Mungu wa Mbinguni tunakuhitaji usiku na mchana na asubuhi Mungu mshushe Roho wako azieneze sifa zako asante kwa mtumishi wako mwakasege Mungu unamtumia kutufundisha neno lako la uzima Mimi pokea kwa Hekima Nakushukuru Mungu wangu Nakushukuru wewe Unatosha maishani mwangu Mungu usishindwa Mungu Baba yetu
@samwelferdinand59583 жыл бұрын
Mungu akutunze baba,ninakumbuka hii siku singida,nilimuona Mungu kwa viwango vya juu sana
@jamesgasper66113 жыл бұрын
Unasema kweli Mungu alishuka Siku hiyo
@wasajo3 жыл бұрын
@@jamesgasper6611 tunaposema Mungu hushuka ni kupitia miracles siyo njia ya mwili kama tunavyoonana sisi wanadamu.... Mungu ni Roho, hata hapo ulipo upo naye
@Loisndossi9877Ай бұрын
Amen baba.Mungu ni mwaminifu.
@eliakazana72523 жыл бұрын
Ntalalaje hujarudi?gonga like za kutosha!amen Mungu awabariki watumishi WA Mungu!
@isakalumumba58173 жыл бұрын
Napenda utumishi wako baba Mungu akutunze zaidi na zaidi napenda nami na mke Wang na watu wote tumtumikie Mungu wetu kwa ukamilifu NAKUPENDA MWALIMU WANGU
@tumainijoshua50903 жыл бұрын
UBARIKIWE BABA KWA UDUMA,NAOMBA UTUPOSTIE MAHUBIRI YA KONGAMANO LA MAOMBI 2017 DOM,SOMO, NADHIRI, ALIHUBIRI, MWL T.MBWAMBO.
@janembalinga70742 жыл бұрын
hii ya kicheko ninapo kuwa na guvu za mungu sana huwa nachoka sana lakn nikishaletewa kicheko uchovu huwa unaondoka kabisa
@mchungajijesse45933 жыл бұрын
Mungu ni mwema na wa kutuhurumia anajua anavyotubeba katika huduma kwa neema yake maana tuko wachache mathayo 9:37-38
@kakabaraka10583 жыл бұрын
MAMA: "NTAWAACHAJE PEKEYAO?"🤷🏾♂️😊 BABA: "NTALALAJE HUJARUDI?"🤷🏾♂️😁
@danielroore1593 жыл бұрын
Lkn mwalimu mungu akutunze uishi miaka 900
@nancykigamwamureli91973 жыл бұрын
Amen Amen asante kwa mahubiri haya ya ukina ubarikiwe Amen watching from Germany
@emmanuelhumph28743 жыл бұрын
Hapa tulipo ni kwa neema ya Mungu Ooh Glory haleluyah!
@pillyramadhani3726 Жыл бұрын
Napokea katika jina la yesu nisaidie amen
@yama_virginhairthequeen10653 жыл бұрын
NAFARIJIKA SANA KATIKA KIPINDI KIGUMU NNACHOPITIA, BUT I WILL BE HERE WAITING FOM HIM KING OF KINGS JESUS HIMSELF
@Graceyusuphh3 жыл бұрын
Yesu akutunze sana, ufanikiwe zaidi
@epifaniamilinga28483 жыл бұрын
Ndoa hii hadi Raha.mungu azidi kuwabariki.injili isonge mbele.
@MarcoPeter-y5n6 ай бұрын
BWANA YESU ASIFIWE Sana
@tlbarakaministriesintl3 жыл бұрын
Hahahahahah! Waoooow ujumbe mzuri, ubarikiwe Baba
@vailethkinabo79613 жыл бұрын
Amen napokea kwa jina la Yesu
@FELIXMBWANJI3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Baba. Hakika jumbe kama hizi zinatutia nguvu sana
@MarcoPeter-y5n6 ай бұрын
Glory to JESUS
@shearthielmayala23642 жыл бұрын
Ubariwe mtumishi
@orandifrank41773 жыл бұрын
Ameen baba BWANA YESU pewe shukrani
@bennycharles81683 жыл бұрын
Pokea Upako Mtumishi wa Mungu😚❤❤
@mamychacha37953 жыл бұрын
L
@richarddavidmk3 жыл бұрын
Mtumishi sauti ,iko chini sana.
@ibrahimsanga6903 жыл бұрын
Nitalalaje na haujarudi..........!!wanaume tupo??pana somo hapo.
@upendoeliudi51963 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana mwalim
@noelmeshack7183 жыл бұрын
Mungu azidi kuwatunza baba.
@jacquelinepaight14723 жыл бұрын
amen nitalalaj ujaludi
@angelkwesi3 жыл бұрын
Amen, nimepokea.
@upendoeliudi51963 жыл бұрын
Aminaa
@eddaemmanuel49343 жыл бұрын
Mtumishi huduma mkoa kwa mkoa umesitishaa tunahitaji uponyaj wakoo
@naishiyemollel41483 жыл бұрын
Amen
@elizabethkinasha42093 жыл бұрын
Glory to God
@brightdeogratias66643 жыл бұрын
Halleluyah
@justogelard41373 жыл бұрын
Hallelujah....
@anethrweyemamu57643 жыл бұрын
Barikiwa baba
@solomonmwamelo6603 жыл бұрын
Amen Babaa
@cynlym18473 жыл бұрын
Glory to God Hallelujah
@AlfaSanga3 жыл бұрын
Barikiwa sana 🤗
@luhekelondelwa97143 жыл бұрын
Amin
@ernestjohnbosco20533 жыл бұрын
Nabarikiwa sana baba
@liliantitus70673 жыл бұрын
Ooooooh glory be to God
@janethadam35003 жыл бұрын
Ooo Hallelujah
@agnesschirstian92263 жыл бұрын
Ameeni, akilka tumetoka mbali, kila mmoja kwastaili , yake,Yesu asifiwe.
@veronicadamalu93203 жыл бұрын
Hakika Mungu anawapa nguvu watumishi wake
@danielroore1593 жыл бұрын
Eeeeh MUNGU UZIDI KUTUKUZWA
@mathayowilson15253 жыл бұрын
NI kwa neema tu NEEMA na REHEMA...
@pilimashaka3873 жыл бұрын
Oooh Glory to God 🙇🏾♀️
@yohanamadembo11563 жыл бұрын
Salute glory to god
@godwinkasaizi8823 жыл бұрын
Hizi clip zinatupa matumaini sana
@hurumamassawe68993 жыл бұрын
Mungu akubari Sana mwilimu pamoja natimu yako yote naile siku ya mwisho mkavalishwe taji
@hekimafungo53033 жыл бұрын
Groly be to God
@reginardpeter15743 жыл бұрын
Halelluya Halelluya Halelluya (Wafilipi 4:4 Furahini katika Bwana sikuzote tena nasema Furahini)
@Mwl.SamwelKihongo3 жыл бұрын
Utukufu na hata Utukufu
@ApostleDeusiSengo3 жыл бұрын
Joy in the holy ghost!!!😀😀😀
@marytarimomwanamkelazimaaj70803 жыл бұрын
Mungu akupe maisha ya bibilia
@marytarimomwanamkelazimaaj70803 жыл бұрын
Unanibariki sana baba nikiangalia maubiri yako napata nguvu naona Kama nimemuona mungu🙏🙏🙏🙏