MWAKINYO Alipuka - "NILITAKA OSCAR RICHARD APIGWE ALALE CHINI, NAMPA POLE MFAUME kwa AJALI"

  Рет қаралды 19,700

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@tonnyelias9454
@tonnyelias9454 3 ай бұрын
Yap yap siku zote nakukataa maneno yako ya ovyo ila leo umeongea kimichezo zaidi naona umekomaa sasa.
@simeonmazigo5918
@simeonmazigo5918 3 ай бұрын
Ukimkataa wewe anapata hasaragan?😅😅😅😅
@criminalminds7723
@criminalminds7723 3 ай бұрын
Ulimkataa jeh yeye anakujua Kwanza?pili anakukubali??tafta hela Mzee Baba uache kumkataa mtu ambae hakujui
@allymwinyi970
@allymwinyi970 3 ай бұрын
Leo Mwakinyo umeongea kimichezo na kiukomavu zaidi Maashallah .Endelea hivyo, acha maneno na majibu magumu. Wakati wa ubinadam, ujamaa na uzalendo kuwa hivyo. Utafika mbali sana ndugu. Be blessed.
@deodaud3478
@deodaud3478 3 ай бұрын
Kumbe umebadilika make nimependa kauli zako kwa mabondia wenzako kwa leo
@SaidiYahya-t1c
@SaidiYahya-t1c 3 ай бұрын
Champezz one time two timez all the times
@barakamwasala228
@barakamwasala228 3 ай бұрын
Yeye alienda na viatu pea ngapii ulaya alivyosema kiatu kinabana
@masoudhamad1592
@masoudhamad1592 3 ай бұрын
Mtoto wa Fatma Kungwi siku zote huongea pumba... eti"Apigwe aanguke" Acha roho mbaya dogo
@fadhilially7357
@fadhilially7357 3 ай бұрын
UYO MTANGAZAJI MI NAONA ANAWEZA AKAWA SHOGA MASWALI YAKE YA KIKUMA SANA
@SaidanSalu
@SaidanSalu 3 ай бұрын
Mbona yy mwakinyo hakubadilisha kile ulaya😂,ila ameongea ukweli alafu points
@ce-08
@ce-08 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@NasraAbdallah-k8r
@NasraAbdallah-k8r 3 ай бұрын
jamaakili nyingi sana ongera sana
@michaelking-s7r
@michaelking-s7r 3 ай бұрын
Sasa ww kiatu c kilikubana ujeruman hukuwa na 2pair? Broo
@SadickAbdallah-d5n
@SadickAbdallah-d5n 3 ай бұрын
Yan katika siku mwanang umeongea points leo broo umeonesh ukubwa wako na hekima yak kaka
@StevenDaniel-dc6cy
@StevenDaniel-dc6cy 3 ай бұрын
Ww xikia vzr hio Crip usilopoke mwakinyo wap alipo mcrashi MTU na kumsema hajafanya vzr 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Abeid-w4c
@Abeid-w4c 3 ай бұрын
Mwakinyo nishamkosoaga sana juu ya kauli zake akihojiwa Leo Nampongeza sana juu ya mahojiano yake ameongea kikubwa kikomavu zaidi akiendelea hivi atavutia wengi na kujiheshimisha zaidi hata waliokuwa wanampinga watamkubali big up ngumi sio uadui ni mchezo tena hatari kuna kila sababu mabondia kupendana na kuheshimiana.
@fadhilially7357
@fadhilially7357 3 ай бұрын
SAFI SANA CHAMPEZ
@KambiAsso
@KambiAsso 3 ай бұрын
Mwakinyo ww mduanzi kwer ww mbona ulisingizia viatu vimekubana ulikuwa hujui kubeba viatu pea mbili
@geofreymwamakula7178
@geofreymwamakula7178 3 ай бұрын
Big up mwakinyo
@BatirimayoJohn
@BatirimayoJohn 3 ай бұрын
wew ni mkubwa pia sis ni mashabik zako zamani ulikua unaongea point ila cku unazingua japo mi bado nakusapot
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 3 ай бұрын
Hongera sana
@ahadjuma8356
@ahadjuma8356 3 ай бұрын
champion 💪💪💪
@Matatasaid
@Matatasaid 3 ай бұрын
Mogadishu haaaaaaaa
@MartinBukuru-h1g
@MartinBukuru-h1g 3 ай бұрын
We mbna ulisingizia viat ulipo pigwa panya wew
@Ram_1893
@Ram_1893 3 ай бұрын
Umesikiliza alichozungumza? 😂😂😂
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 3 ай бұрын
Achaga ushangingi wewe
@khalifasaidi4181
@khalifasaidi4181 3 ай бұрын
Kumbe via2 pea mbili mbona uk ukubadili
@ce-08
@ce-08 3 ай бұрын
😂😂😂
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 3 ай бұрын
Umekomaa eeeh endelea kuleta mdomo
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 3 ай бұрын
Saiz umeanza kuwa na akili mbwa wew
@AWADHIHEMED-y1c
@AWADHIHEMED-y1c 2 ай бұрын
wetwaha acha upuuuzi nitakupiga uka dondokeee kilosa
@bilalabas9636
@bilalabas9636 3 ай бұрын
Ww mbona ulisema kiatu kinakubana na hukubadilisha kama Sheria ni lazm bondia awe na peir mbili mbili?
@dismasChelele
@dismasChelele 3 ай бұрын
Sheria inasema kama refa akiridhia ubadilishe kiatu basi utabadilisha.
@KambiAsso
@KambiAsso 3 ай бұрын
Mtoto Mchele mchele
@mohammedsaid8859
@mohammedsaid8859 3 ай бұрын
Yeye viatu vingine alieka wapi
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 3 ай бұрын
Kwenye matako yako
@ibvisions4321
@ibvisions4321 3 ай бұрын
​@@Rolemodel_wa_taifajibu zuri
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 11 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,7 МЛН
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 11 МЛН