Sasa mkubali Simba baba yenu ona mnavyojivuna kumchukua wachezaji wa Simba. Ila mtalia
@errydeo88656 күн бұрын
Mpira kumbe hujui! TIMU kuwa mbovu kuna vitu vingi vinasaba Isha.kuna OFF THE PITCH ISSUES kama uongozi,nidhamu, dressing room ( wachezaji na staff ), mahitaji ya wachezaji na staff nk na kuna ON THE PITCH ISSUES! ie bench la ufundi,viwango vya kila mchezaji, mifumo inayotumika , morali nk hivyo vitu husababisha TIMU kufanya vibaya, na hivyo vitu pia husababisha Wachezaji wasiperfom kwa viwango vinavyotakiwa! So,sio kila mchezaji Simba alikua mbaya! Ndo maana Yanga itachukua wale itakao waona wanafaa kwenye system yao.. na mazingira ya Yanga sasa HIVI yalivyo compared to Simba ,CHAMA NA BALEKE WATASUMBUA SAANA! Chama Yanga watamuhitaji Zaidi CAFCL ( uzoefu wake) BALEKE na Dube watawahitaji KWASABABU hawana STRIKERS! USAJILI wa WANGA NI WA CAFCL ZAIDI KULIKO LIGI..MALENGO YAO WANATAKA KUFIKA NUSU, FAINALI,FAINALI NA HATA kuchukua UBINGWA WA CAFCL.
@chillogeorge13836 күн бұрын
Huyu ni wa mazembe ndugu. Sote tumemchukua kutoka Mazembe 😅