Ni hatia kubwa sana kumpigia magoti binadamu na kumwinamia. Banadamu hawezi chukua nafasi ya mungu. Huyu nabii anatubariki sana lakini lazima mtambua yeye sio mungu wa kusujudiwa..
@rehemadaudi43902 жыл бұрын
Good Baba yang.
@levinahmuspeka39522 жыл бұрын
Ahsante baba yetu, hakuna jambo lanye Mungu wako hawesi fanya
@chichichichi58902 жыл бұрын
Please, can we have English translation of your services? It would be of great blessing to a lot of people that do not understand Swahili. Thank you and God bless. Also, is the prophet ever coming to London, United Kingdom? I and am sure many people would like to attend his meetings to receive impartation and deliverance.
@barakawilliam39932 жыл бұрын
Amen NABII mkuu .
@chalessabaya29382 жыл бұрын
Hatari na nusu 😁😁
@janettendayisenga47862 жыл бұрын
Amina amina nabii mkuu
@mariamfritsi49432 жыл бұрын
Amiin nami pia nimefunguliwa. 🙏
@halimaleila23232 жыл бұрын
Ameeenaa
@eliasamwel8852 жыл бұрын
Hareluya 🙌🔥🔥🔥🔥
@Royal_priest12 жыл бұрын
Yesu lazima apigiwe salute amen
@erastohanson96962 жыл бұрын
life is about descpline in living
@danielrichardsangali47472 жыл бұрын
Mtu akimsema vibaya Nabii Mkuu natamani kumpandia kichwani najua pamoja na utumishi wangu pepo zilinitoka za umasikini aliponitoa sijui kama ananikumbuka lakini nilikuja nimevaa nguo zangu za nigeria ya rangi ya blue na alinionekania tokea hapo nimekuwa mtu mwingine ninajambo kubwa nikilielezea kuhusu nabii watu watasema natafuta kiki lakini najua Nabii mkuu ni Mungu kamleta
@rosemaryikamba52882 жыл бұрын
MANENO MACHACHE KAZI' KUBWA ZAIDI 🔥🔥💪!!!
@samwelmollel6022 жыл бұрын
Amina
@mbarikiwambarikiwa39882 жыл бұрын
Baba Geo Dav, nena kwangu pia nipone nateseka sn.Niko morogoro.
@gooddeeds1622 жыл бұрын
Muombe Mungu na ukiwa umefunga angalau siku 3 na Mungu atakuonekania.
@samwelmollel6022 жыл бұрын
Àmina baba
@farajarogath1962 жыл бұрын
❤❤❤🙏
@alfridamapunda63442 жыл бұрын
Naomba no za nabii please nipo Zambia please
@samwelmollel6022 жыл бұрын
Huyu baba nihatari kwaupako huu
@jackmtafya33832 жыл бұрын
Sara Ya toba hakuna kumkiri Yesu hakuna embu kueni na akiliiii kichwani soma bibilia
@haikamchaga82512 жыл бұрын
Natamani siku moja nifike hapo
@alicekasendwe97782 жыл бұрын
Na mimi piya sasa niku Congo
@jackmtafya33832 жыл бұрын
Unawezaje kumfungua mtu Wewe mama acheni kudanganya watu
@kendimutunga2 жыл бұрын
hipo siku nani nitafika hapo niokoke
@johanithakakula63932 жыл бұрын
Naomba namba ya nambii huyo Dr,
@johanithakakula63932 жыл бұрын
Tunaomba namba zako pendekezo nabii
@rehemadaudi7422 жыл бұрын
Mmmmmmmm
@ramamchina47302 жыл бұрын
Mcheza kalet uyu kwaza
@kasyaniTv2 жыл бұрын
Baba hakika wewe ni nabii kwali naomba kuimba hapo kanisani
@selestinsongola27872 жыл бұрын
Huyu mama mbona Kama zumarid
@zayedmohamed92832 жыл бұрын
Umeona eee
@nancynahum75672 жыл бұрын
Unahisi ni raisi ulichosema?????? Angalia hii video mara 3mtu anatokea Uganda?????? Dont play