Huyu dingi hajawahi Kua na kitu kichwani Bunda tunakujua kuna dogo Hapo mbelebhata simwelewi
@GodfreyBikukan23 сағат бұрын
Mzee ivi kweli huna aibu umri bado unataka madaraka hata kuongeq unashindwa sema Uchawa ndio umekuteua shukru uchawa wako
@SonofJacol-t6h22 сағат бұрын
Kwani Biden na Trump wana miaka mingapi? Hakuna vijana huko ni wao tu?
@GodfreyBikukan22 сағат бұрын
@SonofJacol-t6h Jamani ivi kweli mnalinganisha UMRI wa trump na Wasira kweli miaka 74 na 87
@GraceDeo-g1n22 сағат бұрын
Ccm chama Cha misukule
@SonofJacol-t6h22 сағат бұрын
@@GodfreyBikukan Kuweka sawa taarifa Mzee Wasira ana umri wa miaka 79 na mwaka huu july ndio anatimiza 80. He was on born 1 July 1945. Tuachane na mambo ya umri huku tumeficha nyuma chuki za vyama za kupinga kila kitu. Tuangalie uwezo, utendaji na sera. Umri si hoja. Wasira mbona ni mdogo kwa Biden, Maalim Seif, na Raila Odinga na wote hao siku si nyingi tu walikuwa wakiomba ridhaa za kuchaguliwa tena.