MWAMAKULA aungana na LEMA KUMSILIBA NABII GEO DAVIE "ULE NI UTAKATISHAJI FEDHA NA KUSAKA UMAARUFU"

  Рет қаралды 50,547

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 186
@lastonsimon2932
@lastonsimon2932 Жыл бұрын
Nashukuru sana askofu kupaza sauti hakika unasimamia ukweli wengine hawana ukweli mungu atupe ufunuo
@johnmsambuzi9094
@johnmsambuzi9094 Жыл бұрын
Asante mch,mwamakula hao wanaojiita manabii,watugani wanafeza za mashoga,nakumbuka wakati vyama vinaruhusiwa kuanzishwa mwaka 1992 kiongozi mmoja aliwahi kusema,vyama vyote vpewe feza naserikali,lengo wasiluhusiwe kutafuta pesa popote,wanafeza wakachukua pesa za wauza madawa ushoga nk
@josephsilupya6013
@josephsilupya6013 Жыл бұрын
We mtumishi ndani yako amnaofu ya Mungu unaongeya ujinga tu na neno la Mungu alimo ndani yako
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Жыл бұрын
Mwamakula unabuthara Sana mungu akurinde ameni
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 Жыл бұрын
Umeongea point sana, tuwe na mfumo wa kutatua majanga kama haya pindi yanapotokea
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Katholic wamejenga karibu Tanzania nzimaa hii. Lakini hawajawahi kutajitangaza , lakini yanajionyesha yenyewe. Siyo kujitangaza na kujigamba. Tufungue macho jamani, siku za mwisho ndo hizii. Tunaziona , na kusikia wenyewe. MOTO UNAKUJA UKO MBELE YETU. NA WALA SIYO SIKU NYINGI.😊😊
@johnjeremiah5117
@johnjeremiah5117 Жыл бұрын
Jamani hivi mmeshindwa kutafakari habari za Mungu na kuhubiri injili kwa mataifa tote hata ifikie hatua ya kumjadili mtu mmeishiwa sera maaskofu Goe Deve Acha afanye kazi Alioitiwa acheni kusema vibaya kuhusu mtu wa Mungu hata kama unajua hayupo sawa wewe ni nani uhukumuye
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Жыл бұрын
Gordevie ninabii wa kishetani sio mtumishi wa mungu kabisa
@winnerstv421
@winnerstv421 Жыл бұрын
You are very sure sir bishop
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Жыл бұрын
Enyi Wakristo nawaonya kwa Jina la YESU MWOKOZI acheni malumbano katika utumishi wenu. Msiwe wasemaji na kunyooshea vidole. ( Onyaneni kwa Zaburi na kuonyana kwa upole). ( Tutaacha kuzaraulika kwa tabia hii ya kulumbana kila wakati?). Tunajenga Ufalme wa Mungu mkuu wote haya yote ya nini?. (Hakika YESU MWOKOZI ATUPE HEKIMA WATUMISHI WAKE). AMEN.
@dobidotz3696
@dobidotz3696 Жыл бұрын
Mmmmmm happy si sawa, kama mfumo haupo tunafanyaje? Kwahiyo watu wasipewe msaada? Tuache haya mambo, Baniani mbaya kiatu chake dawa.
@mangapastortee3038
@mangapastortee3038 Жыл бұрын
Iweni na shukrani,,mtu akiwafadhili anatenda Kwa moyo,,na maskini hatuwezi kuwamaliza...mzee unapotea
@abbiecox1
@abbiecox1 Жыл бұрын
KWELI AMEPOTEA HUYU ANATUMWA KISIASA
@mwajumamussa3988
@mwajumamussa3988 Жыл бұрын
sasa watu wasipate msaada kwa muda huu wa matatizo , mimi sioni tatizo watu kusaidiwa .
@daffagunda-rm3hj
@daffagunda-rm3hj Жыл бұрын
Ni kawaida sana kanisa kusaidia Jamie,ni mojawapo ya kazi za kanisa.hiyo ni political inferiority.Amen sana.
@febronialyimo8585
@febronialyimo8585 Жыл бұрын
Askofu you are very right. Hiyo hela ni upepo na wanaopokea kamwe hawawezi kuja kufanya lolote. Anajua wakienda kanisani kwake watatoa sadaka nono. Ananunua watu na kufarakanisha wake za watu.
@sokoinemallya3395
@sokoinemallya3395 Жыл бұрын
Hongera sana baba .askofu wee mkweli sana
@amedeusshirima6982
@amedeusshirima6982 Жыл бұрын
nabii yule niwamchongo kbsa sisi tulio namungu ndani yetu tunawajua manabii wamchongo juu tumejaa marifa ndani yetu
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Kama angeleta kwenye kanisa Lako kama sadaka ungemrudishia?
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 Жыл бұрын
Uko sawaaaa Tatizo sisi tunafanya kazi ya mungu Tunahukumuuu
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
kueleweka anaeleweka...lakini asipangie watu watumiaje pesa zao,,kila mtu apange mambo yake mradi haubugudhi watu,,it's okay👍
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Mtumishi umeongea kweli Kila siku najiuliza,Je ! Serikali inajua chanzo cha hizo pesa ???? Labda ni " utakatishaji " 😳
@chuwimkali547
@chuwimkali547 Жыл бұрын
Kama soko limeunguwa naselikali ilikuwaikichukuakodi inapaswa selikalindio ilijengeilosoko
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Kweli kabisa
@enocksosthenes4505
@enocksosthenes4505 Жыл бұрын
Serekali inaweza kujenga soko lingine ila mali zao je? Unauza mchele magunia matatu ndo mtaji ukayawekee bima ya 100,000 itakuwa akili matope tujaribu kifikiria aina za biashara zinazofanywa masokoni na gharama za BIMA na ndo maana sionlazima kiwa na BIMA ni hiari ya mfanya biamshara .
@allabout1783
@allabout1783 Жыл бұрын
Acha nafasi basi kila baada ya Neno ndugu!
@odilomagungu8803
@odilomagungu8803 Жыл бұрын
Huyu nabii ni tapeli
@JacksonNainyeye-do9yj
@JacksonNainyeye-do9yj Жыл бұрын
Safi mchungaji umeongea sahihi
@edwintigwela6394
@edwintigwela6394 Жыл бұрын
Baba askofu mungu akubariki huo ndio ukweli watanzania tunashikiwa Sana akili
@masakamgalla9273
@masakamgalla9273 Жыл бұрын
Hata yeye mwenendo wake una mashaka kwa tunaomfuatilia. Tunashindwa kumjua yuko upande upi, wa dini au siasa. Aidha hatuwezi kuhitimisha maana maswala ya imani ni ya ndani ya mtu mwenyewe
@kwizerahakili-vc4ly
@kwizerahakili-vc4ly Жыл бұрын
Kusaidia watu kunaitaji utaratibu!!? Nabii amesaidia wenye uhitaji. Yupo sahihi. Hayo mengine ni siasa tu.
@mongeza
@mongeza Жыл бұрын
Kwa kauli yako watu wa nje ya kanisa hahawezi kusaidiwa hata siku moja
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Elewa anachokizungumza. Msaada unaanza ndani kabla ya nje. Je, yeye kuanza nje inamaana ndani hakuna wenye matatizo!?
@richardhosea8827
@richardhosea8827 Жыл бұрын
Huyo hana kitu hiyo million 💯
@thomasmagoti9040
@thomasmagoti9040 Жыл бұрын
Watumishi wa mungu wataangamizwa kwa roho zao mbaya, watu wamepatwa na shida wasisaidiwe kwel??? Mh Mungu ni mwema
@bundalaizina652
@bundalaizina652 Жыл бұрын
Akili nyingi wewe unayo hongera sana,
@lembriskivuyo9178
@lembriskivuyo9178 Жыл бұрын
Mbona mnamjadili Joe Dev Sana kwani kuwasaidia watu Ni kosa.mbona wazungu Kila siku wanatoa pesa afrika .mbona hamjwasemi? Acheni wivu Mungu anawajuwa walio wake
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Definitely
@josephsilupya6013
@josephsilupya6013 Жыл бұрын
kama angekuwa ni diamond njo aliwasaidiya usingelisema ayoyote Mungu anambariki MTU ili naye awasaidiye WENGINE una roho mbaya sana wewe na Mungu ayumo ndani yako maana Mungu ni upendo
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 Жыл бұрын
Viongozi wa dini acheni siasa, wana siasa wafanye siasa waachane na kuhubiri dini, na watu wa dini endeleeni na dini acheni siasa. Ila kusaidia jamii lisiwe jambo la kisiasa, we kiongoz wa kidini Kila siku mikutano ya kisiasa lin umewah kuwa na mkutano wa injili
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Жыл бұрын
Hamna Askofu hapa
@christineaimtonga1787
@christineaimtonga1787 Жыл бұрын
Baba askofu umenena vema isipo kuwa wengine hawawezi kukuelewa
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 Жыл бұрын
Wa TZ bwana ni kama wamerogwa vile mbongo zao. Nchi ilishambuliwa na mafisadi kwa miongo kadhaa ,watu wakalalamika,alitokea mtu akawadhibiti nakuanza kuinyanyua nchi kama muujiza vile. Mkalalamika oooh anavunja haki za binadamuuu.Hayupo, tumerudi kuleee chini ,Mnalalamika tena , hata akitokea mwenye nazo hajawaibia ,akasaisia watu, naye eti nimbaya? Vichwa vya ajabu mbele ya Mungu
@philbertchristian7166
@philbertchristian7166 Жыл бұрын
Hapa natofautiana na Askofu kidogo japo naheshimu mawazo yake. KUSAIDIA wahitaji ni tendo la huruma na linalopaswa kufanywa na kila mtu aliyeguswa. Swala la mtu kutafuta umaharufu au kutakatisha fedha, ni vigumu kulidhibitisha maana linamuhusu mtu mwenyewe na dhamira yake. Kauli kama hizi zinaweza kuwavunja moyo watu wenye nia njema ya kusaidia.
@lembriskivuyo9178
@lembriskivuyo9178 Жыл бұрын
Hivi pesa wazungu wanaletaga uku afrika mnajua zinapatikanaje.
@enocksosthenes4505
@enocksosthenes4505 Жыл бұрын
Nadhani tunahitaji kuwa na uelewa. Anaulizwa kitendo cha nabii kutoa fedha kwa waathirika wa soko kuungua na yeye analeta swala la lema. Swala la mfuko nadhani utalaumu mfumo kwa makosa binafsi leo kwenye Bima ya gari mfano kuna third party na comprehensive na ni uamuzi wawenye chombo na ipo hivyo kwa pikipiki. Hanuna tofauti. Ukikata bima ya comprehensive utalipwa asara inayopatikana ila ukiwa na third party atahudumiwa uliyemuatjiri pekee hivyo bima si shida. Swala la bima ya fya ni tofauti na kwa taifa letu haiathiri kundi moja tu la bodaboda watu wote wanachangamoto ya bima na ndo maana tunaelekea kwenye bima kwa wote. Hivyo hata kwenye masoko bima haijawekwa kama lazima hivyo ukiona kuna risk unaruhusiwa kuweka bima.
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Tuangalie msingi. Kwa hiyo wale watakaopenda dhambi na baadaye wakatubu na kuwa na utii hadi siku ya mwisho, watakuja kuhesabiwa dhambi?
@mollelmelita8106
@mollelmelita8106 Жыл бұрын
Ww mwamakula acha hizo ww sio mwanasiasa so acha siasa nashangaaa unamtetea lema maana ni mwanasiasa
@linusigeorge7404
@linusigeorge7404 Жыл бұрын
Uyu anawanyanganya maskini kanisan kwa kutumia jina la mungu ndizo andizo anatafutia kiki
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
🤔 ukisikiliza kwa umakini kuna vituunavipata. 🤝🌹
@josephsilupya6013
@josephsilupya6013 Жыл бұрын
toka ulianza kuvaa iyo cheo ya utumishi auyajuwaka kwamba Mungu niupendo atabima isaidiye 100% aijakuwa sababu mtu mwengine asisaidiye acheni wivu biblia inasema heri mkono wakutiwa kuliko wa kupokeya na mwasaidiyeni waomba
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 3 ай бұрын
Huyoo sio nabii ni msani ndugu zangu huyoo hapo sio nabiii ni katika wale mashetani mnao watafuta binadamu waungane nae mungu azihakiwi apo mjifunze huyoo na zumaridi amna tofauti jodevi sio nabii ni mtu tu wakawaida
@Veni584
@Veni584 Жыл бұрын
Hawa wamelambishwa asali wamehama kukosoa serikali sasa wanataka asali tena kwa nabii wanadili na wenye hela sasa
@hekimazaustaadhmashaka9724
@hekimazaustaadhmashaka9724 Жыл бұрын
Kwanza NABII MKUU hakukurupuka,aliombwa na Uongozi wa Solo la SAMUNGE kwa muda mrefu ndipo alipoamua kwenda kuwasaidia
@kambanimwanyulu7570
@kambanimwanyulu7570 Жыл бұрын
Huyo Gambo aliwahi kuzuia michango ya watu wakati basi lililo oata ajari na kuua wanafunzi.
@jamesmuthangya9843
@jamesmuthangya9843 Жыл бұрын
Nabii davie amefanya mambo ya mungu hao watu aliwazaidia niwatu wamungu pia sasa mukae kama watu wamungu asheni ma ya ushetani baba davie alishaindia watu wa mungu ashante sana nabii davie mungu akubariki sana💖💖🥰🥰🥰
@jamesmuthangya9843
@jamesmuthangya9843 Жыл бұрын
Hio ni bima ya mungu
@opportunities2767
@opportunities2767 Жыл бұрын
Umelamba asali @James Muthangya😄
@msafirikalinga6938
@msafirikalinga6938 Жыл бұрын
Akiwasaidia wafanyabiashara maana yake amewasaidia hata hao walemavu coz wengi ni ndugu wa wafanyabiashara na wanawategemea pia
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Huyu askofu vp, kwa Tanzania hapa uliona wapi wafanya biashara sokoni wana kata bima😄😆nyumba yenyewe watu hatukati bima
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Bakari Nduwimana umenifurahisha🤣🤣
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Hata kama anatoa kwa umaarufu ni sawa tu.maana anasaidia wanaojiweza bila shaka
@mchelechibuga8590
@mchelechibuga8590 Жыл бұрын
Tatizo una roho mbaya
@febronialyimo8585
@febronialyimo8585 Жыл бұрын
Elimu inasaidia mambo mengi. Elimu ya kuzaliwa na ya darasani. Fafanua mambo yanayotokea. Hivi kwa akili ndogo tu unaona hiyo hela ni halali!!!? Manabii wa uongo tutawajuaje? Kwa matendo yao. Biblia imesema. Vipofu na viziwi ni wengi Tanzania. Wakati manabii mabilionea wanaongezeka, na maovu, magonjwa, ukata, ubakaji, na uchafu mwingi vinaongezeka. Tunamtania Mungu ila mwenye macho haambiwi ona.
@chalessabaya2938
@chalessabaya2938 Жыл бұрын
Nabii mkuu anawasaidiaga wengi sana ndani ya kanisa acheni kuongea kitu msichokijua huo nyundo anaogongaga kanisani ni ya nn?
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 Жыл бұрын
Kwa mfumo wa nchi yetu kwa wafanyabiashara wadogo au wajasiriamali wengi hawana au hatuna bima..sasa kwa mfano imetokea umepatwa na shida, mtu mwenye nia njema asikusaidie?? Afu inabidi tuelewe mfumo wa kanisa katoliki katika kuidhinisha utoaji wa hela unaweza ukawa tofauti na mfumo wa dhehebu analoliongoza huyo anayejiita nabii mkuu kwahiyo tusipende kudisi kila kitu ambacho mtu anafanya.
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 Жыл бұрын
Huyu anaejiita nabii mkuu anataka umaarufu wa kipumbavu. Msaada wasaidie wasio jiweza kuna vilema wengi nchi hii. Vipofu viwete yanima nk. Kuwapa wasanii magari na wafanya biashara pesa huu ni ujinga wa FREEMASON. tujielewe unamoaje mtu msaada wa pesa mwenye pesa. Huu ni ujinga sana. Hii ni kaz ya shetani
@josephsilupya6013
@josephsilupya6013 Жыл бұрын
we ni mfarisayo wewe PESA yako unazitowaka wapi kama we ni maskini yeye nitajiri hela anazo na amesha saidiya WENGINE zaidi ya ayo Yesu alipomponya mgonjwa siku ya sabato mafarisayo wakachukiya sana ndiyo watu kama wewe
@winygidarossa9472
@winygidarossa9472 Жыл бұрын
Kwani samunge imeunguwa Leo? Mkubwa wapi siku Zote
@enocksosthenes4505
@enocksosthenes4505 Жыл бұрын
BIMA sio lazima kwa nchi yetu unatakiwa uelewe hivyo sio kila biashara ina bima. Acheni kukariri soma sheria za BIMA uelewe
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Ana mpinzani
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Watu hawajui kua Joe Dave ni mfanya biashara wa madini na biashara zingine, hata hategemei sadaka.
@eamsatellite2077
@eamsatellite2077 Жыл бұрын
Sasa msaada unatatizo gani alafu ndugu askofu wewe Ni mtu wa mungu ila una roho mbaya huo Ni ukweli pili usifananishe Tanzania na inchi zilizo endelea ambazo tunakopa pesa kutoka kwao ilo undoa alafu dini na siasa unakosea ,. Yani philosophy na psychology inanionesha katika paji lako la sura unaroho mbaya huna nuru kabisa Kama watu wa imani. Kwaiyo sadaka kikitoka huwa mnawapa slip ? Na kuna sadaka na pewa anza na watu binafsi au taasisi . Yule alicho kifanya iwe kwa umaarufu au sio kasaidia wengi katika soko lile wewe ndio ulie kuja na hoja hiyo. Tumuogope mungu sana
@thomasmagoti9040
@thomasmagoti9040 Жыл бұрын
Hili nilijinga
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 Жыл бұрын
Usiseme imesukwa mtu akienda kulalamika kanisani kosa liko kwa aliyelalamika sio aliyetoa msaada mbona lawama kwa nabii? Ww Samunge hukujua walipata majanga? Tatizo la watu ni ubinafsi wale watu walikosa mitaji na mali zao ziliteketea mlitakaje?
@gaitamaemmanuel
@gaitamaemmanuel Жыл бұрын
Aslofu kila siku kwenye siasa😮
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 Жыл бұрын
kama huo nisawa na utakatishaji fedha na mnaongea sana kama vile nikweli,mbona watu wa kanisa waligawiwa magunia ya fedha za watanzania mwaka ule mbona mlikaa kimyaaa?Rugemalila Funds escro.Mwacheni huyo aliye toa mfukoni mwake hakuiibia nchi kama Tegeta Escro.Anzeni na hilo kwanza
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 Жыл бұрын
Kiukweli umeongea vizur
@exsaverykomba7936
@exsaverykomba7936 Жыл бұрын
Kaongea upuuzitu
@haggaikinyau1395
@haggaikinyau1395 Жыл бұрын
Hivi Geordavie ni kwanza kuchangia jamii? Marehemu Mengi mbona alikuwa anatoa mamilioni hamkusema kitu? Hii tu ndo imekuwa nongwa?
@wanainchitvrdc6705
@wanainchitvrdc6705 Жыл бұрын
Excellent
@robertempire9542
@robertempire9542 Жыл бұрын
Unajua hizi siasa tunavyozitumia ipo siku watu watakosa misaada kwa hiyo hata wale waliotoa misaada kwenye maafa uturuki nao ni wahuni??? Me naimani sisi binadamu hakuna aliyekamilika bt Dk.Geo alitoa kwa wema tu Leo katoa 100m matumbo joto tu
@dicksonelisa867
@dicksonelisa867 Жыл бұрын
Hawa wahuni wa dini tu.huko kanisani kwako umewahi kuchunguza sadaka waumini wako wanazipataje?
@yohanasosimbwilo2039
@yohanasosimbwilo2039 Жыл бұрын
KUMBE YESU KUMPONYA YULE MTU SIKU YA SABATO ....alikosea amaaaa!!! Maana mafarisayo bado tunao ...Yan mtu asaidiwe haaf we mwingine uumie!!!!
@sebastianmwaphe497
@sebastianmwaphe497 Жыл бұрын
Askofu!!! Naona na zuchetto juu!! Tena rangi ya kikadinarli kabisa mh!!!
@msafirikalinga6938
@msafirikalinga6938 Жыл бұрын
Kuna madhehebu yana makanisa ya ghorofa lkn hawasaidii watu, mwacheni Nabii Mkuu awasaidie watu, wivu unawasumbua nyau nyie
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 Жыл бұрын
Tusihukumu Kama ametoa msaada na watu wamenufaika ni sawa Swala la kwamba anatoa kwa agenda gani ni yeye na mungu wake anayetuhesabianhakinsisi sotee
@elicanageorge1319
@elicanageorge1319 Жыл бұрын
NILICHOGUNDUA BONGO UKIWA NA HELA LAZIMA UTREND KIVYOVYOTE VILE. na usipokuwa na hela utakuwa mfafanuzi wa aliye na hela😁😁😁
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Nabii GeorDavie Ni Baba lao
@danieljoseph273
@danieljoseph273 Жыл бұрын
Hiyo nayo nielem kutoka mbinguni hakima ya Sulemani ndiyo inayo toka kinywani kwa askofu
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 Жыл бұрын
Mwamakula mi nimekuelewa
@jacobsabore9822
@jacobsabore9822 Жыл бұрын
Usitupunguzie mwendo goli moja ni milioni 5
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 Жыл бұрын
Lini unahubiri injili mbona Kila mara tunakusikia na mambo ya nchi TU? Ya mbinguni lini kweli sijawahi kukusikia ukitoa Nemo la mungu
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 Жыл бұрын
Ww swali unajibuje swali? Kama ww ni askofu husaidii watu? Ww unasema kafanys vby ww hata baya ulilolifanya liko wapi?
@masumbukosiyougomvi7900
@masumbukosiyougomvi7900 Жыл бұрын
Yawezekana mliomba kifadhiriwa mkanyimwa, mwovu akinyimwa huanzisha zari.
@frankcharles3980
@frankcharles3980 Жыл бұрын
Mwamakula nihadhina ya taifa
@yohanasosimbwilo2039
@yohanasosimbwilo2039 Жыл бұрын
Hivi kosa ni kutoa tuu iyo Hela...au....mana tukio la moto na nabii kutoa iyo Hela ni mbali mbali
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Mwamakula vipi zikiletwa kwako M 100
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 Жыл бұрын
Umeulizwa swali unakwepa .kauliza kwani jodev kafanya kosa kuchangia soko unaleta siasa.nimeamini we sio askofu ni tapeli na wivu unaku....
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 Жыл бұрын
Watanzania Mungu atusaidie tunapo ambiwa ukweli juu ya mifumo hatujui lolote ,Cha ajabu,Mambo ya msingi ya nchi,yanabebwa kisiasa.lakini jingine Mimi Nina wasiwasi na baadhi ya wanaojiita Niwatumishi wa Mungu,wanatumia muda mwingi kwenye malumbano,mbona maadili ya watumishi hayapo hivyo ,je watamwomba Mungu saa ngapi na malumbano hayo au Kuna kitu nyuma ya pazia?
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 Жыл бұрын
Tuongelee juu ya mifumo yetu hii yakikoloni tena mibaya kuliko yakikoloni,hii nyakisulutani na ukandamizaji.Lkini tuache kuongelea mtu binafsi asiye husika na Wakandamizaji.Hata mimi nikikaba nikipata angalau 2000 nitawapelekea hao walio pata mkasa
@coastermahenge8910
@coastermahenge8910 Жыл бұрын
hiyo pete nina wasiwas nayo harafu watu wa Mungu wote kwann upinge yanabii ??? harafu unaonyesha mwisho wa dunia manabii wauongoo kila nafsi iishii kiiman tu
@Philipoupdates
@Philipoupdates Жыл бұрын
Hizo ni Pete za kiaskofu ma askofu wa kkkt wanavaa wa Anglican wa romna
@sebastianmwaphe497
@sebastianmwaphe497 Жыл бұрын
@@Philipoupdates huyu Ni wa kanisa lipi Kati ya hayo maana sijamfahamu nisaidie ndugu
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Жыл бұрын
Hajaongea kitu, hata wanaotembea barabarani wanauhitaji, nia yake ya kutoa anaijua yeye msimpangie, sio kila mtu anamoyo wa kutoa,
@milley7185
@milley7185 Жыл бұрын
yani ni kweli tassili yake yaotwaje hakuitambulisha iila ni uhuni n'a nilijiuliza walipata kweli uhuni mwingi
@charlesmgonja8689
@charlesmgonja8689 Жыл бұрын
Baba Askofu umedandia gari Kwa mbele hukupaswa kuyasema hayo eti mifumo ya nchi ni mibovu.Mumefilisi KKKT Kwa ulafi wenu.Vipi kama fedha hizo zingeelekezwa kwako ungehoji haya.Acha chuki binafsi ww.
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 Жыл бұрын
Mnhhhhhhhh Nchi Hii 🥴🥴🥴 Allah Atunusuru na HAWA Waongo...
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Yani ana maanisha mtu akipata shida asisaidiwe, huyu askofu kapoteza dira, anachuki zake binafsi tu.
@abbiecox1
@abbiecox1 Жыл бұрын
MBONA WEWE NABII WA KINYAKYUSA HAHAHAHAHA MZEE WA MWANAKONDOO AMESHINDA DUH
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Hivi huyu Askofu bado yuko kazini au amestaafu? Maana kila siku yuko kwenye siasa na chadema. Kama hajastaafu atimliwe kabisa
@abbiecox1
@abbiecox1 Жыл бұрын
KINACHOKUUMA NINI HASA! BIMA IPO HATA HUKO ULAYA KUNA BIMA ACHA ROHO YA KUTU UMETUMWA NA KINA LEMA UMCHAFUWE MWENZAKO! KANISA LAKO LINA MATATIZO KIBAO SHUGHULIKIA YA KWAKO! KANISA LA LENNA HILO KAJITOA KAWAACHIA WANYAKYUSA
@msafirikalinga6938
@msafirikalinga6938 Жыл бұрын
Ko wewe unadisi nn kama hapo, huna hela kaa kimya, acha siasa kwenye matatizo ya watu weweee
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 Жыл бұрын
Mbona Wewe umetafuta umaarufu na umeupata 🤣🤣🤣
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
chadema kuwa na kiongozi kama lema ni upofu mkubwa
@revocatusmagezi2235
@revocatusmagezi2235 Жыл бұрын
Askofu kumbe wewe usingesaidia wahanga wa moto, hata kama wangekuja kwako wakakupigia magoti, wewe ni serikali, mfumo, bima, nk Sasa hivyo havipo wafanya biashara wasisaidiwe? Hata wao wanahitaji msaada wa pesa haijalishi katoa nani
@abibumbota5160
@abibumbota5160 Жыл бұрын
Ila wewe ni mjinga wivu tu unakusumbua na lema wako mtu anasaidia watu mnaanza midomo milefu huna akili wewe
@felixmsale9244
@felixmsale9244 Жыл бұрын
Wewe ni mtanzania Kiswahili ni Lugha yko ya asili ,Ingekua vizuri ungekua unaandika Lugha ya kistaarabu na bila kukashifu na kua na makosa makosa kama kushindwa kutofautisha kati ya R na L .
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Akili anazo lkn mawazo yake naye hayana utu. Ni wivu unawasumbua. Hivi wao wamesaidia nini ktk jamii? Mtu asiposaidia watasema anajisikia ameshindwa kusaidia masikini, akisaidia watasema anatafuta umaarufu. Pia kwa nn aungane na Lema kipindi hiki alikuwa wp kuyazungumzia siku zote hizo? Yeye awaachie wanasiasa naye aendelee kutuhudumia kiroho ili tuendelee kuwaamini. Kwa sasa nilitegemea kuona wanapambana kutoa elimu na kukataa Ushoga kwa nguvu zote.
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 Жыл бұрын
wendo fala umekujakusaidiwa hapaduniani ka uendele kusaidiwa fala wewe
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 93 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 22 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 08 SEPTEMBA 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,4 М.