutajenga kesho, elimu ni biashara tutasomeje. Mbona hatuwaoni watoto zenu madarasani wanasomea wapi
@Mahangaofficially5 ай бұрын
Hongera professor wetu nakuamini
@paulkambonya80015 ай бұрын
Katiba nayo iwe kama somo naunga mkono
@juliuskitomari30575 ай бұрын
Nchi kama Nchi tangu uhuru hadi leo hata vitabu hatuwezi kuprint? Ni hatari sana aisee,Nchi kabisa,dah
@akbarkisamo83926 ай бұрын
Maelezo mazur sana
@Alphonso_076 ай бұрын
Kwa maana hiyo hapo kwa form five tunaendelea na mtaala wa zamani as usual?
@haidhabushiri95586 ай бұрын
Miundombinu na walimu wa shule ya msingi ndo shida ili mtaala uende vizur
@JohnMabustar6 ай бұрын
Professor toa iyo neno KUJARIBU weka neno KUFANYA tufanye kweli pendekezo langu o level wajifunze introduction of technical drawing
@paulkambonya80015 ай бұрын
Veta ziongezwe na ziboreshwe iwe ni kwa practical zaidi
@LucianSanga-q8j6 ай бұрын
Tusomeshe Watu wetu kwa mahitaji yaliyopo na Mazingira ya Duniani Tusisomeshe Ili wawe Watumwa Bali washindane na Mazingira waya shinde
@OmarAmran-t7k6 ай бұрын
Kiko wapi kitabu cha fizikia cha nchi ?
@davidpetro16375 ай бұрын
yaani mtapanga yote lakini msipoondoa magape ya haves and have not yote ni ubatili wenye pesa watapata elimu bora maskini watapata elimu duni tu
@meshackjacobmwakalasya5436 ай бұрын
Kukurupuka ni jambo baya sana ,,hatuwez kufanya mabadiliko kwa kuingiza jambo jipya kwa nchi nzima ,, tungeanza na makundi machache
@Emma300b6 ай бұрын
Yaaani hapo naona ni kero sana. No hatari tunakoenda . Tuombe Mungu tu . Sioni mabadiliko yanayokuja haraka hivyo .
@brysonkaale30036 ай бұрын
Somo la dini kuingizwa mashuleni na kufundishwa na waalimu wasiona taaluma ya dini husika,hapa Professor Mkenda mmechemka!,serikali ifundishe dini?, na vyuo vya dini husika vitafundisha nini?!
@foibennjeje77306 ай бұрын
Amai na mtaala ni masomo gani haya!!
@abuukarata96536 ай бұрын
Hii inchi ni ngumu sana.
@merumount59886 ай бұрын
Ujinga ndio unauita ugumu..?these r foolish statements!
@ebenezermbena28946 ай бұрын
Well
@RabihuHussein6 ай бұрын
Hakuna kitu hapo. bado elimu ni ya mkoloni na wala hamsaidii mwanafunzi kuja kujitegemea.
@sammyaron38186 ай бұрын
Ina sikitisha kuona hata vitabu vina kuwa printed nje ya nchi 😂
@moshifrank96226 ай бұрын
Yaani sisi uwezo bado
@fabianalfredy55576 ай бұрын
Dili lao. Hilo
@edenusmrosso92256 ай бұрын
Shule za ufundi wanasoma theory hakuna practical
@sule179426 ай бұрын
Cha msingi tunakosa kusoma kwa vitendo vya kutosha na wataalam katika ujasiriamal na hiz biashara, andaeni curriculum za vitendo mashuleni na waalim wenye utaalam na msimamie. Acheni kuhangaisha watoto kwa masomo meng na mitaala isio make sense wala haiboreshi skill za wanafunzi.
Hivi mh kwanini msifanye kitu rahisi cha kufanya vijana wenu kujikwamua na hali ngumu ya maisha kuliko kuiga kila kitu toka huko ulaya ikiwa mnapoteza muda na kutufanya vijana vilema wa kudumu hivi miaka yote hiyo hamjawahi kulifikilia hili ikiwa mnaona maisha ya vijana wengi yanavyokuwa magumu mkitaka ushauri nipo kwaajili ya kiwashauri serikali yangu
@leahmgunda41546 ай бұрын
Sera huwa zintungwa na akina nani? Zenyewe hazinaga kukusanya maoni kwa wenye nchi? Akija waziri mwingine ruksa kuchezea katiba aliyoikuta? Naomba nijibiwe kwa faida ya wengi.
@Joakimworkproduction6 ай бұрын
Kikubwa dada ni kuongozwa na roho mbona hata sehemu zingine mnaalikwa na wachungaji ambao si wa kiMungu na tuna jua mtu asilokuwa wa Mungu huyo you kinyume nasi. Waimbaji wengi sikuhizi wanahudumu kwenye madhabahu za kishetani bila hata kujua. Sio yote yanayooonekana Ni makanisa Basi Ni makanisa kweli Kwa hiyo narudi pale pale Kikubwa ni kuongozwa na roho mtakatifu basi
@edsonnelson44646 ай бұрын
Elimu ya Tanzania bhana, eti mainginia makandarasi wanachanga hela na kumnunulia Rais HelikopitA wakati vijana wanamaliza form four wanaendesha bodaboda kutoka China, badala hata wajenge hata veta ziwe nyingi vijana waingie huko wabuni vitu mbalimbali ,tutaendelea kuagiza vitu china mpaka link?
@SaluMaige-sc8bm6 ай бұрын
Mfumo wetu wa elimu na mitaala bado niwakikoloni
@NassorHamad-m5g6 ай бұрын
Kiongoz ikiwa wanafunz watosoma lugha zaid ya nne jee dhaman ya kiswahil chetu ipo wap c kitaenda kufa kwann tucwek hayo masom kwa lugha yetu hat kma itakua kifaransa bac iwe ni kam som tu na zisipew kipaombel tukasahau kiswahil chet
@elispiuselias13395 ай бұрын
Tujikite kwenye elimu ya ufundi stadi kila mtu atakuwa bize na kazi kuliko kutembea na nyaraka za vyeti kutafuta kazi. Pia tutapata watu wenye uwezo sahihi kivitendo kuliko maneno
@OmarAmran-t7k6 ай бұрын
Serikali haina kitabu cha fizikia 😢😢😢
@mohamedbushoberwa94186 ай бұрын
Nataman kiingereza kitumike tangia primary mpaka chuo
@barakamelkizedeki50696 ай бұрын
Kisa
@lucasmartin4316 ай бұрын
Naunga mkono Hoja
@alanusrespicius17966 ай бұрын
Tunapaswa kusoma kiswahili chetu. Tatizo tunaamini kingereza ndo elimu. Kiswahili ndo lugha yetu. English iwe somo tu na isiwe language of instructions.
@GibsonNtamamilo6 ай бұрын
Huu Mtaala mpya ndivyo unaelekeza.
@edithlameck81706 ай бұрын
Kwenye mitaala hiyo mipya kumewekwa somo la mazingira? Mazingira ya usafi, athari za kutupa taka hovyo, litter management n.k.. n.k. na elimu hii ianzie kwenye shule za awali. Kwenye swala zima la usafi ni rahisi kufundisha tangu mtu akiwa mtoto na kumjengea mazingira ya usafi.
@ROZITHOMAS-y4q5 ай бұрын
Tengenezeni shule za vipaji tangu shule za awali. Tupate wataalamu wakiwa wadogo. China vijana miaka 16 ameshaanza kutafuta hela
@jamaliahmadi13836 ай бұрын
Hamna vitabuta vya pure mathematics mnatumia vitabu vya nje kama chandi (India),Engenearing mathematics (England) Isaac Newton ,
@tgeofrey6 ай бұрын
Tulikiwa ma Kinunda sijui wamekizika wapi
@kessikahawamango41146 ай бұрын
Kwenye sekta ya elimu kila mmoja anajifanya ni fundi anajuwa kwa mfano tukupe nafasi wewe uanayecoment negative kwenye maelezo ya Waziri hunauwe hata wa kuongoza shule ya chekechea. Hebu nyamazeni kama hamuna la kuchangia.
@GibsonNtamamilo6 ай бұрын
Well said
@BabaGian-176 ай бұрын
Darasa la pili vipi
@mbwanakiting71806 ай бұрын
Wanajaribu kwanza
@samsonhamery38096 ай бұрын
Professa tunakuelewa ila hofu yetu usije ukaturudisha kwa Waziri mwenzako Joseph Mungai alifikiri anajenga elimu badala yake akaua kabisa mfumo wetu wa Elimu: Mimi nafikiri ungeondoa mfumo wa elimu ya nadharia ambayo lengo lake ni kuajiriwa badala yake tungejenga mfumo wa elimu ya kujiajiri,tangu elimu ya awali:
@GibsonNtamamilo6 ай бұрын
Mbona ndicho anatengeneza? Kapitie huo mtaala ulioboreshwa 2023. Shida hamsomi mko bize mitandaoni😂😂😂
@christophermwatendela95006 ай бұрын
Katika kitu kinachonishangaza ni kuingiza SoMo la dini wakati serikali yetu Haina dini !!!
@DanielLikangaga6 ай бұрын
Mmefeli vibaya waheshimiwa miitaara ya elimu haiwezi ikasomwa na mwanafunzi kwa muda mfupi kama Ivo alafu mwanafunzi akaielewa huu ni kuiua elimu ya watanzania
@walidmgonja36446 ай бұрын
Miitaara ni nini na wewe tutolee ushamba wako huko,sijui ni likuriaa au mshamba wa wapi
@Digitalhhhhhgfgg6 ай бұрын
Mupepuyanga toeni kiswahili dhule za msingi anza na English ndo lugha ya kibiashara swahili ikae lugha as subject
@erickjosephat8636 ай бұрын
PROF, unaeleza vizuri sana
@mirzah1176 ай бұрын
Ina wañasiasa anaongea hadi ananesanesa kama ana spring achokiongea chenyewe sasa
@leeonlinetv18476 ай бұрын
Elimu ya bongo inayumbishwa sana, hakuna falsafa maalum inayoongoza elimu nchi hii
@thomassalvatory83036 ай бұрын
hamna alichofanya, analyse tatizo la elimu ni nn then unatengeneza staterges then una deploy soln
@JohnMabustar6 ай бұрын
Watoto wanasisitizwa tuwanunulie mkebe je wafundishwa Nini thamani ya huo mkebe
@kakuyajumanne73356 ай бұрын
Hamnamo mali humo kaja kuvuruga kila kitu huyu
@kwisa48996 ай бұрын
nilitarajia kuona mchanganyiko wa wachina waturuki na walimu wetu kuungana mashuleni lakini mado munafanya makosa yale yale
@omariabeid32916 ай бұрын
Yaani hapo hamtuambii kitu,mumepuyanga mno tunavyo wachukulia ni kua nanyi ni vilaza maana hamuwezi pitisha sera ya kidwanzi.Mmekurupuka kama sio wasomi ni aibu.
@MasoudyMichael-ox7xl6 ай бұрын
Hivi yale makombi ya watoto wa form five yanakazi kweli huko mbele Mana hamjasema ajira zitakuwaje😅 Niko pale
@RaymondKilomeye6 ай бұрын
Huo mtaala mpya km hakuna kipengele chakujifunza Sheria niwazi huo mtaala haujakidhi vigezo bado mnatengeneza kizazi kisicho jitambua namna gan yakuishi kiuongozi jambo ambalo nimuhm ktk maisha ya Kila cku, bado mnatekeleza agenda yenu yakuwafanya wa2 kuwa watumwa wakisiasa nautawala wenu hii mbaya San na hawez Sadia mwananch kujua wajib wake ktk taifa, nashangaa mnazunguzia somo la amani gan isiotokana na haki kuwafanya wananch wawe watumwa wawa watala namachawa wasio jitambua wanaojua kusifia2 nasio kukosoa amani gan hiyo yakishenzi mnawafundisha watoto wetu ujinga km tulivyo fundishwa sisi, watu wanajifunza maarifa makubwa kufanya tafiti kubwa nyie bado akili zenu zimeganda kisiasa nakuwalinda watawala wenu mavi nyie.
@simongwandu73926 ай бұрын
Wizara haiangalii umri
@AnethMushi-c3e6 ай бұрын
Kila kitu kina historia iwe mbaya iwe nzur mf familia ina hist yake ukoo kabila din ugonjwa bila historia ya kitu nchi kwahiyo tunaenda kwa historia
@Emma300b6 ай бұрын
Professor unaongea vizuri sana ila mabadiliko ktk Elimu hayahitaji haraka ni polepole . Mkikurupuka tutarudi nyuma sana. Hakuna haraka .fanyeni taratibu.
@thomassalvatory83036 ай бұрын
tatizo la elmu yetu inakuwa na msaada mdogo sana kwa watoto yaaan aliyesoma anaendesha bodaboda kama ambaye hajasoma so elimu nakuwa kama haina faida aliyesoma anauza mtumba kariakoo kama ambaye hajasoma so mtu anajiuliza umuhimu wa elimu ni nn soln tujikite kwenye elimu ambazo zitawasaidia watoto mfano
@DAUDIMAKARANGA6 ай бұрын
Hapo umesema maana ukiangalia kama hakna kinachoendelea.
@thomassalvatory83036 ай бұрын
haya unayoongea hapa ni siasa nakuhakikishia hamna ktu kinatokea kwa wananchi mm spingi serikali nataman tubadilike na tufikirie watoto wetu wanakuja kuishje baadae hakuna ktu kinachomuuma mzaz kama anaona mtoto wake hana mbele wa nyuma alafu mzaz hamna msaada kwa huyo mtoto jambo baya sana tuache politics tujikite kuwasaidia watoto wetu wa baadae
@charlesseba20006 ай бұрын
Hii elimu itakuwa ni mbovu kuliko elimu zote duniani, kwa namna hii tutakuwa na wajinga wengi mtaani kuliko siasa mnazoweka kwenye elimu
@mbwanakiting71806 ай бұрын
Rais u.etuletea mtu wa kujaribu sasa...wakishindwa watasema tulikuwa tunajaribu...na wale waliojaribiwa watabaki na ujinga au watarudia vidato?
@nguruwekikwete16356 ай бұрын
Maprofesa uchwara ni wengi sana tz
@DanielLikangaga6 ай бұрын
Wanafunzi na wataalam wengi wanalitia hasara Taifa ,(wasomi)serikali unatumia gharama kubwa kuwasomesha watu ambao baada ya kuhitim elim ya juu wanaludi mtaani kufanya kile alichomea kwa vitendo hawezi Sasa ukimuuliza elim alio nayo atakwambia anadigri ya taaruma frani na hii yote ni kwa sababu ya miitaara yenu mibovu
@MenelusCzar6 ай бұрын
🥹
@mbwanakiting71806 ай бұрын
Watu wa nchi hii kama hatuna akiri...eti anasema kwa bahati mbaya vitabu vinachapwa nje ya nchi..du...kuna makampuni ya uchapaji pale pugu road yanachapa hadi nakala milioni moja kwa siku inategemea na ukubwa wa kitabu kwa ubora wowote mnaohitaji. Itakuwa mmewapa wachina nyie. Uchapaji wala sio ishu kama kazi iko tayari ktk pdf na vipimo vyake hakuna utaalamu zaidi ni kuweka karatasi zinazoitajika na kuprint tu...machine zinakata na. Kupanga . Ukimuuliza watakwambia wataalamu
@jumashedafa6 ай бұрын
Toen somo la historia shulen halina tija ya leo na kesho ya vijana ila mchango finyu mno..Vitabu vya historia vibaki maktaba na katika majumba ya makumbusho... Hilo liwe ni shauku ya mtu akipenda kujua historia ya nchi yake au kitu flan ataenda kujisomea..Hata mchepuo wenye Hkl nk umekosa mvuto ktk soko la ajira
@jacobsimkoko30966 ай бұрын
Haki ya Mungu mbona hujafikiri kabisa, ukiona Magufuli amesoma chemistry Hadi PhD, lakini baadaye akasema Kuna haja Kila mtu asome history ujue Kuna kitu aligundua. Kuna umuhimu mkubwa sana wa history.
@felisteronesmo30916 ай бұрын
Kapungize sumu mwilini, upeo wako usafishike ... Hoja yako hii ni dhahiri shahiri una sumu nyingi mwilini ..
@graysonpastory19186 ай бұрын
Kweli huna akili wewe
@ephesongailo85646 ай бұрын
Hii ni hatari sana,,,,,! Kila nchi watu wanasoma historia Yao.....! Labda wangepunguza historia za nchi za ulaya ndio imgeachwa
@abuukarata96536 ай бұрын
@@jumashedafa kwanini mgosi hutaki historia?
@AndrewShiratu6 ай бұрын
Bado hakuna elimu bari elimu hiyo nikama kusoma gazeti na kulitupa.