Wewe Mzee Unazofikra Nzuri Sana.Wananchi Tujifunze Sana Kwa. Mawazo Yako Hayo Mazuri.
@michaelkaonga58813 күн бұрын
Wise words
@HajiHaji-w2n13 күн бұрын
Hata mm nmejifunza mambo kupitiya mzee wetu Hamad Rashid, kweli Zanzibar tumebarikiwa watu wenye uwezo mkubwa lkn hatujawatumiya ipasavyo hilo ndilo tatizo letu, hazina km hizi watu ulimwenguni wanazitafuta hawazipati cc tunazidharau,, Mungu ibariki Zanzibar Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki watu wake
@nassorsharifu983712 күн бұрын
Tunajali zaidi matumbo yetu. hivi ni CCM gani wa Zanzibar anaethubutu kuulizia hiyo tume ya pamoja ya fedha? Wao wanachojali ni uongozi tu
@AlsonMoses12 күн бұрын
Uko vizur Mzee wetu
@fridaernestmkedege90013 күн бұрын
Excellent
@muhidinmuro473813 күн бұрын
TAL kwa sasa ndi mkabala wa hii Nchi yetu😂kwa sasa mheshimiwa Rashid
@Gadaf-v5q10 күн бұрын
Chama akishinda mbowe chama kwishiney babuj
@imusalis50923 күн бұрын
Hii channel nilidhani ni ya kidini tu
@josephkajabila72913 күн бұрын
Hakika huyo Mzee ni Tunu Allah mjalie Afya njema.
@MatronaThomas-wz5si13 күн бұрын
Huyu kiongozi namkubali
@angojothammbossa638513 күн бұрын
Mzee ana akili nyingi bado huyu.
@charleskuyeko440013 күн бұрын
Namshauri Msajil wa vyama vya Siasa aweke Ukomo wa Uongozi kwenye vyama vyote vya Siasa ili kupunguza migogoro kwenye Siasa.
@ephesongailo856413 күн бұрын
Katiba ya Chama sio ya nchi.... Japo Kuna umuhimu wa kutunga katiba yenye viashiria vyote vya kidemokrasia.
@HamisMberwa-d3f11 күн бұрын
Mkuu nimekubali sana ila wewe ulikua TIS
@Allyiddsud13 күн бұрын
Jinga uyo ndio mahan alishidwa kisiasa
@axmedcumar619613 күн бұрын
Wow Tanzania tupo na Vichwa 👏🏿👏🏿👏🏿
@abasisabuni13 күн бұрын
Genius
@muhidinmuro473813 күн бұрын
Unfamiliar nn kwenye Rasimu ya warioba kuhusu serikali 3 mr Rashidi
@AbrahmanAbrahman-l7h12 күн бұрын
WAZANZIBARI HAWAWEZI KUWEKA INVESTMENT KUBWA KWAO KUTOKANA NA DEADLY COMPETITION INAYOFANYWA NA TRA MFANO MZURI KIWANDA CHA MAZIWA ALICHONENGGA BAKHRESA ZANZIBAR LEO KIMENGOLEWA HAKIPO ZITAFUTWE SABABU TUWE WAKWELI
@chalokalunde942913 күн бұрын
Mbowe akishinda chama kitakufa
@simonnjovu58613 күн бұрын
Hayo ni mawazo yako tu.
@sewandomkuchu926712 күн бұрын
Hakitakufa..kitakuwa kama TLP..na akiwarudisha kina Mdee kitakuwa sawa na CHAUMA..ingawa CCM itawapa majimbo 3 kipozeo huku ikiiba na kujiwekea 91%...Mbowe sidhani kama anaipenda tena CHADEMA kuliko anavyojipenda mwenyewe!!!
@barakaalfred149113 күн бұрын
Maisha ya kisiasa sasa hivi ni tofauti na zamani! Bado anatoa ushauri kama leo ni 2004?
@benedictmrisho180013 күн бұрын
Kwani bondia mwenye mkanda akinyang'anywa mkanda julingoni shida iko wapi? Kwani ni jinai? Hebu Watanzania tusijenge heshima kuliko demokrasia.
@harounmaarufu324112 күн бұрын
Huyu Mzee ni hazina kubwa
@jumanesaidi763513 күн бұрын
Sikuwahi kumjua huyu genius ! ! Kumbe mama Tz una watu wengi, wenye vichwa baridi, na akili nyingi hivi ! Wanajificha/wanafichwa wapi hawa ?
@PhilipPhanuel13 күн бұрын
Nyinyi ndio hamumjui. Huyu mzee alikuwaka mtata sana bungeni.
@simonnjovu58613 күн бұрын
Alimkimbia Maalim Sefu huyu, akajiunga na chama shikizi ADC. Alikuwa msaliti tu.
@elbattawy286411 күн бұрын
kibwetere
@AlexMsanzi-f2j13 күн бұрын
Huyu mwishimiwa anachongea kizuiri sana ,lakini alikuwepo huko na wizara yake kubwa ,hawa ndiyo wale 2 ,hizi ni politics 2 ,
@nassorsharifu983712 күн бұрын
Ndio Mana alifukuzwa CCM kwa kutetea Zanzibar
@KWELIYOTE13 күн бұрын
DAH!!... TZ INA HAZINA YA WATU, BAHATI MBAYA NI VILE HATUITUMII VYEMA HIYO HAZINA KUPATA MATOKEO CHANYA. NIMEKUELEWA SANA MZEE, ASANTE
@benedictmrisho180013 күн бұрын
Kwani mgombea yupi haiheshimu katiba ya chama chao. Wanasheria wa vyama kazi zao.nini?
@HijaSaid-t6c13 күн бұрын
Aliemtuma hataki aondoke
@bakermusa903313 күн бұрын
Huyu mzee ni nani
@peterhelpeterluena919113 күн бұрын
Hamad Rashid Mohamed
@JosephLymo-j8x13 күн бұрын
Kugombea mboe kwani kunashida Gani acha sanduku liseme ukweli kama haendelei basi kama watamupitisha sawa
@davidkawesa359413 күн бұрын
Atapata aibu
@khatibabass310613 күн бұрын
Mzee karume wananchi walikua wangapi Zanzibar? Huezi linganisha kipindi hicho na sasa
@angojothammbossa638513 күн бұрын
Kwani na pato la taifa lilikuwaje? Kwanini tusiweze kulinganisha na kufanya sampuli ya kufanyia kazi?
@JimokuMhela13 күн бұрын
Huyo sio Karume, ni Hamad Rashid
@salimMohammed-v5m13 күн бұрын
MUONGO MZEE MSALITI NA TAMAA TUU
@salimMohammed-v5m13 күн бұрын
Msaliti huyu mzee
@muhammednassor356913 күн бұрын
Hana akili yeyote alimsaliti Maalim Seif huyo kibaraka
@zuberisalum200413 күн бұрын
Acha ujinga kwann seif no mtume
@zuberisalum200413 күн бұрын
Kwenda uko kwann seifi nimtume
@khamissaleh92112 күн бұрын
Sio kweli hajamsaliti Maalim seif yeye ndio alietoa pesa kumsaidia Maalim na wengine kuanzisha CUF PESA nyingi katoa Yeye mimi Shahidi na kaendeleaza vizuri Chama, Ila Maalim hakutaka kuachia kiti cha Ukatibu Mkuu.
@samwelmatemu887313 күн бұрын
Huyu myaa ni dog mkubwa sana atajuta siku ya hukumu .Maalimu seifu hayupo mbali