Kubwa sana hii kazi achieni kazi zingine basi zitufikie huku
@user-pz8ms8oc9w Жыл бұрын
Kazi nzuri athuman na ongera
@user-jd5jd8pe6u8 ай бұрын
Nimeipenda sana hi kazi big up Patrick upewe mauwa yako
@docterkashindi2297 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie athuman kazi zako ni nzuri sana unafaa kua mwakilishi wa sanaa ila usiwe unachelewesha
@mozaliemmanuel43568 ай бұрын
Kazi kubwa sana ongera sana Patrick 🎉🎉🎉
@AbiraiOmary-yp2om Жыл бұрын
Ebaneee unyama mwingi sana mwandishi was store hii na actor wake aisee Patrick ,mwenye nyumba umefuraisha hatari
@HonorinaWasokye-et3qg10 ай бұрын
Karibu DRC kaka picha zako ni nzuri Sana ila mnachelewesha jamani
@IsharaJulien Жыл бұрын
KAZI nzuli By_isha_king B mtoto wa mama kandu
@Wanaharakati Жыл бұрын
Thanx wa ma'am kandu
@faridaali28208 ай бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri 🎉🎉❤
@penueldjuma2845 Жыл бұрын
Congratulations 🎉🥳🎉
@MuswambaChunza4 ай бұрын
Kazi nzuri sana mwanangu
@selemanikaskile427 Жыл бұрын
Hahahaahhah kwanza ni cheke na Patricia akeeeee,!! Mnaona shida huko ,lini ongera nafikiri utabadilika sana baada ya kucheza na actor Bongo movie itakua umeelika sana
@brightjustin Жыл бұрын
Nikiwa kama mwana michezo nimekubali nakuipitisha aidia ya Filamu hii kuwa ni Bora zaidi mmejipangilia sana na amjakurupuka kwakuanda kazi hii Kwa moyo mkujufu nasema mmeupiga mwingi wazee wangu ❤♥️❤❤❤