Polee, mwakinyo siyo level zako, atakuua, hamoniz kajikikisha we ,kapewa vigezo vya kupanda ulingoni ,kaxhomoa betre, wewe nawe umekuja na lako, kesho Tena utakuja mwingine, hataree na nusu hii ndo bongo Tz
@abbasisudi6899Ай бұрын
We hujielewi upigane na mwakijino ili iweje we hamna kitu.kila mtu mwakinyo ,kama mziki kila mtu diamond hao ndo icon wa sanaa hizo
@MwafricaMweusiАй бұрын
Achana na biashara za kuwahoji matako wa mafiaboxing tafadhali
@fadhilially7357Ай бұрын
SHANGINGI WEWE DRAGON
@dogopctz2749Ай бұрын
Mwakinyo humuwezi mwakinyo mwenzie ibra wewe
@gudimbwana8088Ай бұрын
Ishi maisha Yako acheni KUTUMIA brand ya MWAKINYO ili mtoke muacheni MWAKINYO mna kampeni nyingi za kumuangusha lakini hamtashinda
@khamis_zimbweАй бұрын
Inshort story ipo ivi mm nilikuwepo eneo la tukio ndio ilikuwa ni jeti uyo dogo alimkuta hasan jeti anafanya mazoezi uyo dogo alikuwa na wenzie akawa ana mrecodi hasani kisiri siri asani akamuona akamfata akamwambia dogo futa hiyo vidio ulio nirecord dogo akabisha hasani akamuadhibu akampiga makofi mawili matatu akamuweka sawa kidogo akachukua cm akafuta vidio
@JosephEmmanuel-eb7gjАй бұрын
Kwel hat mm nilisikia
@noahkamendu9081Ай бұрын
Vijana bado hamjifunzi kua Kuna mda bambana kutimiza ndoto zako na siyo kutafuta kiki na kujiingiza kwenye bifu zakijinga , mwakwinyo ni kaka ako mheshim na fuata njia Yako
@SalimAbdallah-mi1wcАй бұрын
😂mpaka Blich Na mwakinyo wapi Na wapi Dah hizi Kiki mh
@SuleymaniBashiru-rq5hbАй бұрын
Wew mweupe tuuu
@SuleymaniBashiru-rq5hbАй бұрын
Wew hujui ngumu angalia unavyo rusha hata mim nakukalisha wew hujui Hauna ufund wowote kacheze fotbool ila sio ngumi
@SelemanMbega-ek2rwАй бұрын
Hawa jamaa waliwai mkuletea fujo mwakinyo pale barabara ya 6 kwa Hamza kwenye mgahawa mpaka mwakinyo akaacha chukula na pia wakakichukua chakula cha mwakinyo na kukila
KWA KAWAIDA NAWAJUWA MNATAFUTA NJIA YA KUPATA KIKI AMA KUMSHUSHA CHAMPEZ ALAFU KWANI HUYU NI MKONGO MBONA NYELE ZIPOGO HIVYO AU ANATATIZO. ALAFU HAWA WAPAKA PIKO NA BLICH MNA. NINI
@user-ih7nl5nv3cАй бұрын
acheni chuki nyie mwakinyo ni kama dhaabu kila ukiipaka matope ndo inazidi kungaa
@AnwarSuleimanАй бұрын
Mwambie amfuate twaha kiduku akampige kama alivyompiga uyo
@wazirisaid8326Ай бұрын
Ninyi mnachuki na Mwakinyo mnatumwa kumchafua mnamuonea wivu!! Mwakinyo ni mkubwa kuliko MAFIA Promotion, na niwaambie hata muungane MAFIA nzima mcheze na Mwakinyo mtachezea kichapo Mwakinyo ni bondia wa hatari sana usione kwavile Indongo ameachia pambano kwasababu ya uzee pumzi zimekata ukazani ni Indongo yule aliyecheza na Mwakinyo!!!!
@criminalminds7723Ай бұрын
Kama Hana vigezo sasa mtu atapigana vipi na wewe???pambana watu wakujue Kwanza
@FahmiNassorАй бұрын
Oya nyinyi mashoga HASSAN MWAKINYO hali mashoga matako nyinyi wewe ulimrikodi HASSAN MWAKINYO shoga ww na HASSAN MWAKINYO SIYO ulingoni tu hata mitaani anaweza
@FatmaBaby-gf4umАй бұрын
Alirecord kwa cm gani Acheni ufala mtangi ni mstarabu sana na msipende kuropoka msichokijua