TUTAZUNGUMZA LUGHA NGUMU HAIJAWAHI KUTOKEA''MWABUKUSI AENDELEA KUSHIKIA BANGO BANDARI NA DP WORLD..

  Рет қаралды 39,099

JAMBO TV

JAMBO TV

4 ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 239
@user-zj4ii6uf7t
@user-zj4ii6uf7t 4 ай бұрын
Hongera sn Kaka yangu mwabukusi kwa kulipigania hili Taifa bila hivyo Taifa letu tutalipoteza,tunamshukru sn kwa kutuamsha watanganyika na watanzania kwa ujumla!!!Mungu wa mbinguni azidi kukubariki na kukukingia kwa Kila hatali,, MUNGU mbariki mwabukusi Mungu ibariki Tanganyika Mungu ibariki Tz yetu tusonge mbele kwa ajili ya nchi yetu tuko pamoja
@robbymzee3423
@robbymzee3423 2 ай бұрын
Mungu ibaliki Tanzania iendelee kutuletea wasema kweli
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 4 ай бұрын
hakika Taifa tupo msibani na hiyo lugha ngumu uliyonena umetutendea haki wana wa Nchi hii …Baba wa Mbinguni akutunze na kukupa ulinzi daima Wakili Mwabukuzi… Barikiwa sana …
@seifmohd5357
@seifmohd5357 4 ай бұрын
Asante sana mkuu tunakuelewa sana Mungu azidi kukupa nguvu ili uweze kututetea wanyonge cc
@justice607
@justice607 4 ай бұрын
Mimi ni mwenyekiti wa Ccm, mkoa flani lakini nakubali nondo zako Advocate
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 4 ай бұрын
ivi unajua znz hauwezi kununua kiwanja
@SilivanusMahinja
@SilivanusMahinja Ай бұрын
😅 no.😂😢😮😅😊​@@kaaakwakutuliaa5179?
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 4 ай бұрын
Asate mkuu Nakuelewa sana pamoja sana
@user-py9jj5yr9l
@user-py9jj5yr9l 4 ай бұрын
Mungu azidi kukupa maisha marefu najifunzaga mengi sana kwako
@dominiclyamchai9561
@dominiclyamchai9561 4 ай бұрын
Mwabukusi WAPE VIDONGE VYAOOOO,TEMA MADINI MWANANGU.NCHI HII IMEKWISHA KABISA.
@danielmpanguko759
@danielmpanguko759 4 ай бұрын
Umeongea sahihi sana Kaka Mwabukusi, kutembea na bahasha za kuomba ajira kila siku haina tofauti na maandamano.
@user-rr1ds9jm1q
@user-rr1ds9jm1q 4 ай бұрын
Safi sana ongea ukweli
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 4 ай бұрын
Uyo ndo mwambukusi msomi makini
@davidtuya9586
@davidtuya9586 4 ай бұрын
Asante Sana mwabukusi mungu akubariki
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 4 ай бұрын
MWABUKUSI NAKUKUBARI SANA WEWE MZARENDO WA UKWELI C MNAFIKI
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 4 ай бұрын
Mwabukusi nakuelewa sana CCM kwasasa ni mwenda wazim na uyo mmamma wao
@jesaminzo
@jesaminzo 4 ай бұрын
Huwa sijutii kupoteza bando langu kukusikiliza Hon Advocate Mwabukusi❤
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl 4 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 4 ай бұрын
Amen and this is true. We need seriously Reform
@giztony2009
@giztony2009 4 ай бұрын
Aisee Tanzania ina watu hadimu sana😊😢😢😢
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 4 ай бұрын
Asante MUNGU akubariki mwabukusi
@yussuph-lx7cu
@yussuph-lx7cu 4 ай бұрын
Mwabukusi ni Martin Luther king wa TANZANIA ,HONGERA MWABUKUZI ,,WEWE NI MKOMBOZI WA TANZANIA YETU ,CCM WAMEGEUKA KUWA WAKOLONI WEUSI
@anosiata8242
@anosiata8242 4 ай бұрын
Napenda hoja zako mungu akulinde wakili Mwambukusi
@amosjoseph7241
@amosjoseph7241 4 ай бұрын
Akili kubwa sana
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 4 ай бұрын
Unatosha kuwa mwalimu wangu.... Napenda kujifunza kwako
@athuman7480
@athuman7480 4 ай бұрын
Ila mwabukusi akigombea uraisi chadema inapita vizuri tu
@user-cl5yq6ne3q
@user-cl5yq6ne3q 4 ай бұрын
Amina sifa kwa Mungu alie waimba watu kama hawa majasiri wa kukemea maccm haya. Mungu ongeza wengine zaidi the name of Jessus
@StephenLetta
@StephenLetta 4 ай бұрын
Nakukubali. Akili yako na uzalendo siyo vya kutiliwa shaka
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 4 ай бұрын
Kweli limebemendwaa aiseee😂😂😂😂
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 4 ай бұрын
UPO SAHIHI KABISA MWAMBUKUSI.
@amanicarloschissanga4811
@amanicarloschissanga4811 4 ай бұрын
Heshima nyingi kwako kamanda mwabukusi, tupo pamoja mkitangaza lugha ngumu kiongozi tutaizungumza wote mpk hawa manyang'au wajue kwmb hatutanii
@hamphumichael7194
@hamphumichael7194 25 күн бұрын
Tanganyika ❤Mungu azidi kutubariki tuna vichwa Sanaa
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 4 ай бұрын
MUNGU wa Mbinguni akulinde Mwabukusi🎉🎉
@samhadas788
@samhadas788 4 ай бұрын
Asante Kaka ❤❤
@user-ky3eu3zt8o
@user-ky3eu3zt8o 4 ай бұрын
Kaka Mungu kakuweka hapo kwa kusudi lake hakika sisi tunakuelewa sana Mungu akulinde
@siamollel6051
@siamollel6051 4 ай бұрын
Mungu Akutunze kwajili Ya Tanzania
@kingmichael1234
@kingmichael1234 3 ай бұрын
Uko sasa kabisa kiongozi ✊🏽
@danielaudax6755
@danielaudax6755 4 ай бұрын
uko sawa bro yaani sawaa kabisa
@user-ok6lv3je4b
@user-ok6lv3je4b 3 ай бұрын
Mungu akulinde bila mungu huwezi
@user-jx5ze9wz8e
@user-jx5ze9wz8e 4 ай бұрын
Nakukubali sana kamanda uko vizuri san ccm na wabunge wao hawana maana yoyote
@festokastory5282
@festokastory5282 4 ай бұрын
Mwabukusi aungwe mkono na kila mtanzania mwenye akili timamu
@user-fh1wg4jv9i
@user-fh1wg4jv9i 4 ай бұрын
Kichwa kimeshiba maarifa ndani ya kichwa nakubali sana
@faustinemangula8424
@faustinemangula8424 4 ай бұрын
Mwambusi umekaribia kuwa mtumishi wa Mungu.
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 4 ай бұрын
Ccm wasipotuelewa, tutawelewesha kwa njia ambayo wataijua. Jamani tupambane machawa wamechachamaa wanapinga mazurI wamepewa kitu na ccm
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 4 ай бұрын
Uko sawa kaka
@rahimhassan6722
@rahimhassan6722 4 ай бұрын
Nakufaham sana kwa lugha hi yaleo..ccm ni mizimu majambazi
@bonifasimichael1320
@bonifasimichael1320 3 ай бұрын
Respect kiongozi Mungu akulinde ipo siku wakati itafika tu
@user-do5by8jl6g
@user-do5by8jl6g 4 ай бұрын
Chai moto kikombe moto salam ziwafikie ccm
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 25 күн бұрын
CCM ni HATARI sana kwa uhai wa Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 kwa sasa Ukweli Wananchi tusipo amsha hakili zetu, basi Raslimali na vitegauchumi muhimu, CCM watauza vyote
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 4 ай бұрын
Alafu yanaibuka majitu hata A.E.I.O.U hayajui inaandikwaje alafu yanakwambia mitano tena yani hata broo makonda akifufua mautumbo yanayoliza watu waliopo na wasiohusika ila wanalia kwa kuona wenzao wanapita kwenye upuzi gani ndani ya nchi yenye watalam kila anayekuja anakuja nalake mtu anakaa mahali miaka 60+ kanakuja kajinga kamoja eti ondoka hapa umevamia yani uzaliwe usomeshwe alafu uwarudie watu mlivamia hivi mpo serious makonda anachofanya nikizuri maana anafufua kaburi ambazo zimezikwa mpaka watu saba ndani sasa subirini mda wa fidia tuone mtalipa ngapi maana uhuni huu sijui
@user-cl5yq6ne3q
@user-cl5yq6ne3q 4 ай бұрын
Hiyo ndio mipumbavu wa taifa hili
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 3 ай бұрын
Iam from kenya i like on how u express ur self
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 4 ай бұрын
Uko sahihi kbs Ila ukisoma comments za watu wengi wetu ni wajinga wa kutupwa hawaelewi kitu na hata ukimuuliza akupe hoja hata moja Hana na hajui Ama kweli tulinyimwa elimu maksudi ili ujinga uendelee
@user-dp1ch6vv6z
@user-dp1ch6vv6z 4 ай бұрын
Kweli kabisa na isitoshe mabwege wengi wasio helewa ni wale wanao ishi kwa shemeji zao na kulala sebleni kama baiskeli wakijuwa maisha wameyamaliza.
@joycejoel1633
@joycejoel1633 4 ай бұрын
Sospeter hao wanao comment ujinga sio kwamba ni wajinga ila ndo wale ambao Genge la wahuni wa chache ni ndugu zao .
@peterkasanga-fw7th
@peterkasanga-fw7th 4 ай бұрын
Sisi watanzania tumezidi uoga, uwanja wa mpira wanaujaza lkn kwenye masilai ya taifa watu tupo mbali kama hayatuhusu MUNGU awabaliki kemeeni hawa uwauwa nchi niyawote.
@herielimushi
@herielimushi 4 ай бұрын
Kweli kaka yangu
@user-ow3km3xy8k
@user-ow3km3xy8k 3 ай бұрын
unatupgania baba lakn wengin wanakuona kama mpuuz tu mungu akulinde baba
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 4 ай бұрын
Sema hii nchi inaliwa na watu wachache
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 3 ай бұрын
Mwamba nakukubali sana
@richardsalim1042
@richardsalim1042 4 ай бұрын
Yupo thabiti ni hatar,let say ndio Rais patanoga sana
@bonifasimichael1320
@bonifasimichael1320 3 ай бұрын
Wame mdhohofisha tundulisu Mungu katuletea msemaji mwingine na Mungu ataibua wakina mwabukusi wengine. Chadema Ni chama makini
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
👊✌️✊
@PaullKapagala
@PaullKapagala 3 ай бұрын
Mboe ungekuwa kama huyu mean bukusi tungekuelewa ondoa upole
@user-hl9xu4vo1q
@user-hl9xu4vo1q Ай бұрын
Yaani mpaka nimejikuta nadondosha michozi, kwann watu wenye usubutu kama hawa wasipewe nchi!!
@bonifasimichael1320
@bonifasimichael1320 3 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki viongozi wa CHADEMA
@jaberalyafei274
@jaberalyafei274 4 ай бұрын
Si kweli bwaaaaana sema kweeeeeliii> weweeeeee
@asanterabikimaro9081
@asanterabikimaro9081 3 ай бұрын
Uko sawa mkuu.❤
@richardsalim1042
@richardsalim1042 4 ай бұрын
Huyu mwamba ni pafect kinoma mpaka raha kumsikiliza
@user-kp4zp1lr4u
@user-kp4zp1lr4u 3 ай бұрын
Mungu akuongezeee nguvu imeongea point kwenye swala wafugaji
@BartolomeuHenrique-mx1fn
@BartolomeuHenrique-mx1fn 3 ай бұрын
Unaendelea vizuri kutetea nchi
@user-ux8ms6ky9i
@user-ux8ms6ky9i 3 ай бұрын
Kweli kaka sisi wakulima wa kahawa miseny tunapangiwa bei na watu ndo maana kahawa zote zinakwenda 10:40 uganda zote zinatoka tz
@skylevelmedia7581
@skylevelmedia7581 3 ай бұрын
Speek speek 💪
@peacemwesiga
@peacemwesiga 4 ай бұрын
Machozi yananitoka meneno mazito!!
@user-jf7rg1ux9l
@user-jf7rg1ux9l 3 ай бұрын
Safar ya matumain inaonekana.
@SimonLimuruti
@SimonLimuruti 4 ай бұрын
Wakili wetu mungu tu ndio atake kukuilipa,kweli naomba tukipata dola kuongoza nchi wewe upewe uraisi au umakamu kabisa unnafaa
@clemenceparokola
@clemenceparokola 4 ай бұрын
Natamani achukue fomu nchi itakaa sawa
@user-jk6we5qu2x
@user-jk6we5qu2x 3 ай бұрын
Pamoja mkuu unaipenda nchi yako
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 4 ай бұрын
WEWE MWANA SIASA WA MAENDEREO WA UKWELI ASIEKUJUA AKUJUI
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 4 ай бұрын
Rais ajae ni mwambukusi sio samia na hatukutaki kabisa samia achia tanganyika yetu hatukutaki
@denismnubi7001
@denismnubi7001 3 ай бұрын
Tumuchagie ela za kuchukua fomu ya urais huyu mwamba anatufaa kabisa
@user-cw3vu8mu3k
@user-cw3vu8mu3k 4 ай бұрын
Kweli wamasai wanaonewa
@user-ye3xp1lf7i
@user-ye3xp1lf7i 4 ай бұрын
Kakanakukubari sana
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 4 ай бұрын
Huyu jamaa mbabe haogopi dah maneno yako mazima lakini kelele hazifiki pahala wamezuia mpini ww umezuia shoka itakuchinja tu
@peacemwesiga
@peacemwesiga 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@willymdeka6034
@willymdeka6034 4 ай бұрын
Na mfumo wa chadema umebemendwa na mwenyekiti wa kudumu
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 4 ай бұрын
Sio kweli
@user-no6sg5vc5z
@user-no6sg5vc5z 3 ай бұрын
Natamani niwanunulie simu wananchi niwawekee bando pia wakusikilize jamani akili kubwa kama hiii inateketea kwenye kizaungu tusaidie
@user-ub6nh5zq4f
@user-ub6nh5zq4f 4 ай бұрын
Tumekuelewa baba
@bonifasimichael1320
@bonifasimichael1320 3 ай бұрын
Chadema mpeni mwabukusi agombee urais Atabeba mpaka ya vipofu bila ushabiki mwabukusi anatosha
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n Ай бұрын
😢Duuh basi kwa sauti hii unayo itumia ni ya kikoloni kabisa, Zungumza kiswahili ili nguo yake iliyochaka akuelewe vizuri, Aa
@FridayMwassa
@FridayMwassa 22 күн бұрын
Kwaani wewe umesoma kwa lugha gani mpaka unamhukumu mwabukisi
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 4 ай бұрын
Wewe ni mwamba mtu na nusu nakuunga mkono brother
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 4 ай бұрын
Ni wenye akili tu watakuelewa ila watanganyika wamepofushwa na ccm wasione mbele Kuna nini
@fikirially7875
@fikirially7875 4 ай бұрын
Mmemkuta Rais mwenye ustahamilivu 2020 mngejarabu kutanua hiyo midomo kwa yule mwamba mngejua serikali ipo kazini acha ubaguzi wa nchi kipindi cha magu ulikuwa wapi nenda kasimamie familia yako kwanza umalize migogoro kule kwenye familia yako.
@MussaSelemani-wz5np
@MussaSelemani-wz5np 4 ай бұрын
ndio maana tulimuua nahuyu akileta ukuma wake naye anakufa
@MathiasNzungu
@MathiasNzungu 4 ай бұрын
Wachungaji tunakuombea
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h 3 ай бұрын
Kazi ya maskio ni kuskia
@prudencemushi6948
@prudencemushi6948 3 ай бұрын
Nimerudi kusikiliza tena leo kujitia hasira...😊
@ZenaMwakalambile
@ZenaMwakalambile 4 ай бұрын
Kama sio maigizo kwani bandari ziko studio,kafanye fujo kwenye hiyobandari.
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 4 ай бұрын
hivi ww unamaanisha ww upo salam?? au unapepo lina kusumbua ccm imekuwa jini linalo nyonya wana nchi wake ipo siku utajua hujui mungu yupo acha azungumze ss tunamuelewa
@giftkalenge418
@giftkalenge418 3 ай бұрын
mwambukusi anatakiwa sana CDM
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 4 ай бұрын
😮asate kaka erim nzali sana
@user-do5by8jl6g
@user-do5by8jl6g 4 ай бұрын
Hiyo dio faidabya kusoma mauwa ya pongezi kwa Bob nyanga makani wakiri msomi kwa kuwaigisha vijana matunda yako bob tunayaonabmungu akupunguzienadhabu ya kaburi hayati bob nyanga makani vijana wako wapo wanapambana
@denismnubi7001
@denismnubi7001 3 ай бұрын
Aisee tumuchagie ela ya fomu ya urais huyu mwamba anatufaa ksbisa
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 4 ай бұрын
Ww ni mzaredo wetu
@user-yj9un6iz9c
@user-yj9un6iz9c 4 ай бұрын
Mbona unafoka ndugu yangu na wewe bado sana kwenye siasa naona kama unalala Mika sema sera zako wewe
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im 4 ай бұрын
Watu tuna hasira tumechoka
@user-yj9un6iz9c
@user-yj9un6iz9c 4 ай бұрын
Sawaaa Fanya kazi
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 4 ай бұрын
Mako anajuwa akili zako ndogo?
@user-qg3kf1ue7z
@user-qg3kf1ue7z 2 ай бұрын
ateuliwe mgombea 🎉 Cdm
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd Ай бұрын
Kweli mwambukusi musomi unaitendea haki elimu Yako wakati wasomi wengi wamegeuka machawa wewe umekataa Kwa kupigania kizazi kijacho
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 4 ай бұрын
NA ANAEKUELEWA ANAKUELEWA VIZURI SANA
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n Ай бұрын
Kwa hivyo Dubai sio Nchi ila Tanzania ni nchi? Sometime nyinyi wasomi mnatufanya mazuzu, watu waliotuacha mbali sio nchi ila Tanzania ndio nchi😂, sectors karibu zote hakuna nchi haina wageni
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 10 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 16 МЛН
ASKOFU HUYU BILA UOGA CCM ANENA MAZITO ARUSHA YAZIZIMA.
7:14
IPINDA ONLINE TV
Рет қаралды 24 М.
Mfahamu Aliyebomolewa Ghorofa na Waziri Silaa 'Ni Tapeli?'
12:17
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 10 МЛН