MWANAMKE KUTOKA OMANI ATAPELIWA NA MPENZI WAKE ALIYEKUTANA NAE TIKTOK

  Рет қаралды 22,466

Geah Habibu

Geah Habibu

Күн бұрын

Пікірлер: 750
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 10 ай бұрын
Pole sana ndugu, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi insha Allah
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 10 ай бұрын
😢nachukia mwanaume wakuniomba hela namchukia mara moja
@AbcD-bn1nz
@AbcD-bn1nz 10 ай бұрын
Yaan ww kama mm na block kabisa
@aminaomari-9573
@aminaomari-9573 10 ай бұрын
😂😂😂mimi pia
@aminaomari-9573
@aminaomari-9573 10 ай бұрын
Kazi ngumu hivi huku😢
@MtuSafi
@MtuSafi 10 ай бұрын
yaaan hata mm nikiwa na mwanamke aanze kuomba hela namuacha..Mwanamke wa kumpa hela inabidi awe mkewangu ndo namuhudumia. ila wamtaani hapana wana shida kibao.
@farajasaid9209
@farajasaid9209 9 ай бұрын
Mimi wakwanza, yaani mwanaume akitaka nmchukie aniombe pesa
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 10 ай бұрын
Jamani pole sana mama Allah akujalie update mume mwema.Kwa uwezo wa Allah utapata tu Muislam mwenye kujua dini atakuoa tu.
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 10 ай бұрын
Huyu Mama Shida Ilikuwa Ndoa😂😂😂😂Jamani Musishindane Na Muda Wa Mungu Kuwenii Wavumilivu..Ndoa Za Mitandano Ni Utapeli Tu!
@didarashid2763
@didarashid2763 9 ай бұрын
Usimcheke uwo ni mtihani wa mwanamke mwenzetu mtihani tu umemkuta
@brendabeatus2193
@brendabeatus2193 10 ай бұрын
Uyu dada hivi ngoja kwanza dada geah unauhakika anaakili timamu uyu mwanamke 😢katudhalilisha sana wanawake wa Tanzania pumbavu😂😂
@MwanaidiSalehe
@MwanaidiSalehe 10 ай бұрын
Muunguj Huyu mtu wa zenji
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 10 ай бұрын
😂😂😂
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 10 ай бұрын
Kweli au bongo movie?
@AminaAmine-v4m
@AminaAmine-v4m 10 ай бұрын
Mimi mwenyewe najiuliza hivyo
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 10 ай бұрын
Ana akili timamu ndo maana anasema hajafanya tendo la ndoa miaka 8
@MadenaIphone
@MadenaIphone 10 ай бұрын
Hana akili huyo mama hata kidogo yaan wewe sio wakupewa pole watu walioko nje wanazulimiwa na ndugu zao tumbo moja wewe ukaenda kumuhudumia bwana kweli dunia imeisha
@Aaqwe-yi6qn
@Aaqwe-yi6qn 10 ай бұрын
Mama mzaz anakula pesa na uongo juu sembuse mtu hata mjui si ujinga huo
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 10 ай бұрын
Chili huyo ataakiongea unamuona hayupo sawa
@Husnasalim-f2g
@Husnasalim-f2g 10 ай бұрын
Huy kaka nitapel wa mitandaon usikute alikuw anamlog uwez jua huy sio akili zake 😢aiwezekan mihela yot hiy vit vyot ivyo tumpe pole 2 me naumia km mm jaman
@rosemsafiri7568
@rosemsafiri7568 10 ай бұрын
Uyo kaka mjinga sana hajui kula na kipofu mbwa huyo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 10 ай бұрын
Hana akili
@نجمةموبيبي
@نجمةموبيبي 10 ай бұрын
Mwanamke mjinga wewe , hata mwanaume hawezi kuhudumia mwanamkekama hivyo , yaan ulikua unaoa , sasa ndo ujipange urudi kwenu
@halimahalima1488
@halimahalima1488 10 ай бұрын
Mh mpe pole mwenzagu sio yake ayo😢
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 10 ай бұрын
😂😂😂 nyege ndo chanzo unazan kama akili yake ya kawaida angekuwa Tz angefanya upuuzi huo
@ummySheikh72
@ummySheikh72 10 ай бұрын
Kumbe wajinga kama mimi wapo bado Duniani😂
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 10 ай бұрын
Uchawi upo ndugu huyu Dada sio akili yake
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 10 ай бұрын
Da geha mwambie tu uyo dd arudi tu Oman kama ana nauli nimtumie pesa
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 10 ай бұрын
Pole sana dada yangu mtihani wallahi 😢 ulikuwa unaniya njema kabisaa ila uyo mkaka Allah atakulipia
@farajasaid9209
@farajasaid9209 9 ай бұрын
Simpipole mkosefu waakili
@FatumaMuya
@FatumaMuya 10 ай бұрын
Mume anatakiwa akuhudumie wewe na sio wewe umuhudumie yeye pole sana dada ivo vitu vyote yeye ndo alitakiwa avinunue na sio wewe😢😢
@OmanRuwi-ml2pq
@OmanRuwi-ml2pq 10 ай бұрын
Sindomana sikuhizi Wana ume wame jinweteka hawaongi hawaudumii kwasababu yamijimama kama hii isokuwa naakili sasa hapo sikamuowa yeye mwanaume nahiyo kaamshindwa sababu mama nimkubwa mwanaume nirika lamwanae ndomana huyo kijana kamkataa wajinga ndo waliwao
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 10 ай бұрын
Mshamba Sana huyu dada jamaniiiiio pole sana
@kutailass6671
@kutailass6671 10 ай бұрын
Kila anae dhulum kesho akhera anacho chakujibu kwa Allah
@mariamsaid6334
@mariamsaid6334 10 ай бұрын
Kwanza uyu mama ok Oman alikuwa na kz gan mana sio kwa mimilioni iyooo mbona hii aniingii akilini
@wardamohamood
@wardamohamood 10 ай бұрын
Liongo hili tuna miak minne Oman na atuna pesa km izo😂
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 9 ай бұрын
Umeona maana kwa mkataba wa miaka2 haifiki m ishirini 😊
@sophsoph4740
@sophsoph4740 7 ай бұрын
Muongo afu mshamba 😢
@Zahara-or3cf
@Zahara-or3cf 2 ай бұрын
Ndugu weee
@mariambarkat2251
@mariambarkat2251 9 ай бұрын
Mungu atustiri na hii mitihani, ya kutapeliwa, huyu dada anataka riski ya ndoa ndio maana kajitia mzima mzima kumbe kaingia cha kiume. Usijaribu tena kutafuta mume mitandaoni, allah atamleta mwenye mapenzi na wewe ila hapa umeingia shule tayari sasa either upasi au ufeli
@anjelinakaniki9162
@anjelinakaniki9162 10 ай бұрын
Mungu akufanyie Wapesi dada pole sana mungu atakulipia inshallah 😊
@didarashid2763
@didarashid2763 9 ай бұрын
Mungu atakufanyia wepesi utaipata haki yako
@mohamedsalum8933
@mohamedsalum8933 10 ай бұрын
Pole Sana dada In Shaa Allah Mungu atakuzidishia moyo wa huruma na mapenzi. Na hakika umejifunza ktk mtihani huu.
@OmanBuraimi-wl4tm
@OmanBuraimi-wl4tm 10 ай бұрын
Tulikoo mijii ya watu jaman tuwee makin na wanaume wa mitandaon jaman 😅😅😅 me ctaki kabisaa Wanaume nyokkoo akukafany kitega uchumii weee falaa kwel weee hayaa mwenzk anakula laha na huyoo dada akee wee umebak puaa pwii
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 10 ай бұрын
Jamani tusimlaumu uyu dada lamda karogwa na uyo mwanaumw
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 10 ай бұрын
Hiyo yote ni shida ya ndoa Mungu wajalie ndowa wanawake wote wasioolewa mana wanaugua wazimu wa ndoa uku
@halimamunga1681
@halimamunga1681 10 ай бұрын
Haya mambo yanaumiza sana simcheki ujinga huyu Dada nampa Pole na aendelee kuvumilia Allah atampa hitaji la moyo wake naelewa alicho pitia kwasababu najua
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 10 ай бұрын
Hahahah pole yake hivi maisha ya uwarabuni kazi ngumu hivi unampaje mwanaume pesa kirahisi hivyo ?? Pesa zako ungejiwekea tuu wanaume siku hizi ni mtelezo wanataka kulelewa 😂😂😂 Wachache ni wenye kujitambua ila wengi wababaifu anakutafta akiwa alone akiwa kwake anafunga Data ,, dada jifunzeni kwa huyo dada maskini pole yake😢😢😢😢
@usher_bambi94
@usher_bambi94 10 ай бұрын
Huyo kijana tunamtaka mashaghalah tumchambe kwann atuingizie mjini madam wetu😂😂😂😂
@Fatema-l9s
@Fatema-l9s 10 ай бұрын
😂😂😂😂 nimtajee?
@Hawaa1996Khassan
@Hawaa1996Khassan 10 ай бұрын
Mbwa wew had uku
@Aaqwe-yi6qn
@Aaqwe-yi6qn 10 ай бұрын
😅😅😅
@herdijernuruh3032
@herdijernuruh3032 10 ай бұрын
Mtajee😅​@@Fatema-l9s
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 10 ай бұрын
😂😂😂umeona eeh
@bibibomba9799
@bibibomba9799 10 ай бұрын
Mmmmh shoga una moyo hongera kazi zetu hizi zilivyongumu kweli unapata ujasiri wapi wakumpa mtu pesa uliyekutana naye mtandaoni
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 10 ай бұрын
Pole dada wewe ni mtu wa Mungu sana masikini inauma sana
@maryamshija566
@maryamshija566 10 ай бұрын
KAMA MTU WA MUNGU ASINGEFANYA UPUZII HUO YAAN MTU MZIMA KABSA SIO MTOTO
@abuibra
@abuibra 10 ай бұрын
Shauri langu wanawake wazee mtafuteni wanaume kidogo lika mkaribiane.
@NoorPrince-v1v
@NoorPrince-v1v 10 ай бұрын
😂😂😂😂kwakweli
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 10 ай бұрын
Wasichana wa Oman mmezidi😂😂dubai wezenu dubai hatuna ujinga huo
@omanoman2044
@omanoman2044 10 ай бұрын
Huyu ni mzaliw wa oman nasiyo mfanya kzi wa oman kam ulivo waza ww mjinga san huyu
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 10 ай бұрын
@@omanoman2044 mjinga niww
@Yusufu940
@Yusufu940 10 ай бұрын
Achana na maisha ya mtandaoni akuna mausiano ya mtandaoni kuweni makini
@HusnaHashim-o9y
@HusnaHashim-o9y 10 ай бұрын
Daaa mshikaji kashafungua biashara na kajenga nyumba anastarehe na mwanamke mwengine ila pole Sana dada angu maisha haya mafupi sidhani kama kitu Cha dhulma kitadumu pole Allah atakulipia ila pengine alikuchezea akili huyo mwanaume wako
@futurehomevibes2870
@futurehomevibes2870 10 ай бұрын
Yan tena majumba ya kifahari
@Husnasalim-f2g
@Husnasalim-f2g 10 ай бұрын
Saw lakin aitodun dhulma sio mzur vit vya dhulma waga avidum
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 10 ай бұрын
Mungu anipe mume sahihi 🙏
@Ali-uh9wb
@Ali-uh9wb 10 ай бұрын
@rachemuhehe7789mm nipo vp?
@hassan4k7
@hassan4k7 9 ай бұрын
Daah pole sana dada ,Allah akufanyie wepesi upate mume mwema
@Kibaadvocate
@Kibaadvocate 10 ай бұрын
Siwezi siwezi kutoa rial yangu kwa mwanaume labda awe mume wangu wa ndoa naye mume wa ndoa siwezi mpa hela nyingi maana hawaaminiki
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 7 ай бұрын
Kweli kabisa
@GraceMadondola
@GraceMadondola 10 ай бұрын
miaka nane na nusu uja shiriki tendo la ndoa du dada ujengewe sanam lako kwahio kuanzia mwka 2014 mpka leo hiii 2024 dada ubarikiwe
@طلالالبوسعيدي-س6خ
@طلالالبوسعيدي-س6خ 10 ай бұрын
Hongera kwa wema utaenda peponi kwa mahaba hayo kwa kazi za huku zilivyokuwa ngumu halafu unakuwa mjnga kiasi hivyo kwa hayo sikuamini kabisa
@MohsenAljahwary
@MohsenAljahwary 9 ай бұрын
Kwanza pole sana Dada yangu Kwa yaliyokukuta.We KWELI una mapenzi ya KWELI.Mimi NI mtu mzima WA makamo NA najielewa vzr NA nna shughuli zangu za kufanya kwahiyo km ukiwa tayari kuwa NA Mume mi niko tuombe Allah atuweke ukiwa tayari nipo.
@hawasaid7151
@hawasaid7151 10 ай бұрын
Nimekuonea huruma kwa kupoteza mahela yote hayo, ila ulikuwa unadanganywa kitoto sana duuh huyo mwanaume alijua kukupumbaza😢😢
@HabeebaHassan-eq7bg
@HabeebaHassan-eq7bg 10 ай бұрын
Me nahisii alikuloga yani kwa jinsi kazi za oman zinavyoumizaaaaa 😢😢
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 9 ай бұрын
Wanaume pia siku hizi wanaloga
@MwajumaKhalfani-jn5sz
@MwajumaKhalfani-jn5sz 8 ай бұрын
Yaaan hatar kwa kweli
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 10 ай бұрын
sijui hakili wanaziweka wapi eti nini😅😅😅😅
@farajasaid9209
@farajasaid9209 9 ай бұрын
Yaani nashangaa sana
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 10 ай бұрын
Pole sana utapata mume mwema mama.
@faridapandu7579
@faridapandu7579 10 ай бұрын
Pole Sana dada tuwemakini mashagala oman wanaume wengine matapeli
@MwajumaJuma-h4k
@MwajumaJuma-h4k 10 ай бұрын
Pole mwaya
@AlaAlahh
@AlaAlahh 10 ай бұрын
Uyu mama anatia kinyaa hata kumsikiliza sio mzima kabisa jamn
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 10 ай бұрын
Mmmh hata kama ni upwiru dada umezidi khaa😂 yaani Oman ufanye Kaz alafu ufuge bwana mmmh pole amekuramba usiamin watu hovyo jaman mie rial TU inaniuma sana😂
@saay4273
@saay4273 10 ай бұрын
Miye nusu riali 😂😂😂😂acha hiyo riali kamili miye nusu inaniuma
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 10 ай бұрын
@@saay4273 hahaha 🤣🤣 yaani sijui wenzetu wanawezaje ,
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 10 ай бұрын
Pole sana Mwanamke mwenzetu Allah atakulipia wewe hukuwa na nia mbaya
@ibrahimibra7486
@ibrahimibra7486 9 ай бұрын
Pole sana dadangu maana huyo kijana ni mjinga sana. Usjali dada allah atakulipia Pole utapata wa kwako tena wa maana
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 10 ай бұрын
Yaani hilo kaka litapata laana hapa duniani,litateseka mara milion,atapotexa mpaka st ya mwisho.Atakatika mikono yote.
@fasanitztiri5371
@fasanitztiri5371 10 ай бұрын
Acheni masihara heka heka za mwaume unazifanyaje mwanamke???
@maryamtan682
@maryamtan682 10 ай бұрын
Wajina ndo waliwao, ukijifanya umefumba Macho bs wajanja watakufumbua.
@saidalmandhari6483
@saidalmandhari6483 10 ай бұрын
Sahia njoo Mimi nikuone hapa oman na sitaki kitu chochote kwako
@mamasalhat
@mamasalhat 10 ай бұрын
ujinga huwo sifanyi kwanza sipendi mambo ya kutongozana online wanaume wajanja sana akijua upo nje. Basi anakudangia😂😂😂 mdada katuangusha sana khaaaaaaaaaaa
@OmanRuwi-ml2pq
@OmanRuwi-ml2pq 10 ай бұрын
Yani huyu mama nichizikweli yani
@OmanRuwi-ml2pq
@OmanRuwi-ml2pq 10 ай бұрын
Mijana ume sikuhizi ina danga sana
@hadijahassan6467
@hadijahassan6467 10 ай бұрын
TULIOSOMA QUBA TUJUANE 📌📌📌📌📌
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 10 ай бұрын
Mmmm Pole sana dada wanaumewengi ni matapeli sisi wengine pia tumetapeliwa hivo wanasema watatuoa kumbe waongo mola ata mlani huyo kijana
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 10 ай бұрын
Hizo hela ulikuwa unaokota oman au umekaa miaka mingapi omn mpka umepata pesa zote hizo na ukasahau umri unaenda
@AminaAmine-v4m
@AminaAmine-v4m 10 ай бұрын
Kwanza hixo milioni 20 tu sijui miaka mingapi?
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 10 ай бұрын
Mnakumbuka kilichomkuta Happiness miaka 7 mume wa ndoa ya kikirsto? Bila Mungu hutoboi kuna watu wa karibu wanatuliza sana., Mapezi popote hakuna cha online wala live🤲🙏🏽 Dada naomba unisaidie kusomesha mwanangu una pesa sana pia Oman ulikuwa unalipwa shi ngapi au ndo ulikuwa Canada ❤🥰
@Aaqwe-yi6qn
@Aaqwe-yi6qn 10 ай бұрын
Kila cku watu wanalizwa lakn hawajifunz tu
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 10 ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka kama mazuri huyo dada ni nyege gani za kutunza mwanaume usie mjua hata sura😂😂😂😂
@Aaqwe-yi6qn
@Aaqwe-yi6qn 10 ай бұрын
Nyege kujiendekeza tu
@mariamjoseph8900
@mariamjoseph8900 10 ай бұрын
Wish u the best dear.
@Oman-z7j
@Oman-z7j 10 ай бұрын
Dada umetisha pole sana
@cautharrudolf2257
@cautharrudolf2257 10 ай бұрын
Pole Sana Dada tuweni makin jamn daah
@HappynesJames
@HappynesJames 9 ай бұрын
Pole sana dada hii itakuwa fundisho kwa wengine
@HassanMakame-b3r
@HassanMakame-b3r 10 ай бұрын
Assalam Alaykum hbr za jion nitumie no yake au niunganishe naye mm mkataba tukijaaliwa nafunganae ndoa niulizie anaweza kuishi pemba
@sas7728
@sas7728 10 ай бұрын
Pole sana mama mungu atawajalia unakata haki yako
@maryamm7765
@maryamm7765 10 ай бұрын
Kazi nilijua mfanyakazi uku ! Kazi uku mgumu jamani ndugu zangu tufanye kwa malengo msikubali Kuwahonga hao viumbe awana shukran
@zainabwage4658
@zainabwage4658 10 ай бұрын
Saut ndogo😂😂😂
@Shuu.A
@Shuu.A 10 ай бұрын
Msaidie kutanganza mwenzio😂😂😂😂
@Nanah18
@Nanah18 10 ай бұрын
Yaani watu wanaamini watu waongo wanawapa vitu vingi, wakati kuna watu wana shida ya kweli na kusaidiwa mtihani
@HassanMakame-b3r
@HassanMakame-b3r 10 ай бұрын
Assala Alaykum hbr za jion niunganishie mm namtaka niulizie anaweza kuishi pemba mm namtaka kwa ajili ya Alla
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 10 ай бұрын
Kweli nimeamini mapenzi ni upofu ila dada yangu kama una mganga wako kamroge mimi niko nyuma yako nakusapoti
@umukulthumu1419
@umukulthumu1419 10 ай бұрын
Hela nyingi huyu inawezekana hakuwa shaghala 😂😂mana shaghala hio mihela yote labda hakua na familia inayomtegemea alikua anahudumia mwanaume 😢
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv 10 ай бұрын
Ata akusema alivyo rudi kafikia kwao
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 10 ай бұрын
Hata mm. Nimesemahivyohivyo
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 10 ай бұрын
Dhana sio nzuri
@aminamareta9297
@aminamareta9297 10 ай бұрын
Dada gea wapo wengi sana usipokuwa makini unaria
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 10 ай бұрын
Kumbe kuna watu wanateseka na mapenzi kiasi hiki looohhh 😢😢😢
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 10 ай бұрын
Hatar ivyoo!
@ChikuHamisi-o8p
@ChikuHamisi-o8p 10 ай бұрын
Waswahili wanasema kunaakili za kuzaliwa na akili za shule ila wewe nikama zote huna😢mungu akupe nguvu tu hili lipote pole sana maana haya maisha yalivyo mangumu mwanaume anakukula hivi aaah pole sana
@asiasalim9323
@asiasalim9323 10 ай бұрын
Subhana ALLAH pole sana
@filimonmpinge6039
@filimonmpinge6039 10 ай бұрын
Huyu mama inatakiwa achapwe viboko kwa sababu ni hajielewi
@joyce55727
@joyce55727 10 ай бұрын
Tena hajielewi kabisa
@AminaMohammed-v3x
@AminaMohammed-v3x 10 ай бұрын
Yanivyakutosha😂
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 10 ай бұрын
Yaani nisitengeneze maisha ya ngu nimpe mawanaume pesa wapi nimerudi omani niko hoai huipati pesa yangu tumedhilumiwa sana ila kea sasa weeeee
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 9 ай бұрын
Dada kwa ushauri wangu mroge mroge tu 😊😊
@Maryam-o3i6j
@Maryam-o3i6j 8 ай бұрын
Pole dd una moyo hapana mm siwezi
@SaraaSaraa-i1j
@SaraaSaraa-i1j 10 ай бұрын
Huyudada mulongo kwa hera ya gari kaongopa sana
@fatamb2187
@fatamb2187 10 ай бұрын
Kwanza nimuongo sana huyu dada kwa miaka mingapi kafanya izo kazi mipesa yote iyo anataja muongo huyu dada sana
@BMSeleke
@BMSeleke 9 ай бұрын
😅😅😅😅 Nilichelewa kuisikiliza siku ya 1(jumanne) nmekuja kusikiliza siku 2 (jumatano) nilichekaaa😂😂😂😂😂
@HusnaHashim-o9y
@HusnaHashim-o9y 10 ай бұрын
Pole Sasa dada angu Allah amekujulisha mapema huyo ni mwanaume wa namna gani
@jamilajamila183
@jamilajamila183 10 ай бұрын
Duu jmn kaz za omn hixi mtu unahonga tu ht km nnaupwiru kias gani siwez mmh ,,,humjui mtu, dunia ya sasa ,, shukur ht uyo umemuona liv wezako wanakutag kivul tu
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 9 ай бұрын
Kwani wenzetu hizi pesa mnaziokota au ndio kwa shuruba hizi mimi ndiyo nimtumie mwanaume pesa. Hiyo hapana kwa kweli hata mume wangu situmi pesa asubiri nirudi tutafanya mipango tukiwa pamoja
@josephkalwani
@josephkalwani 9 ай бұрын
Daaaah hizi bahati hazitufatagi sisi?
@LailatAbdullah-w9d
@LailatAbdullah-w9d 10 ай бұрын
Pole yake
@felistajilala3630
@felistajilala3630 10 ай бұрын
Mm kiukwel mme wangu sijui nitakutana nae wp ila jibu hatokula hata mia yngu nikiwa kama mwanamke hata kama ninahela kumzidi yy ni never kula pesa yangu mtaendelea kitapeliwa kila siku yani ww dada nimjiga kwelkwel
@HoneysugarPudding
@HoneysugarPudding 10 ай бұрын
Alirogwa si bure kaaaah!!!!!!!!
@mariammariam5723
@mariammariam5723 10 ай бұрын
Inawezekana
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 10 ай бұрын
Uchawi upo nyie😅
@HoneysugarPudding
@HoneysugarPudding 10 ай бұрын
@@rehemafeysali4444 kabisa Maana siyo kwa Kaz za Oman ukahonge hela zote hizo kisa Abdallah kichwa wazi
@LailatAbdullah-w9d
@LailatAbdullah-w9d 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hatali mbona makubwa
@keyla3641
@keyla3641 10 ай бұрын
Pole sana umuhimu umejifunza usiamini tena mtu watu siku hizi wamebadikika wanaroho mbovu sana usikubali mtu bila ya kumchunguza na pia uwe na mashahidi
@edithajohn9600
@edithajohn9600 10 ай бұрын
Wew kaka umechezea fursa😂😂😂😂mama poleeee kwa yalio kukuta,,,ulivurugwa na kaka wa kibongo
@allyadam7355
@allyadam7355 10 ай бұрын
subhana llah huyo mwanamk nmemskiliz vizur san na nmemuelew yani daah! baadh yet sis wanaum wajing san ktk hii dunia yani mwanamk Kama uyo yani nilulu mwanang maisha yaliv Kua magum ivi afu mwanamk mpambanaji wallah yani mi ningempend san kutok moyon tena ningempend kwadhati simanishi nahitaj kulelew mim hapan kivyovyot elewa tu yani mnapig kazi mnajeng bonge ya mjengo nausafur wamaan aman furah na upend ndan ya nyumb eeeeeeh Allah nipe nafas moja namim itikia dua yangu namalizia kwa kusem pole san mam mtume anasem dhulma nikiza siku ya qiyama na Allah asema Amekula hasar mwenye kudhulum Allah akupe subra
@Mpakauseme
@Mpakauseme 10 ай бұрын
Hana akili huyo
@mwanaishatezura7739
@mwanaishatezura7739 7 ай бұрын
Hahahahah huyu dada ukiangalia kabisaaa unaona kabisa kaka nitapeli 😅😅😅😅
@didarashid2763
@didarashid2763 9 ай бұрын
Midam umefanya kwa nia safi bas Mungu atakulipia kwa nia yako pole sana dada dua ya alie dhulumiwa hairudi
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 9 ай бұрын
Njoo nikupe mganga dada wala usiteseke njoo nikupe namba huyo atavirudisha mwenyewe njoo nikupe namba
@JulianaJackson-lz6vq
@JulianaJackson-lz6vq 10 ай бұрын
Pole Jaman.Usiamin mtu kirahisi.Matapeli ni Wengi Jaman.Hela zote hizo ungefanya biashara ingekua kubwa.Ebu wanaume Acheni dhurma
@chimamilion
@chimamilion 10 ай бұрын
Pole sana jmn wanawake tuliopo omani baaz yetu tunatamani sana ndoa lkn we mama jmn ndo mmbo yote hayo ujue mwanaume akikutaka na anaekupend awez kuanz napesa awez kukuomb pesa awez kukuomb video call ukiwa uchi yn uyo gem linaanz nitapeli roh pole sana
@jaqlinemanyama
@jaqlinemanyama 7 ай бұрын
nimeumia sana sjui kwann
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 10 ай бұрын
Mtu humfahamu unamhudumia hivi, kweli una moyo wa huruma.
@farajasaid9209
@farajasaid9209 9 ай бұрын
Bonge la zuzu yaani
@NoelaJohn-p5d
@NoelaJohn-p5d 10 ай бұрын
Ila ukipat kimteremk wew teremkanay daah wew mama mnamuudumia mwanaum kabisa daah upo vizur
@DxbYae
@DxbYae 9 ай бұрын
Huyo Dada mzima kweli😢
@MsNajma-e6e
@MsNajma-e6e 7 ай бұрын
Si hangemuowa tu wasilam ndoa nne mwisho angeowa uyo anaempenda na uyo mma ila uchawi upo jmn unatoa pesa kama mweu chochote unacho ambiwa haupingi wala msimtukane uyu mama yan arikuwa anarosito ya ndoa ndio shida hii ndoa za mitandaon
@hawamaulidi787
@hawamaulidi787 10 ай бұрын
Pole San dada angu
@davidole8257
@davidole8257 10 ай бұрын
Daaaaaaah pole sana Dada nenda kafanye Biashara zako Huyo mwanaume hafai kabisa hana hata Huruma jameni
@mwanaishatezura7739
@mwanaishatezura7739 7 ай бұрын
Huyu ni mjinga kweli kweli . Pole kln jamni pesa yote kaka katusua kilainiiii
@tatukhalid7074
@tatukhalid7074 10 ай бұрын
nimekumbuka yule dada alotapeliwa na mmakonde🙌
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 10 ай бұрын
Yule alitembeana gali usiku namfanyakaziwake
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 10 ай бұрын
Sasa anataka😂serikal imsaidie nini
@evalenad6256
@evalenad6256 10 ай бұрын
Hiyo nilaana kwa upande wote mwanaume unapomfanyia mwanamke hivyo napia hata haifai mwanamke kunfanyia hivyo ni laana inatembea na nyayo zako.
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
PENZI LA BINAMU, part 1 By Ankojay
2:56:04
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 213 М.
WENYE SURA NGUMU WANA MBEGU NZURI /MANZI WA FACEBOOK
8:11
Geah Habibu
Рет қаралды 20 М.
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН