No video

MWAMPOSA ATOA NENO KWA MARA YA KWANZA BAADA YA VIFO VYA WATU 20 MOSHI | WALIOKANYAGA MAFUTA.

  Рет қаралды 328,348

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kutokea kwa viifo vya watu 20 waliokanganya mafuta kwenye ibaada yake Moshi.

Пікірлер: 918
@elisantemsuya1399
@elisantemsuya1399 4 жыл бұрын
Mungu ni Neema na Rehema, Mungu akuinue zaidi mt mwamposa
@shukhuranpetro5796
@shukhuranpetro5796 3 жыл бұрын
Hakuna uponyaji kwenye mafuta someni maandiko
@merysamwel3100
@merysamwel3100 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua MTUME NA NABII WA MUNGU. Usijali maneno yao. Mungu yupo pamoja na wewe. We love you dady
@winifridasylivestermachila9490
@winifridasylivestermachila9490 4 жыл бұрын
Ameni Mwamposa hata Yesu alifanya mengi mazuri lakin bado majaribu yaliibuka na hata kuuwawa kama ilivyo kawaida uongo na ukweli Ni vitu ambavyo havishabiiani kwa hiyo Kwakuwa Mungu hana chakufananishwa nacho wala wakufanana nae basi Ukweli utabainika na usisahau kuwa Kuna maadui wasiofurahia kabisa hata uwepo wako Ila Mungu akutie nguvu katika hili Mungu ajidhirishe pia katika hili inauma kwa ndugu waliopoteza ndugu zao Ila Mungu awatie nguvu katika Dunia kunaimani nyingi sana na kila mwanadamu ana Imani yake ambayo ana Amini Ni msaada kwenye maisha yao kwahiyo tusihukumiane kwa Ajili ya imani ya mtu Mwingine prngine wewe ukajiona Bora lakini kwake Mwenyezi Mungu so bora Tumuombe Mungu atujaalie Mwisho ulio Mwema na Tukaijue kweli na Kuifuta kweli hiyo 🙏
@justinejulius3544
@justinejulius3544 4 жыл бұрын
Mwamposa ni mstarabu sana. .Jamaa wala hafanyi act nimeshawai kukutana nae sura kwa sura. . Anabusara sana. Mungu anasimamia. . Na wafiwa mungu awape nguvu
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
Duu wee na yeye ni mashetani ya kihindi
@justinejulius3544
@justinejulius3544 4 жыл бұрын
Tatizo unahukumu bila kujua uwezo wa Mungu. ... Mungu anajua yupi yupo sahihi. .. Sisi ni wanadam tutarudi udongoni wala hatutakiwi kuukumu
@simonmtuka8473
@simonmtuka8473 4 жыл бұрын
@@justinejulius3544 kaka siyo kosa lao ni kosa la wale wanaopandikiza mbegu za chuki ktk mioyo yao badala ya upendo
@fraycokahise7932
@fraycokahise7932 4 жыл бұрын
Mengi yatazungumzwa ila ukweli hautakuja kueleweka kwamba ni mafuta ya kweli au la,la msingi ni watu kumwamini Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yao na kuishi maisha ya utakatifu tu ndio dawa pekee. Mtu mwenye uwezo wa kujua imani ya uongo ni ipi ni yule ambae ana ukaribu wa hali ya juu sana na Mungu katika Kristo Yesu. Wengi wanaotoa hukumu katika hili hata wao maisha yao ni machafu kwa hiyo hawawezi kutoa tafsiri sahihi. Dunia inapita pamoja na mambo yake,la msingi ni kuikwepa dhambi kwa nguvu zote na kumchukia Shetani na kazi zake kwa nguvu zote,tofauti na hapo ukweli hautajulikana na Mungu atanyamaza kimya maana wote ni wachafu hakuna wa kumkosoa mwenzake tunaishia kutapatapa tu. Nichukue nafasi hii kuwapa pole wafiwa,wanapitia vipindi vigumu tusivyovijua.Wapo ambao huenda wanefariki wakiwa wamemwamini KRISTO na huenda wamerudi kwake. Tusitukane wala kubishana,dawa ya kuushinda ubaya ni kwa kutenda mema,ukitaka kuujua uongo ni lazima uujue ukweli kwanza, na ukitaka kumkosoa mkosaji jitakase wewe na uwe na ushuhuda mwema moyoni mwako kwanza. MUNGU AWABARIKI.
@simonmtuka8473
@simonmtuka8473 4 жыл бұрын
Amen
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 4 жыл бұрын
Kweli tupu
@salumhemed2437
@salumhemed2437 4 жыл бұрын
Apo umeenena
@jofreysanga9520
@jofreysanga9520 4 жыл бұрын
Umeongea kitu sawa kabisa. Ubarikiwe sana
@jenngenes2364
@jenngenes2364 4 жыл бұрын
Tuamini mafuta au tumwamini yesu nakama tuna mwamini yesu mafuta yana faida gani katika ibada kumekuwa na ukristo maigizo sana na ndio unatumaliza sisi wakristo
@tanunewstz
@tanunewstz 4 жыл бұрын
Jim uko vizuri sana mungu akubatiki na nakutakia Sunday njema
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 4 жыл бұрын
Safi sana, Mungu ni Mtenda Miujiza,.... Nilisema kama ni Mungu huyu Atakuokoa ila Kama sio yeye unayemtumikia usingekuwa huru kwa Dhamana, Mungu awe pamoja nawe Siku zote.
@davidwatson4294
@davidwatson4294 Ай бұрын
Mwamposa number one Mungu amlinde mtume wetu Aleruhja Aleruhja Aleruhja 🙏🏽
@enockchaula6292
@enockchaula6292 4 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, maarifa ni neno la mungu yesu alisema hao manabii wa uongo mtawatambua kwa matunda yao mti mzuri huzaa tunda zuri mti mbaya huzaa tunda baya matunda ni matokeo ya kazi zao ,,uliskia wapi watu walikufa katika huduma ya mtumishi wa kweli wa mungu,,, watakufa sana maana walipuuzia neno
@tiagomilanzi3290
@tiagomilanzi3290 2 жыл бұрын
MKUTANO WA Yesu watu wanakufa vp Kwa KUKANYAGANA? Hio damu iliomwagika hapo inaenda wp?
@engineertarimo7345
@engineertarimo7345 4 жыл бұрын
Mtangazaji yuko smart sana kwenye kuuliza na kuhoji
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Жыл бұрын
Kila bays na zuri in kutoka kwake Mungu. Tuseme alihamdulillah jina LA Bwana lihimidiwe. Pole bonifas mtumishi Wa Mungu pole wafiwa wore Mungu awatie nguvu
@alicexavery1147
@alicexavery1147 4 жыл бұрын
Piga injili baba...injili lazima isonge mbele...majaribu ni mtaji..siyo lazima Kila mtu akuelewe...hata Yesu hakueleweka kwa Kila mtu Na hakulazimisha mtu kumwamini Na kumfata....Roho za marehemu zipumzike kwa amani...Wafiwa roho mtakatifu awape faraja yake... Amina
@helencharles2363
@helencharles2363 4 жыл бұрын
Nakuombea sana uishi miaka miamoja kaka Yangu mwamposa umenionyesha njia yakupita ili nisimchukize mungu wangu ubarikiwe sana
@shukhuranpetro5796
@shukhuranpetro5796 3 жыл бұрын
Herena soma maandiko utaujua ukweli,hakuna mungu kwenye mafuta,chumvi,kitambaa,sabuni nk
@alvaamisse7510
@alvaamisse7510 Жыл бұрын
Ni nabii wa wongo anaongozwa na freemason
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 7 ай бұрын
​@@alvaamisse7510 Jesus Kristo ni bwana na mwokozi wa dunia
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 7 ай бұрын
​@@shukhuranpetro5796 Yesu Kristo anaweza yote
@godlivingjacobissangya8530
@godlivingjacobissangya8530 4 жыл бұрын
Ukweli anajua Mungu moyo wa mwanadamu ni kichaka aonae ni Mungu tu
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 4 жыл бұрын
Mungu Azidi kuwa pamoja nawe achana na wanaokutukana Mungu atawabananisha kisawasawa, na watakuja kukuomba msamaha na Watafunguliwa, Na nguvu ya Mungu itendayo miujiza, waache wengine watapigwa na Ukoma hivi hivi wanajiona na lengo ni kufunzwa,.. Maandiko yanasema Usiwaguse wapakwa mafuta wa Bwana, sasa wewe endelea utakiona unachokitafuta. Mimi sio muumini wa dhehebu la Mwamposa ila ninaheshimu Mafuta aliyopakwa, nina amini Huduma zote Tano za Mitume na Manabii, Wainjilisti Wachungaji na walimu. 🔥 🙏 🔥
@boniphacemvungi9317
@boniphacemvungi9317 2 жыл бұрын
Pole
@isayajerad
@isayajerad Жыл бұрын
wewe unafikiri mungu Ni wa kijinga kijinga tu anatumia Kira fara tafuta roho mtakatifu acha ushabiki maana Kira mmoja atasimama mbere za mungu kutoa hesabu
@reyjohnson624
@reyjohnson624 2 жыл бұрын
MUNGU msaidie Baba Yetu aendelee kuombea watu kwa Iman iliyo yakwer nawatu wazidi kumwamin MUNGU AMINA
@alvaamisse7510
@alvaamisse7510 Жыл бұрын
Hakuna hioo ata kamana mtamlilia mara ngapi Mungu hawezi saidia mtu wa shetani kama alivyo mwamposa wenu
@deuslwanga1426
@deuslwanga1426 4 жыл бұрын
YESU alisema mtaweka mikono juu ya wagonjwa nao watapata Afya, yametoka wapi ya kukanyagishana mafuta? Waurimwengu mwogopeni MUNGU
@georgebushmissg2830
@georgebushmissg2830 4 жыл бұрын
Utaulizwa juu ya vifo hivyo ,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa mafuta ni mafuta ila Mungu ni Mungu
@erodeshayo8672
@erodeshayo8672 4 жыл бұрын
Nyota izidi kungaa kwa kafara yako mzee uko vzr Siri ya maisha yako naijua mwenyewe mzee cwz kukuhukum mm Bali ni Mung pekee
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 4 жыл бұрын
Ote mko chama kimoja kumbe
@neyjoseph813
@neyjoseph813 4 жыл бұрын
Umuhukumu mara ngap hapo tayari ushamuhukumu na pia hongera kwa kushirikiana nae kwa maana hakuna hajuwae mchawi kama na yeye siyo mchawi
@neemamsanga253
@neemamsanga253 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@lameckysulumbi4727
@lameckysulumbi4727 4 жыл бұрын
Kati ya watu walio kanyaga mafuta wakapona ni mimi mmoja wapo barikiwa sana mwamposa
@paulinamwenisongole8804
@paulinamwenisongole8804 4 жыл бұрын
Waooo nice
@siwemamitingimahenge5270
@siwemamitingimahenge5270 4 жыл бұрын
Damu yako hawakuitaka freemason, hakuna ukweli wowote wa kukanyaga Mafuta katika biblia, masikini mnaangamia kwa kukosa maarifa kasome hayo maandiko
@lameckysulumbi4727
@lameckysulumbi4727 4 жыл бұрын
Siwema mitingi Mahenge Uwezi kuamini lakini nimepona ugonjwa niliokuanao baada ya kukanyaga mafuta majira ya sa12.30
@jacksontulito38
@jacksontulito38 4 жыл бұрын
Pole sana kak kwahiyo umepona kabis?
@jacksontulito38
@jacksontulito38 4 жыл бұрын
Gharam yake ni nin?
@sebastianhaward2617
@sebastianhaward2617 4 жыл бұрын
kama umemuelewa Jamaa anajua Jim's ya kuuliza maswali
@leylahley3542
@leylahley3542 4 жыл бұрын
Mbona hukuwafufua hao uliowauwa moshi..wew baba wew mwogope mungu kuna kufa...
@allyfaniture404
@allyfaniture404 4 жыл бұрын
TUNAKUOMBA WW S UNAWEZO WA KUWAFUFUA WAFUUE BAS PUMBAV KABISA WW NILOGE BAS NA MM FALA WW
@praisekavy
@praisekavy 4 жыл бұрын
Sio kila mtu ana karama hiyo, kama hujui biblia kaa kimya
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 жыл бұрын
Hata Bwana Yesu alidhihakiwa kwa kuambiawa km wewe ni mwana wa Mungu jiokoe
@moreenmichael7482
@moreenmichael7482 4 жыл бұрын
Nyoooo
@namsamson3443
@namsamson3443 4 жыл бұрын
Sijamuelewa niliondoka kabla shida haijatokea kukimbilia kokangamano lingine..mara nilienda ili kule nako kusije kutokea shida nyingine. Mungu atafunua watu wake macho Watu wangu wanaaangamia kwa kukosa maarifa
@GetrudaRomanus-nt3em
@GetrudaRomanus-nt3em 10 ай бұрын
Mungu naomba ukaangalie biashara yangu mungu naomba ukaniongezee wateja pia Hela ikawe na mafanikio kwangu
@amrimalumbo1712
@amrimalumbo1712 4 жыл бұрын
Mungu ndo wa kuabudiwa ty sio Binadam mwenzako
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 4 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@lunyabamapesa5575
@lunyabamapesa5575 4 жыл бұрын
Nakuunga Mkono Brother
@cydrahope5251
@cydrahope5251 4 жыл бұрын
Kwani hapo we unaona anaabudiwa nani?
@abuumaryam185
@abuumaryam185 4 жыл бұрын
KAMA UMEONA JAMAA ANAPIGIWA SARUTI KAMA MKUU WA JESHI GONGA LIKE
@charlesnyembeke2985
@charlesnyembeke2985 4 жыл бұрын
abuu maryam hyo Kam Sheria
@ephraimrichard6701
@ephraimrichard6701 4 жыл бұрын
Kama umeoyona iyo gari ambayo kashuka gonga like
@kitasyajohn6033
@kitasyajohn6033 4 жыл бұрын
Amina sanaaaa shujaaaa mkuki wa sauli hautakupata kwa jina la yesu simama ewe shujaaaa
@FrankM384
@FrankM384 4 жыл бұрын
Biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa sio kosa lenu kosa ni kukosa maarifa na kuto kuijua biblia vizuri
@shukhuranpetro5796
@shukhuranpetro5796 3 жыл бұрын
Sikumoja mtajua mafuta nnn
@stuartkamba1598
@stuartkamba1598 4 жыл бұрын
Mungu akubarki mwamposa uko saw tuko pamoja bro
@jumamlanzi8200
@jumamlanzi8200 4 жыл бұрын
anapigiwa adi salute
@ndetaulwapallangyo8408
@ndetaulwapallangyo8408 Жыл бұрын
Uwezi lipa dam za watu walio poteza maisha yao kwa utapeli wako zidi ya taamaa za kujipatia Mali kwa njia za Udanganyifu!
@lidyabukhay1624
@lidyabukhay1624 4 жыл бұрын
Mungu atusaidie kuelewa kabisaa hapa ni upofu wa macho na fikraa na ndio maaana tunazidi kuangamia
@browntiger4849
@browntiger4849 4 жыл бұрын
Unaaambiwa bunduki haiui watu ila watu ndio wanaua watu mtumishi hana makosa watu ndio hawana subra wangefuata utaratibu hapangekufa mtu
@lastymushi4584
@lastymushi4584 4 жыл бұрын
Kabisa
@salimdiabyonlinetv4873
@salimdiabyonlinetv4873 4 жыл бұрын
Watu ndo wanaua watu, Nae ndo hao amewaua, usiusingizie utaratibu na Mafuta.
@anthonynyange5930
@anthonynyange5930 4 жыл бұрын
Kwahyo yeye malaika au?
@happymeshackmas6923
@happymeshackmas6923 4 жыл бұрын
Brown uko sawa ma dear ,ila unajua nn ktk mambo Kama hya ya kidn mungu atuongoze kwa kweli mungu ndo anapasw kuhukumu na c ss bnadam
@erickjeremiah6406
@erickjeremiah6406 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/inPCmYaZbLKefaM
@kirupyseleman582
@kirupyseleman582 4 жыл бұрын
Hapa ningesababisha mimi vifo vya watu wawili msingeniona hata kwa vyombo vya habari
@erickjeremiah6406
@erickjeremiah6406 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/inPCmYaZbLKefaM
@godlivingjacobissangya8530
@godlivingjacobissangya8530 4 жыл бұрын
Kweli hata mm naamin ila Mungu ndo anajua Siri zote
@elimikasasa643
@elimikasasa643 4 жыл бұрын
Kweli sbb wewe si Mwamposa. Watu hutofautiana
@moureenbernardy4912
@moureenbernardy4912 4 жыл бұрын
😆😆😆
@kirupyseleman582
@kirupyseleman582 4 жыл бұрын
@@elimikasasa643 kwa sababu mimi sio mwamposa sawa kabisa hata ww ni kama mimk kama unabisha sababisha
@mariamhamisi7519
@mariamhamisi7519 4 жыл бұрын
Arise and shine👍❤❤❤❤❤❤❤sana !Bro Mwamposa endelea kutangaza injili , kila jaribu lina mlango wakutokea ndomana Mungu amekupa jaribu hili!! Hakuna wakukubadili kamwe ❤
@prosperjuma905
@prosperjuma905 4 жыл бұрын
Upumbavu wa mwanadam ni imani. wanaoenda kuhij maka wanakufa kila mwaka. tena wengi tu. hao wanasifiwa et wamefia maka. kuna wakat ukizitafakari hizi imani kuna vitu vingi anasingiziwa Mungu. lakn ipo siku tutajua ukweli tu.
@tarsilakimaro7006
@tarsilakimaro7006 4 жыл бұрын
Imani ndio inaponya sio mafuta
@dainesmateru2121
@dainesmateru2121 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi kwenye kila jambo na wanaokusema vibaya mungu hatawashuurikia.
@isayajerad
@isayajerad Жыл бұрын
razima Kira mjiga awe na mavipofu nyuma yake yamo tu yanayo sapoti ujinga wa mganga wa kienyeji mwamposa hayanaga roho mtakatifu matomaso yasiyo amini mpaga yesu atarudi haya amini tu
@ibrahimujumanne5555
@ibrahimujumanne5555 4 жыл бұрын
Mafuta ya upako anatoa wapi,? Mbona yesu hajayatumia
@gracedaffa1606
@gracedaffa1606 4 жыл бұрын
Kwan ww kilakitu alichofanya yesu ndo unatakaafanye asa atakuwa mtume au yesu kaka mkubwa a have a strong mind
@allyhassan537
@allyhassan537 4 жыл бұрын
Dah kweli pesa kuipata akili za. watu ukizitia imani unatoboa
@bonifacejuma8248
@bonifacejuma8248 4 жыл бұрын
Acha🍁🍁🍁
@JacklineKoko-em9xb
@JacklineKoko-em9xb 2 ай бұрын
Mungu mwema akutie nguvu na akupe miaka mingi yenye baraka🙏🙏🙏🙏🙏
@mfamba2926
@mfamba2926 2 жыл бұрын
Mungu baba azidi kukutetea mtumishi Boniface Godwin Mwamposa Bulldozer na watumishi wote Kwa kuendeleza neno lake
@neemamsanga253
@neemamsanga253 Жыл бұрын
Amennnn🤣🤣🤣🤣
@jumamwengwa4682
@jumamwengwa4682 4 жыл бұрын
Hv kiongoz wa kiroho anapigiwa saruti😇
@paulkessy5267
@paulkessy5267 4 жыл бұрын
Watu nyomi kanisani aisee Kama kawaida ..mwamposa oyee
@mlembamo
@mlembamo 4 жыл бұрын
Sisi tunasema Yesu oyeee, wingi hau justify ukweli huu ni ushetani.
@siwemanyango7727
@siwemanyango7727 4 жыл бұрын
Leo lile cheni lake hajalivaa au mpaka apande kwenye madhabahu yake YESU tuokoe na uturehemu kwa damu yako ya thamani AMEEN
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 4 жыл бұрын
We fara nahisi ndio wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa halafu wakafa...!!
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
Paul kessy inaonekan ww humuabud Mungu unamuabudi mwanadam mwenzako huna hta aibuu eti mwamponsa oyee mxciuu 😏😏😏😏
@paulkessy5267
@paulkessy5267 4 жыл бұрын
adija adija naisi ujanielewa kabisa ...Sina Mana iyo
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 4 жыл бұрын
No matter how,what. God will never leave you.wanaompenda mwamposa thumb up👍
@annamakomele339
@annamakomele339 Жыл бұрын
Mungu ni mwema sanaa na akubarikii mwamposa
@sekundambilinyi5450
@sekundambilinyi5450 4 жыл бұрын
Kula pesa mtumishi wajinga ndio waliwao😂😂
@cecymaro1374
@cecymaro1374 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@siwemanyango7727
@siwemanyango7727 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hamisingae4963
@hamisingae4963 4 жыл бұрын
hahahahaha
@sadamissa5687
@sadamissa5687 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤣
@tabumussa9406
@tabumussa9406 4 жыл бұрын
jikisanyie mapesa ya mazumbukuku hao si wanaleta wenyewe bwana
@praisekavy
@praisekavy 4 жыл бұрын
Biblia hujui kaa kimya
@agneslimbe578
@agneslimbe578 4 жыл бұрын
Na kweli awajielwi kabisa hao
@chrismassawe326
@chrismassawe326 4 жыл бұрын
Nabii alietoa wengine sadaka
@stanleyrububura4000
@stanleyrububura4000 4 жыл бұрын
Acha dharau na kumwita mwanadamu mwenzako zumbukuku, jiheshimu au unadhani ww ni wa thamani au wa maana sana kuliko wengine?
@stanleyrububura4000
@stanleyrububura4000 4 жыл бұрын
@@agneslimbe578 Muwe mnaweka akiba ya maneno.
@user-nm1re5kp7m
@user-nm1re5kp7m 2 ай бұрын
Nakupend sana mtumishi wa mungu mwamposa
@faineschisunga7421
@faineschisunga7421 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinuwa mtumishi
@officialruqaiyah2881
@officialruqaiyah2881 4 жыл бұрын
Amen I love you so much mwamposa
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 4 жыл бұрын
Ukiwa ndani ya hiyo v8 ...uko sawa na aliyepanda ndege🤣🤣🤣 Mashimo unayasahau
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@saidabdul5586
@saidabdul5586 4 жыл бұрын
Nasibu Gunda 😂
@patriciaboniface9975
@patriciaboniface9975 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂kabisaaa
@jenalamwanjala6729
@jenalamwanjala6729 4 жыл бұрын
Amina mtumishi mungu akutie nguvu kwa hili unalopitia
@dainagano3656
@dainagano3656 4 жыл бұрын
Mchungaji wangu nakupenda, mungu akutie nguvu baba
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 4 жыл бұрын
Hamna kitu apo utapeli tu,kaifanya dini kuw biashara tu hapo...waliemtuma wamefaulu sasa akili kwenu endeleen kumfwata...Akili kunkichwa apo
@maryangela107
@maryangela107 4 жыл бұрын
Tuliza kimdomo chako wewe dada Acha kuongelea uchawi kwenye mdomo wako Acha laana zako fanya yako
@chazijoji7183
@chazijoji7183 4 жыл бұрын
Hanna kitu hapo, wewe una nini? kama hamnakitu wewe ulika kuwe na nini, mbona maka watu wanakufa kwenye hija tena wengi lakini watu hawaachi kwenda kuhiji,
@neylatikilango401
@neylatikilango401 4 жыл бұрын
@@chazijoji7183 atapeli na yy kama rahisi
@bahatiagustino5047
@bahatiagustino5047 4 жыл бұрын
Naima pole kwa sababu hujui mafuta na hujawahi fika fika uone siyo unasema matapeli wew ndo tapeli
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 жыл бұрын
Kafara imefuzu, tajirika baba, wenye akili tu ndio wataelewa km hii biashara hakuna zaidi 🤣🤣 mafuta my foot
@praisekavy
@praisekavy 4 жыл бұрын
Hujui biblia kaa kimya, mafuta yameandikwa kwee biblia
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
@@praisekavy Wajinga ndo waliwao
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 жыл бұрын
@@praisekavy 😂😂 mazezeta wengi jiongezeni mtaendelea kfa kwa uzuzu.et mafuta ywko biblia ss huyo anayatoa wapi km yapo ndani biblia 😂😂? Kufrni tu wenzenu wanatajirika kwa ujinga wenu hao ni sawa na mganga wa kienyeji utapeli tu kufeni wapumbavu🤑
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 4 жыл бұрын
@@praisekavy wapi na niwapi ilitamkwa watu wayakanyage.....AMKA
@renaldajohn7844
@renaldajohn7844 4 жыл бұрын
@@catherinechifebe5800 kama unajua biblia mbona unabishana?kubishana tu hairuhusiwi
@jeressjohn9105
@jeressjohn9105 3 жыл бұрын
Don't Give up dear Take heart mungu yupo
@NeemaMinga-pl8ty
@NeemaMinga-pl8ty Жыл бұрын
Pole mtume, ninavyokupenda nakuombea afya na uzima baba.
@christophermahawi4920
@christophermahawi4920 4 жыл бұрын
Siku za mwisho, kutakuwa na manabii wa uwongo.😂😂😂.
@agneslimbe578
@agneslimbe578 4 жыл бұрын
Unaambia watu wamuamini mungu mbona we unatembea na walinzi kibao inamaana weww uamini Mungu ,jamani binadam
@florakabado3543
@florakabado3543 4 жыл бұрын
Angines omba Mungu akupe hekima sana usiwe na mihemuko ya kutukana mtumishi.
@erickjeremiah6406
@erickjeremiah6406 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/inPCmYaZbLKefaM Duuh mwamposa
@onelovenaldomayanjafamily572
@onelovenaldomayanjafamily572 4 жыл бұрын
Mwamposa Ushindwe kwa jina la yesu na ujue mngu anakuon
@hanskidd2290
@hanskidd2290 4 жыл бұрын
Alijiimbia pastor Emmanuel mgogo watu hawautaki ukweli wanataka miujiza watu hawataki kusoma neno wanafnya yao 😞
@mercyjesus6637
@mercyjesus6637 4 жыл бұрын
Baba nakuombea Yesu akutie nguvu
@minzagabriel6150
@minzagabriel6150 4 жыл бұрын
🙏Amen
@ramosfally2318
@ramosfally2318 4 жыл бұрын
kwa allah kuna kazi sana sema kila mtu na njia yake akuna kucheleweshana .piga pesa wacristo si wamilala bwana.afu jama ni fremasson kama nihona bendera ya mericani na msumbji inakuaje kafala imikubalika.im musilim kudadeki
@alphoncegambuna440
@alphoncegambuna440 4 жыл бұрын
Wivu tu unakusumbua we jahidina mambo ya wakristo yanakuhusu nini?
@sikudhanigivengilbreth9361
@sikudhanigivengilbreth9361 4 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi kwa kipindi hiki unajopitia
@stevensimtoe2989
@stevensimtoe2989 4 жыл бұрын
🤣🤣😂😂🤣Vipofu wasio ona mna macho lakini hamuoni
@sikudhanigivengilbreth9361
@sikudhanigivengilbreth9361 4 жыл бұрын
@@stevensimtoe2989 haya sawa mm sioni lakini usihukumu usichokijua wa kumhukumu ni mungu pekee
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 жыл бұрын
Watumishi inabidi kuwa makini sana’ na waumini pia inabidi kujiuliza sana Juu ya imani mbalimbali...! Mi najiuliza hivi UPAKO ni baraka na kitu kitakatifu mbele ya imani’ Sasa unaweza kweli kukanyaga kitu KITAKATIFU..?
@mpwapwamedia7279
@mpwapwamedia7279 4 жыл бұрын
Vijimama Ndo viko shapu kuchangamkia mafuta yani wanawake sijui watazinduka linii walianza kuzingua eden,hawajakoma aloo jamani jamani mbona mna macho na hamuoni roho inaniuma sana
@meryimanuel7238
@meryimanuel7238 4 жыл бұрын
Hivi Haya mafuta. Justis wap maan papa mtume Paulo mwenyew hana Mmmmmh hii Kali yao wakomexhe Mzee baba
@meryimanuel7238
@meryimanuel7238 4 жыл бұрын
Kayatoa wap
@robertmtiba5604
@robertmtiba5604 4 жыл бұрын
Kama umeona askar anakunja saluti gonga like
@mosesngesi3333
@mosesngesi3333 4 жыл бұрын
Watu wapo nyomi kanisani utadhn hakukukuwa na shida tena shida ya vifooo
@chazijoji7183
@chazijoji7183 4 жыл бұрын
Mwamposa upon vizuri, hayo ni majaribu tu, na mungu atasimama, kwa kuwa unafanya Nazi bwana,👏👏
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
Wakufe tu tena maan hawasikii
@chazijoji7183
@chazijoji7183 4 жыл бұрын
Wakufe tu, kama walivyo kufa kule maka wakati wakimpiga mawe shetani pale alkaba, usiombee binadamu wenzio vifo, tafakari juu ya maombi ya ubaya,
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 4 жыл бұрын
@@khadijakhadija6212 😢😢😢😢
@kitasyajohn6033
@kitasyajohn6033 4 жыл бұрын
Weee ulitakaje
@ramanhoibrahim3383
@ramanhoibrahim3383 4 жыл бұрын
Eeh anapigiwa na salute pia aysee 😲
@charlesedson5538
@charlesedson5538 4 жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi, Ahsanye Yesu Christo kwa kutupenda
@lunyabamapesa5575
@lunyabamapesa5575 4 жыл бұрын
Ataendelea Kuwaua Hao Ndo Manabii Wa Uongo Kama Yy Ni Mtume Aende Mortuary Akawaamshe wote Think Big
@regastar6366
@regastar6366 3 жыл бұрын
Someni maandiko wapendwa hii sio dini ni biashara
@irenemwanaa8160
@irenemwanaa8160 4 жыл бұрын
Waoooo! Nimefurahi kukuonatena
@ibrahimmaganga3429
@ibrahimmaganga3429 4 жыл бұрын
Irene Mwanaa hay
@irenemwanaa8160
@irenemwanaa8160 4 жыл бұрын
Hi
@ashaali7154
@ashaali7154 4 жыл бұрын
Umefurahi kumuona yeye vipi wale waliopoteza Baba, mama, watoto, na ndugu zao? Ama kweli binaadam mins ubinafsi Sana. Mungu anawaona lakini na atawahukumu tu.
@omaryshabani7221
@omaryshabani7221 4 жыл бұрын
Msachi seneta kiraka KZbin msanii wa singeri
@rechoraymond3396
@rechoraymond3396 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua baba katika kipindi ichi kigumu
@maryjoseph1949
@maryjoseph1949 4 жыл бұрын
Mungu unae muabudu akutie nguvu yakusonga mbele because dhahabu ili ingae nilazma ipitishwe kwenye moto.
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 4 жыл бұрын
Mchungaji ana bonge la ndinga na bodyguards ama kweli uchungaji unalipa
@neemamsanga253
@neemamsanga253 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ngoja na me niwe mchungaj
@iflamusa7645
@iflamusa7645 4 жыл бұрын
Jaman nimefurah kumuona mtumishi wangu hadi raha jaman mpak amepungua
@barakajoseph202
@barakajoseph202 4 жыл бұрын
Mwuuuu
@FrankM384
@FrankM384 4 жыл бұрын
Sawa na raha lkn huwezi jua maumivu tulio jisikia wengine kwa mungu wote tupo kwenye foren na huyo mwamposa wenu sie atakae wapeleka mbinguni ila na yeye yupo kwenye foleni muabuduni tu
@chikumuya8063
@chikumuya8063 4 жыл бұрын
Amen baba, napokea kufunguliwa
@wavinonoclassic1274
@wavinonoclassic1274 4 жыл бұрын
Chiku Muya hongera sana
@abellawilson3372
@abellawilson3372 4 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi ktk kipindi hiki kigumu
@sekelamwangosi3289
@sekelamwangosi3289 4 жыл бұрын
😂😂😂Hiii sura siiamin kama kwel ina yesu ndani yake
@estermhindi7189
@estermhindi7189 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣sura ya upako jamn ndio maan ina upole 😂😂😂
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 7 ай бұрын
Ni sura imebarikiwa
@youngmasta5444
@youngmasta5444 4 жыл бұрын
Iv kuna mtu alishawahi kufunguliwa nakua tajiri au mtumishi ndio anazid tu kua tajiri?
@allyfaniture404
@allyfaniture404 4 жыл бұрын
Bibilia ndo nini nikae kimya ndo nini kwann ww hukuenda kufa na wale Moshi kama unaipenda Bibilia Acha ushamba ww nenda naww kafe bas
@bukobatalentsnanimkali9423
@bukobatalentsnanimkali9423 4 жыл бұрын
@@allyfaniture404 wewe tayari unaitwa Ally na babaako ni faniture so huwezi jua chochote kuhusu bible
@allyfaniture404
@allyfaniture404 4 жыл бұрын
Hahaha haya bhana amiin ivyo ivyo
@issaahmady9644
@issaahmady9644 4 жыл бұрын
Wanaomtetea hao ndio wasaidiziwake hata baiskeli hawana
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 4 жыл бұрын
Islam is my religion
@maryangela107
@maryangela107 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa hekima ya mungu iliyoko ndani yako
@rhodamalembo7873
@rhodamalembo7873 4 жыл бұрын
Had amepungua jmn kwel hil n jarib litapita
@lunyabamapesa5575
@lunyabamapesa5575 4 жыл бұрын
Kuua watu Ni Jaribio Ingekuwa Ww Umefiwa Ungesema Ni Jaribio Think Big
@issaahmady9644
@issaahmady9644 4 жыл бұрын
@@lunyabamapesa5575 wizitu kama kweli mtume mbona kashindwa kuwaombea watu wakafufuka na waliolemaa wakapona? Hapo ndio utajua huyo ni mpigaji tu
@ashaali7154
@ashaali7154 4 жыл бұрын
Yeye kapungua vipi wale ishirini ambao hawapo kabisa duniani watu wamepoteza wazazi, watoto zao na ndugu zao eti unaongelea kupunguza kweli,?
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 4 жыл бұрын
Kama Umemuona Mlinzi Akipiga Saruti gonga like hapa!
@saidihamisi550
@saidihamisi550 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mathewdeus4462
@mathewdeus4462 4 жыл бұрын
Hapana ni mungu ana waumbua kupitia mafuta yenu
@devybernardlaizer7713
@devybernardlaizer7713 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi ,Jimmy upo vizuri na kazi yako barikiwa
@mercyjesus6637
@mercyjesus6637 4 жыл бұрын
Nimekuhurumia baba,Yesu akutie nguvu tena
@zakialustan722
@zakialustan722 4 жыл бұрын
Juhaa
@princess-uf5ux
@princess-uf5ux 4 жыл бұрын
Amen
@erickjeremiah6406
@erickjeremiah6406 4 жыл бұрын
Duuh kzbin.info/www/bejne/inPCmYaZbLKefaM
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 4 жыл бұрын
Kama umemsikia mtangazaj alitaka kujchanganya kwa kuanza kumwambia Mambo vipi naomba tujuane🤣🤣😂😂😂
@bricthamahwinku566
@bricthamahwinku566 4 жыл бұрын
Mbona nimerudia kusikiliza sijaona😃
@isdorysilivery5722
@isdorysilivery5722 4 жыл бұрын
V8 imemchanganya
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 4 жыл бұрын
Sikiliza kwa makini mwanzo wa salamu😂😂🤣🤣🤣
@magrethsanga942
@magrethsanga942 4 жыл бұрын
Mtumishi simama na neno wa kuhukumu ni Mungu si mwanadamu Isaya 41 10:_15
@devotamkwawi7145
@devotamkwawi7145 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua kwenye huduma yako. Nimefurahi kukuona tena unasimama na neno la mungu
@neyleepallangyo8436
@neyleepallangyo8436 4 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu
@nibomadavid1129
@nibomadavid1129 4 жыл бұрын
Kweli watu wamepigwa upofu
@joeljulius6389
@joeljulius6389 4 жыл бұрын
Niboma David hamna kipofu wewe ndo kipofuu
@saidhamad5931
@saidhamad5931 4 жыл бұрын
Kinapalilia ujira wake
@amrimalumbo1712
@amrimalumbo1712 4 жыл бұрын
Kesho kwa Allah kuna kqz kubwa san
@hamidaawadhi835
@hamidaawadhi835 4 жыл бұрын
Kabisa,et mtume!
@nasramwalimu2900
@nasramwalimu2900 4 жыл бұрын
Amri Malumbo hahahhahah
@khadijambarouk2983
@khadijambarouk2983 4 жыл бұрын
Hakika kazi ipo
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 4 жыл бұрын
Sana wallah
@lastymushi4584
@lastymushi4584 4 жыл бұрын
Maskni mwamposa amekoda jamn pole sana mtumishi mungu atasimama nawatu wote
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 4 жыл бұрын
WAKIJA WENYEWE KWENYE MIUJIZA SAWA, WAKIKANYAGANA WANALALAMIKA WAPE TENA LEO HADI WA KUKOME.
@nasramwalimu2900
@nasramwalimu2900 4 жыл бұрын
MBWANA RAJAB hahahahahaha
@yohanamalakasuka5390
@yohanamalakasuka5390 4 жыл бұрын
Acha ushamba nenda maka kampige shetan nany mkanyagane si unaefurahia matatizo ya wengine
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 4 жыл бұрын
Watu roho zinawauma kuona wingi wa watu maana walijua mtumishi atakimbiwa 😅
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 4 жыл бұрын
Yaaaaani umeongea Point sana
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 4 жыл бұрын
😂😂😂kweli kabisa
@kilazahm3717
@kilazahm3717 4 жыл бұрын
Ignorance killed dem!
@johanesdeogratiuskazawadi4286
@johanesdeogratiuskazawadi4286 4 жыл бұрын
Njia ni pana iendayo upotevuni na ni wengi wenye kuiona na kuiendea. Unabii siku zote haupingiki
@ikupapatson5779
@ikupapatson5779 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@magdalenadeusi760
@magdalenadeusi760 10 ай бұрын
Poresana. Mungu. Atasaidia. Tuuu. Yeye nimwema
@evaaron3078
@evaaron3078 2 жыл бұрын
Mungu Akulinde mtumishi wa Mungu Amina
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 4 жыл бұрын
TOYOTA LAND CRUISER V8😂😂😂
@isshaclassic195
@isshaclassic195 4 жыл бұрын
elius kamwelwe pesa za maskini michango yenu wenyewe
@erickjeremiah6406
@erickjeremiah6406 4 жыл бұрын
Mwamposa
@wisdomuta1039
@wisdomuta1039 4 жыл бұрын
Hatari sana V nane
@selinathidwa9783
@selinathidwa9783 4 жыл бұрын
We una gari gani elius kamwelwe
SELASINI AMLIPUA MWAMPOSA BUNGENI - "YULE ROHO MTAKA VITU, NI UTAPELI TU"
10:59
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 5 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 25 МЛН
Angel benard - Nikumbushe wema wako (Official Video)
7:21
Angel Benard
Рет қаралды 18 МЛН
Billnass Akiwatambulisha Washkaji Zake
4:28
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 448 М.
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 60 М.
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН