KIMENUKA BALAA ! Penzi Jipya La Diamond Lapandisha Kichaa Cha Zari

  Рет қаралды 40,124

Hot Chamber

Hot Chamber

Күн бұрын

Пікірлер: 135
@fatmafaki5665
@fatmafaki5665 5 жыл бұрын
Hehehhe we umezaa na wangapi au uliona utakaa nae diamond chmba zari
@kadiatusesay6413
@kadiatusesay6413 5 жыл бұрын
Zari you are the best
@susanlazaro7492
@susanlazaro7492 5 жыл бұрын
Kama na Wewe unapita tu Kama Mimi gonga like Yako hapa tweeeendeeee
@salehhussein8428
@salehhussein8428 5 жыл бұрын
Pole dada zari
@rosekahinde4274
@rosekahinde4274 5 жыл бұрын
Zari u came to Bundibugyo,am one of your funs
@richardvenance5614
@richardvenance5614 5 жыл бұрын
maneno ya mkosaji tu mapenzi hayana makombo hata cku moja
@diamondplatnumzfun5066
@diamondplatnumzfun5066 5 жыл бұрын
Kaliii...sawa dogo mm muislamu naja ku subscribe si
@samsungphone9096
@samsungphone9096 5 жыл бұрын
I love zari forever she is so smart
@liliankorsai8334
@liliankorsai8334 5 жыл бұрын
Hahahahaha na wewe zari umekula mabakisho ya wema ya watanzania wengi sana
@flornce123oganda8
@flornce123oganda8 5 жыл бұрын
Mwambieni jamani ju uwa nashindwa kwani aliambiwa kua yy ndie mwanamke chini ya hili jua
@summerrose8439
@summerrose8439 5 жыл бұрын
@@flornce123oganda8 , 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rehemamlenga4937
@rehemamlenga4937 Жыл бұрын
Zari acha kujisifu,wewe pia ilikuwa mwizi,hamisa ni the best
@sharifachacha978
@sharifachacha978 5 жыл бұрын
Mmmmmm pole my wiife zari
@wanzueni
@wanzueni 5 жыл бұрын
mary joseph!!!!!!Mwaafrika kawa myahudi
@ashurasalimsalim8052
@ashurasalimsalim8052 5 жыл бұрын
Akun cha mabakixho mpnz ndivy yalivy je. kunam2 kamkut mwanaum bikraa👌👌
@nancieyinzalizali2299
@nancieyinzalizali2299 5 жыл бұрын
Waganda tunaroga ngoja mwone 🤗🤗wapenzi watazamaji wenzangu ngoga like tukingoja ukamilisho wa hii Cinema 👌👌
@alhandroraj8009
@alhandroraj8009 5 жыл бұрын
Mwarogaje Dada Mganda? Msije mka mfunga Mondi asioe wanawake ni hatari kwa usalama
@nancieyinzalizali2299
@nancieyinzalizali2299 5 жыл бұрын
@@alhandroraj8009 jiunge nami tuwe wapenzi watazamaji,, alishajiroga mwenyewe,, kuongezewa tu kakangu
@merryn4891
@merryn4891 5 жыл бұрын
+Alhandro Raj 😂😂😂😂😂
@kahindojacquie8681
@kahindojacquie8681 5 жыл бұрын
Shika hadabu yako wewe kima ukome waganda
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Maskin hamisa mungu yuko usijali misa
@소송소송
@소송소송 5 жыл бұрын
Zari has no self pride. Why all this jealous comments? Tany is Diamond choice no matter bi Sandra love for zari. The used toy was zaris lover. Get a life zarina. Men will never grow up. Kudos Tany for loving zaris toy Diamond. Jalusie es maladie .
@irinekatumwakatumwa6606
@irinekatumwakatumwa6606 5 жыл бұрын
Zari unaangaika sana. Ww cndo ulimuacha mond sasa maneno ya nn
@cvvbbcvbb4444
@cvvbbcvbb4444 5 жыл бұрын
Bado anampend huo niwivu
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 жыл бұрын
Hehehe alijarib labda
@irenembabazi7781
@irenembabazi7781 5 жыл бұрын
Irine, Kweri jina kumanisha mwenyewe. "Katumwa"
@zynabtz8135
@zynabtz8135 5 жыл бұрын
Hahah tunamshangaa kwakweli👌👌👌
@ashurasalimsalim8052
@ashurasalimsalim8052 5 жыл бұрын
zar nimrembo2 mbn amzaa nawap ambao awajazaaa kam kin wema worpa lakin ukiangalia wap xaw 2 dunia ni watt ndg kaz but zar 👍👍
@florabenard8542
@florabenard8542 5 жыл бұрын
Hapo hamna kitu zariii ndo mke wa mond
@sultanaswaleh8892
@sultanaswaleh8892 5 жыл бұрын
Hahahaaa hapo ume ongea..no.one but zari
@violetetyang1805
@violetetyang1805 2 жыл бұрын
Hi mama t why don't you go to your husband baba t
@ashnaomi2385
@ashnaomi2385 5 жыл бұрын
Bhana zar acha Izo Mafumbo Unaji shusha hazi
@ybbykz8200
@ybbykz8200 5 жыл бұрын
mbn na ww umekula makombo vile vile
@sharifachacha978
@sharifachacha978 5 жыл бұрын
sema braza mondi atulie ukimwi usije ukampitia aache sifa aoe tu chaguo lake manake nikisikia ameasirika ntaliaje napenda sana nyimbo zake hasa ile mond mix watoramali na nyegexi na kunduchi.
@lizybabyjohn2430
@lizybabyjohn2430 5 жыл бұрын
Aendeee zakee kwani huyo mondi alitongozwa au nyegee zakee
@lennympole5910
@lennympole5910 5 жыл бұрын
Patamu hapoooo....
@shariffakeniya1431
@shariffakeniya1431 5 жыл бұрын
Kumpakazia mtto wa watu tu wala hana habari na mondi alimpotezea kitambo
@tanzaniakwanzamaadili5083
@tanzaniakwanzamaadili5083 5 жыл бұрын
Acheni ujinga kila Sikh mambo ya mapenz tu ,kuna faida gani kufatilia uzinifu wa mtu ,? Au mnaungana nao ,fuatilien mambo na mipango ya maana ktk jamii!
@tr.emmahadhiamboomenda3157
@tr.emmahadhiamboomenda3157 5 жыл бұрын
This is not right. Why throw insults to a young innocent girl who met Diamond after your separation.
@irenesese6968
@irenesese6968 5 жыл бұрын
Zari nawe pia ni matapishi ya kale subiri kichambo nadhani unamjua vizuri chibu atakuchamba had I Inzi wakukimbie uombe pooo
@samiraming5246
@samiraming5246 5 жыл бұрын
Zariiii nakufaaaas hiyo imenikuna yaani dizaini uko kadogo kama ka tifa harafu unawagawia toy vitoto vya wakoma hahahaaa jamani tuangalieni tamthilia ya Kulfi Kumar @Colours TV tujue kugawia masikini heheeee
@rulenematthews8213
@rulenematthews8213 5 жыл бұрын
Zari kinena chako nimesha répéta kalale , diamond ulifunga nae ndoa kanisani wala muskitini WW mwenye kipendeni Kwa mond
@elizabethfeb4439
@elizabethfeb4439 5 жыл бұрын
any way what I like about Zari and Diamond is he respect her still
@colethalilungulu8747
@colethalilungulu8747 5 жыл бұрын
Wew ushazeeka subiria wajukuu
@sultanmganzira4388
@sultanmganzira4388 5 жыл бұрын
Coletha Lilungulu km zari Mzee ww kikongwe
@sultanmganzira4388
@sultanmganzira4388 5 жыл бұрын
Coletha Lilungulu hata ww ni mzee
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 5 жыл бұрын
😂😂😂
@fatumaally3266
@fatumaally3266 5 жыл бұрын
😁😁😁😁mama teeeee mwaaaa love u
@austine255
@austine255 5 жыл бұрын
Zari ndie alimuacha diamond.ndoa no kuvumuliana na kukosoana but kuachana sio sulughisho.zari baki kua Muzazi mwenza was diamond I mueshimiane juu watoto in wenu nyote na mujue kuna Leo na kesho
@bettyowiti397
@bettyowiti397 5 жыл бұрын
Zari bado anampenda diamond.
@sultanmganzira4388
@sultanmganzira4388 5 жыл бұрын
betty owiti ww umpendi.babawatt wako
@amiratomankazid4580
@amiratomankazid4580 5 жыл бұрын
betty owiti omeonaye
@gracerosi6179
@gracerosi6179 5 жыл бұрын
Washabiki sikwamba zari hampendi mondi laasha anampenda bali amestisha baadhi vipengele kulingana na tabia za mzazi mwenzie
@merryibra3883
@merryibra3883 5 жыл бұрын
wakuache mama tee .
@issabelazighemwalukumbi8416
@issabelazighemwalukumbi8416 5 жыл бұрын
mambo ya kuchaguliwa mke ni tbt bana...hii ni 21st century...nkt!!🏃🏃🏃🏃
@naimakassimu3948
@naimakassimu3948 5 жыл бұрын
Mwachen hamisa jaman mbna hamuishiwa visa nae
@totolqabu1967
@totolqabu1967 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na bado tuliza mchenene
@lindaemmily7332
@lindaemmily7332 5 жыл бұрын
Hehe
@manirambonahawa3798
@manirambonahawa3798 Жыл бұрын
Mnasema iwongo watangazaji punguzeni uwongo iwongo haujengi bila unabomowa
@소송소송
@소송소송 5 жыл бұрын
Zarina don't play your tom and jerry jealousy games on Tany the lover of Diamond your ex toy. Luo/Italia girls will swallow you live. Zarina your old used toy has got new young owner Tanash the lioness. Jealous de kill you zarina.
@neemakabote9491
@neemakabote9491 5 жыл бұрын
Haaaaa waabie mama teee hawamjui mond hakuna mwanamke atakae kaa na mond huyo tanasha anapoteza munda tuuu
@gracengongolo2657
@gracengongolo2657 5 жыл бұрын
Hivi Kim Nana yuko wap jamani
@catherinemballa5709
@catherinemballa5709 5 жыл бұрын
Usijal Zari wote watapita. Daraja tu
@salimhadija2369
@salimhadija2369 5 жыл бұрын
Zari tafuta mme wacha nyege baridi
@mellenondieki6329
@mellenondieki6329 5 жыл бұрын
Oh oooo,Sorry, Family ya Diamond haiwezi,kuacha,Zari. huyo,naye natasha, Anaeda,Tanzania, Kuwa Tasha huko,,wale family they know what they are doing, they will do Anatasha like Hamisa,, let us see, if mama Diamond atamupenda natasha hili hamuache mukalia moyo wake Zari. Ngo,and Ngo natasha,, uyakumbuke maneno, yangu,nimeandika,leo,on 29th,November kwa Diary yako akina,natasha.MAMA DIAMOND hakumpenda,Hamisa, how she going to love you an Kenyan lady,not rich like Zari. utakiona,vile ,natasha we are looking forward to see how you will fit the home of Diamond. Utakungukia,patubu natasha, watch me,..mostly mama,Diamond is the rule and the control of the house Only Zari can fit there,because she is used with mama Diamond. she likes her very much and well Zari. they love each other, together, Zari, the sister of Diamond loves Zari, they say Zari is clean how happen Amuoe the competition of mukorogo,waAlikiba maji tubu from Kenya ,may be you are rich than Zari .or may be Diamond wants to saw Alikiba,that he has wined the porridge of kenya to be her wife.,That is vitina,anaonyesha,Alikiba, because Alikiba didn't accept to join him,in his music festival. Utakibapata Diamond vile zari anasema yote onao wafanyia,your wives atakurundia, vile you give stress to the beautiful ladies, Hamisa and Zari. Utakipata,mwizowe kama,alipo,liko,njiani. usichiezee,WAKENYA, kama,unachiezea wa Tanzania.,if you are kamiri,in your mind brain, rundia Zari, hili,utengeneze,urafiki,na watoto,wako,l gonna call you, you are bitch x10000,,,means,you are awoman dog Diamond . hachana,kuchezea Wakenya. RETURN TO Zari because your Family loves her,mkenya hana,pesa,she is poor bitch also.,,Diamond you are confused but one time you will cry and get something,,like. ,HIV, positive , ndio itakutuliza Akili. ,Go south Africa your children needs you,hacha,umalaya,lea. Watoto,wako l wish lam Zari, l was to bring all your two children in the night then l put them on your door then l go back to south Africa hili to enjoy like you are enjoying with women, hili mama yako hawalee hao watoto, even.let mama yako tell you how you give your children love when you are near to them. You can't enjoy moving with women while while your children doesn't see you everyday. Or may be you are following your dad's footsteps..means unafuata nyayo ya papa yako..,,we can't blame you. , LIKE. FATHER LIKE SON.,,THat is it.....vile waenga walisema...Do you hear Diamond, ..that lam nearly to be or reach, konki ,konki konki konki konki konki, master ,Rubbish usialibu Kenya, na huyo tupesa,twako,Kenya nzuri,sana,hakuna,matata,musiende,Kenya kuwakidnap watu matachiri. No kabisa, stay Tz.,huyo,ni girlfriend walikiba,Alikiba, hachaenda,kwa,Zari na Hamisa, kwanini,wewe,ungie. Kibakuri,ya ndugu,yako kutoka,Tanzania. Diamond, shame on you Alikiba, aliacha maji maji,na wewe unaenda, kuyaclean,maji,Ya Alikiba.,you look dirty Diamond. Stop kutambaa,only ukimwi,itakuwesha,watch me,please send this message to Natasha and Diamond Tanzania.end up.
@marygaspar6429
@marygaspar6429 5 жыл бұрын
Ni kweli watuulize Watanzania, maana tutawajibu hivii Tanzania palimshinda Zari, mwenyewe akanyoosha mikono juu!
@carolmamakebritney5266
@carolmamakebritney5266 5 жыл бұрын
Waah novel
@anniewamaina1059
@anniewamaina1059 5 жыл бұрын
Behind this comment sound a bitter fool..furthermore is diamond a brother or a relative to u ..mind ur life n leave others alone..alafu jaribu kuandika ur mother tongue wenye kuelewa wataelewa tu coz inaonekana kiswahili ama kingereza imekulemea kabisa....tasteless novel lol!!!!
@raniasufi5847
@raniasufi5847 5 жыл бұрын
Granny bahati ukampata diamond hampati tena
@fatmaomar8497
@fatmaomar8497 2 жыл бұрын
Zari na yeye malaya...asingekuwa malaya zari asingezaa na m.mume aliekuwa hajamuoa...hamisa hana makosa...sababu nasseb hajaoa ...wote hao walizini kwaumalaya wao na wengine kuzaa nae..kuweni na akili ya kuchochea zinaa kila kukicha
@aystv5998
@aystv5998 5 жыл бұрын
Maneno yote Hayo ya nini na wewe umemuacha dai mkp katika vyombo vya habari
@christinaelisha4439
@christinaelisha4439 5 жыл бұрын
ila mm sion ajabu huyu mama mjukuu mtarajiwa kupiga vijembe kama alimzika mme wake hata mwezi hajamaliza kaburini akaanza kugombania mboo yamond hivi mnamuona huyo mtu zimekamilika bora ukoswe pesa lakini mungu akupe akili yakujitambuwa utakuwa niutajiri tosha kabisa
@husnatawete7071
@husnatawete7071 5 жыл бұрын
Kabisa mwanamke wa pesa uyo ana utu
@merryn4891
@merryn4891 5 жыл бұрын
kwel ujinga tu anaofanya ety mdori kwan zari alikuta diamond bikra au
@marrivinnthashlintoe7870
@marrivinnthashlintoe7870 5 жыл бұрын
zari ndo make Wa mond...tanasha panua miguuu sana 90°utajutia fala hii ya mwanamke umekosa mwanaume ukaona mond !!! huko n ufala sana tako hii
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 5 жыл бұрын
Mimi napita
@sweet16honey75
@sweet16honey75 Жыл бұрын
Na wewe Zari umekula makombo ya Wema
@zuhuraabdallah6467
@zuhuraabdallah6467 5 жыл бұрын
zari ni mwanamke na anafaaa kuwa na mke wa daimoni diamond ata chezea wote lakini zari ndo mwenyewe
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 жыл бұрын
Zari alijiamini. Km damond hawezi kumuacha lakini matokeo yake. Hana mda nae sasa anahangaiko roho zari ajuwe km kadp. Mondy kapiga na kasepa kikweli. Kweli sasa. Na ringie pesa yake .
@cvvbbcvbb4444
@cvvbbcvbb4444 5 жыл бұрын
Uyo zari alijua acha atikise kibiriti kwakumuambia dai waachane atabebelezw sas akajikut amegong mwamba malaya hua hapend hatamramoj ww bado wamtaman mond
@lindaemmily7332
@lindaemmily7332 5 жыл бұрын
Hehe
@bahatimtenga9489
@bahatimtenga9489 5 жыл бұрын
Nc
@Denisemalandal
@Denisemalandal 5 жыл бұрын
Maman you are Zari
@dogobyalimasilubunga5110
@dogobyalimasilubunga5110 5 жыл бұрын
Naeshimu mahamuzi ya uyu jamaa Simba wa Africa akitakacho lazima wakikubali nyumbani kwaooo ila shemeji mzuli Sana kweli
@mussamussamussa8444
@mussamussamussa8444 5 жыл бұрын
Bibi tulia ushazeeka, waache warembo wafanye Yao ww umepuyanga we mpk imeanguka pua cha ajabu pale unapo mshangao hamisa watat kuwa baba tofauti utadhani wake baba mmoja domo kajua nyoosha ukakimbia Ivan kuja tza umenyooshwa
@merryibra3883
@merryibra3883 5 жыл бұрын
natena wakukome huna habari nawo unasonga mbele nakazi zako na mama bora kwa watoto wake.
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 жыл бұрын
Zari kamuacha mondy alikuwa hajajiweza lakini alitikisa kibiriti kukuangalia lakini hukudhania km itakuwa kumejaaa. Sasa ana papa rika zari hajiwezi kwa daymond anajikaza tu lakini huo ndoukweli km anajiweza na afanye. Yake asimshuhulikie mondy.
@hawambunda7230
@hawambunda7230 5 жыл бұрын
Pokezaneni makombo ...
@kahindojacquie8681
@kahindojacquie8681 5 жыл бұрын
nyinyi. watanzania. munalingana kama imbwa mumuashe zarina
@minabw7301
@minabw7301 5 жыл бұрын
Shika adabu yako koma, kuchanganya watanzania na upumbavu wenu. Koma!!!!
@annegithinji6676
@annegithinji6676 5 жыл бұрын
Wewe zari ni ukweri urikura mambakiso ya wema bona una sugurika na mambo ya simba wacha atasisi wakenya tuoje mabakiso tusikie vile inaoja
@husnatawete7071
@husnatawete7071 5 жыл бұрын
Mwambie
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 5 жыл бұрын
Wee mtangazaji rudi chuoni huyo Msichana mpya sio Tamasha ,Tanasha muse lakini na habari zenu za Kisenge
@grandtaxifydriver9001
@grandtaxifydriver9001 5 жыл бұрын
Kama ulifunzwa toyz za zamani uwape wasijiweza au ambao hawana kwanini upate dhambi kutangaza kaa kando ushazipeana ngojea thawabu. Pia wewe ni Uganda la muwa la Jana.
@leylaelias6834
@leylaelias6834 5 жыл бұрын
Kama ampendi vijembe vyann
@zahaljamal4520
@zahaljamal4520 5 жыл бұрын
Nonsence
@maryamjaafer9018
@maryamjaafer9018 5 жыл бұрын
Ahahaha
@pendomarco9307
@pendomarco9307 5 жыл бұрын
atulie tu c yeye ndio alienda BBC
@abdulsaidi4084
@abdulsaidi4084 5 жыл бұрын
MARYAM JAAFER nyie nae ndo wapashukuna mkisikia mond kamrudia zari mtasea nn tena ya watu hayawahusu angalieni yenu haoooooo
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 5 жыл бұрын
Mbona ww ulimuibia wema ebu kitulize uko
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 5 жыл бұрын
Kichambo cha maana.. Penda weww
@maryeliassmary2100
@maryeliassmary2100 5 жыл бұрын
Mkomen hamisa kumwingiza kwenye vijembe vya zari
@lydiaokindo288
@lydiaokindo288 5 жыл бұрын
Zari pigania penzi lako ,since mzae na mond sasa ndo amekuona wewe ni mbaya,mond b careful remember kilicho na mwanzo kina mwisho
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 5 жыл бұрын
Lydia okindo salama uko, penzi halipo tena myaka mingapi sasa kaaga BBC ? alee tu watoto, na vijana wake wamekuwa wasije hata kumpiga Mondi, pole yake bibi zari...
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 5 жыл бұрын
apo kila mmoja aliiba bwana wamtu zar alimuiba ondi kwawema nasas nayy wamesha mchukuwa wajanja wezak ss afunge domo
@sultanmganzira4388
@sultanmganzira4388 5 жыл бұрын
Zulfa Mohamed acha uongo bc wema mwenyewe anasema hakuwa na mondi kipindi hicho
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 5 жыл бұрын
Sultan Mganzira angerikuwa wameachana wema namondi bas isinge kuwa wanagombana mitandaoni kwasabab yamondi ila ikiona wanagomban bas ujuwe zar alichukuwa bwana wa mtu
@sultanmganzira4388
@sultanmganzira4388 5 жыл бұрын
Zulfa Mohamed ww ndio wema au mond wahucka wanasema waliachana.ww unakataa kwanza zari.hakuwepo hayo hayajui alifuatwa Lkn hamisa alikuwa anaenda kwazari nazawadi anapeleka akijifungua kwahiyo alikuwa anatamani maisha ya zari mondi uliwahikusikia zari amekuja kwa wema
@amiratomankazid4580
@amiratomankazid4580 5 жыл бұрын
Wewe siuna pesa nyingi tafuta wako mzuli zaidi ya domo kisha utoe keleke ao ndo nyegezi zinakusumbua inaonekan waganda awajuwi mapenzi kama ya wa tz ndioman kilakukicha maneno
@irenekimaro3520
@irenekimaro3520 5 жыл бұрын
Achakusema hivo hata mond alimpenda mpaka alizaanae,ww msipende kuingilia mapnz ya wawili wajuana wenyewe.
@maureenchole4117
@maureenchole4117 5 жыл бұрын
wacheni ombea fake news
@irenesese6968
@irenesese6968 5 жыл бұрын
Zari nawe pia ni matapishi ya kale subiri kichambo nadhani unamjua vizuri chibu atakuchamba had I Inzi wakukimbie uombe pooo
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 337 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 9 МЛН
End Time Events with Joshua Maponga full video
23:26
Ev Samuel Musonda
Рет қаралды 6 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 115 М.
Hizi Ndizo Sababu za Kifo cha Ivan Done wa Zari the Boss Lady
6:41
Global TV Online
Рет қаралды 435 М.
Jua Kali Leo Jumamosi Usiku 19-10-2024
22:15
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 51 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36