Endelea kukili ushindi dada ulimi unanguvu ya kuumba na kuua kile unacho kili ndicho unapokea,kimtokacho mtu ndani ndicho kimjaacho, ukajawe heri kama jina lako❤❤
@MorejayTz5 ай бұрын
Umeweza umeweza umeweza umeweza umeweza umeweza mpaka umeweza tena dada mwanaher unakiti chako mbinguni una ubabai ujawai kukosea unajimini mpaka Raha mungu akulinde dada yetu🎉❤
@fauziasultanikilewa76025 ай бұрын
Nami nagongelea apo apo hutaachwa 🎉🎉
@azizayassin36235 ай бұрын
Hyu dada cku zote nampenda❤❤❤❤❤❤❤ tu
@alsam48815 ай бұрын
Mwanaume anayevaa hereni na kujifananisha kama mwanamke ni amelaaniwa na Mnyeezi Mungu.
@rizikiabdalla25015 ай бұрын
Sahihi kabisa
@ShamilaAbdullah-w1f5 ай бұрын
Uwezi kuachwa weww mtu mwenye jina lako mjini❤❤❤❤
@faridapandu75795 ай бұрын
❤❤ mashallah damwana ikovizuri munguatujalie kila laheri katika ndowayako
@JescaMuyabi-ix8ly5 ай бұрын
Hongera mwaya ajineneae Mema hubarikiwa
@RehemambodzeJefa-bw8vv5 ай бұрын
Nimependa maneno ya mwanaheri eisey mwanamke kujiamini pia❤
@mwanamkeshujaabongoflavama71805 ай бұрын
Unajitia hasaad mwenyewe punguza kujisifia
@Niget-us1np5 ай бұрын
Shida watu Wana sem mume we mzee sijui yy anasanvana na mwanmk mwezio mwach ajihp
@DeboraKyembela5 ай бұрын
Mimi naomba niulize, mwanaume kuvaa hereni kama hivyo mtangazaji, maana yake ni nini?! Mnisaidie/ unisaidie mtangazaji!!.
@EstarMichael5 ай бұрын
mwaya haina faida yoyote hata yeye hawezi kukwambia faida yake.. sana sana nikuiga 😂😂😂
@AsyaHamad-tx9vr5 ай бұрын
Nakukubali sana dada unaongea vya kweli pambe lako huachiki
@gamarmahsan82545 ай бұрын
Tuliya dadangu hapo mume ikiwa hana simu ya mitandaoni hapo ndipo waume kama hao hamna dadanguu😂
@OfficialA836405 ай бұрын
Kwahy alikuwa anafanya Media Tourism au yaani kaanza Wasafi au Zama Tv😂😂😂