Hassan Mwakinyo has inspired me to be boxing watcher. Great congrats to you
@johnmasuka33705 жыл бұрын
It was a mistake of typing
@aminasefu38183 жыл бұрын
Acha tuchape kazi na mwakinyo wetuu Tanzania ooyeeee😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@frankjamhurimwashiuyamwash66985 жыл бұрын
Kwa ujula mwakinyo amejitahidi sana! Hongera Sana mwakinyo.
@immamifflin43765 жыл бұрын
Hongera ngumi zako jiwe na zilikuwa on target congratulation bro #mwankinyo 👊🥊
@jacksonyjunior7423 жыл бұрын
So wonderful mwakinyo to won de game but was seems to be defeated . Amazing!!!!!!!!!!!¡¡¡¡
@kennedyenock60425 жыл бұрын
Mnaosema Mwakinyo kapigwa eleweni ngumi za usoni zina alama sana kuliko ngumi za chini. Kwa Mwakinyo alkuwa analenga uso wakat Tinampay alkuwa analenga sehem za chini haswa!! Ko ushindi n wa Mwakinyo !!Kama mliangalia pambano la Maywether Vs Pacquiao unaweza kuelewa nnachokisema !
@feyzungu6333 жыл бұрын
Anaesema Hasan kapgwa hajui mchezo wa boxing unaendaje
@rajabulugeje62143 жыл бұрын
Mwakinyo kashinda wabongo hawajui
@nurdin.mndeme34473 жыл бұрын
Mwakinyo 🔥🔥🔥🙏🏻😍👊🥊
@SophiaChambo-s5c6 ай бұрын
Mashabiki acheni usenge mwakinyo kapigwa
@HatibuRajabu-p5qАй бұрын
Ujuingumi ww wajua atangumi yapwenti niipi wew au waongea2
@abdulrahimkhamis85943 жыл бұрын
Mwakiny mungu awe nawe .......
@boniphasfesto43254 жыл бұрын
Mwakinyo Won the Game Congrats
@sebastianmboya67025 жыл бұрын
Mwakinyo ameshinda kihalali kabisa very fair wining ,Tinampay amepiga ngumi nyingi za tumbo na kweny mikono ambazo hazina point. Mwakinyo amepenyeza ngumi za uso nyingi kuliko za tinampay .angalieni Mayweather anavyocheza mtaelewa. Watanzania wengi hua wanakurupuka ku comment bila kuwa na uelewa wa jambo
@erickisack75675 жыл бұрын
Bro unajua ngumi vizur
@graphixmaster61465 жыл бұрын
Baada ya kurudia kuangalia hizi highlights nimejiridhisha pasi na shaka kwamba Mwakinyo ameshinda, kapiga point nyingi kuliko mpinzani wake japo kwa jicho la mtu asiyejua sheria za ngumi na how to score points ni ngumu kumuaminisha hilo kutokana na style aliyoitumia Mwakinyo (defensive), style hiyo Muhammad Ali aliiita 'move like butterfly n' bite like a bee', ambapo aliitumia kumpiga George Foreman
@katindasajohn69025 жыл бұрын
Mwakinyo hongera sana. Naamini umejifunza kitu.
@AbilahSalumu-qx1cb6 ай бұрын
Mwakinyo Unakuwa Sasa Good bless you 🙏
@onesmolugome30012 жыл бұрын
Mwakinyo is a championee
@thetycoon87995 жыл бұрын
Hongera sana umeshinda! Umeongea point japo umepata changamoto sana ila umekaza ili usituangushe watanzania, keep it up 🔥🔥🔥🙏🏻😍
@elizabetty-rt7py7 ай бұрын
Hili pambono lilikuwa kubwa sana, Hassan mungu akupe unachokita, unatuwakilsha Tanzania vizuli mnoo, natumekumiss sana tunataka uludi ulingoni uko vizuli
@pilatoonlinetv96605 жыл бұрын
Mwakinyo bado anapigana kama underground mfiripino kapiga Ila mtu kwao !! Shindano kama hili unatakiwa umuangushe mtu ulingoni ila vinginevyo mtu kwao lazima ashinde ila point ni kwamba kiwango cha mwakinyo no kidogo sana !! Huyu akienda Ufiripi hawezi fika hata round 4.
@erickisack75675 жыл бұрын
Bro hujui lolote kuhusu boxing unaongea usichokijua pumba tu 😂😂😂
@pilatoonlinetv96605 жыл бұрын
@@erickisack7567 Sasa wewe una lipi la maana hasa ili utudhihilishie kuwa unaujuzi zaidi yangu?!! Au ndo tabia zenu machoko kutukana bila hoja, Hoja hujibiwa na hoja strong sio kuropoka tu matusi, Kama pumba wewe lete mchele tuone, hapa tunaongea ukweli hatuongelei ushabiki au mapenzi binafsi.😎😎
@erickisack75675 жыл бұрын
@@pilatoonlinetv9660 hahahaa bro unapaniki umejaa?? Hahahha sasa kama hujui ngumi usiambiwe
@boaznyalusi90554 жыл бұрын
Nan alie kwambia magoli ni kugonga nguzo za magoli?
@rajabulugeje62143 жыл бұрын
Hujui numi, Nani kapigwa nyingi za uso moja kwa moja? Seema mpfilino mgumu hataree, Mwakinyo kachukua point zote ngumi nying Zaid ya 10 kapigwa huyo mfilipino
@neemamushi44245 жыл бұрын
Bwakinyooo very Nice 😙😙😙
@ahmedsule15205 жыл бұрын
Acheniiii kuongeyaaa pumbaaa kwenye ndondiii ukiwa kwenu huwezi kupigwa kwa pwentiiii rabdaa upigwe kwa no caunt so acheniii tantariraaaaaa nyingiii mwakinyooo more fire nowmaa 👊
@sefoo80845 жыл бұрын
Sio no count ni knock Out
@pastoryconrad73135 жыл бұрын
Tuwe fair Hassan kapigwa jamaa bado yuko fit na very professional #
@sebastianmboya67025 жыл бұрын
Hassan ameshinda kihalali kabisa. Tinampay amepiga ngumi nyingi zisizo na point, hesabu ngumi zilizo fika usoni bila kuparaza za kila mmoja then useme nani karuhusu nyingi.
@sadiqdeshaggy18695 жыл бұрын
Wapi ww hujui kitu pia huelewi sheria ya huu mchezo hassan alikuwa hana haraka katumia akili sana na anasathili ushindi
@Zensen.21125 жыл бұрын
What? There still time in round 4, 5 and round 9 but they rings the bell . to avoid knockout? Its very clear Pilipino won that fight.
@user-yx1qk4sk5t5 жыл бұрын
Time is a just a social construct. LOL!
@romesadventure75455 жыл бұрын
So bias.") Add to list.. 😊
@jbmacaraegnillo91465 жыл бұрын
Politics
@onenegrosisland53785 жыл бұрын
Alien country..hehehehe
@bullzeye68955 жыл бұрын
Wahahah d cla marunong ag bilang BASTA nlng tinitigil PA chamba ang bell.
@reinampona695 жыл бұрын
Jamani narudia tena ngumi za tumbo aziesabiwi uyo mphilipino alikua anamchosha tu ngumi zake ninyingi kweli lakini zikufika sehemu inayotakiwa zifike. Hongera hassani kwa kuweza kuvumilia zile ngumi zatumboni pole. Umempiga kiakili sana kwa taget nzuri.
@gabrielisack77865 жыл бұрын
Mimi naona Twaha Kiduku alimpiga kihalali yule muafrika kusini
@mamuyaonee19825 жыл бұрын
Mwakinyo anajua hakuna anae kataa kimsingi amekutana na fundi anatakiwa kujifunza Sana kupitia uzoefu .... Tinampay he is an intanational fighter
@nehemiahbudi57535 жыл бұрын
Mwakinyo ameshinda kihalali kabisa, ila atakuwa amejifunza kitu, tulimshauri apigane hivyo lakini style hiyo kwake ni ngeni amepigana style ya mhammed Alli , na tulimkataza asipige mbavu changa, lakini alijaribu kufanya hivyo na akaona alichokiona, mimi nimefurahisha na mchezo huu na bondia wetu amejifunza na atakuwa bondia mzuri, ila watanzania wengi ni chenga
@loveofficial745 жыл бұрын
Tena n chenga xn
@petromtakati29755 жыл бұрын
Wewe nimekuelewa watu wajinga saana wanajidai wanajua kila kitu
@godwinmartin40845 жыл бұрын
Mwakinyo kashinda kihalali tatizo watanzania wengi hatujui sheria ya mchezo huu
@imanmtaki14362 жыл бұрын
Brother me nafatilia sana michezo hii lakini kwa mchezo u hakustaili bhana
@markjasperorbista72415 жыл бұрын
The bell rung even there was a time left for the round.😂..very funny..
@josephfredrick99613 жыл бұрын
How comes when the time ecced by one sec , , i know u will also blame
@rashidhamad66635 жыл бұрын
Hongera bro ila kuwa makini ukikutana na mtu aliye kuwa vzr bc utakaa tu wacha kuegemea kamba hata mm nikikimbialia kwetu lazima nita tetewa "GOOD JOB BRO"
@amosethantheking88155 жыл бұрын
Hassan Mwakinyo hajafanya vizuri sana, lakini aliweza kufanya huyu mfilino asiweze kumpiga ngumi za usoni. Mfilipono amepiga ngumi nyingi za tumbo na kupata point za kumwangusha Mwakinyoa. Mfilipino angepiga nyingi za uso alikuwa anashinda pambano hili.
@geofreymilinga48113 жыл бұрын
Hongera Mwakinyo lakini unahitaji mazoezi sana kwa mchezo huo brother hautaenda mbali kimataifa
@jumamadadi69355 жыл бұрын
Tz wa senge kweli ...mwakinyo ana pigana km mtoto na sheria pia hazijui vzr ...eti kashinda ...kashinda au mmemshindisha...maana kzidiwa haswa
@hplus95404 жыл бұрын
Wewe boya acha matusi sawa
@wamoroboy89634 жыл бұрын
@@hplus9540 😂😂😂kabebwaa
@HemedSeriousАй бұрын
Hii match mwakinyo ilimpa shid sana mwakinyo mpinzani wake alikua strong km yy
@tz79765 жыл бұрын
Mnao sema mwakinyo kapigwa nawashangaa sana ila sio mbaya kwakua hamjui sheria za huu mchezo ila kwa anaejua mwakinyo kashinda halali kabisa
@godfreyabraham73855 жыл бұрын
Shelui Zonola sheria wapi bro macho watu wanaoma
@abuuthauran14865 жыл бұрын
Na mwakinyo alikua akigadi sana ngumi za tinampey nyingi hazifiki usoni
@agripamwangobola54583 жыл бұрын
Very good hassan mwakinyooo
@noelphilipmollel63555 жыл бұрын
Kwa mshabiki anaejua boxing ki ukweli Mwakinyo bado anhitaji kujiongeza hapigani kama professional boxer....
@eliamsigala30345 жыл бұрын
My friend we ngumi hujui,ngumi inayohesabiwa Ni ile inayoingia usoni tu
@jaffarsalim70095 жыл бұрын
True facts 💪
@dullybrown36355 жыл бұрын
Ila muhimu ni ushindi tuh..wilder nae wanasema hana ngumi za kiufundi ila ukikutana nae lazma ukae
@justinemico18715 жыл бұрын
Daaah wew ndio inabidi ujifunze, tambua hili pambano ni gumu na bondia ukiwa home lazima ujilinde zaidi sio football hii kwamba ukiwa home unashambulia
@mamuyaonee19825 жыл бұрын
Umeongea point Sana nimekukubali kijana wangu ... Most of us we don't anything about boxing industry
@moseserick37794 жыл бұрын
Hongela hasani kwa ushindi
@mussamsangi31615 жыл бұрын
Mwakinyo upo vzr sana
@AsiaAa-w5m25 күн бұрын
Ushujaa wa nguvu mungu akupiganue kwa mara nyengine
@imanyotz5895 жыл бұрын
sina mashaka na ushindi huu. kuelewa ushindi huu inabidi utazame mchezo kati ya manpac na myweather. walipigana kama hivi pac alishambilia mwanzo hadi mwisho lakini ni ngumi chache sana zilitua kwenye face ya myweather wakati myweather alijilinda zaidi lakini makonde yake machache aliyokuwa akiyatum yalinikuwa yanatua usoni mwa manpacq na kujizolea point zakutosha
@enoshmhemakapaya5 жыл бұрын
Acheni ushamba,,,,,,,huyu mfilipino kapiga ngumi nyingi ila zilikua hazitui kwenye point za msingiiii....Mwakinyo kalenga target nyingi kichwani.msiangalie tuu kuegamia kamba ile nimbinu tuu
@princemulikamulika25465 жыл бұрын
Sawa umenena
@mwambajoseph1195 жыл бұрын
Sheria za ngumi mnazifaham ngum z kichw ndo zenye ponti mfilipn kapiga nying z mbav azin pont
@amossteven44364 жыл бұрын
@@Kennrique tuwekee za kwako
@ibrahimngenge96435 жыл бұрын
Itakuwa kuna k2 hamkijui bondea yoyote anapo cheza ugenini akitaka kushinda inatakiwa aishinde kwa ko lakini kwa pont hawezi kushinda hata sku moja hata huyo bondia wetu alishawahi kuyaongea hayo kwahyo muwache midomo kama mnaimba taarabu
@estamaswamla90333 жыл бұрын
Sana kuna watu awajui kilichompa pointi
@danielebong17354 жыл бұрын
Hassan was defeated, he must accept it. I'm a Ugandan who love my continent but not in corruption like this.
@NiraSaire2 жыл бұрын
Tinampay won only 1 or 2 rounds in a 10 rounds fight and somehow people wanted him to be granted a win... Jealous is the problem here
@mcdondosha41515 жыл бұрын
Mfilipi anarusha ngumi nyingi ila hajui pakupiga mwakinyo anapiga kwa hesabu.naona mnamrahumu mwakinyo
@jabirabdy42775 жыл бұрын
Kabisq
@lakbayinnatinangpalawan38445 жыл бұрын
monggoloyd
@hafidhhumoud9345 жыл бұрын
Mwakinyo yupo vizuri anapiga kiakili
@esteboystv8495 жыл бұрын
Pls. Review this game. This country don't deserve hosting game like this.
@petrosainyeye58265 жыл бұрын
Huyu jamaa mwakinyo amejitahidi sana ila kiukweli box ya tinampay ameonyesha anayo uzoefu wa hali ya juu sana
@mathiasmuyengi13545 жыл бұрын
Mnaosema mwakonyo kabebwa nyie Ni wanafiki tu, mwakinyo anajua
@sisterhala39165 жыл бұрын
Umehongeya sana tunamajung to watanzaniya
@jumaramadhani75455 жыл бұрын
We haujui
@issazuber68234 жыл бұрын
kama amepigwa tusiseme kapigwa jiwe amekaa we vipi
@gastonanoldmacha81884 жыл бұрын
Mwakinyo aribebwa
@guulajini35965 жыл бұрын
Mwakinyoo nakukubali sanaa ila leo bila unafiki umepigwa sema tu mcheza kwao utunzwa 💪
@loveofficial745 жыл бұрын
Hizo ngumi xio za mitaani mzee hatuexabu ngumi za mbavu tunaangalia ngapi zimeingia kwny kichwa hizo za mbavu unaweza ukapiga hata ngumi buku lkn hmn kitu
@guulajini35965 жыл бұрын
Muhenga Tz mzee mechi ilikuwa live jamaa amezidiwa sanaa huyo mfilipino sema ndo ivoo tu ubingwa huu kama wa serekali za mitaa
@petromtakati29755 жыл бұрын
Kumbukeni huo sio mpira ...jamani
@AllyMohmd8 ай бұрын
Mwangaríe vizuri wakinyo
@markluares85285 жыл бұрын
this game shall be reviewed and the refferee and judges shall be sunctioned and banned no more boxing in tanzania. not good country
@tsongsballs80015 жыл бұрын
Agree sir
@ZCL805 жыл бұрын
Yes thats true
@goodluckkimario18365 жыл бұрын
They not seriously with this sport fight
@deusmauka96265 жыл бұрын
Mwakinyo aongezewe mwalimu,au apelekwe USA kambi ya Mayweather akafuliwe zaidi.
@sharifumanjem52874 жыл бұрын
Hayo ndio mawe mzee baba
@bboyblackfire5 жыл бұрын
sijapenda hawa watangazaji wakifilipino wanaoongea kama watanzania (swahili language) kwa msimanga bondia wetu🤣🤣
@talanta13 жыл бұрын
Hawajui chochote ni mandina tu
@hemedmasoud93064 жыл бұрын
Dah. Nakumbuka mbali San hapa kabla ya corona.ila kwasas corona is international level.
Dogo letu hapa kapamban jamaa mgumu kama jiwe kapigwa za kichwa nying lakin ahanguki.. Ushindi ni ushindi Mwanyiko hawez kukataa Professionalz wamemtangaza hongera sana dogo letu Mwakinyo
@mammam47012 жыл бұрын
🤣 Ugar wa dona salute🤣🤣😍👌💯
@omanoman-ir1ezАй бұрын
mwakinyo yuko vizuri sana mnao beza mna yenu huyo tinampay si mtu mzuri kamqa angekuwa bondia wa ajabuajabu hapo mmhingekuwa shida lakini kiukweli mwakinyo amejitahidi sana kupigana na bondia mkubwa kama huyu
@fridayjuma3685 жыл бұрын
Kweli mcheza kwao hutunzwa ila umekula ngumi vizuri
@alvinsafi27335 жыл бұрын
Mwakinyo anajua ila anahitaji extra's mazoezi. Balance na More technick
@medymkungu80114 жыл бұрын
kinyambe
@onesmoakwilini62545 жыл бұрын
Mwakinyo bado sana kwa huyu jamaa.....Wangendelea kidogo tu Mwakinyo angekaa
@hanafiSaidi-ji9ms Жыл бұрын
Mjomba imeisha hivyo angekua nauwezo angempiha sasa mapema
@jiranihalali37645 жыл бұрын
Leo limerudia kwa makini mwakinyo kapiga ngumi za point
@thechosenone.91692 жыл бұрын
Mwakinyo anatisha.Amerusha Ngumi mpaka round ya mwisho,tinampay in wa viwango sana,asingekuwa mwakinyo tinampay angeua mtu!
@felixngwasi94695 жыл бұрын
Aisee..wabongo acheni unafiki...yaani hats kama Mimi sijui sheria nyingi za chezo wa ngumi...lakini kwa kigezo cha points za usoni..mwakinyo Hassan ameshinda bila hata kupepesa macho..huyo mfilipino alikuwa anarukaruka tu uwanjani...na kilichomponza ni kujiamni kupita kiasi..viva Hasan
Low blow without penalty, knockdown without count, ringing the bell before time ro help their fighter regain. Pity on this country's boxing organization.
@NiraSaire4 жыл бұрын
Low blows go with warnings sometimes and that was done
@NiraSaire4 жыл бұрын
It was on the belt by the way
@rehemambilinyi20064 жыл бұрын
Hongera zake
@kassimfahmi83222 жыл бұрын
I can't believe how can he won like that i need full fight. Im giving you two days that my offer.
@AbduRahman-os2vx5 жыл бұрын
Mapromota huyo mwakinyo,kwa mapambano ya friend match namshauri wamtafutie pambano ujerumani,apaishe jina.ila anahitaji mazoezi sana na kuzingatia lishe kwa game za kimataifa...
@dullahamoud60375 жыл бұрын
Kwaukwely hata kama tuwatanzania tunampendelea mwakinyo but mwakinyo kapigwa sana but majaji nahisi nimuda wao kujifunza vizuri kutoa matokeo sahihi mwakinyo umepigwa sana
@abuuthauran14865 жыл бұрын
Na ww matumla swala la mwakinyo kukaa kwenye kamba hizo mbinu za kimchezo same time mtu unazidiwa lazima uvute pumzi km Mohd Ally au myweither anakimbia sana ulingoni lkn MWISHO wa mchezo ushindi ni wake.
@mufasamufas60235 жыл бұрын
Kweli kabisa amekazania tuu kusema asikae kwenye kamba tatizo watanzania hatupendani huyo matumla anataka watu waendelee kusema yeye ndio alikuaga bora kuliko hawa wanaopigana leo
@sabraham53085 жыл бұрын
Mwakinyo anastahili sifa,pambano lilikuwa gumu,Tinapay,sio bondia wa kuchezewa.
@kachalavencha6755 жыл бұрын
Ten san kiukweli mwakinyo kupambana sana gem ilikuwa ngumu sem weng wanachukulia poa
@iddyally33425 жыл бұрын
Wanaosema mwakinyo amebebwa hawajui ngumi au hawajangalia pambano mwanzo mwisho na watangazaji nyinyi n wasemaji tu msilaumu kwa anakimbilia kwenye kamba hzo n mbinu hats Mohammed Ali alikua akiitumia mbinu hyo
@loveofficial745 жыл бұрын
Wanaongea tu
@husseinmwaisa9374 жыл бұрын
Big up to you mwakinyo
@dulashaibu76754 жыл бұрын
Nyundo
@dulashaibu76754 жыл бұрын
Rambo
@dulashaibu76754 жыл бұрын
Iyatuiya
@binahmedjuma86813 жыл бұрын
Kuna tatizo kubwa sana kwenye kuhesabu dakika kwa kila round, mara nyingi round huisha kabla ya muda kuisha, hapo pafanyiwe marekebisho.
@umeedkassam69744 жыл бұрын
The philipino won that fight this is comming from A tanzanian
@triphonmwallow48673 жыл бұрын
michezo Tanzania bado Sana Kama tunashinda kwa staily hii bado Sana kabebwa sana
@umeedkassam69743 жыл бұрын
@@triphonmwallow4867 true
@eliamsigala30345 жыл бұрын
Nimepitia comment zenu kumbe watu wengi hawajui mchezo wa ngumi
@adammshinga92495 жыл бұрын
Sana yan wao wajua mtu apigwe atoke povu dam azimie au atoke nduki dio ushind au pinhmgwe lowd ya 3 ndio ushind halali kama hajui ulizen kwanza
@sadickrajabu11915 жыл бұрын
Ongera mwakinyo kwan ulikuwa unapiga kimaesabu ndo mana ukaenda sawa
@msamoses37233 жыл бұрын
Namkubali mwakinyo
@kassimfahmi83222 жыл бұрын
We need full fight.
@halfanijuma76463 жыл бұрын
Tinampay mzur but kapigwa bull nyingi sana mwakinyo kashinda kihalali kabisa
@firiifard95204 жыл бұрын
Tinampay pole sana jamaa wamekubena na kukuzulum majaji hawajui wamekubena
@lukoaartist66435 жыл бұрын
Sisi watanzania wanafiki mwakinyo haki yake
@bantuvoicemuchaikinuthia25364 жыл бұрын
Mfilipino kai ibiwa..🙈 Good fight though
@feyzungu6333 жыл бұрын
Ngumi za pont ni uso syo mbavu wa la tumbo mfilipo anakazania tumbo mwakinyo anatungua kichwa
@abuuthauran14865 жыл бұрын
Jamaa amepiga sana ngumi za tumbo na mwakinyo yuko vzr coz amevumilia sana ngumi za tumbo
@MegaAlexison4 жыл бұрын
Philippino won the ring . Mwakinyo ni lazima ajifunze focusing hitting
@victorchami96144 жыл бұрын
ili tuendelee kimichezo na kimataifa.. lazima waamuzi wafanye maamuzi ya haki.. mphilipino yupo vizuri..
@feyzungu6333 жыл бұрын
Haki ni kwamba mflipino alipga Sana tumbo na yy alipgwa ngumi nyingi za uso ambazo ndio pont inayotakiwa
@mannymanalo28815 жыл бұрын
Na wow for u Kain ka ng monggo. Haffana.
@reinampona695 жыл бұрын
Jamani msiompenda mwakinyo. Kashinda kialali ngumi zake zilikua zinafika kwenye taget.ila uyu Tinapay kapoteza ninyingi kweli alikua anapiga ovyo sio sehemu husika.na alichokua anafanya nikumchosha hasani kwangumi za tomboni na izo aziesabiwi.
@najmagudeh2035 жыл бұрын
Safi sana mwakinyo
@masterbosco87815 жыл бұрын
Nimegundua wabongo wengi hatujui ngumi tunadhani huu ni mpira
@ndoanirahaonlinetv50315 жыл бұрын
Mfilipimo ni bondia mzoefu amem-bana mwakinyo n'a kumfuata KILA anampendaa
@johndominick44265 жыл бұрын
Ngumi xo mikax ni on target,,,,
@nasirsaleh78385 жыл бұрын
Kazi kazi
@loner_wolf2 жыл бұрын
Tina amepiga ngumi nyingi sana raund za baadae na chache sana zimepenya , mwakinyo kapiga ngumi chache sana mwanzoni na karibu zote zimepenya ..... Sina mashaka na ushindi wa mwakinyo , ni dhahiri mwakinya ameshinda pambano pasi shaka ...... That why Tina dont even mind .