Mwanzo Mwisho Freeman Mbowe Akimwaga Cheche Mkutano Mkuu wa BAVICHA 2025

  Рет қаралды 23,173

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@MupeCom
@MupeCom 8 сағат бұрын
Shida siokila mmoja anafaa kuwa mwenyekiti , MBOWE ana kipaji na anakarama MBOWE 👍(MUPE)
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 2 сағат бұрын
Kupokezana madaraka ni lazima kidemokrasia
@NicholasMtoro
@NicholasMtoro 13 сағат бұрын
Mbowe nimwenyekit tena uwezo mkubwa ✔️
@LeonceMarco
@LeonceMarco 13 сағат бұрын
Mbowe utabaki kuwa kiongozi wangu bora wa Chama changu
@imeldastephano9221
@imeldastephano9221 7 сағат бұрын
Mungu akubariki sana. Wewe nikiongozi
@MariamFrancis-uo9bc
@MariamFrancis-uo9bc 14 сағат бұрын
Hongera
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 20 сағат бұрын
Mbowe anajua sana
@TryphonRabson
@TryphonRabson 14 сағат бұрын
Kichwa saaaaana mbowe, akili, nondo, hotuba kali sana ...
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 21 сағат бұрын
Hongera sana mwenyekiti na Bawacha kwa kukijenga chama chenu kwa bidii, juhudi na maarifa!
@Abdul-rn5zj
@Abdul-rn5zj 13 сағат бұрын
mbona 😂😂 utaki uraisi lissu awee mwenyekiti
@damianmcba9525
@damianmcba9525 11 сағат бұрын
Kwani unadhani uongozi wanapeana au wanachaguliwa? Lissu akichaguliwa atakuwa mwenyekiti lkn sio kwamba atawekwa tu kwenye kiti,,,, hata mbowe alichaguliwaga akujiweka hapo.
@FUNDIKILAKOBAKUSHA
@FUNDIKILAKOBAKUSHA 21 сағат бұрын
Hongera mwenyeiti mbowe unabusara sana
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 20 сағат бұрын
Mbowe ni kiongozi haswa. Ila muda ni katili sana
@damianmcba9525
@damianmcba9525 11 сағат бұрын
​@@AbdulyMajaliwa-v4rkweli aisee
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 21 сағат бұрын
"Pepo lolote lenye dhana za kututenganisha lishindwa...."! Maneno ya hekima!
@ElinaMbura-h7w
@ElinaMbura-h7w 13 сағат бұрын
Ni Mhe Lissu na Mhe Heche katika kubadili mwelekeo wa siasa za wakati huu
@chiefmwananzengo4620
@chiefmwananzengo4620 8 сағат бұрын
Mvowe umeongea kiukomavu kabisa hiyo nimeipenda Ila sikutakii ushindi katika uchaguzi Mwachie Lisu
@JacksonPeter-m3u
@JacksonPeter-m3u 5 сағат бұрын
Watu wengi humu kwenye comments wanaosifia ni CCM.
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 10 сағат бұрын
Hotuba kavu bila CHARISMA;IMANI BILA MATENDO IMEKUFA.HYPOCRSY WON'T WIN
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa Сағат бұрын
Nyimbo za CCM zote zipo chadema.Wapongezwe watunzi kama kina Mnauye komba nk
@hassankhalid2465
@hassankhalid2465 21 сағат бұрын
Sauti ya kiongozi Shupavu,,mboe ni mwamba wa Siasa
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 20 сағат бұрын
Mboe ni kiongozi kweli kweli
@deussamson-q1t
@deussamson-q1t 18 сағат бұрын
Mbowe sio mtu wa kukurupuka unajua sana huyu mwamba
@AlsonMoses
@AlsonMoses 2 сағат бұрын
Tutakuona maana ukiwachia wengine uongozi
@richardnganya2311
@richardnganya2311 16 сағат бұрын
Kumbe kila mmoja anafaa kuwa kiongozi.!!
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch 16 сағат бұрын
Namuona mugabe wa tanzania akisema kuwa vijana wanatamqni kupata viongozi wapya lakini yeye hatamani kumpata kiongozi mpya wa chama
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 21 сағат бұрын
Kiongozi yupo vzr hotuba nzr
@VolvoMwamakula-ci2we
@VolvoMwamakula-ci2we 11 сағат бұрын
Tamaa zimekujaa unalolote
@karimdaud3993
@karimdaud3993 4 сағат бұрын
Mbowe na lisu wanafanya mzecho wa kuigiza tu
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 20 сағат бұрын
mashabiki wa Lissu wakisema Mbowe amekaa sana aachie uwenyekiti hawatakawia kumwambia Diamond/Ali kiba aache kutoa muziki maana kafanya vizuri muda mrefu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 20 сағат бұрын
Acha uchawa. Wote tunathamani. Usituzimie hoja na malengo yetu. Kuna wengi wenye vipaji, fikra mpya na uwezo pia. Chachu mpya ni nzuri .tuko wengi tunamshukuru Mbowe tumpe mwingine nafasi hii. Ndio maana tunawachagua nyinyi vijana wapya. Na nfivyo iwe kwenye uenyekiti. Usituletee fikra finyu. Tukubali nguvu mpya. Si maana Mbowe hafai, udipotoshe watu. Tunahitaji mabadiliko makubwa, nguvu mpya, ujasiri na fikra finyu. Uhuru wa kimawazo na demokrasia vizingatiwe bila woga. Wewe ni mwoga kujaribu kipya. Tunahitsji ujasiri kutoka kwa kila mtu. Mbowe avha kejeli. Inatodha. Achia ngazi tambua wengi wanauwezo ruhusu hiyo acha uchoyo.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 16 сағат бұрын
Yaani watu wanazungumzia jambo jingine nawe unazungumzia jambo jingine ... operesheni ya kichwa kwa mgonjwa wa mguu...
@StevenStima
@StevenStima 14 сағат бұрын
Diamond na alikiba mnwaingizaje kwenye vitu serious Kama hivi
@damianmcba9525
@damianmcba9525 11 сағат бұрын
​@@TM-zs3rmSasa tatizo lipo wapi? Kwani kashindwa uchaguzi akakataa kutoka? Au anavunja katiba ya chadema kugombea tena? Tumia common sense katika kujenga hoja sio benders fatal upepo tu , Chama chochote waamuzi ni wanachama kwa hiyo Uchaguzi ndio utatuonyesha nini wanachohitaji, km wataona lissu ana uwezo kushinda mbowe au la,, na sio tufatishe your personal wish ,,, Uongozi sio kubwabwaja sana tu bali uwezo wa vitu vingi ikiwemo ku mobilise new members, ku persuade Watu waamini muelekeo wa chama na ku stabilise umoja wa chama , vyote hivyo aviji kisa umesoma chuobkikuu au Marekani bali ni God Given talent,,, Mihemko yako jiifadhie mwenyewe,, hao wengi wenye uwezo kwani katiba imewakataza kugombania? Mbona walikuwa awachukui form?
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 2 сағат бұрын
Siasa sio MUZIKI
@OswardMandikilo
@OswardMandikilo 4 сағат бұрын
Munao msifia mbowe ni ccm, sisi chadema tunasafiri na lisu,
@SuolFat
@SuolFat 20 сағат бұрын
Wewe ni mwamba
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 4 сағат бұрын
Nyie acheni chuki na ubaguzi kama kweli tuna jenga Taifa moja mbona hamja waalika na viongozi wa CCM.
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 16 сағат бұрын
Mbowe wafundishe hao sasa zenye tija waachane na hilo jini mtu.
@MishiMishi-c5y
@MishiMishi-c5y 6 сағат бұрын
Mboe muachie kisu ccm atutakiki tena unaalibu chama
@NurdinRamadhan-c6x
@NurdinRamadhan-c6x 17 сағат бұрын
Sikia kwanza sauti ya mamlaka watu wanazungumza muda laki wamwache afikie lengoooo
@CharlesYakusola
@CharlesYakusola 21 сағат бұрын
Pamoja na jambo jema la uchaguzi msisahau kuhamasisha watu kujiandikisha kadi ya mpiga kura (kiparata)uchaguzi mwema
@arnoldamel8164
@arnoldamel8164 14 сағат бұрын
Uandikishaji ni lini?
@T444zhairfood
@T444zhairfood 20 сағат бұрын
Mh. Lisuu all the way.
@TzkwanzaKilimanjaro
@TzkwanzaKilimanjaro 19 сағат бұрын
Hotuba ya maana kabisa,,,CDM inamuhitaji mbowe kuliko mbowe anavyoihitaji CDM, Mbowe ni kiongozi Bora kabisa ,vile Tu ni mpinzani, unaiona leadership at every aspect,
@allykwaya
@allykwaya 12 сағат бұрын
Umesema kweli
@fabiussaimon2037
@fabiussaimon2037 15 сағат бұрын
4:06
@VolvoMwamakula-ci2we
@VolvoMwamakula-ci2we 11 сағат бұрын
Ushasema chama chako saizi unasema chama chenu ueleweki ww
@mwitamhono6499
@mwitamhono6499 16 сағат бұрын
Viva Lisu , Lisu Lisu
@Orders-t5y
@Orders-t5y 15 сағат бұрын
Huyu Agombee Uraisi, Lissu Awe Mwenyekiti
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 13 сағат бұрын
Katiba mpya isiachiwe wanasiada tu hamtafika popote. Katiba ya nchi ni mali ya umma na wanasiasa wakiwemo sio ya wanasiasa.
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 18 сағат бұрын
Mbona lisu hapigi makofi 😂😂😂
@stanleymanya438
@stanleymanya438 17 сағат бұрын
Kwasababu mwenyekiti yupo😂😂
@richardnganya2311
@richardnganya2311 16 сағат бұрын
Inapunguza chochote ?
@stanleymanya438
@stanleymanya438 16 сағат бұрын
@@richardnganya2311 haipunguzi kitu na huenda ilikua ni mkakati wasifanye hivyo kuweka utofauti
@amirjuya2523
@amirjuya2523 13 сағат бұрын
Roho mbaya tu
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 19 сағат бұрын
Mnasalitiana vyama vingine vitakuja vyenye viongozi wanaoelema mahitaji ya nchi hii
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 14 сағат бұрын
Tatizo wwe unawazunguka wenzio unarudi nyuma uaenda kulambishwa asali na mama abduli
@HAJISAIDI-i6y
@HAJISAIDI-i6y 14 сағат бұрын
Bavicha hoyeeeeeeeeeeee
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 16 сағат бұрын
Bavicha igeni busara za mbowe achaneni na siasa za lissu mtakosea sana.
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 16 сағат бұрын
Kagame wa kichaga pumzika tunamtaka lissu
@shahidmaftouh1141
@shahidmaftouh1141 17 сағат бұрын
Uko sawa commander lakini watanganyika wanamtaka Lisu and Heche 😅
@damianmcba9525
@damianmcba9525 11 сағат бұрын
We umejuaje? Kuwa na akili jiongelee nafsi yako usiwe km auna akili? Ndio maana kiongozi anachaguliwa kwa kura,,, km wanamtaka lissu itaonekana kwenye uchaguzi,,""" We fatilia kampeni za kimtandao bila kujua uhalisia kamili
@hacesafari73
@hacesafari73 5 сағат бұрын
not true
@JuliusMahinya-wl7mq
@JuliusMahinya-wl7mq 20 сағат бұрын
Mseveni anaongea
@veranmusigula8832
@veranmusigula8832 18 сағат бұрын
vijana watapataje nafasi wakati wewe autaki kusitaafu?
@elirehemaringo188
@elirehemaringo188 20 сағат бұрын
Hotuba iliyoshiba,
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 20 сағат бұрын
Haswaa
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 16 сағат бұрын
Lissu jambazi tu hilo
@selemaniHema
@selemaniHema 21 сағат бұрын
Mugambe wa chadema
@moseslekumok
@moseslekumok 17 сағат бұрын
Kwani anajichagua yeye mwenyew
@AbubakarYusuph-d3r
@AbubakarYusuph-d3r 20 сағат бұрын
Lissu must go out
@nasramusaro
@nasramusaro 15 сағат бұрын
Lini aliwahi kuwa mwenyekiti unamwambia must go au hujui maana yake?
@EliaHiluka
@EliaHiluka 14 сағат бұрын
Ungetangaza kwamba umejiuzulu nafasi ya kugombea uenyekiti
@NicholasMtoro
@NicholasMtoro 13 сағат бұрын
Lisu kuhamasisha maandano tu Hana kauli ya kiuongoz aende Kwa rafiki yake msigwa
@IssaNambilinga-f5n
@IssaNambilinga-f5n 16 сағат бұрын
Tutafanya kazi wap wakat ww umekuwa mwenyejiti miaka 21 na huna mpango wakutoka
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 16 сағат бұрын
Mpenda rushwa wewe tumekuchoka,tunajua n chawa wa ccm
@robertedward1992
@robertedward1992 20 сағат бұрын
Mzee achia madaraka,umekaa saana,miaka 20,acha mawazo mapya yaje chadema
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 19 сағат бұрын
Huna hoja
@amirjuya2523
@amirjuya2523 13 сағат бұрын
Kwan kuongoza ni kubeba tofali? Kunahitaji nguvu kiasi gani?
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm 21 сағат бұрын
Lisu mbona hapigi makofi
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 20 сағат бұрын
Pimbi wewe na fikra finyu.
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 19 сағат бұрын
Lissu ana kiburi na chuki sana
@JfourHumbi
@JfourHumbi 18 сағат бұрын
Mnaaza ujinga acheni ujinga ​@@joshuaswai8203
@JosephSiwila-h1k
@JosephSiwila-h1k 18 сағат бұрын
Watu bhana ...et ht hakusimama
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 17 сағат бұрын
UKISHIBA HAJA UTAPIGA MAKOFI USIPOSHIBA UNAKAUKA.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Maria Sarungi asimulia jinsi alivyotekwa Kenya
9:45
BBC News Swahili
Рет қаралды 33 М.
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН