MWAMPOSA ALIVYO MWITA DUDUBAYA KANISANI "WEWE KONKI NJOO HAPA" TAZAMA HAPA FULL VIDEO...

  Рет қаралды 101,148

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Күн бұрын

Пікірлер: 157
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 9 ай бұрын
Afadhali kakangu Mimi nimefurahi Kwa kutambua na kuam8ni kuwa Utapona,usijali na wanaoj8vunia uzima yakiwakuta watamtafuta mwamposa wenyewe kiburi Cha Mtu ni uzima alionao🎉🎉
@ptvtanzaniaonline6673
@ptvtanzaniaonline6673 9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Zaikadena
@Zaikadena 9 ай бұрын
Watamtafuta mungu au mwamposa apo ndomnapokosea ss ko mwamposa ndo anaponya au ?
@PASTOR_SHITINDI
@PASTOR_SHITINDI 9 ай бұрын
MUNGU ALIKUITA UIFANYE KAZI YAKE ILA ULIKUTANA NA MATAPELI WA INJILI WAKAKUHALIBU HATA HUJUI MUNGU ANAKAA WAPI NA WATUMISHI WAKE NI WAPI UMEONGEA PUMBA TUPO MWAMPOSA NI SHETANI LIVE.
@celestinermantenga2463
@celestinermantenga2463 9 ай бұрын
@@PASTOR_SHITINDI kama Yesu mwenyewe walitokea miongoni wakasema ni mwizi. Wewe utashindwa kumwita mwamposa ni shetani?? Waoneshe watu Mungu alipo wakapone na kufunguliwa!
@PASTOR_SHITINDI
@PASTOR_SHITINDI 9 ай бұрын
@@celestinermantenga2463 YESU YUPO KWENYE TABIA ZAO WAKIACHA DHAMBI (Akusamehe dhambi zako akuponye magojwa yako) HUYO YESU ANAE HUBIRIWA NA MWAMPOSA NI YESU MPUMBAVU SANA MAANA NI YESU ANAE WAACHA WAKIWA WAZINZI MALAYA WAHUNI VIBAKA MAFISADA N.K INJLI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU YAANI INJILI LAZIMA IONDOE TABIA CHAFU KWANZA NDIPO TUIJUE NI INJILI ?? WAUMINI WOTE ANAO TAPELIGI SADAKA MWAMPOSA NI NANI ALIE OKOKA ?? WAMEFATA UCHAFU UNAO ITWA UPAKO MAFTA KILA MALAYA UTASIKIA NAENDA KUFATA MAFTA KWA MWAPONSA PUMBAVU KABISA NTAFUTIE ENEO HATA MOJA MWAMPOSA ANAAWAAMBIA WATU WATUBU ? AU ANAKEMEA DHAMBI ? HUYO ANAHUBIRI UGANGA KWA JINA LA BIBLIA.
@luganojohn2673
@luganojohn2673 9 ай бұрын
Imani mbele na Mungu kwanza big up kwa mamba kafanya jambo jema sn
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 9 ай бұрын
ameen mtume ubalikiwe sana na mungu naomba mungu akulinde miaka 1000
@JamesIshimwe-hn1xx
@JamesIshimwe-hn1xx 12 күн бұрын
Mungu akulinde 🙏🙏💐💐
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 ай бұрын
Zaburi 121 4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli 5 Bwana ndiye mlinzi wako; Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume 6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. 7 Bwana atakulinda na mabaya yote Atakulinda nafsi yako 8 Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele
@georgembise7234
@georgembise7234 9 ай бұрын
Kama hayajakukuta utakejel sana sana!!!!!!!! lkn yakiikukuta utafunga mdomo na kuwaheshim watumishi wamungu hawa!!!!mungu akubariki mwamposa,mm sisali happ lkn nakueshim sana sana na ninawaheshim watumkshi wamungu.
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 9 ай бұрын
Kweli Kabisa
@jonathannzigo1339
@jonathannzigo1339 9 ай бұрын
Mbwa mwitu katika kondoo ameen
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 9 ай бұрын
Nakwambia hivi, hamna kitu unachokijua ndugu. Ww ni mjinga mpaka mwisho;!!
@georgembise7234
@georgembise7234 9 ай бұрын
@@MichaelMathew-j3f unaonekana unavuta bangi ongea yako ipo wazi unaishi maisha ya ajabu ajabu mno ndo mana una asira sana!!!si ajabu unaishi uwanja wa fisi!!!!nipe maadiko mawili matatu!!!uyo mganga wako anAekutapel nakukupotezea muda na kukufanya uwe zuzu!!!watu wa mungu mnWAITA MATAPEL LKN WAGANGA WAKIENYEJI MNAEAKUBALO!!!HUJIELEWI!!!!AO NDO WALE MNAOAMIN KWAMBA MTUMISHI WA MUNGU LAZIMA AWE MASIKNI!!!???LKN KUMBUKA UMASIKIN NI LAANA IMEANDIKWA IVO !!
@simonmapesa5639
@simonmapesa5639 9 ай бұрын
Mungu akubariki umeongea ukweli kabisa
@ShughamaloniSapurongoira
@ShughamaloniSapurongoira 4 ай бұрын
Aaaameeeeen Napokeya kufunguliwa kiuchumi kifamilia kiafya njema aaaameeeeen
@walterlema5736
@walterlema5736 9 ай бұрын
Mungu anajua mwenyewe...ila kama mtu akimbadilisha mwenzake kutoka kusikofaa na kumleta Kwa Mungu naamini Mungu hamwachi nakumbuka Saul...baadae Paul
@PhilomenaSteven-tq2tx
@PhilomenaSteven-tq2tx 9 ай бұрын
Barikiwa ni usubutu umekwenda sehemu salama 🙏🙏🙏🙏 barikiwa
@LucasKaik-vl3yk
@LucasKaik-vl3yk 7 ай бұрын
Mungu Siyo kwaba hufurahia watu kupona magonjwa, kufunguliwa hata shetani anaweza kumponya mtu, bali Mungu anasema Furahini kwa kuwa majina yenu yameandikwa mbiguni.
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 9 ай бұрын
Bora umeenda huko kuliko tungesikia mange anavideo yako pamoja sana bwanamkubwa.
@vanesaathanas2800
@vanesaathanas2800 9 ай бұрын
Wote mnaoandika koment za kejel Mungu awasamee amjui mlitendalo ata Yesu walimkataa Sembuse Mwamposa baba tuponye
@chulelubella2819
@chulelubella2819 6 ай бұрын
Kapotea kaenda Kwa shetani
@C7Christian
@C7Christian 9 ай бұрын
Wamama wamejaa😂😂😂 wanapenda miujiza kupitiliza.. mutabalikiwa😅
@alphadreammedia
@alphadreammedia 9 ай бұрын
😊😊😊😂😂
@mthiaspaul
@mthiaspaul 9 ай бұрын
safi sana Mungu anamponya kwa Jina la Yesu Kristo.
@mengikiguruwe6750
@mengikiguruwe6750 9 ай бұрын
Ila Konki Mamba ameshindikana badala ya kuanguka yeye kakaza shingo tu😂😂
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 8 ай бұрын
Mungu akamtendee huyu kaka
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge 9 ай бұрын
Bora kaka mkubwa umetambua uwepo wa Mungu.
@user-us1kr7lc5n
@user-us1kr7lc5n 7 ай бұрын
Naomba ujibu maombi yangu mungu wangu kupitia mtumishi wako mwamposa nifunguliwe😂😂😂
@sakaraboy8951
@sakaraboy8951 9 ай бұрын
Mbona Sasa Konk Master Ajaangukaaaa kuashilia mapepo kumtokaa 😂😆😂
@RamsoKomba
@RamsoKomba 8 ай бұрын
Mungu ni mwema ❤❤❤❤❤❤
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 9 ай бұрын
Mwamba mgumu hata kwenda chini kagoma😂😂😂😂😂
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 9 ай бұрын
😂😂😂 Bangi Nyingi Sana Humo Kichwani😂😂😂😂
@user-us1kr7lc5n
@user-us1kr7lc5n 7 ай бұрын
Mungu tazama leo niota ndoto naachwa mchumba wangu ameniacha naomb unisimamie mungu
@bossmtoto133
@bossmtoto133 8 ай бұрын
Mapepo ya konki ayataki kuanguka😂😂😂😂
@mwitajoseph8315
@mwitajoseph8315 9 ай бұрын
Kila mtu aamini kile anachokiamini kiukweli simkubali sana mwamposa ila acha aponye na kusaidia kwa uwezo wake na mkristo mwenye hekma na maarifa huna sababu za msingi za kumkejeli maana halazimishi na kuna wengi waliopona kupitia yeye tumuache na kazi yake
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 8 ай бұрын
Good This is maturity
@user-cx2ps9vs1v
@user-cx2ps9vs1v 9 ай бұрын
Amina
@user-jp1qe2wb1e
@user-jp1qe2wb1e 8 ай бұрын
Papa wenu fransisi kaluhusu mapenz ya jinsia moja mko tayal😅😅😅
@JumanneFaustin
@JumanneFaustin 8 ай бұрын
Allah Anatuuzia kitimoto Tupo bze kula kitimoto siunajua skukuu hizi ndugu
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 8 ай бұрын
​@@JumanneFaustinmmeruhusiwa kipigana miti wakiristo
@JumanneFaustin
@JumanneFaustin 8 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106 mganga w kienyej ni muislam yupo ananchorea kuruani tukufu kwenye mayai na vyungu na Nazi ili nikavitupe njia panda, siunajua waganga weng ni dini yetu y kiislam
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 8 ай бұрын
Mungu ni mwema nilisemaga nenda kwa mwamposa, utapona kama mimi nilipona wewe ni nani? Mungu ni mwema
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 8 ай бұрын
Mnamkejeri mwamposa wakati mama na dada zenu wamejaa kanisa pamoja na wajomba zenu,
@petercostakisoka
@petercostakisoka 8 ай бұрын
Acha amurudie mungu amefanya mahasi mengi
@EvaMkevela
@EvaMkevela 8 ай бұрын
Ubarikiwe
@user-uy4tw2ug6o
@user-uy4tw2ug6o 9 ай бұрын
Amina mtumishi
@celestinermantenga2463
@celestinermantenga2463 9 ай бұрын
Mungu yupo anaponya, anabariki, anaokoa na anatulinda, Lakini mwanadamu akiwa mzima, kacheo na tupesa kadhaa anajifanya hajui, siku akifikia hatua ya mwisho yupo kitandani wiki au mwezi hawezi ata kugeuka ndo anaanza kulia na kumtaja Mungu nisaidie!!!! Na siku hiyo lazima ipo mbele tunakoenda ama magonjwa, ama uzee coz huwezi ishi miaka 150. Tunapenda kuishi lakini hatupendi kufa,but kufa ni lazima cyo hiari. Hata wakati Nuhu anatengeneza safina, wengi walisema kachanganyikiwa na uzee, jua kali hivi mvua itatoka wap! Mwisho waliisoma namba.
@oscarkalihamwe1621
@oscarkalihamwe1621 8 ай бұрын
Mimi nachojua cha kwanza nikuombewa toba ya kwelii sasa mtu anatamkiwa baraka haambiwiii kukaa mbalii na dhambiii neno dhambi linafichaa** watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifaa*/
@haikamakinda822
@haikamakinda822 8 ай бұрын
Unaskia anaomba anamuombea rehema ? Na unajua alivyokuwa kuwa nae ofisn alimshaur nn au unaongea tuu Kama mtu ambae Hana maarfa
@stevensteve7519
@stevensteve7519 8 ай бұрын
Mtume Mungu azidi kukutumia kwa maana neema aliyokujalia imekua msaada mkubwa kwa wanadamu. Hakika Mungu yu pamoja nawe.
@user-fs7bs6gy4z
@user-fs7bs6gy4z 8 ай бұрын
Mtume wa mchongo !naijua iyo ,Yesu aligundua mapemaa ....zama za kuepo mitume ziliisha kitambo hao wanapiga mkwanja tu waishi maisha mazur kupitia nyny walioroga akili zenu
@ikupamwaisoba2068
@ikupamwaisoba2068 8 ай бұрын
Mungu uliye hai jitukuze kumponya na kumuinua Tumaini kwa kuwa amekukimbilia wewe Bwana asijeabika kwa haki yako umponye na kumstawisha ktk kila hatua ya maisha, Mungu zidi kumuinua pia Mtume mwamposa ktk haya yote uliyomtuma kufanya huku duniani
@user-lh4ke8tx2s
@user-lh4ke8tx2s 8 ай бұрын
Mbola ya kongi kakimbilia mazabau ya mungu, we kila siku unabadilisha waganga, sasa nan yuko sahii mwamposa anaemtaja mungu au wewe unaewashaul marafc zako muende kwa waganga? Tusali ndugu.
@eliadaniel216
@eliadaniel216 9 ай бұрын
Safii sana kaka dudu baya uamuzi sahihi saana
@violetnjau9312
@violetnjau9312 9 ай бұрын
Jaman kikubwa ni Imani tuu,,, Mungu yupo na Anaponya
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 9 ай бұрын
High level of utapeli
@barakalukumay
@barakalukumay 9 ай бұрын
Umetapeliwa nini Bwana tuambie tujue ulichotapeliwa kwani ulilazimishwa kipi
@williammkenda5879
@williammkenda5879 9 ай бұрын
Puuuu dudubaya pokeaaa
@TumaKaminyoge
@TumaKaminyoge 2 ай бұрын
AMEEEEEEEEEN AMEEEEEEEEEN AMEEEEEEEEEN
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 8 ай бұрын
Tapeli
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 8 ай бұрын
I'm proud of being Muslim
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 8 ай бұрын
.. na Allah azidi kukujaalia afya njema, ili utakapoona wanaoumwa ni wapumbavu tu bali wewe ni bora kuliko wao.
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 8 ай бұрын
Allah yupo busy kuuza kitimoto hana muda na nyie kenge
@user-vg8cd8pf2o
@user-vg8cd8pf2o 8 ай бұрын
I am proud of being a Christian
@henrykwambaza7145
@henrykwambaza7145 8 ай бұрын
Utakuja tu
@yakobokakuni-jm2un
@yakobokakuni-jm2un 8 ай бұрын
Amen
@allymkazi2775
@allymkazi2775 8 ай бұрын
Muongo tuu huyo tapeli Hana lolote dawa mafuta ya upako ananunua kwa waislaam
@ernestsinje-ng8hm
@ernestsinje-ng8hm 8 ай бұрын
Konki master kaombewa...
@adilhabib8988
@adilhabib8988 8 ай бұрын
Mmmmmmmmmhh
@Chagha_lee_69
@Chagha_lee_69 8 ай бұрын
Sawa
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 9 ай бұрын
Konki master fire
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 9 ай бұрын
Mungu wa MWAMPOSA ni MUNGU wa KWELI wala hapepesi,ukiona aibu kwa MUNGU kazi kwako😂
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 8 ай бұрын
Alhamdulilah najivunia kuwa muislamu
@user-tm9ih1ry7l
@user-tm9ih1ry7l 8 ай бұрын
Umeligeuza kanisa kuwa soko wewe Mwamposa
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 8 ай бұрын
Mbona anamtemea mate sasa 😂
@annakamwela9047
@annakamwela9047 9 ай бұрын
Baba mwamposa naomba niombee nipokee ujauzito kabla mwezi na mwaka huu kuisha
@rashidibakari
@rashidibakari 9 ай бұрын
Tafta mume
@shukuranikibona5893
@shukuranikibona5893 8 ай бұрын
Umeolewa na unaishi wapi.!?
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 8 ай бұрын
😂eti alivyomwita konki Nimecheka Ila its Good km umeamua kiukweli kuja Kwa Yesu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 ай бұрын
Isaya 56 10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto hulala, hupenda usingizi. 11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote. 12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi,
@IssayaMkalawa
@IssayaMkalawa 9 ай бұрын
Yohana 18:19 Basi Kuhani Mkuu akamwuliza Yesu habari za wanafunzi wake, na habari za mafundisho yake. Yohana 18:20 Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu waziwazi; sikuzote nalifundisha katika sinagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi wote; wala kwa siri mimi sikusema neno lo lote. Yohana 18:21 Ya nini kuniuliza mimi? Waulize wale waliosikia ni nini niliyowaambia; wao wanajua niliyoyanena. Yohana 18:22 Basi aliposema hayo, mtumishi mmojawapo aliyesimama karibu alimpiga Yesu kofi akisema, Wamjibu hivi Kuhani Mkuu? Yohana 18:23 Yesu akamjibu, Kama nimesema vibaya, ushuhudie ule ubaya; bali kama nimesema vema, wanipigia nini?
@IssayaMkalawa
@IssayaMkalawa 9 ай бұрын
Mathayo 9:10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake. Mathayo 9:11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi? Mathayo 9:12 Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi. Mathayo 9:13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi. Marko 2:13 Akatoka tena, akaenda kando ya bahari, mkutano wote ukamwendea, akawafundisha. Marko 2:14 Hata alipokuwa akipita, akamwona Lawi wa Alfayo, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate. Akaondoka akamfuata. Marko 2:15 Hata alipokuwa ameketi chakulani nyumbani mwake, watoza ushuru wengi na wenye dhambi waliketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake; kwa maana walikuwa wengi wakimfuata. Marko 2:16 Na waandishi na Mafarisayo walipomwona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi? Marko 2:17 Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi. 2 Wathesalonike 3:10 Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula. 2 Wathesalonike 3:11 Maana twasikia kwamba wako watu kwenu waendao bila utaratibu, hawana shughuli zao wenyewe, lakini wanajishughulisha na mambo ya wengine. 2 Wathesalonike 3:12 Basi twawaagiza hao, na kuwaonya katika Bwana Yesu Kristo, watende kazi kwa utulivu na kula chakula chao wenyewe. 2 Wathesalonike 3:13 Lakini ninyi, ndugu, msikate tamaa katika kutenda mema. 2 Wathesalonike 3:14 Na ikiwa mtu awaye yote halishiki neno letu la waraka huu, jihadharini na mtu huyo, wala msizungumze naye, apate kutahayari; 2 Wathesalonike 3:15 lakini msimhesabu kuwa adui, bali mwonyeni kama ndugu.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 ай бұрын
@@IssayaMkalawa sijakuelewa naona umetuma gazi zima mi nimekwambia biblia imewaita wachungaji mpwa je unakata hilo andiko
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 ай бұрын
@@IssayaMkalawa 1 Wakorintho 11 17 Lakini katika kuagiza haya, siwasifu, ya kwamba mnakusanyika, si kwa faida bali kwa hasara. 18 Kwa maana kwanza mkutanikapo kanisani nasikia kuna faraka kwenu; nami nusu nasadiki; 19 kwa maana lazima kuwapo na uzushi kwenu, ili waliokubaliwa wawe dhahiri kwenu. Biblia inasema mnapo kusanyika kanisani kuna faraha na lazima kuweko na uzushi ndio hayo tunajionea
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 ай бұрын
@@IssayaMkalawa we ndugi yangu hicho kitabu chako unakiamini nikuulize swali kwa kupitia kitabu chako
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 9 ай бұрын
Kweli DUDU NI WA KUOMBEA, MZIKI UMEGOMA, KIKI ZIMEGOMA , KAFULIA
@Hajra-ol9mo
@Hajra-ol9mo 8 ай бұрын
Mmepotea
@rymax7790
@rymax7790 8 ай бұрын
Wew konki😂😂
@JimmyClassic-nq3uo
@JimmyClassic-nq3uo 9 ай бұрын
Dudu baya kagoma kuanguka
@maduhueddy5076
@maduhueddy5076 7 ай бұрын
Kashakula vyuma hadondokiiiii weweeeeeeeeeee…. Yan wote na Chid benz wameombewa na hawajadondokaaa… Ila mwajumaaa sasa ukiombewa bana na wakat wote tunajua maisha ya wasanii ni hanasa 90% Chid mla poda na ngiba ila hajadondokaaa na Godfrey mla Don nyati na embasy piaaaa wimaaaaa😂😂😂😂
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 7 ай бұрын
Mbona hajaanguka kama vile tumezowea hua?
@LukusaFrank-dg1ib
@LukusaFrank-dg1ib 9 ай бұрын
Kweli konki ajakwenda chini😅😅
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 9 ай бұрын
Haya ni maombi au mazingaombwe!!!???
@sabdiduwil8436
@sabdiduwil8436 9 ай бұрын
Mungu huyo anamsikiliza mwaiposa,yeye ndiye mungu. Anaamrishaa mponye,anatii amri. Hao ni majini ndio washirika wake👹👹👺
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 9 ай бұрын
Dudu baya umepewa sh. napi
@Ericzdeking24
@Ericzdeking24 8 ай бұрын
KWA YESU KILA KITU KINAWEZEKANA
@barakalukumay
@barakalukumay 9 ай бұрын
Wooote mnao andika post za kejeli wala siwashangai na wengi ni wakristo kabisa mna majina ya kua hai mngali wafu hamsomi wala hamjui maandiko hakuna siku mtakayo tulia kwa ajili ya mambo yenu kama kweli wewe ni mkristo na unajiona kabisa uko sahihi basi na wewe fungua kanisa lako someni maandiko acheni umbea soma maandiko elewa neno
@user-io2ej3ex2p
@user-io2ej3ex2p 9 ай бұрын
Dudu BAYA umeangukia mudomoni mwa kuzimu
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 9 ай бұрын
Atapona konki
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 9 ай бұрын
baada ya hapo toeni sadaka ,,mwamposa aende kununua range rover 😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 9 ай бұрын
Hata Muhamad alichukua sadaka Kwa waumini akanunua ngamia😂
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 ай бұрын
​@@paulmushi2428Muhammad au mwamedi wa mtaa wenu ? Sisi miskitini hatuna izo na hakuna wakuibia watu kijanja sadaka hiari na hailazimishwi na kila mtu ananafasi yakumuomba Mungu moja kwa moja na si kumtègemea mtu nyie mnabadili mlianza na kakobe mkakimbia mkaenda kwa wa upako mara Gwajima saaa hivi mnajaa kwa mwamposa akija mwingine mtaenda tena
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 9 ай бұрын
@@paulmushi2428 usifananishe mtume wetu Muhammad na mwamposa ,,,mtume Muhammad ilikuwa akitoa chakula nyumbani kwake akipeana Kwa maskini yeye akilala njaa akinywa maziwa Tu na tende ,,,mwamposa anafanya hivo ?????????
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 9 ай бұрын
@@paulmushi2428 waislamu hatulazimshwi wala hatuendi msikitini na wanawake kushikwa maziwa na sheikh
@josephkiwale374
@josephkiwale374 9 ай бұрын
​@@muzafarsharif9465Mo drink milk and ate date?wow
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@richardgeorge5377
@richardgeorge5377 9 ай бұрын
Huja lazimishwa kila mtu na iman yake Seleman alikuwa tajiri huo utajiri aliupata wapi? Ukijuwa hayo huta pata shida
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 9 ай бұрын
Wanajikutaga wao wapo sahihi na wao ni wahukumuji wa wengine.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 ай бұрын
Watu wangu wamepotea kwa kukosa kujua maandiko
@violetnjau9312
@violetnjau9312 9 ай бұрын
Amepotea wap xx ulitaka aende bar ndio atakuwa amefuata maandiko?
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 ай бұрын
@@violetnjau9312 1 Wakorintho 11 17 Lakini katika kuagiza haya, siwasifu, ya kwamba mnakusanyika, si kwa faida bali kwa hasara. 18 Kwa maana kwanza mkutanikapo kanisani nasikia kuna faraka kwenu; nami nusu nasadiki; 19 kwa maana lazima kuwapo na uzushi kwenu, ili waliokubaliwa wawe dhahiri kwenu. Biblia ishakwambia kanisani kuna uzushi
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 ай бұрын
@@violetnjau9312 kwani kanisani na bar kuna tofauti gani hebu niambie bar kuna pombe kanisani ipo mnaiita divai bar kuna mziki kanisani upo mziki bar wanawake wanava uchi kanisani ndio hivyo hivyo wanawake wanavaa vimini
@wilbertkemeli8869
@wilbertkemeli8869 9 ай бұрын
@@alzawahirabdallah2299 kama mtu huwez kutofautisha tofauti ya bar na kanisa ni dhahiri akili.zako haziko sawa kichwani
@msuyamoses5452
@msuyamoses5452 9 ай бұрын
​@@alzawahirabdallah2299 HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME???? KUOA mtoto wa Darasa la kwanza mwenye miaka sita........ Six years 6 vi sita... 1. Muhammad alizini na kijakazi 2. Muhammad alikuwa na changu doa 3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake 4. Muhammad alikuwa Mlevi 5. Muhammad alikuwa amerogwa Wengi wenu labda hakuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah. MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako. (Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367) Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume? MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOASunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake". Hakika Muhammad alikuwa ni Nabii wa Shetani anaye fuga Watumwa na kuedekeza uzinzi. MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah. Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 9 ай бұрын
Amempuliza hahahahahaa raha sana. Ila nasikitika!!
@flxgreen6346
@flxgreen6346 9 ай бұрын
Fafanua kwanini unasitikitika ingali umeckeka pia?
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 9 ай бұрын
Ww mwenyewe huna mda tutakukuta siku moja Huko kataaaa!!!!!
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 9 ай бұрын
@@agustinohizza1395 hahahahahaha unanifanya nicheke tu
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 9 ай бұрын
@@flxgreen6346 nilipokuwa naendaga kwa waganga wa kienyeji nilikuwa nachanjwa afu natemewa mate pamoja na kupulizwa, sasa hii imenichekesha sana. Sikitiko langu ni kwamba watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. Hawajui hawa watu ni wa aina gani!!! Watu wengi hawajui. Anyway nimenyamaza naangalia tu!!
@flxgreen6346
@flxgreen6346 9 ай бұрын
Nipe sababu kwanini nisiende !
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 9 ай бұрын
Ana hotel la kifalme ila wanaosali hapo kila skuuu wanakopa pesa kupeleka kwa mwamposa
@rashidisaidi8535
@rashidisaidi8535 9 ай бұрын
Ha hq ha
@iddyissa8110
@iddyissa8110 9 ай бұрын
Kweli kabisa
@CharlesSomeke-ml7ju
@CharlesSomeke-ml7ju 9 ай бұрын
Umetumwa uende?
@celestinermantenga2463
@celestinermantenga2463 9 ай бұрын
Kama mwamposa anaombea watu wanapona na kubalikiwa watu wanasema siyo nguvu ya Mungu!! SWALI: JE ATOKEE MTU AOMBEE WATU WAPATE MAGONJWA,MAPEPO,UPOFU, ULEMAVU NA UMASIKINI NDO ITAKUWA NGUVU YA MUNGU??????????? Jaman.
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 9 ай бұрын
Kanisa gani hawatoi sadaka , je viongozi Mali walizonazo waimini wengi wanazo? huu ni mfumo tulioupata tangu ukoloni hadi Leo so hakuna wa kulaumiwa
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 9 ай бұрын
Ushirina Tu
@user-io2ej3ex2p
@user-io2ej3ex2p 9 ай бұрын
Uliko tumbukia utajuta kutoka wewe nenda uwekwe mwenye chupa usubili kutumikiswa utawakuta wengi huko
@rassanleezedon6861
@rassanleezedon6861 9 ай бұрын
dudu baya hii mara ya ngap vile
@kajinjirashid5590
@kajinjirashid5590 8 ай бұрын
𝗠𝗞𝗢𝗥𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔..𝗜𝗗𝗜𝗢𝗧
@Moses-Kuria
@Moses-Kuria 9 ай бұрын
Amejifanya mjinga mda mrefuu sanA leo kaja kufanya ninii
@Moses-Kuria
@Moses-Kuria 9 ай бұрын
Ujinga haina dawaaa
@Moses-Kuria
@Moses-Kuria 9 ай бұрын
Ujinga wa kujitakia
@mthiaspaul
@mthiaspaul 9 ай бұрын
safi sana Mungu anamponya kwa Jina la Yesu Kristo.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 ай бұрын
Isaya 56 10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto hulala, hupenda usingizi. 11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote. 12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi,
@maikorafael4001
@maikorafael4001 9 ай бұрын
Hallelujah ubarikiwe kwa kufanya kazi ya mungu
@user-jz7td8kb6n
@user-jz7td8kb6n 8 ай бұрын
Amen
JENGA MSINGI WAKUJUA CHANZO CHA MAISHA YAKO.
12:40
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 19 М.
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,1 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 37 МЛН
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 61 М.
UJUMBE WA MONICA DAVIE KWA MARA YA KWANZA 2023 - GeorDavie TV
32:44
GeorDavie TV
Рет қаралды 169 М.
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 430 М.
UONGO MTUPU MIUJIZA  EV PASCHAL CASSIN
26:01
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 13 М.
Hizi hapa dakika 15 tu! za Kufurahi na Mch. Hananja. UDSM CCT.
15:29
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 956 М.
LEO NI KAMATA MWIZI .
20:48
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 34 М.
Sijawahi Kusema, Ninao Maadui Mtume Mwamposa
41:00
Chomoza Tv
Рет қаралды 56 М.